BAADA YA KUSIMAMA KWA MIEZI 11, UJENZI WA SOKO KUU LA MWANZA UMEANZA, ZAIDI YA BIL. 20 KUTUMIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2020
  • Ujenzi wa Soko Kuu la Mwanza lililopo katikati ya Jiji la Mwanza umeanza October 5, 2020 baada ya kusimama kwa muda wa miezi 11, unatarajiwa kukamilika ndani ya mwaka mmoja na miezi sita na gharama za mradi ni zaidi ya Bilioni 20.

ความคิดเห็น • 12

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1

  • @bahatibunzali15
    @bahatibunzali15 3 ปีที่แล้ว

    Ramani ya soko mbona haionyeshi

  • @anithajoseph2110
    @anithajoseph2110 3 ปีที่แล้ว +1

    Hafu kuna raia mmoja amejaa uti anasema eti pesa ya ujenzi inaenda nje wtz hawapati ajira nyambafu

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi Mwanza kuna shida gani? Maana hii miradi yote ilianza tangu mwaka juzi na leo bado hali ni hii? Watekelezaji Mwanza wana shida sana maana hata jengo la abiria uwanja wa ndege nalo lina sua sua tuu. Wakajifunze namna ya kufanya kazi kwa Songoro Marine. Yeye ameweza kujenga meli mbili kwa kipindi kifupi, kazi ambayo ni kubwa zaidi kuliko hayo majengo. There is something fishy and serious na uongozi wa mkoa wa Mwanza. Mkuu wa mkoa anabakia kupiga lomoni tu. Watu wanataka matokeo na siyo maneno. Ukitaka lomoni kafundishe ama ukawe mhubiri.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +1

    Mambo taratibu yata sawatu. Kwani huyo Lisu Ata yatimiza yooote KWA hiyo miaka. 5 nendeni uko nyie famiyenu kubezatu na matusi🦶💪🦵👌❤️

  • @kelvine6167
    @kelvine6167 3 ปีที่แล้ว

    Pole dakika za lala salama😂😂😂

  • @mwaisanyonyoma416
    @mwaisanyonyoma416 3 ปีที่แล้ว

    CHEKA NA NYONYOMA th-cam.com/video/Fpt0RN_RpuY/w-d-xo.html.

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 ปีที่แล้ว

    Ndio mnafufua saivi mda wa kampeni mhhhh

    • @salimamri9488
      @salimamri9488 3 ปีที่แล้ว +2

      Serikali ipo kazini kuwepo kwa kampeni huwa haimanishi serikali inaenda likizo,

    • @utajirihalisi1011
      @utajirihalisi1011 3 ปีที่แล้ว

      Kufufua saa hizi Kuna dhambi gani

    • @officialgivenjacksonngalla
      @officialgivenjacksonngalla 3 ปีที่แล้ว

      Ww Upo Tz Au?@yahya

    • @henryjohn2913
      @henryjohn2913 3 ปีที่แล้ว

      We na ww kipofu au miradi yote ilio kamilika na inayo endelea ilikuwa muda wa kampeni au