WAZIRI MKUU AFIKA KWENYE DARAJA LA BUSISI LINALOJENGWA MWANZA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2020
  • WAZIRI MKUU AFIKA KWENYE DARAJA LA BUSISI LINALOJENGWA MWANZA...
    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, amekagua ujenzi wa daraja la JPM lenye urefu wa kilomita 3.2 linalojengwa katika ziwa Victoria kwa gharama ya shilingi bilioni 699.
    Daraja hilo linajengwa kwa lengo la kuunganisha barabara kuu ya Usagara-Sengerema litakapokamilika litakuwa la kwanza kwa urefu katika ukanda wa nchi za Afrika Mashariki.
    Pia, Waziri Mkuu amekagua ujenzi wa meli ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu unaogharimu sh. bilioni 89.764 ambao hadi sasa umefikia asilimia 70 kwa ujumla wake.
    Waziri Mkuu amekagua miradi hiyo ya kimkakati leo (Ijumaa, Desemba 18, 2020) akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza.
    Mradi hiyo yote inajengwa kwa kutumia fedha za ndani, Baada ya kukagua miradi hiyo, Waziri Mkuu amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wake na kwamba ujenzi huo ni mfululizo wa ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji nchini.
    “Ujenzi wa miradi hii utarahisisha shughuli za kiuchumi kwa wananchi kwa sababu huwezi kupata maendeleo ya watu bila kujenzi vitu.
    "Wananchi endeleeni kuiamini Serikali yenu.”
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 4

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana serikali ya awamu ya tano kwa kazi nzuri za maendeleo mnazoendelea kuzifanya ktk nchi yetu Mungu aendelee kuwalinda viongozi wote wa serikali ya awamu ya tano.🙏🙏🙏

  • @samueljohn2210
    @samueljohn2210 3 ปีที่แล้ว

    Hadi raha!

  • @mariamdaudi4245
    @mariamdaudi4245 3 ปีที่แล้ว

    Vivaaaaa Uncle Magu,,,,vivaaa

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI