Tafsiri halusi ya msanii haipo tena😢😢, wamejiunga na wezi kuwasifu wezi wa kodi zetu😢, youth for change, youth for development of our country we don't want someone who's there for his own benefit, we want changes in our country
Vijana wa hii nnchi wengi wao ni majuha hawajui watendalo... hii ni ujinga uwanja mzima wamejazwa watoto under 18 na wasiojua hata wazazi wao yanayowakabili ktk maisha... hakika hii ni ujinga
Kwakua wa tz wajinga ndio wanatumiwa wasani kushawishi wananchi iri tuzid kuibiwa hatuna misimamo kama wakenya washamba wengine wapo Korea wanacheka tu hawana uchungu na vizazi vijao?

Afu wasomi acha wivu mtoto wa kiume
@@ibramayno8447 😂😂😂alafu wamekodishiwa magari yawabebe
Aaaaaa wamefuata wasaniii
😂😂😂😂❤kweli
Uchaguzi huoooooooo tutaona mengi mbona chezea kupelekwa Korea wee😂😂😂😂
Tutaona rangi za aina zote😊
Najiuliza ccm ikikosa madaraka tutawaona wapambe wakija chadema na kusema Tindu lissu anaupiga mwingi😂😂😂 ndio nitajua hakuna mwenye wema dunia hii
Hapo ndipo tunapofeli... Nimemaliza wasanii wote ccm hhhh😂😂
Vijana wa tz tungekuwa kama vijana wa Kenya tungenderea?
Kwa hiyo kuuana ndio maendeleo! Jamani ombeeni amani! Vita ni vibaya!
Nandy😂❤🎉
Mnahitaji maombi mungu awape akili.
Ccm chama vijana viva vijana viva mama Samia mitano Tena nani kama mama
Tutaona mengi kipindi hiki 2024/25
Wanafunga lao wenzetu afu sis wanatupang t kwa maneno fyuuu😂
Nan anapenda yanayotokea Kenya ccm hoye
Tx dulla Subaru oyee😂😂😂
Cheka tu wapumbavu sana.... silipii tena subscription ya app yao
Wameona wakifanya kazi bila kujikomba hawafiki?
❤❤❤
Kumbe nandy nae ni bint 😂😂
Mmmmh ngoja ninyamaze 🤐
Duh huuu ni msiba😭😭 vijana Wamenunuliwa bei rahis
Kweli kbs
Steven kaua
Njaa mbaya Sana.
Sasa mtu kama nandy ana njaa gan?
SIKU CCM ITAKAPOKOSA MADARAKA..TUTAONA MENGI😂
Zenny cheka 2
Haitakaa itokee endelea kuota ndoto za alinacha
Kwakua wa tz wajinga ndio wanatumiwa wasani kushawishi wananchi iri tuzid kuibiwa hatuna misimamo kama wakenya washamba wengine wapo Korea wanacheka tu hawana uchungu na vizazi vijao?
Haha watu wamefuata burudani wasinge waleta wasaniiii ungeona
Masikini