MUNGU NI MMOJA HAKUNA MIUNGU WATATU, USIPOTOSHWE - KUHANI MUSA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @DaudKaifai
    @DaudKaifai หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu atukuzwe najiungamanisha na Ibadan ya Leo na yesu anifunguwe familia yangu

  • @emmanuelshukiah1236
    @emmanuelshukiah1236 5 หลายเดือนก่อน +3

    Imani ya kikristo imejengwa katika nguzo mkuu tatu
    1.Utatu mtakatifu, Mungu baba, Mungu mwana na Mungu Roho mtakatifu
    2.Yesu alikufa msalabani Kwa ajili yetu
    3.Yesu alifufuka siku ya tatu na ameketi Mkono wa kuume, Yuu hai Leo
    Kama mtu anakanusha Moja kati ya haya anabadikika na kuwa sio mkristo ndio maaana waislamu haya yoote wanayakanusha.

    • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
      @Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 หลายเดือนก่อน +1

      Andiko

    • @sammganga6865
      @sammganga6865 4 หลายเดือนก่อน +1

      Unakumbuka Kuna mahala Yesu alisema Mimi na baba tu umoja.....ni vizuri tujifunze hili fundisho walimu wengi kipindi Cha nyuma walishindwa kuliweka vizuri......tutafakalini kabla hatujajibu

    • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
      @Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 หลายเดือนก่อน

      @@sammganga6865
      Isaya 6:20👇
      Kama hujuwi Maandiko usichangie au kuanzisha mada utamkosea Mungu

  • @frankmartin2203
    @frankmartin2203 4 หลายเดือนก่อน +2

    This is powerful

  • @MaulidHimidi
    @MaulidHimidi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu ni binaadamu kazaliwa kalelewa anakula anaenda chooni vipi awe mungu akili haikubali

  • @mohamedkipara1315
    @mohamedkipara1315 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bado mtazidi kuelewa kuwa Mungu ni mmoja.

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 4 หลายเดือนก่อน

      Siku nyingi tunajua Mungu ni mmoja tu.

  • @Kelvin-sd9gb
    @Kelvin-sd9gb 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo sawa kuhani

  • @ejensonjohnson5209
    @ejensonjohnson5209 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli ni kwamba katika kutafsiri uungu wa Mungu kumekuwa na changamoto kubwa mnoo,na hapo ndio shetan alipopata nafasi ya kujiinua na kuabudiwa na watu,ila yesu mwenyewe alitupatia uzima wa milele ktk mathayo16:15-18,yohana 17:3,1kornt8:6

  • @emmanuelpaul3017
    @emmanuelpaul3017 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nafsi zinakaaje kwenye viti, Mungu ni mmoja ila anatenda kazi kwa kupitia hizo nafsi. Neno ndio Yesu. Hapa tatizo ni tafsiri tuu. Roho mtakatifu sio kiumbe ni nafsi na ipo mioyoni mwetu wala haiko sehemu ingine ama yupo mbinguni amekaa. Anachanganya vitu

  • @samuelkombo3559
    @samuelkombo3559 17 วันที่ผ่านมา

    Sauti ikatoka mbinguni ikisema :huyu ni mwana wangu mpendwa wagu,...
    Yesu akaomba akisema :eh baba niodolehe kikombe hiki wala sikama nitakavyo,....
    Q- sauti ilikua ya nani?
    -baba ni nani?

  • @yusuphBobo
    @yusuphBobo 3 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa nakuona haupo sahihi kumbe upo sawa sawa na neno

  • @MajiTakaMaji
    @MajiTakaMaji 4 หลายเดือนก่อน

    Shida iko wapi mbona vitu viko wazi Mungu bba ni muumba mbingu na nchi Mungu mwana ambaye ni Yesu roho mtakatifu ambazo ni nafsi zetu wanadam

  • @King_David2.
    @King_David2. 4 หลายเดือนก่อน

    Amen ya radi❤❤

  • @lawrencesanga9420
    @lawrencesanga9420 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huo ni ukweli mtupu umeongea mtumishi

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 3 หลายเดือนก่อน

    1+1+1=1 hii ni somo la hesabu mbovu halija wahi kutokea katika historia ya dunia hii tangu dunia hii umbwe.

    • @danielmwakimi2416
      @danielmwakimi2416 2 หลายเดือนก่อน

      Kwanini umejumlisha hauja zidisha😂

  • @JamesKanyenda-y9y
    @JamesKanyenda-y9y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi tunasoma neno la MUNGU wadanganye hao unaowachukulia sadako zayo wapotoshe tu.soma 1 yohana.5:8 ila kama unabibilia yako wafundishe ujuwa wewe.

  • @JemaSanga-xf6tj
    @JemaSanga-xf6tj 5 หลายเดือนก่อน +1

    Umeanguka

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uu ni ukwel mkubal au mkatae

  • @johnshayo9635
    @johnshayo9635 3 หลายเดือนก่อน

    Dah alafu anachukua Kijiji kweli maarifa ni muhimu

  • @lawrencesanga9420
    @lawrencesanga9420 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huu ukweli unafanya wengine tukatengwa kwa muda mrefu sana na makanisa mengi sana yanaupinga

  • @fredymbilinyi6323
    @fredymbilinyi6323 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo nimitazamo yako mhubili,

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa km unasema anaye hikalia icho kiti ni yesu kristo sasa mungu anakaha kiti cha wapi kwani uko mbinguni kuna viti vingapi ? 🤣🤣🤣

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 5 หลายเดือนก่อน +1

    UME BUGI BRO, HUNA ELIMU JU YA UTATU, HAPO UMEDANGANYA WASIYO JUWA MAANDIKO.NAWAENEA HURUMA WASHIRIKA WAKO. KWA UJUMLA UME JIVIKA VAZI LA KONDOO!!! BRO!!

    • @abdalahsuleiman8989
      @abdalahsuleiman8989 5 หลายเดือนก่อน +1

      ALLAH ni mmoja tu rafiki elewa

    • @danielphilipo9088
      @danielphilipo9088 5 หลายเดือนก่อน +2

      Mchungaji yupo sahihi Mungu ni mmoja tu

    • @lawrencesanga9420
      @lawrencesanga9420 5 หลายเดือนก่อน +2

      Hamsomi bible wandugu mmejawa na mapokeo tu

    • @ObedMwankina
      @ObedMwankina 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ndo huelewi,Biblia ipo wazi kabisa Mungu ni moja tu.

    • @ichicarodan6931
      @ichicarodan6931 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu ni mmj kweli., ila mungu alijifunua kama baba mwana na roho mtakatifu, hatusemi kuna mungu wa wa3 ila Mungu mmoja katika utatu mtakatifu.. utatu mtakatifu ndio unatengeneza Mungu