🎸🎹🥁 WAPIGA VYOMBO MAKANISANI HAWAJAI ROHO MTAKATIFU REV. MOSES MAGEMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @esther9892
    @esther9892 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 2 หลายเดือนก่อน +3

    baba mchungaji waimbaji wengi,hawana maombi,nguvu za Mungu hana, Rohomtakatifu mtakatifu ,ndio maana nyimbo zingine kavu.mchunga nakupenda magembe,lnjili yakweri,

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz หลายเดือนก่อน

      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      th-cam.com/video/r3gsfk3zbDQ/w-d-xo.html
      MPWAPWA-DODOMA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa.
      Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka.
      Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita.
      Mkoi Tv online Ilifunga safari hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full.
      Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻
      Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +2555713575718 🙏🏻

  • @anjelinayasini
    @anjelinayasini 2 หลายเดือนก่อน

    Napenda mahubiri yako baba mungu akuinue ,unasema kweli

  • @arethi
    @arethi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pianist tujuane hapa weka like hapa

  • @RajabuKiedu
    @RajabuKiedu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wapiga vyombo wengi wanaroho ya lusifa ndio maana wengi Awana uduma zingine makanisan mwao

  • @amoselia137
    @amoselia137 2 หลายเดือนก่อน

    Amen pastor

  • @tumainipeter458
    @tumainipeter458 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen mchungaji

  • @SaraiFeston
    @SaraiFeston 2 หลายเดือนก่อน +1

    Du unapasua kama magufuri nataman ungekuwa baba yangu.

  • @Rehemaponera
    @Rehemaponera 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaa baba

  • @jeckobass7502
    @jeckobass7502 2 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila jamani mzee anasema kweli tusimchukie sisi wanamziki atujuhesabu kama niwatumishi hapo kwenye kukaaa nje wakati waneno hapo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kweli kabisa mtakuja kumkumbuka huyuuu mzeee mimi nipo palee😂😂

    • @tomasluvanda577
      @tomasluvanda577 2 หลายเดือนก่อน +1

      Uko sahihi kabisa mwalungukosi

  • @NaomiErick-s4j
    @NaomiErick-s4j 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 viwanakwaya vipone

  • @DorineChai
    @DorineChai 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kuhukumu si kazi yako

    • @Werema3760
      @Werema3760 2 หลายเดือนก่อน

      Fatilia ufaham nn maana ya kuhukum biblically. Kama anahukum bas Yesu alihukumu 100%. NB hakuja kuuhukum ulimwengu bali ulimwengu uokolewe kwa Yeye.

    • @mabondolawrence1812
      @mabondolawrence1812 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli inaposemwanhuwa inahukumu, wapiga vyombo na waimbaji wahuni wahuni wabadilike.

    • @wilisonmikate1652
      @wilisonmikate1652 2 หลายเดือนก่อน

      Huwezi kumuelewa kama huna d 2

    • @alexjosephat9030
      @alexjosephat9030 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kwahiyo msionywe, kwa sababu mnaona kama mnahukumiwa, nini kazi ya wachungaji sasa? Au kuwabariki magari na majumba

    • @nursechunga4470
      @nursechunga4470 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ni kweli hajahukum, anaonya!!!

  • @jairoblessingsjb2722
    @jairoblessingsjb2722 2 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba kupitia vyomb

  • @stevenalex9121
    @stevenalex9121 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tumefikiwa 😂😂

  • @DGKNEWS-it3vf
    @DGKNEWS-it3vf 2 หลายเดือนก่อน

    Tumefikiwa jamani

  • @DanielMugo-vw2wz
    @DanielMugo-vw2wz 2 หลายเดือนก่อน

    basi wakati wa maombi tuache vyombo tuombe

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 2 หลายเดือนก่อน

    Ila kweli vijana hamjazwi loho ,kwa Nini ?

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumuelewa huyu mzee unahitaji akili kubwa

  • @ObedMwankina
    @ObedMwankina 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee nimekuchoka bwana huna lolote siku hizi umejaa taarabu tu.

    • @Werema3760
      @Werema3760 2 หลายเดือนก่อน +1

      Pagan mkubwa. Nyoka mwana wa joka utaponaje na jehanam? Geuka YESU ANAKUPENDA.❤
      👉“Enyi nyoka, wana wa majoka, mtaikimbiaje hukumu ya jehanum?

      - Mathayo 23:33 (Biblia Takatifu)

    • @joshuaandrew386
      @joshuaandrew386 2 หลายเดือนก่อน

      Hakika huyu obedi atubu na abadirike la sivyo HUKUMU ya MUNGU haitakuacha salama ,
      Nini amekosea hapo Baba yetu!
      Kwanza unapata wapi ujasiri wa kusema unamchukia Masih wa Bwana huogopii???
      MUNGU akusaidie Sana ndugu ila pia haikuwa lazima umsikilize

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 หลายเดือนก่อน

      Sio bure Obed utakuwa mpiga kinanda 🤣🤣🤣

    • @erickmutungi8792
      @erickmutungi8792 หลายเดือนก่อน

      Hukulazimishwa kumwangalia

  • @DorineChai
    @DorineChai 2 หลายเดือนก่อน

    Usihukumu usije uka hukumiwa

    • @Tanza24
      @Tanza24 2 หลายเดือนก่อน +1

      Haukumuu anaonyaa kanisa.na watumishi wa MUNGU

    • @bestkatunzi2824
      @bestkatunzi2824 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Tanza24anahukumu, kama ww sio mwanamziki huwezi elewa

    • @janesuma-is4wc
      @janesuma-is4wc หลายเดือนก่อน

      ​@@bestkatunzi2824Biblia imesema na mtoto apewe maonyo wapi kahukumu ilihali ni kweli tupu

  • @trinityworld9906
    @trinityworld9906 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona ww ukihubiri hujazwi roho mtakatifu apo unazodoa watu acha uzee

    • @Werema3760
      @Werema3760 2 หลายเดือนก่อน +3

      Pagan mkubwa. Nyoka mwana wa joka utaponaje na jehanam? Geuka YESU ANAKUPENDA.❤
      👉“Enyi nyoka, wana wa majoka, mtaikimbiaje hukumu ya jehanum?

      - Mathayo 23:33 (Biblia Takatifu

    • @bestkatunzi2824
      @bestkatunzi2824 2 หลายเดือนก่อน

      Umeandika uji​nga@@Werema3760

  • @ShedrackThadeo-x1x
    @ShedrackThadeo-x1x 2 หลายเดือนก่อน

    Uzee naoo,,, yeye anaweza kupiga na kujazwa roho mtakatifu kwa wakati mmoja ????

    • @Werema3760
      @Werema3760 2 หลายเดือนก่อน

      Inawezekana kabisa. Na ndivyo inavyopaswa.

    • @stevenalex9121
      @stevenalex9121 2 หลายเดือนก่อน

      Inawezekana labda iwe kwako tu mzee

  • @WaibeNyantori
    @WaibeNyantori 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina