HIZI NDIZO NONDO WAKATI WA KUFUNGA NDOA YA JUHUDI NA LEAH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 68

  • @mercyMahenge-sp2yj
    @mercyMahenge-sp2yj 8 หลายเดือนก่อน +2

    Great man of God.
    Kwa kweli vijana wa sasa wanahitaji haya mafundisho maana wengi wanatelekeza familia.
    Wazazi pia tuwaandae vijana wetu vizuri kabla hawajaingia kwenye ndoa.

  • @DevinaMgimbe
    @DevinaMgimbe 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana akuongezee mafuta ya utumishi

  • @HelinaFanuel
    @HelinaFanuel 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤nakupenda sanaa MOSSES MAGEMBE

  • @martinakyoo148
    @martinakyoo148 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubari Mchungaji ,kazi Yako ni njema,mahubiri Yako hayachoshi kusikiliza maana ni injili halisi isiyoghoshiwa

  • @MichaelKaunda-r3q
    @MichaelKaunda-r3q 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu sisitahili ila naomba nikumbuke katika ufalme wako

  • @annaombay9417
    @annaombay9417 6 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana wewe baba mzee wetu wa Imani

  • @liseprimaryschool2596
    @liseprimaryschool2596 8 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu baba nampendaga sana ,hanaga muda wa kupapasa papasa ,anagonga straight to the point. Barikiwa baba.

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 8 หลายเดือนก่อน

    Powerfully massage,very strong ,haya ndo maneno ya kuwafundisa wanandoa,

  • @brightonherman271
    @brightonherman271 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amina Pastor uko vizur

  • @danielydaudi3400
    @danielydaudi3400 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie Yesu amekaribia sio utani aiseee

  • @bekaogoro7071
    @bekaogoro7071 8 หลายเดือนก่อน +2

    Maneno ya hekima, nashukuru Mungu

  • @WillibroadLughaimukamu
    @WillibroadLughaimukamu หลายเดือนก่อน

    Asante baba

  • @NEMAMnyahati
    @NEMAMnyahati 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina baba mungu akulinde siku zote

  • @stevenmgendi5238
    @stevenmgendi5238 7 หลายเดือนก่อน +1

    BARIKIWA BABA hizo nondo adimu tujenge vijana tusitumbukie kwenye mashimo

  • @dainesmsagala8588
    @dainesmsagala8588 7 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana watumishi, nyote ni moto, mama na baba

  • @Sanagu05
    @Sanagu05 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen nimepata funzo 🙏🙏

  • @FalesMoses
    @FalesMoses 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani Baba nampenda mno namuelewa kweli kweli Hakika MUNGU azidi Kumpa Nguvu Atukomboe vijanaaaa

  • @falijiubamba4155
    @falijiubamba4155 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen ubarikiwe

  • @Jemachangala.
    @Jemachangala. 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Yesu akutunze

  • @jameskajenge3109
    @jameskajenge3109 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mchungaji, hakika Mungu amtunze sana.

  • @GeraldLukucha
    @GeraldLukucha 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu usituache twende wote mbinguni

  • @sylvestermaungu3326
    @sylvestermaungu3326 8 หลายเดือนก่อน +1

    Very true baba

  • @christinakilindila3924
    @christinakilindila3924 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina kubwa

  • @EbeliNjeje-qw3qf
    @EbeliNjeje-qw3qf 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mtumishi

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen mzee wetu

  • @LilianJoseph-s4i
    @LilianJoseph-s4i 7 หลายเดือนก่อน

    Baba barikiwa sana sema kweli yote

  • @solomonilukumai8856
    @solomonilukumai8856 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu nisaidie kuyaishi haya ambayo nmeyasaikia

  • @frankzagalino9687
    @frankzagalino9687 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu nisaidie nikutumikie

  • @joshuamwampulule375
    @joshuamwampulule375 7 หลายเดือนก่อน

    oooh! hapo sasa"

  • @Elikanashileka
    @Elikanashileka 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤love papa

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 8 หลายเดือนก่อน +1

    Great

  • @frankmalimbo4693
    @frankmalimbo4693 8 หลายเดือนก่อน +3

    YESU naomba ukirudi.. Twende wote

  • @Neemasimplis
    @Neemasimplis 8 หลายเดือนก่อน

    Amen baba dada Leah uyashike hayo

  • @isayasamwel4950
    @isayasamwel4950 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @annnambia9030
    @annnambia9030 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen

  • @Nangeboy-s3b
    @Nangeboy-s3b 7 หลายเดือนก่อน +1

    Good

  • @upendowarioba
    @upendowarioba 7 หลายเดือนก่อน

    Tuambie Baba mbele ya kadamnasi tupone

  • @upendowarioba
    @upendowarioba 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa kwa nondo hiyo😂

  • @FulahaFrance
    @FulahaFrance 8 หลายเดือนก่อน

    Powerful 💪

  • @wilsonmoses2761
    @wilsonmoses2761 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh full dose!!!!!
    Msukule!!!!😂😂

  • @beatricemunisi7891
    @beatricemunisi7891 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 7 หลายเดือนก่อน

    Emagadon eti ni mwisho wa Dunia. Binadamu wote wasio wakristo na walio wanalijua Hilo?

  • @haningtonkabuta9387
    @haningtonkabuta9387 8 หลายเดือนก่อน +2

    DONDOO KABAMBE KABISAAAA!!!

  • @EzekielEmanuel-xm3hy
    @EzekielEmanuel-xm3hy 8 หลายเดือนก่อน

    Amina Mzee wetu

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 8 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅nusu msukule

  • @stellakalinga4747
    @stellakalinga4747 8 หลายเดือนก่อน

    Eti nusu msukule😂😂😂😂 ila Mchungaji Magembe

  • @fabianfaustine444
    @fabianfaustine444 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wachache tunamwelewa huyu mtumishi

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 8 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @katherinasamwel3937
    @katherinasamwel3937 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli Baba 😂😂

  • @pendomwaiteleke1636
    @pendomwaiteleke1636 8 หลายเดือนก่อน

    Mpaka mwanamke kawa mkoba 🤣🤣🤣🤣

  • @rosemarymbilinyi215
    @rosemarymbilinyi215 7 หลายเดือนก่อน

    YESU nikumbuke kwenye ufalme wako

  • @desderiamakota7768
    @desderiamakota7768 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂 ni ukweli mtupu

  • @PeterKwalia-x8n
    @PeterKwalia-x8n 7 หลายเดือนก่อน

    Pastor wambie ukweli yote

  • @marthanahson607
    @marthanahson607 8 หลายเดือนก่อน

    Amina Baba

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nusu msukule😂

  • @SimonSabaganga
    @SimonSabaganga 8 หลายเดือนก่อน

    Nondo za ukweli hizi

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 8 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @tujajackson8142
    @tujajackson8142 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @JoramLida-c8i
    @JoramLida-c8i 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @bakundukizetz3880
    @bakundukizetz3880 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @felisternicholaus3281
    @felisternicholaus3281 8 หลายเดือนก่อน

    Amen