Rev: Moses Magembe, wachungaji, Wanafata marupu rupu ,,kanisani,,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Edmoning Tv

ความคิดเห็น • 42

  • @keziairene3317
    @keziairene3317 ปีที่แล้ว +1

    SHALLOM...uyu pastor hunibariki sana...nafurahia kama kwamba nko pamoja nanyi hapo kwenye kongamano

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว +4

    Kweli viwango vya kiroho vimepungua sana katika kanisa,nakumbuka zamani Kulikuwa na upako usiokuwa wa kawaida na kanisa lilikuwa na umoja wa khali ya juu! Mama mmoja aliwahi kufiwa mumewake sababu ya Ukimwi,wamama kanisani wakafunga na kuomba wakamwambia Mungu Amponye yule mama sababu mumewe alikuwa hajaokoka ndiyo maana alipata ugonjwa ule naongea miaka ya 92 mpaka leo yule mama hajawahi hata kuumwa mafua,Kuna shuhuda nyingi kubwa zaidi basi tu siwezi kuziandika

    • @EdmoningTv
      @EdmoningTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akubalik kwashuda njema

    • @milliardere9177
      @milliardere9177 หลายเดือนก่อน

      Andika zitasaidiya wengi

  • @kanankirastephano4880
    @kanankirastephano4880 ปีที่แล้ว

    Wasipo sikia basi huna hatia mbele za Mungu, Amen

  • @modesterntas
    @modesterntas 10 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki baba umeeleweka barikiwa sana

  • @jumarobert4929
    @jumarobert4929 2 ปีที่แล้ว

    Huyu pastor ananibariki sana jaman yan Mungu anaishi ndan yake ubarikiwe baba,nakufatilia sana

  • @gloriaeliasy4860
    @gloriaeliasy4860 3 ปีที่แล้ว +1

    Samahani jaman mafundisho ya asikofu moses nayapenda Sana anapatikana wapi na kanisan analo patikana niwapi

    • @EdmoningTv
      @EdmoningTv  3 ปีที่แล้ว +3

      Dar majumba sta

  • @janetchinga5617
    @janetchinga5617 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen 🙏🙏

  • @bizzobakhesa6473
    @bizzobakhesa6473 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli leo mungu atusaidie

  • @GHOSTTOWNRECORDS44
    @GHOSTTOWNRECORDS44 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU utumia mwenye anapenda hili atimize makusudi yake ,kweli kabisa mtumishi.

  • @user-ig2yc6hw8s
    @user-ig2yc6hw8s ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi

  • @timothtonollah4736
    @timothtonollah4736 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutunze baba uwendeleee kutupa neno

    • @EdmoningTv
      @EdmoningTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Kwer kibisa timoth

  • @shedrackboniphace7755
    @shedrackboniphace7755 2 ปีที่แล้ว

    Aseee nmebarikiwa mnoo, 🙏🙏🙏

  • @mirindiabeli3195
    @mirindiabeli3195 ปีที่แล้ว

    Namna gani kupata vitabu alio andika baba Mchungaji magembe

  • @hoseakamwela2080
    @hoseakamwela2080 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen baba barikiwa sana

  • @lucasmwambene6284
    @lucasmwambene6284 3 ปีที่แล้ว +1

    ameeeeeen mungu atusaidie kwa kweli hiyo

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ameamua aseme na kanisa kupitia watumishi wake waaminifu wachache aliojisazia...

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 3 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji anayesema kweli bila kuficha kitu chochote kile.

  • @mariamkisoma1988
    @mariamkisoma1988 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen

  • @petersaoli3942
    @petersaoli3942 3 ปีที่แล้ว +2

    Mafundisho yenye uzima

  • @johnbuya1003
    @johnbuya1003 7 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnasema mnyama mbona hata siku yenu mnaabudu ni ya mnyama

  • @danifordfirislameck2215
    @danifordfirislameck2215 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @halimamohamed8821
    @halimamohamed8821 2 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @jumahamic9104
    @jumahamic9104 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndiyo inaitwa makanisa saba ya ufunuo

    • @EdmoningTv
      @EdmoningTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Kwer kabisa @juma hamic

  • @abednegombangile8845
    @abednegombangile8845 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks

  • @raymondthomas3960
    @raymondthomas3960 3 ปีที่แล้ว +2

    Wazee wanaojua history ya kanisa lilitoka wapi sio wachungaji Wa Kisasa Wa kunywesha maji

  • @sirfabiano767
    @sirfabiano767 3 ปีที่แล้ว +1

    Hao wote ni wazungu hahahahah

    • @myself4128
      @myself4128 3 ปีที่แล้ว

      Wangepewa kazi Waafrika Wangesafiri vipi ?tumia hekima!we umesafiri nchi ngapi? Au umeleta wangapi kwa Kristo?

  • @annamrsmoses7413
    @annamrsmoses7413 2 ปีที่แล้ว

    Baba unaongea ukweli mtupu umewagusa wachumia tumbo

  • @halimamohamed8821
    @halimamohamed8821 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji samahan san san nahitaji kuongea na wewe tafadhali

    • @prudencesumbane2886
      @prudencesumbane2886 2 ปีที่แล้ว

      Ukitaka ongeya naye ingiya TH-cam, utafute Moses magembe, uta pata number yake na mafundisho yake mingitu uko