#USHUHUDA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2019
- SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
Wanaosema mungu ni mwema tujuane
Mungu ni mwema
Mungu ni mwema
Mungu ni mwema
I connect to Madiha's testimony even in my family(Shalom International famaly from Burundi) Major Apostle Simon sometimes analejesha nyota ziliyo ibwa so because of that testimony i connect and connect again to this and i believe that my life'll never be the same.Glory to God cause what He does is so amazing.
Madiha mungu amekuokoa mtunze mama,atakubariki zaidi Amina.
Yaallah nakuomba utuongoze sute katika ndia yako na huyu msichana pia yaallah uongofu uko kwako yarab
Mungu anaweza kila Jambo Kama huyu dada amefanikiwa kweli mungu yuko emen
I'm happy for her,such an innocent girl,the devil wanted to destroy her destiny,Thnks to Jesus she's delivered
Tena Ana ongea kw furaha kupwa mno mungu sifa na utukufu n zako baba
Nami nimevutiwa na maombezi ya Nabii Mkuu naomba msaada nami niunganishwe na Nabii.
I like her she is happy and proud of God, kwa miujiza Mungu aliyomtendea. The Lord God of Nabii GeorDavie be praised forever
Kuhusu huyu dada, Akika mungu Anaweza, tuzidi kuombeana ata ambao atujafika tufike apo kwa GEOR DAVE
Through this lady I believe i will now succed in life I the Mighty name of Jesus
Mungu Yu mwema kila wakati kila saa na kila siku eeh Mungu naomba unifungulie milango yangu ya ridhiki unifikishe katika kusudi langu🙏🙏🙏🙏
God is good madiha i connect to your testimony 🙏🙏🙏
Madiha im happy for you may God bless you im visiting you soon Nabii wamungu🙏
I can see a great change, glory to God, mpaka nami nifike kwa hio madhambau siku moja
I can never forget Madiha since I saw her first time she has always been in my mind am happy to see her again. May God Almighty bless GeoDavie. Amen
Me too....in fact I was thinking and asking ...did she go and wenttt....... am so happy to see her again .....
Hello ...Nabii Wa mungu naweza mpata wapi Tanzania ....can someone help me pliz
.
Inanigusa had machozi yanimwagika huyu ndio Mimi najion
I love that l give great to heavenly father
She is very bright. With JC she will hit the skies and make all the difference.
Amen Niko .Kenya kupitia huu ushuhuda was Madiha Niko guru na nyota yangu imerundishwa ngonjeni ushuhuda wangu hivi Karibuni.
Callo Isaac mm ni mkenya si unisaindie vire nita mfikisha huyu nabii
Amina
Amen
Caroll Isaac Mungu ni mwema I'm happy for you and the Jesus christ
Mimi nili mkubuka huu dada Mungu akubariki sana, divyo Yesu anafurahisha nao wanao rundi na kushukuru tusiwe kama wale watu kumi abao walipona akarundi moja kushukuru👏👏👏👏👏
Emen
Shalom mtumishi wa BWANA. Naitwa MULINDA ESTHER naishi katika ichi ya Zimbabwe ndani ya kambi ya tongogara refugees camp.
Nazidi kufata miujiza ambazo zinafanyaka kupitia nguvu za Yesu kristo mwanazareti.
Na mimi naamini miujiza na natamani nione miujiza katika maisha yangu.
Pepo ya vurugu inaitawala ndowa yangu...
Nyota ya mme wangu nayo imechezewa na wanadamu sababu anapenda kuwasaidiya watu wakuachana...
Kwa ombi ya zaidi naomba Mungu ailinde
1. Ndowa yangu.
2.atufanyikishe kwakuenda ulaya...resettlement.
3.nyota yangu pamoja na mme wangu zingae.
Kuomba ni kwetu ila kutenda ni kwake naamini kwa jina la yesu Christo AMEN
Ameen mungu ni mwema atanivusha na mimi na mwanangu katika mapito anayopitiwa
Wowo madiha mungu akubaliki sana
mtu wa Media yupo vizuri . unatupa before and after safi sana
Amen amen
Yani huyu hakuwa muislam bali ni mnafiki tu
Amen
Mi naondoka
Daaaaa kweli Mungu anae tenda makuu yuko na geodavie
Safi sana dads mungu yu pamoja na wewe, ulifanya vyema kumkumbuka mungu kwa kumfata mtumishi safi sana mungu yu pamoja na wewe,.
Wow God bless you abundantly
Mtumishi wa mungu bwana yesu asifiwe mtumishi namimi naitaji maombi yako Baba yangu kwani na mimi nimekuwa sielewi maisha maisha yangu ni yakuyumbayumba nami nikifanya biashara sioni pesa na wengine wananikopa na awanilipi na mwili wangu uko na shida nimetokewa na upele ambao autibiki na nimeishi nao ndani yamiaka kumi
It is motivating and I wish that one day i'll be there God bless you Nabii
Nampenda sana huyu dada
She is lovely from the first day I saw her......today she is suuuuuuuppppeeeerr pretty.......lovely personality. ...God is good all the time. ....can't hold my tears and laughter 😢😂😂
Na kanenepa jamani Hadi Raha
God bless you
Mungu nikumbuke na mm 😓😓🙏
Mmh
Praise the Lord God
Bwana YESU Asifiwe.
Nabii jodev mungu akupe uzima maisha marefu baba
I like to follow this lady madiha lilly you helped
Amen amen amen Mubarikiwe saana
Simuoni Madiha bali namuoma mchungaji na mwenye uimbaji mkuu ndani yake Nakupenda YESU.....
Jesus love this pastor
mungu ni mwema ushuhuda huu umenigusa sana
Siyo jina la mtu Libarikiwe mnakosea saaana ,Mwanadamu hagawi Riziki ni Mungu tu
Jaman namba tafathar
That's right uwez tak jina lamtu litukuzw but mungu ndiw muwez wayot
Trophaina magogwa ushawai muona mungu?
Kweli kabisaa
Kutokana na Shida alokuwa nazo, unachanganyikiwa, jamani unaweza ukatamka chochote, muachieni tu huyu binti.
I remember your history, Madiha. I'm very happy for you and continue to believe in God. God's everything!
If it's true, she will be in satan until she dies. She left the religion of ALLAH.
Mungu amubariki mtu wa Mungu. Amubariki sana mwanangu madiha kwa kurudi Gushukuru. Amen
Mungu ni mwema all the time
Amen God bless you soo much
Mungu azidi kuku inua katika viwango vikubwa
😭Nasikia mapaka homa jamani duu asante sana nabii🙏🙏🙏
Niombee Mola ilinami nipate fanaka,niweze kusaidia familia yangu
Amina
Hakumuonea mungu haya huyu mungu ataendeleankumubariki zaidi
She will go.places in hesus name
She smiles like an angel nay our good lord continuebto see her thru
Jaman ashukuliwe mungu Ila shida yangu kubwa ni namba ya huyu nabii 2
So amazing 👏
Mwenyez mungu awe mbele yetu na atuongoze katika safar yetu.
Mungu ni mkuu,Madiha be blessed,proud of u prophet GeorDavie.
Nabii mkuu testimony ya mafinikio.Amen..
Wooow
So amazing
Amen 🙏 Mungu wa Baba ni mwenye nguvu,jina lako lihimidiwe milele Amina
Yes Prophet, nimefurahi kumuona madiha amependeza sana sana.utukufu Kwake Yesu.
katika clips nyingi na comment nyingi zinazomhusu huyu nabii wewe ndo wa kwanza kuona umetaja jina lipitalo majina yote YESU sijamsikisikia hata yeye akitaja hili jina ngoja niendelee kufatilia
Mashaallah hongera ❤
I am happy for this girl.....God is great
Nami
Ee mungu baba mpe afya njema babayetu Jo devi❤❤❤❤❤
Nakumbuka mara ya kwanza na sasa naangalia mara ya mwisho kweli mungu ni mkubwa sana wewe wa media aise ubarikiwe sana maana umetupatia vitu vya uhakika nadhani kila mtu ameshaelewa god bless you AMEN
Huyu ndiye Mungu wa kweli apigaye Ngurumo
Unamuitaje Mwanadamu kuwa mungu??
my God mwl issaya msaidie mwenzio bado hajakuelewa anasema eti umemwita mwanadamu ni Mungu
@@davyadamsontz ndugu yangu hapana Sijasema nabii mkuu ni Mungu hapana ila nimesema huyu ndiye Mungu apigaye ngurumo yaani Mungu Jehovah wa mbinguni ambaye nabii mkuu ndio anamtumikia.
@@rehemadaudi742 kweli ninamsaidia hapa.
@@ibmchannel Ohh Ahsante sasa nimekuelewa.... Lakini ninajiuliza ni kwa kwa nini Geo Davie aseme yeye ni Nabii Mkuu Tanzania???
Vizuri sana at mm nimependa God bless you
Dieu m a fait grâce aksante nabii mukuuu
Mungu nimwema kweli ooo mungu nikumbuke ata mm
Hongera sana mtu wa Mungu kazi yako ninzuri sana sana
Ameen Mungu uzidi kuabudiwa
Jina la Bwana libarikiwe Nabii unapofungua watu wa Mungu nawe Mungu akutukuze🤲🙏
Namkumbuka sana huyu dada Mungu mkubwa jamani 😢😢
Nasi Tutabarikiwa Emen
@@umarsaid9912 nawew ubarikiwe nini, acheni iman potofu, kama wew ni muislam muomb mungu tu atakufanyia wepesi katka mambo yako..
@@vitukobongo9841 Inshallah
nimebarikiwa sn na huyu binti
Shalom shalom natamani kufika uko kanisani na mimi Mungu baba wa mbinguni anifungie na mimi naomba msaada jinsi ya kufika
Mungu nikumbuke nami🙏🙏🙏🙏
Amen,,amen,,God is good
Awesome work of God.. Real life now revealed for her..
Much blessings.. The Lord is Mighty an he work miracles in our midst
If its Gods doing then this s great.Praises to Almighty God.
Nimelipenda jina lako Madiha Muslim mwenzangu
Woww very nice
Amen hakika damu ya Yesu ni ufunguoo wa kila kifungo
Amen amen 🙏
Mungu wa geordavie mamtukuza asante baba wa bwana
God is Good 🙏🙏🙌
Nilikuwa nakufwatilia madiha toka day one ubarikiwe sana
Mungu ni mwema
Wow God bless u madiha, Mungu akuinue zaidi en God bless you man of God
Amina
GLORY TO GOD I THANK YOU MY FATHER LORD ALMIGHTY ASANTE YESU
Nakukumbuka sana dada jina la mungu libarikiwe
Mungu
I want to visit one day too
Hallelujah mungu ainuliwe
Amina sana baba
Dear lord the u "ve remembered madiha remember me too,u r a great lord Amen.
Jambo mutumichi wa mungu nakufata kutoka Congo drc mutumichi unisahidiye nateseka sana
Ndipoza aitwaye na mungu anapewa upako
Amen. Hakuna kama Mungu
Mungu mwaminifu
Kwa kweli mungu ni mwema madiha
We bless Yu Lord
I receive my blessings through that testimony in Jesus name
Mungu akulinde mutumishi
Wow..am touched by her story from the first time I saw her n when she spoke up..mungu awabariki nyinyi nyote
She so cute,To God be the Glory,Thanks God of Father Geor Davie Amen 🙏.
Mungu nionekanie mimi
Dah!!siongei ila nasikia kumtukuza Mungu nilimfuatilia Madiha since day 1Nataman na mm cku Mungu anikumbuke kwa kweli
Sasa nimeamini Mungu hana upendeleo
naomba namba za huyu mtumishi
Mmmmmm haki ya kweli Dunia hii Mungu peke ndiyo ajuaye hayo yote