MAENEO 10 AMBAYO SANDUKU LA AGANO(ARK OF COVERNANT) LIMEFICHWA FREEMASON WAHUSIKA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 มิ.ย. 2020
  • MAENEO 10 AMBAYO SANDUKU LA AGANO(ARK OF COVERNANT) LIMEFICHWA FREEMASON WAHUSIKA SANA
    Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE th-cam.com/users/Tricodskills...

    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / tricodmedia
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricod-skills-11524157...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodskills
    #simulizi
    #freemason

ความคิดเห็น • 22

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

    AUGUST ALSINA Alipewa UMAARUFU NA ILLUMINATI ajuta Kuiba MKE wa WILL SMITH Mateso yake BORA KIFO
    th-cam.com/video/sJYp_DWAQgc/w-d-xo.html

  • @hebrewscamptz
    @hebrewscamptz 5 หลายเดือนก่อน

    Sanduku la Agano ni uwepo wa Mungu mwenyewe. Sanduku la Agano lipo Tanzania.

  • @mand6029
    @mand6029 4 ปีที่แล้ว

    hongera sana tena na tena KAKA YETU JOSE SKILLS ,, nakupongeza sana kwa kutupa ukweli,,,, hakika upendo ulio nao kwetu wasikilizaji ni mkubwa sana , na uyasemayo ni ukweli mtupu,, hongera sana ,,,, daima twajifunza mengi kupitia maelezo yako mazuri ,,sisi watanzania twajivunia sana elimu utupayo,, kwani inatuweka huru sana ,,japo ukweli unauma lakini lazima mambo yawekwe wazi mwenye masikio asikie

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว +2

    Usidanganye watu sanduku lilipo fichwa hakuna awezaye kuliona lipo chini chumba cha ndani pia huwez kulitoa bila ya kupata kibali cha Mungu soma andiko vizur mtu alilinyooshea mkono tuu akafa hapo hapo hao wanazo njia zingine na siyo sanduku hilo lipo hadi kesho

  • @user-yf1zj1vo1o
    @user-yf1zj1vo1o 2 หลายเดือนก่อน

    Mnatuvuruga

  • @joseboy1113
    @joseboy1113 4 ปีที่แล้ว +1

    mnajua wenyewe bahna Mimi namjua mungu2

  • @user-yf1zj1vo1o
    @user-yf1zj1vo1o 2 หลายเดือนก่อน

    Yelemia kalibebaje pekeake sasa

  • @dafrosamonko8254
    @dafrosamonko8254 2 หลายเดือนก่อน

    Lipo nyashishi

  • @mustafayahyarunigangwakani6037
    @mustafayahyarunigangwakani6037 4 ปีที่แล้ว

    Dah!!! kaka nakuelewa sana!!! tumefichwa mengi sana!! Mungu (ALLAH) akusimamie utufahamishe zaidi!!! ila sijaliona sanduku la agano kwenye QURAN!! kama umeliona huku kwetu nifahamishe nikalisome!!!!

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

      Soma torati ya musa ndiyo utaona yeye ndiyo aliye pewa hilo sanduku maana yake agano lao amri kumi za Mungu hicho ndicho kitabu cha kwaza au muongozo

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว

    KIFO CHA MKE WA BABU TALE WASANII HAWA WASHINDWA KUJIZUIA HISIA ZAO WAUNGANA NA DIAMOND PLATNUMZ
    th-cam.com/video/hqMAyjNQXRg/w-d-xo.html

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 4 ปีที่แล้ว

      Tricod Media kunasiri kubwa haapo angaliya kwajicho kubwa hapo kuna kafara kubwa ililotolewa, wakicheza wakifurahiya 🙏😭😭😭 kuolewa nawasaani tutauwawatu

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 11 หลายเดือนก่อน

    Tz muko na news zengine zakuuthi

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 ปีที่แล้ว

    Tupe ukweli wa Ginimbi

  • @fanuelingalawa6160
    @fanuelingalawa6160 ปีที่แล้ว

    Hahaha siyo kweli kwa mujibu wa maandiko ya biblia yanathibitisha sanduku la Agano lipo mbinguni

  • @youngjun8098
    @youngjun8098 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah nnachojiulza baada ya Yesu hii miaka hapa kati mpk miaka 1700 n nn kilipita? Au gharika?

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว +1

      Watu walikua wanauana tu kama machizi yaani hahaha

    • @youngjun8098
      @youngjun8098 4 ปีที่แล้ว

      @@TricodMedia inaweza kua sabab tosha ya technology na population kwendelea? Na km ndio mbona kipindi cha first world war na sec.mbona haikuathir ukuaj wa technology? Zaid tunaona ndo inakua zaid

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 ปีที่แล้ว

    Sanduku hilo lipo Morogoro wilayani Kilombero Kata ya Mofu Kitongoji cha Sakarani

  • @hebrewscamptz
    @hebrewscamptz 5 หลายเดือนก่อน

    Sanduku la Agano ni uwepo wa Mungu mwenyewe. Sanduku la Agano lipo Tanzania.