NDOTO NA TAFSIRI ZAKE. UKIOTA UNAPAA ANGANI || WEWE JIANDAE NA HAYA YATAYOKUPATA | SHEIKH KHAMIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Simulizi Za Ndoto. Ukiota Unapaa Angani Nini Maana Yake?
    Fuatana Na Sheikh Khamisi Suleymani.
    #Masjidmtoro #Masjidmtoro #Masjidmtoro

ความคิดเห็น • 1K

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 3 ปีที่แล้ว +148

    Msifatishe hizi maana za ndoto mtakosa amani ya maisha hata Kama Ni ukweli..kikubwa ukiota ndoto mbaya muombe Allah akuepushe na Hilo balaa na ukiota ndoto nzuri mshukuru Allah (s.w)

    • @jumahemed9301
      @jumahemed9301 3 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁

    • @shabilyjahaa6488
      @shabilyjahaa6488 3 ปีที่แล้ว +2

      Nkwer

    • @shanimwinyi691
      @shanimwinyi691 3 ปีที่แล้ว +1

      Ukweli kabisaa...

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 3 ปีที่แล้ว +1

      Kbs

    • @cookinglist1004
      @cookinglist1004 3 ปีที่แล้ว +5

      sawa ndugu yangu sio ndoto zote unaweza kutangaza kwani si vizur kwa ilie ota , kama ndoto ni nzuri usimwanbie mtu kama mbaya na ukashtuka amka na kumlani shetan na kutema mara 3 kulia na kushoto alafu geuka upande wa pili ,shukran.

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 3 ปีที่แล้ว +7

    mimi naotaga nipo shule tu kila xiku

    • @zainurunjovu9449
      @zainurunjovu9449 3 ปีที่แล้ว

      Hata nn sijui inamaanisha nn

    • @jamiestan7280
      @jamiestan7280 3 ปีที่แล้ว +2

      Wachawi wanakurudisha nyuma kimaendeleo ndoto mbaya xana iyo

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

      Ata mm ivo ivo

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

      @@jamiestan7280 mungu wangu mmmh,nifanyeje my dear

    • @sylivestermwasile4203
      @sylivestermwasile4203 3 ปีที่แล้ว

      Muombe mungu akuepushe na hyo ndoto wachawi wanaziba mianya ya mafanikio yakoo

  • @husnasalim5569
    @husnasalim5569 4 ปีที่แล้ว +17

    Asalaam alaykum naomba tafsiri ya hii ndoto nimelala nimeota imekuja radi kubwa sana baada ya hp ardh ikachanika ikawa nyekundu na kiama kikawa mm nalia na kuomba dua na kujiuliza mm nitakuwa katika kundi lipi natetemeka na nguv sina na watu wanapiga kelele na kuku zikipiga kelele nilivoamka nilistuka sana na moyo wnitetema

    • @sikudhan3378
      @sikudhan3378 3 ปีที่แล้ว

      Namm naota sana ndoto za hivyo mwisho leo lakini Hua naota wakati nikilala sana rabda sambili asubuh nikiwa bado nimelala

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 ปีที่แล้ว

      @@sikudhan3378 ni makumbusho hayo uamke umuabudu allah

    • @tukanobakary2005
      @tukanobakary2005 3 ปีที่แล้ว

      Fanya sana ibada . Yaonekana Kuna madhambi unayafanya ambayo mungu hayapendi

  • @professormzunnycomedy8604
    @professormzunnycomedy8604 3 ปีที่แล้ว +7

    Mimi huwa naota napaa huku nakimbia hewani, ina maana gani? Na nyingne naota huku nakimbizwa

  • @swalehmuhsinhassan9413
    @swalehmuhsinhassan9413 3 ปีที่แล้ว +3

    Sasa tupe dalili katika Quran ama sunnah kwa utabiri wako kama uloyasema ni tafsiri ya kweli. Sijaskia dalili hata moja kama ulotabiri imethibitishwa na Quran ama sunnah

  • @zainabukivale5824
    @zainabukivale5824 2 ปีที่แล้ว +2

    Namba tunaomba

  • @khalfanomar7665
    @khalfanomar7665 4 ปีที่แล้ว +21

    Shekh ni kweli ulio sema mimi ni mzaliwa wa pemba siku moja usingizi ni nilota napaa kwenye eneo lenye milima mirefu iliopitiwa na nyaya za umeme nilipata uhamisho wa kikazi kutoka zanzibar mpaka mkoa wa Manyara wilaya ya Mbulu na yote niliota niliyaona

  • @zachariangoyo6410
    @zachariangoyo6410 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu asifiwe shikh umejifunza wapi elimu ya Ndoto maana sijakuelewa %85

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว +94

    mm napenda kuwakumbusha tunaoandıka neno ma sha Allah
    napenda tuandke kwa kuachanisha ndıgu zangun yaan
    *MAA SHAA ALLAH*
    maa Sha Allah
    ma sha Allah
    ( sio mashallah) n makosa !

  • @asiakhamisi420
    @asiakhamisi420 3 ปีที่แล้ว +4

    He Kama unakimbizwa alafu katika kukimbia unajikuta unapaa nini maana yake

  • @IlhaamMarshed
    @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว +6

    Asalam alaykum th-cam.com/video/P2cXoTn6QwM/w-d-xo.html jifunze kutengeneza visheti laini amazing😉 (vikokoto)

  • @fredrickomondi2620
    @fredrickomondi2620 2 ปีที่แล้ว +1

    Niliota niliwaona mwanaume wawili angani wa mbele anampa mwezake funguo kidogo tu nikaona ndege mbili zikifutana

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 4 ปีที่แล้ว +7

    Mimi ndio ndoto zangu hizo lakini ni Kama flight Kama Ndege vile Kama helpcopter na maji naona chini bahari na milima na manyumba na hua natamani nisiamke ni ndoto nzuri ajabu saana

  • @daudimussa3546
    @daudimussa3546 4 ปีที่แล้ว +7

    *je nikiwa nakimbizwa uku naruka natua naruka tena na kutua inamaana gani.............?!?!

    • @divokilindi7872
      @divokilindi7872 4 ปีที่แล้ว

      He irudie tena video utaelewa nn inamaanisha

  • @tawaqalmuniss2902
    @tawaqalmuniss2902 4 ปีที่แล้ว +6

    mbona aya alizotoa zote ni za manabii na mitume hakuna sehem imethibiti kuwa mtu akiota hivi inamaanisha hivi huo ni urongo umekosa kaz

    • @aminahamisi2837
      @aminahamisi2837 3 ปีที่แล้ว +1

      If you have nothing to talk nyamaza plls

  • @salumnassor9425
    @salumnassor9425 3 ปีที่แล้ว +6

    Ostaz je ukiwa umelala ukaota unakimbizwa harafu ukapaa inamaanisha mini shekh

  • @usajiliusajili6511
    @usajiliusajili6511 4 ปีที่แล้ว +7

    Yesu tu anatosha kukuondolea ndoto za majinamizi kama hayo

    • @miryamsultannsultann5245
      @miryamsultannsultann5245 4 ปีที่แล้ว

      Yesu hahusiki na hii mada tafuta sehem ya kumtaja yesu wako

    • @usajiliusajili6511
      @usajiliusajili6511 4 ปีที่แล้ว

      @@miryamsultannsultann5245 hapa hapa ndo sahihi pa kumzungumzia YESU, wewe kama nani utoe order kwangu. Yesu ndo jibu la ndoto za giza na majini, hahahaaaaaaa hahaaaaaaa YESU huyu jamani hatari sana

    • @usajiliusajili6511
      @usajiliusajili6511 4 ปีที่แล้ว

      @@miryamsultannsultann5245 sehemu ya kumtaja YESU ni mpaka ndani ya moyo wako, nashukuru sikio lako limesikia habari za YESU na macho yameona jina lake YESU likiandikwa hapa

    • @mwanakombogodoro141
      @mwanakombogodoro141 4 ปีที่แล้ว

      @@usajiliusajili6511 kalale uko n yes wko, yesu uyo kwioooo

    • @usajiliusajili6511
      @usajiliusajili6511 4 ปีที่แล้ว

      @@mwanakombogodoro141
      Hahahaaaaa halafu wewe si ndo godoro njoo nilale usingizi mzuri, godoro weeeee karibu

  • @allysaidd4623
    @allysaidd4623 4 ปีที่แล้ว +15

    Mashaa Allah....mie nimeziota saana allhamdulillah sas nipo ughaibuniii

    • @fabianmagambo
      @fabianmagambo 11 หลายเดือนก่อน

      duuuh bola uote unaenda mbingun kweli

    • @RukiaJuma-fv3du
      @RukiaJuma-fv3du 10 หลายเดือนก่อน

      Asalam aleikum,nishaota nimepaa nikadondoka kwenje gorofa juu kabisa mwisho alafu nikapaa kutoka kwahiyo gorofa Hadi nyingine ,hiyo yamaanisha nn

    • @RukiaJuma-fv3du
      @RukiaJuma-fv3du 10 หลายเดือนก่อน

      26:52 26:52 26:52

    • @RukiaJuma-fv3du
      @RukiaJuma-fv3du 10 หลายเดือนก่อน

      Niliota napaa kwenda chini nikiwa nimesimama juu Kwa blonde,chini zaidi hiyo nini

  • @haudhatiadam6206
    @haudhatiadam6206 4 ปีที่แล้ว +12

    Sheikh me naona nakimbizwa huyo mtu namuona ila simjui lakini nakimbia nasimama naanza kusoma ayatu kurusiyu namwisho wasiku anapote .....njozi hiyo inamaana gani nanaota kila siku.nikianza kuota lazima nisome kwenye ndoto

  • @shemsasulles8416
    @shemsasulles8416 3 ปีที่แล้ว +25

    Manshallah, ya Allah tunakuomba utupe katika ndoto nzuri Na utukinge Na ndoto ambazo zinazoweza kututisha

  • @agapenkya4148
    @agapenkya4148 4 ปีที่แล้ว +10

    Niliota naongea na mzungu gafla nikapaa juu ila siyo juu saana niojikuta nasema asante mungu asante mungu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 ปีที่แล้ว +1

    Tunaoota tunapaa tujuane

  • @dysamarcus8462
    @dysamarcus8462 4 ปีที่แล้ว +8

    hakika kama ni kweli ina maana nitakuwa nasumbuliwa na mizimu na wachawi ee mola wangu ninusuru

  • @khadijaathumanikhadijaathu9031
    @khadijaathumanikhadijaathu9031 ปีที่แล้ว +1

    Assalamu alaikum warah maturah wabarakatu ustadhi Allhamdilillah mm kunasiku niliota nakimbizwa na ng.ombe je, ndoto hii inamanisha nini shukurani

  • @nusurakajubu8785
    @nusurakajubu8785 4 ปีที่แล้ว +32

    Duuh yan kalibia tafasir zote mm naziota jmn ila siku zote natengemea Allah yy ndo muweza wa yote

    • @saay4273
      @saay4273 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaaaaa mamy

    • @uthmanihimbawe5244
      @uthmanihimbawe5244 4 ปีที่แล้ว

      Mtegemee pamoja na kutafuta suluhisho la hilo

    • @انسالحكماني-ك2ذ
      @انسالحكماني-ك2ذ 4 ปีที่แล้ว +2

      Ukiota upo darasan unafanya mtihan hi.inatafsiri gan

    • @khumeinshawal6646
      @khumeinshawal6646 4 ปีที่แล้ว

      @@انسالحكماني-ك2ذ ufukara

    • @khumeinshawal6646
      @khumeinshawal6646 4 ปีที่แล้ว

      @@انسالحكماني-ك2ذ ukiota unafny mtihan ni ufukara

  • @mammymo9029
    @mammymo9029 4 ปีที่แล้ว +5

    niliota ndoto lakin siwez kuelezea hapa naweza pata no ya shekhe

    • @mamayusuf7333
      @mamayusuf7333 4 ปีที่แล้ว

      Mm naota nikiwa nimelala ati naanguka chani enamanicha mini???

  • @nusurakajubu8785
    @nusurakajubu8785 4 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh naomba kuuliza ukiota unapewa heshima kubwa na watu wanakuheshimu ila uku ww yani hakuna cheo chochote na at kwenu akuna kiongozi wa serikali mpo tu tu je maana yake nn?

  • @rangmyridua3152
    @rangmyridua3152 3 ปีที่แล้ว +13

    A.a. asante sana kwa mafunzo yake sheikh, nakuwombeya heri wewe na familia. Nawomba usaidizi wako, mim nimewota nakaribiwa nawatu ambawo ni haghalifu nika amuwa niruke toka pale chini kwa kichwa juu migu chini bila mabawa nikafikia nuymba ya kwanza, badae nikaowona nikaribu nikarikuwa tena miguu chini kichwa juu nikapandisha sana kwenye gorofa mrefu sana. Kutokana na utafsiri wako sijajiweka mahala pake ndotoni. Tafadhali naomba kusaidiwa.
    Jina langu ni Rangmy Ridua
    From Mozambique

  • @maryamoganda623
    @maryamoganda623 4 ปีที่แล้ว +28

    mm nikilala naota kuwa watu wananikimbiza ila nakuwa naruka ila wanakuwa awanipat

    • @feristerkilembo170
      @feristerkilembo170 4 ปีที่แล้ว +3

      Yaaan wewe ndoto zako zinafanana na mm uwa nakimbizwa. Then nalukuka juu

    • @WAASINASTYCRAZY
      @WAASINASTYCRAZY 4 ปีที่แล้ว

      Hiyo inamaanisha kunawatu wanakuwangia , ukiota unapaa au nyoka

    • @renatusyuda4230
      @renatusyuda4230 4 ปีที่แล้ว +4

      Wewe unakimbia hawakupati, jibu lake utakuja kumiliki pikpik mana ina spid

    • @rahimakhalid9668
      @rahimakhalid9668 4 ปีที่แล้ว

      @@renatusyuda4230 hahaha

    • @rakiahamis4180
      @rakiahamis4180 4 ปีที่แล้ว

      na mm ni hivyo hiyo ndugu yangu

  • @mwigaharuna3345
    @mwigaharuna3345 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukiota raisi amekuja kwako kukutembelea na mmekula pamoja manayake nini

  • @animahamad7516
    @animahamad7516 4 ปีที่แล้ว +12

    Xheh me huota natumbukia kwenye xhimo refu Na hta iv kawaida nkipanda gorofan juu kabixa cwez nahic km kutok juu had chin km kweny ndoto

    • @nyumbayatibanadua737
      @nyumbayatibanadua737 4 ปีที่แล้ว

      Itafuata siku si nyingi inshaallaah

    • @damianjeremia3821
      @damianjeremia3821 4 ปีที่แล้ว

      Anima Hamad hutamiliki ghorofa

    • @animahamad7516
      @animahamad7516 4 ปีที่แล้ว

      @@damianjeremia3821 xwa kwa gorofa cmilik je wajuwa me nxhadumbukia km mfano wa kicma iv Ila co kirefuu xnaa je ctomilik nn

    • @animahamad7516
      @animahamad7516 4 ปีที่แล้ว

      Ht kwenda kicman me cwez kabixa

    • @josephkiwale3495
      @josephkiwale3495 3 ปีที่แล้ว

      Amina swali sana Mungu anakupenda

  • @ommyakili552
    @ommyakili552 4 ปีที่แล้ว +13

    Maashaallah hii ndoto ya kuruka nakutua kilele cha mlima huwa ninaota lkn sijui na sikumbuki pia nn maana yake ila nashukuru kuijua Allah ndiyo mjuaji zaidi

    • @khumeinshawal6646
      @khumeinshawal6646 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha kwaiy ndo umedanganyika au? Ufukara huooooo

    • @MARIAMABUBAKAR-y9m
      @MARIAMABUBAKAR-y9m 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@khumeinshawal6646😂😂😂😂

    • @LiviaMwesige
      @LiviaMwesige หลายเดือนก่อน

      Nami naotaga ila nayoyaota nayaona kweli

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +7

    Mimi huwa napaa,ila najiona live kabisa,na wakati mwingine naziba macho ili nisianguke,au tena huwa napaa chumbani kwangu tuu.ila najiona kabisa.

    • @mariamfritsi9761
      @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +1

      Msafiri Afraha hapana sikuwa usingizini,wakati mwingine nakuwa nimeshika simu naangalia kitu,ghafla napata bumbuazi flani na hapo najikuta nipo nje juu,naona taa zote zipo chini mimi juu.

    • @mariamfritsi9761
      @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว

      Tena mara nyingi sana huko kupaa,ni kweli kabisa na wala sio kuota.

    • @suhaylaswai1311
      @suhaylaswai1311 4 ปีที่แล้ว

      Uy anakua ametoka nje ya mwil wake halis

    • @suhaylaswai1311
      @suhaylaswai1311 4 ปีที่แล้ว

      Kuna namna ya kutoka unauacha mwil halis nafs yako inakua nje unajion kama unapaa wawez ona vitu tofaut tofaut ukiw katik hal hiy

    • @suhaylaswai1311
      @suhaylaswai1311 4 ปีที่แล้ว

      Ni hatar siku wawez paa kwa stail hiy ukaenda mbal ukapotelea uko mwil uliobak watu wakajua umefarik wakakuzik wngn huw inasemekan wamefia usingzn kwahy ajitahd kuizuia hiy hal isizoee kumtokea mara kwa mara

  • @HappyChacha-nl9cq
    @HappyChacha-nl9cq 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi.uwanaota.napaa.juu.alafu.afukuziwa.watuwanatamani.kunishika.lakini.mm.nawakimbia

  • @adelajaksoni466
    @adelajaksoni466 3 ปีที่แล้ว +3

    14 24 25 zote huwa zinanikuta mm jamni dah

  • @asbah1371
    @asbah1371 4 ปีที่แล้ว +2

    Mi naomba kuuliza shekh mi nakuwa naota nakimbizwa na watu wabaya nakuwa sina jinsi na yule mtu mbaya yupo karibu bas katika ndoto naruka ili kumkimbia tena nahisi naruka kabisa hii inamaana gani

  • @marcuzyomar728
    @marcuzyomar728 4 ปีที่แล้ว +9

    Hivi haya maneno ao Tafsiri hizi Je! Kuna ithbaat yoyote ktk Qur'an ao Sunnah ya Mtume?
    Ao nimaneno zetu tu ?

  • @SalahKajiwe
    @SalahKajiwe 2 หลายเดือนก่อน

    Niliota nimeruka nikiwa juu nilikua nafanya dhikli nini maana yake

    • @KhamisAli-r1w
      @KhamisAli-r1w 24 วันที่ผ่านมา

      Katika uzee wako Utakua mganga wa kienyeji ndugu yangu, hongera sana...

  • @stevensosipita5673
    @stevensosipita5673 4 ปีที่แล้ว +5

    Hiyo ni kweli kabisa shekhe wangu mimi yashanitokea nasipo nchini kwangu amina

  • @harusiabdallah6550
    @harusiabdallah6550 ปีที่แล้ว

    Naukiotah Umepaah Angani Alaf Watu Wainchi Mbalimbali Wanakuangaliah Nah Kukushangiliah Wengineh Wanatakah Kupigah Pichah Nah Wewe Yamaniishah Nn?

  • @amissharith4479
    @amissharith4479 4 ปีที่แล้ว +4

    Assalam aleikum Mimi naota maji sana nikiwa nanguka

  • @Gilba-son
    @Gilba-son ปีที่แล้ว

    Mniambie na mima jamani tafsiri ya hii ndoto ambayo ishanijia matatu nishawai kuota ndoto nikiwa nimeziokota diamond nikaziweka mfukoni zikiwa zinatupa mwanga mzito mpaka mwenyewe kwenye ndoto huko nakua na shindwa zuiya hiyo mwanga

  • @omarially5228
    @omarially5228 4 ปีที่แล้ว +10

    Duh! msibah mkubwa jamani huu niuchawii niushirikinaa acha kupotosha watu! hayo nimaneno yako hayapo ktk quran wala sunna za mtume wetu shauri yako!

  • @robertfaustine8867
    @robertfaustine8867 3 ปีที่แล้ว

    wewe unachanganya kiarabu na kiswahili unafikili wote wanao angalia video yako na wahsram

  • @IlhaamMarshed
    @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว +3

    Asalam alaykum th-cam.com/video/P2cXoTn6QwM/w-d-xo.html jifunze kutengeneza visheti laini amazing 😉 (vikokoto)

    • @awadhimbarak2349
      @awadhimbarak2349 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣out of lesson

    • @nasraothoman1239
      @nasraothoman1239 4 ปีที่แล้ว

      asalamalekumu

    • @sulleyalriyamiy
      @sulleyalriyamiy 4 ปีที่แล้ว

      Sawa bi vishet

    • @Zahra_Media255
      @Zahra_Media255 4 ปีที่แล้ว

      @@nasraothoman1239 andika salamu hivi
      Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh

  • @neemandayikumba741
    @neemandayikumba741 2 ปีที่แล้ว

    Mie nimota nimepata pessa dola 3000 nikafurah nikapaa natoka kwangu naenda kwa baba yangu kumuonesha

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder 4 ปีที่แล้ว +4

    Sasa Hiyo Ni Ghaib? Ama ni Utabiri ama ni Kubahatisha Tu.

    • @yasinijuma6646
      @yasinijuma6646 4 ปีที่แล้ว

      Kasome kk wengi tunangea tu. Ila tafsri ya coroan atuijui tumezoea kubishana ata kama aujui kitu

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 ปีที่แล้ว

    Mh mitihani nipo omani niliota nimeruka juu ya ukuta natembea nyumba ya bosi mbele NIKAONA mtu kakaa juu ya ukuta akachinjwa nyuma ya shingo mm nikageuza nikiludi huku natembea juu ya huo ukuta nikachupa nikastuka

  • @alvinsafi2733
    @alvinsafi2733 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah atuepushe na mitihani ya ndoto inshallah

  • @AmeldaKavishe-ry9ow
    @AmeldaKavishe-ry9ow ปีที่แล้ว

    Shida kishwaili kwani wewe mwarabu Soma kishwaili Kama upo Tanzania shehee

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 4 ปีที่แล้ว +27

    Mashaallah sheikh.mm nilikua naota hii ndoto ya kuruka tokea nikiwa mdgo sana nikimsimulia nyanyangu akaniambia kama ulivyo ileza sheikh na nikweli imekuja tokea sasa hvu nkiwa mtu mzima..shukran sheikh

    • @deusirichard3442
      @deusirichard3442 3 ปีที่แล้ว

      Habari

    • @josephkiwale3495
      @josephkiwale3495 3 ปีที่แล้ว

      Kimekutokea kipi Dada,hebu nijuze maana ni muhanga

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha หลายเดือนก่อน

      Tujuze basi maan ake nn ukiota unapaa😂 plz

  • @kadaramohamed266
    @kadaramohamed266 11 หลายเดือนก่อน

    NAMI naota nakimbizwa na nimenfugwa ndani ya ni Sina Pali yakutoka kumefungwa

  • @jumanneomari6054
    @jumanneomari6054 4 ปีที่แล้ว +17

    Mimi naota Kisha nasaau asubui

    • @neemafungo7278
      @neemafungo7278 3 ปีที่แล้ว

      Unapoota ndoto unapokumbuka andika maana Kila ndoto ina maanayake

    • @SuleimanMuhammed-u5m
      @SuleimanMuhammed-u5m 2 หลายเดือนก่อน

      The answer is your IQ is low

  • @lewinamlasi8235
    @lewinamlasi8235 3 ปีที่แล้ว

    Vp ukiota unaruka kutoka either juu ya mti au ghorofani na usifike chin ukashutuk hyo inamanisha nn???

  • @adelajaksoni466
    @adelajaksoni466 3 ปีที่แล้ว +4

    Hyo ya 14 dah ninusuru mungu wangu

  • @christellenelly2325
    @christellenelly2325 ปีที่แล้ว

    Ukiota wanakukimbiza watu wabaya kisha ujikute una paa ninjozi gani

  • @awadhimbarak2349
    @awadhimbarak2349 4 ปีที่แล้ว +12

    Mm shehe hua naota kila mara napaaa angani same time napaaa nashinda kuruka sijui hii ina maana gan

    • @samxx411
      @samxx411 3 ปีที่แล้ว

      Mimba hiyo

    • @israagumbo5572
      @israagumbo5572 3 ปีที่แล้ว

      Weweee acha zambi mwizio anaitwa awath mimba hiyo kivipi Sasa..?😂😂😂 Nimechekaaaa

  • @mwana5011
    @mwana5011 ปีที่แล้ว

    A.a,n jee ukipaa n kuwe n vivuli upande wa kulia kivuli n wakushoto kivuli,vinapaa sambamba n ww yaan n vitu visovyoonekan lkn nkisema vivuli utanielewa kwa haraka, inaashiria nn shekhe?

  • @ramadhanijohoiddi2899
    @ramadhanijohoiddi2899 4 ปีที่แล้ว +3

    sheikh mmh mmi sikuerewi hata kidogo mwanamke akiota hivo unamaanisha ataolewa na huyo mwanaume kama ameorewa je?

  • @rashdothmn9377
    @rashdothmn9377 3 ปีที่แล้ว

    Napia naota nafukuzwa lakini nikikimbia kidog tu nageuka namfukuza yule anae nikimbiza

  • @nickdeestrong7159
    @nickdeestrong7159 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu nikomboe kutoka kwa hizi dhiki

  • @ezekielkapange6064
    @ezekielkapange6064 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nimeota naruka angani kwa kupepesa mikono yangu mwenyewe Kama mabawa na wkt naruka nikakutana na nyoka akanirukia kwa lengo la kunidhuru nikampga akarud chini then nikatua kijjni kwetu

  • @galam1030
    @galam1030 4 ปีที่แล้ว +3

    Mimi naota nipo ktk chumba kimewekwa maji na nyoka wa rangi togauti

  • @makenyaelinazi9964
    @makenyaelinazi9964 2 ปีที่แล้ว

    Shekhe Mimi huwa naota natembea ila naishiwa nguvu miguuni then napata uwezo wa kuruka kimo Cha wastani tu

  • @omarjuma2518
    @omarjuma2518 4 ปีที่แล้ว +6

    Assalam Alaikhum, me mala nyingi naota nyota angani n mwezi afu napaa km naenda kuzishika zile nyota n kuona wtu wnataka npa mkono nastuka Sana

    • @omarjuma2518
      @omarjuma2518 4 ปีที่แล้ว +1

      Shukran sana nmekuelewa vzli sana

    • @faroukkhamis5086
      @faroukkhamis5086 4 ปีที่แล้ว +1

      @Msafiri Afraha assalam alaykum naomba namba zk sheikh wng

    • @omarjuma2518
      @omarjuma2518 4 ปีที่แล้ว +1

      Assalam Alaikhum, naomba number zako Ankal

    • @omarjuma2518
      @omarjuma2518 4 ปีที่แล้ว +1

      @Msafiri Afraha Assalam Alaikhum, mala ingine naota nko Kati Kati y msitu au zizi la wanyama wote wakali ksoro nyoka wnacheza nao Simba , kifaru n wngine mala ingine naota maraisi wengi Nchi tafauti wazungu n waswahili n mala nyingi nmuota magufuli annipa no ya cm

    • @omarjuma2518
      @omarjuma2518 4 ปีที่แล้ว

      @Msafiri Afraha shukran sana,

  • @happynesiasimwe4096
    @happynesiasimwe4096 2 ปีที่แล้ว

    Mimi. Naota. Nachomwa. Kisu. Ndoto. Hiyo. Ina. Maana. Gani

  • @diamondplatnumz8462
    @diamondplatnumz8462 3 ปีที่แล้ว +4

    Me huwa napenda kuruka kama njiwa

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 11 หลายเดือนก่อน

    Mi nimeona nshafika airport nasubiri ndege kwenda simiyu na ndege ikaniacha nipo hapo hapo maana Yake nini?

  • @nurukitogo6105
    @nurukitogo6105 4 ปีที่แล้ว +4

    Kaswida

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa tumuombe allah atufanyie wepesi ktkt ndoto hizi

  • @mansullej2955
    @mansullej2955 4 ปีที่แล้ว +4

    Shehe nisaidie maana ya hii ndoto naota natua lakini sehemu yenyewe napo tua spajui zulfa mm

  • @ummyrashid1368
    @ummyrashid1368 2 ปีที่แล้ว

    Mimi niliota watu wananifukuza walipoa kuakaribu kunifikia nitokwa na mbawa nikapaa angani kama ndege

  • @salehemmanga595
    @salehemmanga595 4 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh me huwa naota napigana na watu lakini nawashinda na nikiwashinda ghafla mtu anageuka kuku na ananing'ata hii ina maana gani?

    • @khanrashidi394
      @khanrashidi394 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 maanyake utageuka kuku

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 3 ปีที่แล้ว

      😂😂🤣🤣 punguza kula mayai

    • @bnussrahlimsantah3730
      @bnussrahlimsantah3730 3 ปีที่แล้ว

      Mbavu zangu jamani😂😂😂😂😂

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 ปีที่แล้ว

    Mimi niko safari iranipo kukazi rakini paka burirewo iyo ndoto nayipata kwasana badaaye nashuka taratibu iyo ndoto yakupaa nayipata sana

  • @maryndomba7028
    @maryndomba7028 4 ปีที่แล้ว +11

    24 na 25 yangu hiyo ee Mwenyez Mungu wangu ninusuru

  • @NeemaJuma-uy6pq
    @NeemaJuma-uy6pq ปีที่แล้ว

    Mbona me namewah ota napaa kichwa juu miguu chin huku nimevaa nguo nyeupe inang'aa alafu naachiliaa km nguv Kwa watu walio chini,,,hii inaamaana Gani et shekhe

  • @abdulbarakaomarkhamisi6132
    @abdulbarakaomarkhamisi6132 4 ปีที่แล้ว +4

    Asalam alayku.naomba kuuliza kuhusu ndoto ya kucheza mpira si kw ufanisi ila kwa shida nakosea kosea tu nini maana yake.

    • @josephkiwale3495
      @josephkiwale3495 3 ปีที่แล้ว

      Bro huenda kuna mtihani mbaya mbele muombe Allah akunusuru,,hzo nikati ya ndoto zenye tafsiri mbaya mno

  • @mwanaishasalman282
    @mwanaishasalman282 ปีที่แล้ว

    Na kuota kama ndege anavyoruka Mikono imenyooka kama mbawa za ndege mwisho kabisaaaa mbinguni na sijui anaemfukuuza ni nani hii inahashiria nn sheikh

  • @habibihabibafatuma4740
    @habibihabibafatuma4740 4 ปีที่แล้ว +3

    Asalamualekum waramatulayi wabarakatu mm kilasiku naote safari ila safari aitimiyi nikwanini shehe

  • @marthaadammwakatobemwakato3039
    @marthaadammwakatobemwakato3039 3 ปีที่แล้ว

    Ukiota unakimbizwa baadae unazama ardhin inakuwa ni nini

  • @saphiajumaally1241
    @saphiajumaally1241 3 ปีที่แล้ว +3

    Jina zuri sana ulilolipa chanel yako

  • @mwana5011
    @mwana5011 ปีที่แล้ว

    Mm nkifkuzwa napotea tsee😂 kma mchawi,ama nisimame mahali sjajificha lkn mm nawaona ila hao hwanioni

  • @augustinekiprono6404
    @augustinekiprono6404 4 ปีที่แล้ว +10

    24 na 25 ni ndoto zangu hizo

  • @mwanaishasalman282
    @mwanaishasalman282 ปีที่แล้ว

    Na je kuota kufukuzwa na mambwa then kuruka mpaka kutua nyumbani inahashiria nn sheikh

  • @fatmitahdishar920
    @fatmitahdishar920 3 ปีที่แล้ว +4

    MAA SHAA ALLAH Naona ni kweli maana mm nilikua nikiota sanaa hizo ndoto zaangani na ndio nikasafiri shukran sheikh

  • @nzeyimanaally5888
    @nzeyimanaally5888 8 หลายเดือนก่อน

    Assalam alaeykum sheikh wangu mm nimeota ndoto wananimwangiya mikojo namm nikamurundishia kumwangiya mukojo nikafika naona ananikibiza nikafika naona nikapa ju

  • @aminamsulwa3543
    @aminamsulwa3543 4 ปีที่แล้ว +5

    Shekh naomba unitafsirie maana yandoto unatoka nyumbani eiza kwausalama au umegombana namume wako alafu wakati unataka kurudi nyumba yako unaitafuta lakini hauoni au unaweza kupotea kabisa wakati unaitafuta nyumba yako hii ndoto huwainanisumbua mara kwa mara hebu nisaidie tafadhal

  • @nurukiukila7862
    @nurukiukila7862 2 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa lkn natamani kujua na mimi tafsiri ya ndoto yangu nimeota ninapaa nipo barabaran ila nikiwa huko juu nakimbia na mtu ananikimbizia yeye yupo na baiskeli kawaida na ni mwanaume

  • @razakiissa4059
    @razakiissa4059 3 ปีที่แล้ว +5

    Daah allah ninusuru

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 4 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani sheikh, je inakuaje ukiota unapaa lkn ukiwa umeshikilia kitu kikubwa juu na nyuma yako unafuatwa na watu wengine wanapaa mnatua nchi nyingine sehemu ya starehe mnakusanya ela kwa watu alafu mnapaa tena kwa kujigamba inakuwa na maana gani?

  • @mwanakombofumbwe8905
    @mwanakombofumbwe8905 4 ปีที่แล้ว +4

    Na hii ndoto ya kuruka na kuingia kwenye shimo refu auekisima inamaanisha nini sheikh.

  • @natashahalipha9527
    @natashahalipha9527 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Assalamu alaikum. Mm ndoto zangu nyingi za naota nikiwa Nipo shule kila mara niposhule

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว +15

    ma sha Allah
    shekh nmekuelewa sana
    Allah akuhifadhi tuzdi kupata elimı

  • @natashahalipha9527
    @natashahalipha9527 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Assalamu alaikum. Mm ndoto zangu nyingi za naota nikiwa Nipo shule kila mara niposhule

  • @shabazulu6670
    @shabazulu6670 4 ปีที่แล้ว +3

    Naam na mm pia naota napaa nawapa usafiri wengine kutoka inchi nyingine kwenda nyingine apo naomba uniasaidie kwahilo Tafadhali

  • @fatumasuleymanashurambinda6880
    @fatumasuleymanashurambinda6880 3 ปีที่แล้ว

    Kuuota kiti namatunda maana yake ni nini 🙄🙄🙄🙄

  • @ottomwanibanza5860
    @ottomwanibanza5860 4 ปีที่แล้ว +3

    Unamaneno mengi tatizo

  • @jastinmwita3571
    @jastinmwita3571 3 ปีที่แล้ว

    Ukilala na uote unaona kondoo anapaa angani na amekuja ametua kwako ina maana gani

  • @tuliasaid3095
    @tuliasaid3095 4 ปีที่แล้ว +3

    Mm nimeota napaa angani kutoka nyumba nisio ijuwa na nakudondokea nyumbani kwetu niambie shehe ndoto yangu inamana gan

  • @goodytairo2672
    @goodytairo2672 ปีที่แล้ว

    Shehe mimi naota watu wananiambia alafu napaa hawanishiki