THE CLASSIC DAZ NUNDAZ 2: KAMANDA WIMBO BORA MUDA WOTE BONGOFLEV/ALAMNUSRA WATU WAFE/KISA CHA NIPE5

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2024
  • Sehemu ya pili ya maongezi na moja ya makundi bora ya muda wote Bongofleva Daz Nundaz wakiendelea kutupa hadithi kali za maisha na muziki wao

ความคิดเห็น • 27

  • @user-ej4hv3uw4v
    @user-ej4hv3uw4v 8 วันที่ผ่านมา +8

    Kiukweri kamanda ndo wimbo Bora wa mda wote anaebisha na abishe, Ayubu juma from kibaha🎉🎉🎉🎉🎉

    • @MadembweDickson-ur4kl
      @MadembweDickson-ur4kl 7 วันที่ผ่านมา

      Mbishi Aje mi nina fact za kutosha za kumpa

    • @idarousomar1
      @idarousomar1 5 วันที่ผ่านมา +2

      Kabisa bro ila kwangu Barua ndio wimbo bora wa muda wote

    • @official_lionboy_tz
      @official_lionboy_tz 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa kaka, wimbo huo ulikuwa na heshima kubwa

  • @barnabaschars1637
    @barnabaschars1637 7 วันที่ผ่านมา +5

    Feruz nilisikia tangu shule alkuwa mkali sn wa mashairi,he is very talented lkn game ya Bongo haiko fair

  • @SaleheAdamu-vv1fq
    @SaleheAdamu-vv1fq วันที่ผ่านมา

    Daah mabrother wanamastory nimefurahi sana kuwasikia aisee.

  • @claraellias6654
    @claraellias6654 8 วันที่ผ่านมา +4

    Tatu bora yangu
    Mtazamo 3
    Kamanda 2
    Chemsha bongo 1

  • @richpaullzproductions
    @richpaullzproductions 4 วันที่ผ่านมา

    Namba 5 my best song everlasting hit

  • @user-rm5bj2uj5g
    @user-rm5bj2uj5g 6 วันที่ผ่านมา +2

    Rashid kaombwe aka la rumba bab kubwa sana

  • @wilbertjosephat1615
    @wilbertjosephat1615 7 วันที่ผ่านมา +3

    Feruz mnyama sana hata kujieleza yupo vizuri

    • @Eliabennet
      @Eliabennet วันที่ผ่านมา

      Imagine na yupo smart sana

  • @businesstanzania
    @businesstanzania 7 วันที่ผ่านมา +1

    lalumba ana kerere sana

  • @valencenkulanga9118
    @valencenkulanga9118 7 วันที่ผ่านมา

    Nakubaliana nao Kamanda ilikuwa na mchango kwenye mabadiliko ya mitizamo juu ya muziki wa bongo flavour.
    Mkasa wa boss reminds me my late mother,kaisikia usiku,asubuhi ananiambia vijana wanajua kuna mtu kalalamika kweli.Nikajisemea kweli bongo inakubalika sasa

  • @gadyjohn3815
    @gadyjohn3815 6 วันที่ผ่านมา +2

    Nipe tano verse ya mwisho kuna mnyamwezi kachana sana, ndio verse yangu pendwa, niko simple kama x busy kama tax, lakini nashangaa hajaongelewa.

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 8 วันที่ผ่านมา +2

    Big up to Jabir uko vizuri

    • @Nyanda506
      @Nyanda506 7 วันที่ผ่านมา +1

      Wasanii wa zamani walikuwa wanawaza sana kwenye kutunga ..Nyimbo zao huwa haziishi radha na mafundisho kama kamanda Duh

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  7 วันที่ผ่านมา +1

      Salute sana

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 7 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli kabisa

  • @yusufsuwi5350
    @yusufsuwi5350 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ila feruz ana saut tamu sn daa

  • @mohamedrashid6578
    @mohamedrashid6578 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ivi umeisahauje jahazi la daz ?

  • @user-vq3vj4ih6x
    @user-vq3vj4ih6x 7 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli

  • @shabanihussein6329
    @shabanihussein6329 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ndio

  • @maneno-my4lu4dt8i
    @maneno-my4lu4dt8i 7 วันที่ผ่านมา +1

    Tano bora yangu
    1.chemsha bongo
    2.Kamanda
    3.Starehe
    4.Zali la mentali
    5.Barua

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 3 วันที่ผ่านมา

    Feluz ndie bdo ana kit2

  • @gadyjohn3815
    @gadyjohn3815 6 วันที่ผ่านมา

    Nipe tano verse ya mwisho kuna mnyamwezi kachana sana, ndio verse yangu pendwa, niko simple kama x busy kama tax, lakini nashangaa hajaongelewa.

    • @user-ho7lz2mr5x
      @user-ho7lz2mr5x 5 วันที่ผ่านมา

      Yap jamaa anaitwa SAJO aka CHUPA