THE CLASSIC DAZ NUNDAZ: HISTORIA YA DAZ NUNDAZ/KUTOSWA NA MAJANI NA KURUDI/MAJI YA SHINGO/WA KWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kuvi mwanetu uko deep sana kwenye hip hop &rap! .. hawa wanetu wa DAZ wamenikumbusha mbali sana, enzi ya kuchill posta mshatoka Tanganyika Library mida flani ya jioni mnaskilizia sketi za Jite na Forodhani! Pale konda kupigwa mitama ilikua kawaida tu enzi za ma dcm bado zamoto sana

  • @Sebastianrichard253
    @Sebastianrichard253 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hakika wasanii wa zaman walikuwa kwel kioo cha jamii japo kwa sasa wachache bado wanawakilisha but all in all big up u did very good music at your prime

    • @msakadoobongeladada-uh3sk
      @msakadoobongeladada-uh3sk 2 หลายเดือนก่อน

      @@Sebastianrichard253 yaani ni WA Moto Hadi sasa ttzo ni wadau wa music Kwa sasa hatuskiliz good music Bali kelele na kuzipa big promo ndio tunawapoteza wenye mziki mzuri km daz nundaz, wagosi wa Kaya, mandojo na domo Kaya, kuna sugu n.k hata video za sasa haziendani na maudhui ya mashairi Yao kabisa

  • @mediking8611
    @mediking8611 3 หลายเดือนก่อน +6

    La Rhumba noma sana. Na anasound kama sugu enzi hizo nilijua ni sugu kwenye nipe tano

  • @SkabaSkuba-j5g
    @SkabaSkuba-j5g 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo shuka rymes ilikuwa zawad kutoka kwa pfunk baada ya kuwakataa aisee iyo hatar ukiacha iyo kuna maji ya shingo remix hatar kuna nitafanya nn sasa mm nilinunua albam nikiwa mdogo sana

  • @januarylyambuzi1718
    @januarylyambuzi1718 2 หลายเดือนก่อน

    leo ndio nimejua ile verse ya nipe 5 hakuimba sugu

  • @vincentmaholo9179
    @vincentmaholo9179 3 หลายเดือนก่อน +5

    Respect sana manundaz...respect daz mwalimu...alikuwa school mate wangu jitegemee (jite-wutang). Respect kwa nyundo zao zote hakuna unayoweza kui undermine, ila kwa Leo naomba watu wautambue wimbo wao unaitwa "shuka rymes" ni balaa kuliko kawaida...naamini watu wengi sna hawajawahi kuusikia.
    Much respect!

    • @HammyVanmaarifa
      @HammyVanmaarifa 3 หลายเดือนก่อน +1

      Daah Ile kopo ndo funika bovu kuliko nyimbo yyt aisee goma linaamsha sanaaa

  • @SilajiHamani
    @SilajiHamani 2 หลายเดือนก่อน

    Kwelinnakubari.mzazi

  • @adinanfauzu8988
    @adinanfauzu8988 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanzaaaaaa❤

  • @OmegaThreads
    @OmegaThreads 3 หลายเดือนก่อน +3

    Much respect #kuvifacts

  • @rashidomar1558
    @rashidomar1558 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kipindi pendwa sana ....Big presenter Jabir

  • @MadembweDickson-ur4kl
    @MadembweDickson-ur4kl 3 หลายเดือนก่อน +2

    Muziki Tanzania Mwisho 2003 sasa ni Top shelf

  • @luqmanmohamedy3860
    @luqmanmohamedy3860 3 หลายเดือนก่อน +2

    Daz bado anakula ngada

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 3 หลายเดือนก่อน +2

    La rhumba alikuwa mkali sana

  • @defantasticacomedy6366
    @defantasticacomedy6366 2 หลายเดือนก่อน

    Ttz mapresenters wetu wanaongea sana kuliko wanaohojiwa

  • @cliffordathanas2957
    @cliffordathanas2957 2 หลายเดือนก่อน

    Verse ya marehemu pablo ndiyo ilikuwa kali kuliko zote.

  • @salumsalum8866
    @salumsalum8866 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa Daz Alikuwa Mandul mob yy na Temba ila akaambiwa achague Ndio akaenda Daz nundaz.sasa tulipokua Jite wote school Siku inapigwa hio Nyimbo ndio shule nzina wakajua Kwamba David nyika ndio Daz baba.Had mwalim mkuu alishangaa

    • @ChegeMsemakweli-cv4qb
      @ChegeMsemakweli-cv4qb 3 หลายเดือนก่อน

      Yule wa manduli mobb sio daz baba yule ni daz p

    • @salumsalum8866
      @salumsalum8866 3 หลายเดือนก่อน

      @@ChegeMsemakweli-cv4qb Ndio namjua sana m nimesoma na David nyika darasa moja jitegemee mpaka madaftar mengine yake yapo geto.ndio walikua watatu DAZ P. DAZ BABA.TEMBA.DAZ P SI ALIIMBA KAMA UNATAKA KUJA HOME BEBY

    • @salumsalum8866
      @salumsalum8866 3 หลายเดือนก่อน

      @@ChegeMsemakweli-cv4qb We uwon class mate kajala.ndio p funk anakuja Jite kwenye concet anamuona kajala alikuwa miss Bantu P anamtuma sasa RICH ONE Amfanyie mpango ndio kampata

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mm naombeni kuuliza nani alianza ile verse ya kwanza ya ngoma ile ya kamanda??????!!!

  • @GraceKombe-ub2pk
    @GraceKombe-ub2pk 2 หลายเดือนก่อน

    Larumba ni noma san jmn ule mstari wake kwenye nipe tano ni faya

  • @Fogaster1
    @Fogaster1 3 หลายเดือนก่อน +4

    Maswali ya kawaida mnoo, tatizo watangazaji wengi hawajui historia za watu hao, kutafuta watu wanaojua ili kuwapa madini,taasisi inahitaji vitu bora, wanaona kama wakimchukua Iddy Mwanaharamu atatajirika vile, lakini Majizo akimjua Iddy nna uhakika atafurahi....

    • @shafiisigera
      @shafiisigera 3 หลายเดือนก่อน

      Hili swala nililiona hata kwenye interview ya Pfunk, Ni maandalizi tu, hata story za kutaka kusikia kitu gani, unakuta msanii kama hayupo aware ataulizwa issue gani,

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  3 หลายเดือนก่อน +5

      Njoo wewe na Iddy pia mfanye kaka ntawaachia kiti hiki mkuu

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  3 หลายเดือนก่อน +7

      Karibu na ww uje uulize kaka vzuri ukitaka hii nafasi nakupa hata uwe guest presenter 😀

    • @geofreymgeni2668
      @geofreymgeni2668 2 หลายเดือนก่อน

      Wivu sasa

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 3 หลายเดือนก่อน +1

    Most underrated talents

  • @evaristkobelo3936
    @evaristkobelo3936 2 หลายเดือนก่อน

    Larumba alitisha michano ilieleweka sama

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 2 หลายเดือนก่อน

    Unajua interview inahitaji umakini sana kujibu nakatika kujibu ferouz anajua kujibu sana

  • @IddMussa
    @IddMussa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Daz nundaz vipaji vilikua vikubwa lakn vimeharibiwa na mihadarat

    • @OmaryMgonja-eb4qr
      @OmaryMgonja-eb4qr 2 หลายเดือนก่อน +1

      Acha uongo..mfano hapo nan umeona anatumia mihadarat...a ha story za kuambiws

  • @SilajiHamani
    @SilajiHamani 2 หลายเดือนก่อน

    Nazi.nundazi.nawakubarisana.

  • @ChomaDeodatus
    @ChomaDeodatus 2 หลายเดือนก่อน

    Nasikia kwa mbali hapo Nas is the name

  • @munnadulle3558
    @munnadulle3558 3 หลายเดือนก่อน +3

    one love

  • @Shafi-sd7om
    @Shafi-sd7om 2 หลายเดือนก่อน

    Alianza verse ferooz

  • @sobelastsobe
    @sobelastsobe 2 หลายเดือนก่อน

    Larumba aliua sana

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila daz akili yake haipo hapo😊...

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 3 หลายเดือนก่อน +2

      Yuko sawa ispokua yuko hivyo sku zote mtaratibu mnoo

    • @ramamabrok2523
      @ramamabrok2523 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @ramamabrok2523
      @ramamabrok2523 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @msakadoobongeladada-uh3sk
      @msakadoobongeladada-uh3sk 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@FahadAbubakari kweli namfuatiliaga Sana huyu broo Yuko Sawa

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@msakadoobongeladada-uh3sk ujue kila mtu kaumbwa namna yake wengine si fasaha sana kuzungumza

  • @zakariarichard3319
    @zakariarichard3319 3 หลายเดือนก่อน

    Jaje mkongwe uwaje koo kunitambuu au jaje
    Nakudawia tu mkongwee

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  3 หลายเดือนก่อน +1

      jaje hebu nambia kwanza 🤣