SAVIMBI: Mpigania Uhuru Wa ANGOLA, Aliyezikwa Kama Mbwa!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • SAVIMBI: Mpigania Uhuru Wa ANGOLA, Aliyezikwa Kama Mbwa!
    Dk.Jonas Malheiro Savimbi ni msomi wa Chuo Kikuu ngazi ya PHD aliyejitengenezea sifa mbaya zaidi Afrika kiasi cha baadhi ya watu kudai kuwa hakuutendea haki usomi wake.
    Alifanya mambo mengi mabaya sana kwa nchi yake,aliua wananchi wasiona hatia nchini Angola kutoka na uasi wake kwa Serikali licha ya ukweli kwamba yeye alikuwa ni mmoja wa wapigania uhuru wa taifa hilo kutoka kwa Mreno.
    #HISTORIAYASAVIMBI
    Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter:
    GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

ความคิดเห็น • 680

  • @reginambawi7103
    @reginambawi7103 5 ปีที่แล้ว +168

    we mtangazaji ni konki konki unajuwa kutangaza ata mtu uwe kilaza vipi lazima uelewe me nimeoma moja tu ile ya idiamin nikanogewa like hapa kama umemkubari uyu jamaa uko vizuri saaaaaanaa

    • @hakimwaipaja2202
      @hakimwaipaja2202 5 ปีที่แล้ว +3

      Nakuelewa vizuri

    • @dominicthomas2942
      @dominicthomas2942 4 ปีที่แล้ว +2

      Dah unatuelimisha Sana vijana mungu akutie nguvu

    • @niwemugenimediatrice5640
      @niwemugenimediatrice5640 4 ปีที่แล้ว

      @@dominicthomas2942 Jaman mtoto huu mtangazaji wangu nani kamzaaa?Nnakupenda sanaaaaa!Much love from ......far

    • @hamisisaidi9069
      @hamisisaidi9069 27 วันที่ผ่านมา

  • @mandiahozza5253
    @mandiahozza5253 5 ปีที่แล้ว +116

    Wew jamaa umezaliwa tu kwa ajili ya utangazaji hakika unajuw 👏👏👏👏👏👏👏

  • @halakedida1944
    @halakedida1944 5 ปีที่แล้ว +19

    You are blessed with a strong voice. Na hiyo ni talanta.

  • @rasheedmuslih3142
    @rasheedmuslih3142 5 ปีที่แล้ว +43

    The best narrator in Tanzania ever

    • @Rapidscity
      @Rapidscity ปีที่แล้ว

      We need a kenyan savimbi in kenya

  • @thaubannaftali1439
    @thaubannaftali1439 5 ปีที่แล้ว +180

    Nimependa utangazaji wako,hongera sana,hiyo ndo aina ya utangazaji ambao uleta hamu ya kusikiliza

  • @helderchimbalandongohelder7475
    @helderchimbalandongohelder7475 4 ปีที่แล้ว +4

    I don't speak swahili, Savimbi is not what the media tells, he was a wise man

  • @nyambinyambi4781
    @nyambinyambi4781 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kunifahamisha kitu

  • @aslamchannelonline3541
    @aslamchannelonline3541 2 ปีที่แล้ว +1

    Denis Mpagaze
    Edgar Ananias
    Abdallah Mtiga
    Wafanya kazi tamu sana

  • @saminaedward8805
    @saminaedward8805 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kaka kwa usemaji wako yaaaan unatoa bashasha ktk maneno 👊👊hongera sana 😊⚘

  • @yustochitema1131
    @yustochitema1131 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kamanda, hadithi yako inavutia sana na haichoshi kusikiliza, somo kubwa hapa ni uroho wa madsraka, huu ni ugonjwa sugu kwa viongozi wengi wa kiafrika

  • @zabibualy2832
    @zabibualy2832 4 ปีที่แล้ว

    Sijawai kujuta kukusikiliza hongera kwa kipaji.nimejifunza mengi xana shukrani.

  • @isaacnewton1516
    @isaacnewton1516 5 ปีที่แล้ว +4

    Mgala muuwe haki umpe. Edgar ndugu kazi nzuri. Mkenya mimi lakini lazima nisikize hizi simulizi. Hongera sana.

  • @daviddanford5620
    @daviddanford5620 5 ปีที่แล้ว +3

    Mjamaaa keep it up one day Dunia itatambua uwepo wako. Unajua Sana kupangilia maneno🙌🙌

  • @piusishengoma4835
    @piusishengoma4835 5 ปีที่แล้ว +2

    You are the best Historian ....

  • @nicholouszubakwa2045
    @nicholouszubakwa2045 5 ปีที่แล้ว +1

    Big up muandaaji wa historia hii DENIS MPAGAZE na mtangazaji mwenye weredi wa juu

  • @allainnzbnt2764
    @allainnzbnt2764 4 ปีที่แล้ว

    Asanteni kwa kazi

  • @samsonnzisabira768
    @samsonnzisabira768 5 ปีที่แล้ว +6

    Ananias Edgar, nafurahia sana kazi yako na utangazaji wako,you ,re the best, I assure you!!!

  • @zenamshana6852
    @zenamshana6852 3 ปีที่แล้ว +2

    Sijui kwann ukishaonja kusikiliza hizi simulizi za huyu kaka unashangaa ww kazi yako nikuendelea tu ,,

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 5 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri mtangazaji , unatangaza vizuri sana kiasi hata msikilizaji unapata hamu ya kuendelea kusikiliza ! Hongera sana and keep it up

  • @johnsonjohn8590
    @johnsonjohn8590 5 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante sana mtangazaji uko vizuri

  • @isitaempirefilms6227
    @isitaempirefilms6227 3 ปีที่แล้ว

    Much respect blood your talented napenda kufannya kama wewe but sijui nafanyaje aiseee

  • @TechAfrica
    @TechAfrica 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa Historia hii nzuri kabisa, big up sana

  • @husseinsalum7225
    @husseinsalum7225 5 ปีที่แล้ว

    Kaka uko vzuri sana unatangaza vzuri mungu akubariki zaidi katika kazi yako inshaallah

  • @hadija846
    @hadija846 3 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda bure mtangazaji😘👍💯😍

  • @DIweni
    @DIweni 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana

  • @salumuomli5430
    @salumuomli5430 4 ปีที่แล้ว

    safi sana baba unajua xanaa

  • @ibrahimmafuru5026
    @ibrahimmafuru5026 5 ปีที่แล้ว +2

    Napenda xana utangazaji wako brother umetisha kama unamkubali gonga like twende mbele

  • @emanuelmlelwa3912
    @emanuelmlelwa3912 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwa utangazaji bora

  • @petjoseph
    @petjoseph 5 ปีที่แล้ว +3

    i love your utangazaji

  • @edsondaudi2759
    @edsondaudi2759 2 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda

  • @elisamehecharles5432
    @elisamehecharles5432 5 ปีที่แล้ว

    Ogaaah! Hii tamu sana hii nimeipenda BARIKIWA

  • @ferdnandkakorogo1674
    @ferdnandkakorogo1674 5 ปีที่แล้ว

    hongera sana msimulizi na mtayarishaji wa historia hii,ama kweli kiswahili kina ladha

  • @ericktonny9011
    @ericktonny9011 5 ปีที่แล้ว +5

    Mtangazaji uko vizuri Sana hongera

  • @Omosh003
    @Omosh003 2 ปีที่แล้ว

    HISTORY IS MEDICINE,,,, HERE IS PROOF.............BIG UP EDGAR NA MPAGAZE........LIVE LONG MY BROTHERS FROM ANOTHER MOTHER

  • @judthallan8708
    @judthallan8708 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unatutendea haki kwakweli hongera sana

  • @bahatisamwel1147
    @bahatisamwel1147 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji anavutia sana, hongera xn@Ananias

  • @kinanageneral
    @kinanageneral 5 ปีที่แล้ว

    Na Sasa hii ndio njia sahihi ya kufundisha na kukumbusha history hongera sana

  • @hillarymuriuki7856
    @hillarymuriuki7856 5 ปีที่แล้ว +2

    aisle Edgar! Fantastic commentator!!!

  • @kikongajoel2693
    @kikongajoel2693 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana global mpo vizuri Sana

  • @allykirunginyamka9171
    @allykirunginyamka9171 3 ปีที่แล้ว

    Dennis Mpagaze na Ananias Edgar,Big up sana nakala zenu nazifuatilia sana.

  • @rahimahasan5151
    @rahimahasan5151 5 ปีที่แล้ว +2

    💕💞 yaan hadi raha kusikiliza mtu na kipaji chake maShaaAllah sio km watangazaj wa siku hz maneno meeeengi point ya maana inakuja mwishon

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 5 ปีที่แล้ว

      Rahima Hasan habib na wewe ❤️❤️😘😘

  • @bensontowett2974
    @bensontowett2974 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @lourencoernestozimila229
    @lourencoernestozimila229 4 ปีที่แล้ว

    Obrigado

  • @arnoldraphael1294
    @arnoldraphael1294 5 ปีที่แล้ว +1

    Narrator uko vizuri sana sana unajua kazi unayoifanya bro, hii chanel nlikua nineacha kuaingalia tulikua tumechoka kila siku stor za daimond na kiba tu, mara wema sepetu na utumbo wao sasa ntaanza kuwafuatilia coz ya huyu narrator umenivutia sana afu unaonge vitu vya kweli kabisa, one love bro

  • @kagemulo8094
    @kagemulo8094 5 ปีที่แล้ว

    hongera sana kwa kipaji cha utangazaji

  • @jephutantigwanamba6923
    @jephutantigwanamba6923 5 ปีที่แล้ว

    Upo sawa sawa kaka kwa utangazaji hakika unajua na unashule ya history

  • @kikomekobigabirasankarathe719
    @kikomekobigabirasankarathe719 3 ปีที่แล้ว

    Hio kipaji chako Mr.Ananias ni kutoka kwa MUNGU, hongera sana

  • @stephenmulwa2044
    @stephenmulwa2044 4 ปีที่แล้ว +1

    Good job, today have learned history I never knew of, keep up the work👍

  • @ezequielsakupalica2050
    @ezequielsakupalica2050 5 ปีที่แล้ว +1

    I didn't understand to much but it's was so profound. 😧
    Cause I'm from Angola, and I know almost anything about Angola history, you know my country!
    But I see that you get more importance to our history than us.
    And I welly appreciate that, we don't even care about our Mather Tongue language.
    Hi thanks man. 😥👌

  • @phalesphilipo6877
    @phalesphilipo6877 4 ปีที่แล้ว

    uko vizuri sana

  • @jeanibho6464
    @jeanibho6464 5 ปีที่แล้ว

    Waohhh very good... story nzuri san

  • @ellykimu9288
    @ellykimu9288 5 ปีที่แล้ว

    hongera sana global tv ila wekeni matangazo mwisho na mwanzo hapo kati tuachien utamu wa simuliz

  • @godlembao2688
    @godlembao2688 4 ปีที่แล้ว

    Atariii xana savimbii history

  • @horacekaaya9945
    @horacekaaya9945 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda mkuu funzo nzuriii

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 5 ปีที่แล้ว +1

    unajua sana utangazaji brother hongera kwako

  • @ebbymbao1736
    @ebbymbao1736 4 ปีที่แล้ว

    nice voice🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @naseemjeddah8042
    @naseemjeddah8042 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว

    Dah Savimbi angekubali matokeo ya uchaguzi akaungana na serikali kujenga uchumi wa Angola, na kuwapiga mabeberu Angola ingekuwa mbali sana

  • @fabianimbilinyi651
    @fabianimbilinyi651 5 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana simulizi lako brooo

  • @mdomani2404
    @mdomani2404 5 ปีที่แล้ว +19

    Daaah Kwa Kipind iki ningekuwa shule ningepaform somo LA history😆😆kaka uko vzr

  • @elickykibet3079
    @elickykibet3079 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Ananias

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 4 ปีที่แล้ว

    Jaman jamani Hii kitu naomba muendelee kuitoa nashangaa kwann mliacha kutoa historia hizi naomba mwendelee na matukio mbali mbali sisi Tutaamia huku maana zile za upande wa pili ni Utopolo siku hzi.. Mtangazaji una sifa zote safi sana

  • @solomonk.chivile4390
    @solomonk.chivile4390 5 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana. Nimeelimika daaah

  • @dannymoses1882
    @dannymoses1882 5 ปีที่แล้ว +2

    Yani we jamaa nakubari Sana utakazaji wako 👏👏👏👏

  • @chausikuelias8357
    @chausikuelias8357 4 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa mungu kuzaa mtoto wa shetan

  • @kenos1185
    @kenos1185 2 ปีที่แล้ว

    Boss umetoa savimbi ninae mjua uko sawa

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 4 ปีที่แล้ว

    brother upo vzr

  • @claudyngonyani1521
    @claudyngonyani1521 5 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri sana

  • @maireshmamu4328
    @maireshmamu4328 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaani mtangazaji nimekupenda bureeeee uko vizuri sana

  • @kaltokalto9110
    @kaltokalto9110 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazi Uko vizuri

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 3 ปีที่แล้ว

    Ananias edgar👏👏👏

  • @bashirisalumu8612
    @bashirisalumu8612 5 ปีที่แล้ว

    Sauti nzuri unasoma kwa vituo ..uko juuu

  • @jensenmuro7331
    @jensenmuro7331 5 ปีที่แล้ว +2

    Uko vizuri mtangazaji

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini4158 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka mtangazaji

  • @massmedia8711
    @massmedia8711 5 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri MZEE baba

  • @florarog548
    @florarog548 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana mtangazaji uko juu, yaani hata mtu hawezi kuchoka kukusikiliza

  • @DrKuzack
    @DrKuzack 5 ปีที่แล้ว

    History nzuri

  • @Thuon_
    @Thuon_ 5 ปีที่แล้ว

    Sauti nzuri kweli kweli.

  • @charlesalexnjenga
    @charlesalexnjenga 5 ปีที่แล้ว

    Hongera Bro kwa utangazaij wako, safi sana bro

  • @ferdinandemilyilungu4819
    @ferdinandemilyilungu4819 2 ปีที่แล้ว

    Congrats

  • @faidaongala8654
    @faidaongala8654 5 ปีที่แล้ว

    Una sauti nzuri

  • @emmanuelobondo6510
    @emmanuelobondo6510 4 ปีที่แล้ว +1

    Savimbi is a lion

  • @nassorsuleiman7336
    @nassorsuleiman7336 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akurehemu uko vzr sasa

  • @edwardisack1890
    @edwardisack1890 5 ปีที่แล้ว

    Hadi rahaa unatangaza vizuri hongera

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 5 ปีที่แล้ว +3

    SAVIMBIIIIII big name in Africa

  • @husnatgamaah1335
    @husnatgamaah1335 5 ปีที่แล้ว +10

    Global Tv huyu mtangazaji ni noma aiseee msimuachie anatangaza vizur mnooo

  • @masoshikisangabenaangola8018
    @masoshikisangabenaangola8018 4 ปีที่แล้ว +1

    Savimbe the lord of war, this man love to sher blood

  • @jameskyejo6864
    @jameskyejo6864 4 ปีที่แล้ว

    Hii hadithi ingekua nzuri kama unge balance story; umekua negative against Savimbi mwanzo mwisho. Kuna watu wana m support Savimbi na hatujafaria na one sides story uliyoileta hapa

  • @bravinmecko9613
    @bravinmecko9613 5 หลายเดือนก่อน

    All the way from+254 kazi safi

  • @manmacho6529
    @manmacho6529 5 ปีที่แล้ว +2

    good

  • @mwoghamasatu7091
    @mwoghamasatu7091 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika simulizi ni nzuri sana

  • @fettyrashid9827
    @fettyrashid9827 5 ปีที่แล้ว +2

    asanteee mtangazaji.

  • @babaivan2514
    @babaivan2514 5 ปีที่แล้ว +2

    nice voice

  • @goo6341
    @goo6341 4 ปีที่แล้ว

    I sayyyy.... Kaka Edgar Uko juu!!!

  • @laikahaji4453
    @laikahaji4453 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni wote waandaaji

  • @munisigoodlucky7546
    @munisigoodlucky7546 5 ปีที่แล้ว

    Afria Africa Africa ilove you africa

  • @graytonndamgoba4805
    @graytonndamgoba4805 5 ปีที่แล้ว +29

    Ananias ,you are such narrator bro. I bet you will do good narrating local documentaries bro.keep it up

  • @felixjeremy
    @felixjeremy 5 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru sana elimu unayotupa kuhusu bara letu la Afrika. Kweli Africa kalaaniwa na kujaa ujinga. Mungu aturehemu

  • @fredmankaingu4172
    @fredmankaingu4172 5 ปีที่แล้ว +5

    Buda unahabari zenye wengi hatuna....mungu akuongezee nguvu na maisha marefu bila kusahau mapato

  • @hanafispesho7007
    @hanafispesho7007 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana