Muandaaji Denis, na msimuliaji Annanias kazi yenu iko poa sana. Nimeangalia historia ya Mobutu na ile ya akina Nguema zote ziko correct but nimeona kuna TV channel moja inajaribu kuiga mnachofanya wanatuletea habari zisizokamilika na zenye mapungufu. Nyie piga kazi na endeleeni kutafiti na kutuletea habari zenye usahihi (Reality, Quality & Consistent)
Kaka denis una jua aise napenda sana historia na una jua kuhadithia historia na ahidi kusaidia sambaza kazi zako ili watu wapate kupata elimu ya kihistoria zaidi Jah bless i and i
Masimulizi mazuri ila tu, mungu tusi muite sir God, maanake hilo jina sir linatokana na tukio la kusalimiwa na malkia wa uingereza. Sina ufahamu kama mungu alisha msalimu malkia elizabethi ndipo aitwe sir.
aaahh...bona Napenda sanaa. Huu niukweli kabisaa. Juses was black & a rastaman & the Lion of Judah is YET 2come, He will come from MtZion(MtKenya) from the tribe of Judah(kikuyu)....amiini usiaminii huu ni UKEWLI. Wa Afrika wazidii kuamukaa kwanza kwa ubongoo
GOD IS GREAT TO HAAHCHUE (GOD) YOU TOLD ME PERSONALLY THAT WHEN YOU WANT TO TEACH SOMEBODY A LESSON THAT YOU MUST HIT THEM WHERE IT HURTS WHICH IS IN THEIR POCKETS SO I CAN'T UNDERSTAND WHAT YOU''RE DOING WITH THESE PEOPLES NAMES WHO WHERE CALLED SIR GOD IS GREAT
Muandaaji Denis, na msimuliaji Annanias kazi yenu iko poa sana. Nimeangalia historia ya Mobutu na ile ya akina Nguema zote ziko correct but nimeona kuna TV channel moja inajaribu kuiga mnachofanya wanatuletea habari zisizokamilika na zenye mapungufu. Nyie piga kazi na endeleeni kutafiti na kutuletea habari zenye usahihi (Reality, Quality & Consistent)
Hahahaha badala waje na kitu kizuri zaidi yetu
Tena hicho ki chanel jamaa hawezi kitofautisha R na L wanaboa sana ila huyu jamaa annanias anaonekana yupo ki profeshno zaidi
Asante Muddy
Hakika Nawakubali sana hawa jamaa Channel yenu imetulia....
Safi sana
simulizi za huyu jamaa ni kama historia zilizofanyiwa Research..kama unakubali hilo gonga like
Ally Mchomvu : DENIS MPAGAZE upo vizuri sana kaka HONGERA M/MUNGU AKUPE AFYA NJEMA
sina uhakika kama bustani ya eden ipo afrika
Yupo vizuri hakuna siri chini ya jua
Pamoja sana
@@adamringo9608 iko wapi naumasikini wafrika
Hii ndio channel yenye uelekeo sio za kujadili maisha ya mtu na demu wake. Appreciate you Global Tv
Ndumy Oldivai hahaa
Ndumy Oldivai kabsa
Ndumy Oldivai ahsante
Kweli kabisa sijutii kununua bando kila linapokata
Pwaahaaa
Man!!! your narration conquers mind as if you are watching documentary !!!! This is what we call a talent.once again thumbs up bro!!!
Was about to type the same....This guy..i nver heard him bfo though
Where did he get this information from since I can't seem to find what he's saying anywhere about his death?
Omg we need more of this...i ve enjoyed it so much...kiswahili kitamu aisee
milly vegan
Kweliii
kaka Denis hata km mm ni bingwa wa kunukuu maandiko matakatifu kwako nasalute
Hahahaaa
Uyu jamaa anajuwa kutangaza hadi mtu anaelewa good job kaka hongera 😘😘😘
Tangu nimfahamu Denis Mpagaze nimebadilika sana kifikra,naona pia matunda yake tunayafaidi wengi, God bless you
Asante sana.
Huyu jamaa hata mimi video zake zimenisaidia sana ndio maana Nina video zake zaidi ya mia tano
Hongera kwa uwezo wako wa Ufafanuzi wako,Nakushauri Soma hii historia ya kush vizur zaidi,Nabii hafi Haile SelassieI anaishi
Yupo Hadi Mjukuu anaitwa Zara Yakuob! ndg msimuliaji
"Unajua Kizungumkuti Cha Africa Ni Kutotunza Kumbukumbu".....#TruthAndFacts.
Nzuri
Kamaunawakubali global gonga like hapa
Mi siwakubali ila namkubali Ananias 🙌
Mpagaze bwn ananipaga starehe mazee, ila asitoe namba za simu anaweza aninyang'anye mke maana sio kwa kumzingua huko...
Mpagaze bwn ananipaga starehe mazee, ila asitoe namba za simu anaweza aninyang'anye mke maana sio kwa kumzingua huko...
Uko vzr san Edgar
Official gatende S.L.M.T
Rest in Peace Gabri Haille Sellasie....Msimuliaji Big up👏👏👏👏👏
Kaka denis una jua aise napenda sana historia na una jua kuhadithia historia na ahidi kusaidia sambaza kazi zako ili watu wapate kupata elimu ya kihistoria zaidi
Jah bless i and i
Man I can subscribe this Chanel a million times...😂😂😂 safi mpagazi
a fun from kenya..good analysis
Kweli umenifurahisha ningekuwa waziri wa elimu ningechota baadhi ya information nakuziweka kwenye mtaala wa tz. Endelea na utafiti. Asante sponsor
Syo kuwa kuaminiwa Yesu alikuwa mweusi. Kwa historia ya bibilia yesu alikuwa mweusi. Someni bibilia msiangalie na kutazama senema za wazungu.
Hakika ndugu hawa wazungu wanatupotosha sna
They write and tell African children what they aint know, His Majesty did dont die like that
Yesu kuwa mweusi inatusaidia nini sisi watu weusi?
@@hamisibakari5249 ujue kuwa yote yanayosemwa ni uongo
@@hamisibakari5249 hatujui hebu muulize Yesu.. una maswali za kishenzi kweli. Ngamia wewe
Have learnt alot of history of africa from LISTENING yu..CONGRATS..asante kwa kazi njema
Dah mwanamke haezi kumkubali ziro playni hakika Kaka mungu akupe afya kaka
I believe in a Jah!! and love Christopher Columbus all the time of my breath.
nafurahia Sana anaomba history ya rais jakaya.
najifuza mambo mengi sana.
Nice narration sir keep up the good work JAH blessings
Wow wow nice voice nimekupenda bure
Xawa
Nimeipenda sana hii simulizi, na msimuliaji anastahili kupewa sifa anajua jinsi ya kuelezea.
Love ikiwa ni talee 29 12 2020 naiskiliza kama tuko wengi tujuane kwa like jamani
Jah bless I..
And I Selassie.
Jah Rastafari.
😂😂😂
Unatangaza vizur mpk unanivutia sana kukusikiliza
Kutangaza vizuri lakini vingine oungo!!!!
Hana issue njaaaa nyingi
nabii
Excellent narration keep it up bro from 🇰🇪🇰🇪
Historia nzuri saaana. Shukran Ananiasedgar & Denis mpagaze. 💛👌🏽
Tunashukuru mkuu
Asante sana.
You talk slowly making listeners to have that attitude of listening... You are dope +254 you rocking hive likes we move together...
Alisema yesu alikuwa mweusi lakini picha akaonyesha za mtu mweupe! Cesare Borgia.
Mshkaji we ni msimulizi kweli kweli
Ht story iwe mbaya vipi kwa namna unavyoihadithia inapendeza sana
Asante sana.
Golden voice this is your blessing gift.
Wazungu siwapendiiiiii Kwa kweli yaaani sio watu kabisaa
Kabisa hawa watu weupe wapumbavu sna kwani wanatukwamisha sana mm pia wazungu siwapend sna
Ndo kaanan ao
Wanatuita nyani utadhani walituumba wao
Unazungumzia ukwl na maisha ya wazi dunian...Africa tumerogwa na uchawi unaitwa upofu wa fikra...
You deserve a medal. You are so inspiring with these story. I like you alot and its my first episode.
Am from Kenya and you really need a troppy for your good job
Asante kwa hadithi nzuri
Give Thanks mi Brothren, May Jah blessings upon to I & I
Upo vizuri
we love how you give us new information
The voice of the narrator is so amazing.inaweza toa nyoka pangoni🇰🇪🇰🇪
THIS is good initiative to preserve Africa in live presentation! BIG UP...!
Rasta bless I and i
historia nzuri sana i learn a lot about rasta.......i must be a rasta akili ni nywele
Masimulizi mazuri ila tu, mungu tusi muite sir God, maanake hilo jina sir linatokana na tukio la kusalimiwa na malkia wa uingereza. Sina ufahamu kama mungu alisha msalimu malkia elizabethi ndipo aitwe sir.
Daaah nilikuwa sijuagi ,mmenifahamisha Aisee nice online tv
we need more of this kazi nzuri sana pia sauti nzuri kwa simulizi...
Fan wa jalas ako hapa
@@antonyorito7337 😂😉😂😂👐nakwambia kwa mpigo zaidi
Uko na email nikucontact?
Unafanya nini huku Nzisa
@@tarrusbigman4919 😂😂nasikiliza napenda such stories
Kiukweli brow uwezo wako ni mkubwa mno...big up my brow
This Generation Needs Brejins Like You!!! Don't Stop The Good Vibe "Good Ova Evil"
That's true,more than cool
Awesome! A Masterpiece!!!Asante!!!!🙏🙏🙏🙏🙏
Bro barikiwa sana una kipaji cha ajabu sana nakuona mbali sana kaka keep it up my brother I'm your big fan hapa
Amina
Waafrika mmebarikiwa sana
Na watu HATARI sana 🔥🔥
Excellent narration, watching from Kenya.
I love the way you narrate with the Bible God bless you
Kaka hongera Kwa simulizi zako,Ila kama hutojali tuandalie simulizi za viongizi wetu watanzania waliotangulia mbele za haki.
Good research bro
Itakuwa poa ukituwekea historia mzima ya Rastafarians
Naanza kukufuatilia kaka..kumbe wapo watu wenye akili Tanzania
Wengi tu na sio wanasiasa
Nakupenda sana, kazi yako nzuri sana, inajenga sana
Am also Ethiopian. This man remembered as a genocide heile sellasie killer (Ras tafari)
Msimlizi unajua sanaaaaaa! Keep it up bro!
Kweli we umesomea
Asante sana.
Liked the way you clarified bout the Christian and. Muslim religion it shows your well informed.
Kwa viwango vyako toka nianze kuskiliza story unazidadafua vizuri sana hakika hicho nacho ni kipaji ulichopewa na MORA wako.
Upo good sanaa.
Ila da wazungu ni mapepo
Kama ndiyo kwanza unaangali please gonga like👍 hapa
Umetisha xna mpagaze uko vzr ile mbaya
I just like your voice Boss, its like am watching a Movie..
Huyu jamaa mungu amsaidie sana ana kipaji kikubwa sana
Mwanamke ni kiumbe pekee aliekutana na shetani live sasa hatujui waliongea nini zaidi😅😅 Binti akikukubali Lazima unavitu 2 pesa or akili hahahaaa
Kweli kabisa
Kweli Fides
Fide Charles umenote iyo mze hahahaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😜
Hawa jamaa wenye TV stations and Radios station kiukweli naokumbea kwa Mungu wakupe offer ya ajira una sauti nzuri sana
perfect narration I have come a cross
This guy Ananias is something else... Simulizi kali sana
MIMI NAWAKUBALI AISEEEE AND THE VOICE BRO IS AMAIZING
Kwa hakika Historia zinazotolewa ni za kweli na msomaji anasimulia kwa vituo, hongera sana
Km unamkubar huyu jamaa weka like hapa
kuna vitu anadanganya.
Ndugu yangu una sauti nzuri Masha Allah zidisha utafiti hivyo shukran.
....nimependa historia yenu sana
Mwanangu nakuvulia kofia kazi yako ni murwa na yenye masomo kweli Mungu akubariki.
Good job, itakuwa poa sana mkiichimba kwa undani story ya CARLOS JACKAL
Sawa
Nice story telling skill. Kiswahili chako. 👍🏽
Mungu azidi kuwabariki kazi nzuri
Kiswahili chako bwana,nambar moja
aaahh...bona Napenda sanaa. Huu niukweli kabisaa.
Juses was black & a rastaman & the Lion of Judah is YET 2come, He will come from MtZion(MtKenya) from the tribe of Judah(kikuyu)....amiini usiaminii huu ni UKEWLI.
Wa Afrika wazidii kuamukaa kwanza kwa ubongoo
Big up kaka Annanias Edgr kazi zako nzuri xana napenda unavyoshaur .asee hongera sana
a big fan watching you from Australia love African history
Oooh, thank u
Kazi nzuri
Nakukubali sana mzee baba tatizo waafrika wengi tunaakili za kushikiwa!!
Kaka kuna mzee wa star tv nimemsahau jina pamoja na millardayo ndio aina ya mtangazaji ww hiyo ndio kazi yako hongera sana na muandaaji pia
Samadu Hassan
Napenda sana jinsi unavyosimulia na misemo unayochanganya
Kazi nzuri ila unazunguka sana katika kugusia mambo mengine iyo inachosha .nenda moja kwa moja
Very good voice fore this mane
GOD IS GREAT TO HAAHCHUE (GOD) YOU TOLD ME PERSONALLY THAT WHEN YOU WANT TO TEACH SOMEBODY A LESSON THAT YOU MUST HIT THEM WHERE IT HURTS WHICH IS IN THEIR POCKETS SO I CAN'T UNDERSTAND WHAT YOU''RE DOING WITH THESE PEOPLES NAMES WHO WHERE CALLED SIR GOD IS GREAT
😔😔😔😔😔 our very own kingdom of Kush.. the oldest in the world and we killed our own I cry for Africa
Kupiga gamvi, wow!!..Leo nime'learn neno lipya°°°°¶¶
Ni gambe anko "pombe" yaani
Napenda historia sanaaa
Uboeshi
Kazi ni nzuri mnayoifanya 2naomba muwe mnatutumia baada ya kuandaa
Aisee we jamaa ni hatari fire endeleza kipaji chako utafika mbali sana msalimie @denismpagaze
Amina na asante sana
Salute mzee baba.
Story yako iko Bomba sana mkuu.....
KONGOLE
Hiyo hint ya historia asante sana, we need more of this.
Superb to the narrator I like the voice.
Asante sana
Hongera sana.nimeipenda.endelea kutuelimisha
My late Grandma Ethiopian what a beauty so cute.