MUGABE: Rais Aliyepania Kuwakomesha WAZUNGU Wakakoma Watu Wake!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- MUGABE: Rais Aliyepania Kuwakomesha WAZUNGU Wakakoma Watu Wake!
Ukisikia watu wanasema tuko nyuma yako 'be careful' maana ukigeuka unaweza usiwakute. Hii nimeiona 'live' kwa Robert Mugabe pale alipojitoa muhanga kuwakwida mabeberu kwa maslahi ya Afrika, wakaumia wananchi wake kwa vikwazo vya uchumi na diplomasia, viongozi wa Afrika wakamtelekeza, leo hii amekufa viongozi wanashindana kumsifia Mugabe kwa mbwembwe na mikogo kwa sababu marehemu hatukanwi. Haya ndiyo maajabu makuu ya viongozi wa Afrika!
Tatizo la Afrika ukiwa kiongozi mzuri ni sawa na kuchagua kifo, wasipokuua basi watakukwamisha kama walivyomkwamisha Nyerere na ujamaa wake, Mandela na msahama wake, Kaunda na suti zake na Mugabe na misimamo yake.
#historiayamugabe
www.youtube.co.... Watch More Videos Here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos Here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.TZ Facebook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App:
Shukrani kazi safi
Daa wewe jamaa unaweza sanaa kazi hii,,, hongera
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi mzee
0000p
Ananiasi edga we kidume kabisa unaelimu yahali yajuu kabisa kwa simulizi za history big up.
Na mimi niwekee li love ♥️♥️ bro Ananias edga we ni mwamba tu
Umepata saut inayo sikika broo na kwa bahat nzur zaid unajua kuitumia...
Hongera sna kaka
Yuko sawa kabisa.
Nampenda sana unavyodadavua Taarifa zako hongra sana
Hupo vizuri ktk utangazaji,daah mwisho wa habari unakura dili LA matangazo"unatisha"
Mungu abariki afrika
I love this. Please tuhadithie kuhusu Ukombozi wa Kenya na Mau Mau
😅😅😅
_nakukubali sana kaka_
Interesting! listening from Kenya my lovely country kumbe my favourite politician Raila betrayed mugabe? didn't know very educating story big up bro
Big Bossman Bossman sad but he did
Tunashukuru sana Mr Denis mpagaze na Ananias Edgar, ongera sana!
a very fantastic and true representation
asante Edigar iyi nilikua nai subiriya kwa hamu asante sana
Pamoja Sana Ananias Edger ❤️
Nakubali kaka
Juu Sana bro
Gonga like twende sawa
Lakini tufanyie ya E.Patrice.Lumumba
Bob Rama Phyno tayari mbona
Ahsante Anania edga nakpenda sana ndg yng habar ni njema mno
Safi sana broo
Umehadithia vizuri sana ,good
Endeleleeni vivyo hivyo na kazi nzuri.
Hongera sana kaka kwa kaz nzr
He was a good leader ..he removed the colonialist away from the country ...and let the people of Africa to be happy...we thank God for giving the Africa the leader who we will never forget him as he helped the Africa against colonialist ....rest in peace Robert Mugabe may God be with you amen😥😥
Daah we jamaa upo vizuri,kwenye kuhadithia tu??.......umetisha
Nakubaliana nawe kabisa brother
Big brooo gonga cheers🥂
Nimeipenda hii👏
Hahaha.. Simulizi inaisha huku bado masikio yanahamu kusikia... Barikiwa Sana...
Powa nimekuelewa sana
Noma sana simulizi hizi tamu sana
Ujumbe mzito Sana kaka
Bro dah respect sana yani ivi much appreciated for you
Big up bro
Brazza Ananias huu mziki unaitwaje ninautaka
We jamaa nuksi, sana unaijulia ikitu
Africa mungu azidi kuibariki na kuilinda
Nice work
You are the King
nakukubali
Biggest fan bro big up
Daaah kweli Kaka
Safi sanaaa
Mpagaze hatarii voice
Sina chakukupa bro Ila nikuombee Afya njema kila wakati
Safi sana
nice
From 🇧🇮 Saudia Asnt kak
Liko good sana
Very interesting
Good
Uko vizir sana
He was good leader but he lack cooperation of other African leader
I like it
Sauti yako hunivuta saana, #Ananias Edgar
Yan ananias uwaga narudia historia zake kma nyimbo bila kujali MB zangu uyuu jamaa katishaaa
nyengine huwa nafanya kama kichombezo cha usingizi hatari sana
@@Suleimansalum mtiga unamuacha wapi
Asante anas
Unasimulia na kuelimisha kwa maneno makali na matamu, thanks
Nakukubari sana
upo sawa kaka ila hapo kwa raila odinga sikupaelewa
Simulizi imempata msimuliaji.
Hahahaa
Juma Michael kakololo
Kweli kabisa
Alikua kidume kweli. R. I. P mugabe
Mambo
hi
Nitafute asiah .Niko zenji
Hi
Kumbe Mugabe siyo rais wa kwanza wa Zimbabwe...!
Diamond
Safi sana yaani
Et mchungaji alizinguaaa nakupenda sana et
Comrade Mugabe ni aina ya viongozi tunaowahitaji Africa na bahati mbaya sana Kuna wapumbavu wengi tu tunashiriki kuwapigia Vita na kuungana na Mzungu.
Upo vizuri baba. Mpaka GNM unasimulia
Good 🔥🔥
Historia nzuri
pongez kwako ananias ,umeonesha maana ya kuwa mbunifu unatumia ulichopewa
Yani jamaa hana mpizani kwakweri anasimlia vzr sana
Wooow 💪big up bro👏
hi
Uko vizuri
Mzungu
Hakomeshwagi
Atakukomesha
Hi
Unasauti nzuri sana American tunakufata sana bro
Hatari. Historia ya pili ya Mugabe na bado ina sisimua kutoka kwenu. Loo! Mna kipawa kikubwa mno. Hongera kwenu wote mkiwa watatu.
great story
Great Vid
Kaka hongera kwa kazi nzuri ,but mbona hutoi simulizi nyingine? Am your fan
Majitu yanamsifia msimuliaji badala ya kujikita kwenye mada husiku na kutoa maoni yao.watu wa hii nchi bna!
Good job
Nakubar
Kkk watu tunachati sana sio siri
Aisee
Msimuliaje shujaa sana,sauti kashinda ile mbaya
Amani
Hakika vita umepigana komredi Mugabe. Pumzika kwa amai
Dah Majembe ya Africa yanaondoka hivyo lkn Mungu ni mwema yanakuja majembe mengine kama mh magufuli yanaendeleza misimamo na kukataa ufisadi dhuluma na rushwa na kupigania wanyonge na kuleta maendeleo chanya Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania
Ediga Wewe ni msomaji mzuri Sana Sana, siwezi acha kusoma makala zako. pia mpagaze ni muandaaji mzuri Sana wa Habari.
History nzuri tuletee history ya abeid amani karume Alie kuwa rais wa Zanzibar
Mbona ipo tayari
Nzuri unapovyoisoma... Na ndio maana Africa titaishi nyuma... Viongozi wetu ni kama walirogwa na kundanganywa na wazungu
Respect bro
Gud gud
Hakika tuna utumwa was fikra, misimamo ya watawala tuliowapa kura,zinatutesa masikini!!
Hisia kubwa Sana
Unatisha edga
Hii kweli kabisa tutafakali
Tizama 🇨🇩♥🇹🇿
Simuliz ya Nyelere
😂😂😂AAlimuwezakweri omama Mugabe noma
MZEE MZIMA. WE MISS YOU. RIP
Afrika kwanza, sema waafrika sisi ni wadumwa wa afrika ndyo maana ukiwa kiongozi bora kwanza wananchi wako watakupinga.
Mfano mzuri sana ni Rais Magufuli.
Huyu Edgar namkumbali sana