JINSI UKOLONI MAMBOLEO UNAVYOITAFUNA AFRIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • JINSI UKOLONI MAMBOLEO UNAVYOITAFUNA AFRIKA
    Changamoto kubwa inayolikabili bara la Afrika siyo umaskini , wala siyo uhaba wa rasilimali bali ni utumwa wa fikra. Fikra zetu zimekamatwa kiasi kwamba hatuwezi kuwaza nje ya misaada.
    Heshima na ukarimu tunaompatia mzungu ni mkubwa kuliko waafrika wenyewe.Ukarimu wa mzungu unaanzia anapofika kwenye viwanja vyetu vya ndege.
    #UKOLONIMAMBOLEO
    www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

ความคิดเห็น • 415

  • @kipkoechkosgei104
    @kipkoechkosgei104 5 ปีที่แล้ว +54

    As I always say. Our problems start with us. The day we will accept we are the cause of all our problems is the day we will move forward. Ni kawaida ya watu wa zembe kulaumu wengine

    • @jp1780
      @jp1780 5 ปีที่แล้ว +2

      kipkoech kosgei we already know the problem we just don't wanna change things we like how things are some Africans real like to be colonized as long as u can keep feeding her, him we good we got many leaders who believe in white so much and that's the big problem but things are starting to change now like Ethiopian airlines has sign a 6 year deal with Ghana also the africa free trade is going to start next month so the is still lil bit of hope

    • @kipkoechkosgei104
      @kipkoechkosgei104 5 ปีที่แล้ว +1

      @@jp1780 I wonder why we have to blame whites for all of our problems. Even USA was once colonized. We Africans still think the reason we are behind is because of wazungu colonizing us

    • @kipkoechkosgei104
      @kipkoechkosgei104 5 ปีที่แล้ว +1

      @@jp1780 I wonder why we have to blame whites for all of our problems. Even USA was once colonized. We Africans still think the reason we are behind is because of wazungu colonizing us

    • @jp1780
      @jp1780 5 ปีที่แล้ว +2

      kipkoech kosgei we have to blame them they dont wanna let us be an who told u the usa did get colonized by who? Lol they colonized us for over 400 years that's a lot of yrs to be colonized bro an till to this day france still colonizing 14 African countries they make those 14 use their Franco currency an the funny thing is the france it self doesn't even use that Franco currency I mean it's just insane and embarrassing real! But it's time to fight back to get real freedom

    • @isackkiketelo3344
      @isackkiketelo3344 5 ปีที่แล้ว +5

      ww mwenyew ni tatizo anza kujikubali ww mwenyewe, mfano mzuri lugha unayotumia kutoka nje.

  • @abdimaulid5569
    @abdimaulid5569 5 ปีที่แล้ว +3

    Daaah mwanangu katika siku umenishawishi kuzidi kukuelewa ni hii story maana yake imegusa maisha ya bara la Africa god bless Africa kama tuko pamoja naomba likes zenu....

  • @classicnaufal9100
    @classicnaufal9100 5 ปีที่แล้ว +203

    Ikiwa unapenda kazi ya ananias like hapa

  • @veelusa
    @veelusa 5 ปีที่แล้ว +34

    Hii makala safi sana. Ichapishe tengeneza kitabu inahitaji marekebisho kidogo. Lakini imetulia sana hongera san

    • @swaumukiondo3217
      @swaumukiondo3217 5 ปีที่แล้ว

      Hii kaz kwel yaaaan tunaitaji utulivu San kwa ujumbe huu asateh

  • @ntakirutimanaabdulazizi7778
    @ntakirutimanaabdulazizi7778 5 ปีที่แล้ว +7

    Asante sana bwanamkubwa Mpagaze .İla ingekua bora otoe video hii kwachini İtafsiriwe mkıngereza Pia nakifaransa
    ili mataifa Mengine waeze elimika pia haswa kwawale wasio skia na kuelewa kiswahili

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 5 ปีที่แล้ว +12

    Asante leo nimesikiya yenye nilikuwa ubongo wangu unahitaji chakula cha akili asante sana

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 5 ปีที่แล้ว +2

    sema kaka upo vzr wallah napenda kuskiliza vipindi vyako duuuh najikuta nainjoy ungekuwa mwalim mm ningefaulu historia wallah ILA HAKIKA WAAFRIKA TUSIPO JIELEW TUTAKUWA WATUMWA WAO MM NMEKATAA KUWA MTUMWA

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante Kwa huduma yenu,Mungu awabariki Sana.

  • @applestru_cape2219
    @applestru_cape2219 5 ปีที่แล้ว +92

    Broo umetisha mpeni like yake.

  • @mohammediallykaboza5862
    @mohammediallykaboza5862 5 ปีที่แล้ว +8

    Aise edga mungu akulinde makala zako zinatisha sijui ututengenezee vitabu!

  • @Cesar2000k
    @Cesar2000k 5 ปีที่แล้ว +42

    point apo....tunanunua majembe ulaya wakati babu zetu ndio waliogundua chuma hahahah

  • @faridamkesso97
    @faridamkesso97 5 ปีที่แล้ว +12

    Hongera sana umeongea point sana hii ndio Elimu inayotakiwa kwa jamii 👏👏👏 maana kweli hatujitambui na hatujithamini

  • @deadcrush
    @deadcrush 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa msimuliaji, Kazi yako unaipenda sana. Hasa sauti yako ni safi sana. Hongera. Binaadamu hakuwa nyani. Hakikisha unafanya utafiti na kuhariri jumbe zako kabla hujaliza la mgambo.

  • @daudintanga1521
    @daudintanga1521 5 ปีที่แล้ว +11

    Unaweza sana nimemaliza historia karibu zote na najifunza mengi unaweza sana

  • @acleymangu9020
    @acleymangu9020 5 ปีที่แล้ว +2

    Braza kunywa unachotaka alaf nitumie bili yako dah!! We jamaa n nomaa sana.
    Embu tuandikie kitabu kuhusu haya maisha aisee ila pia ukitengeneza CD itapendezaa sana ili hawa watoto wadogo waendelee kusikia haya labda wanaweza kutusaidia tubadilike! Duh!!

  • @ototek8037
    @ototek8037 5 ปีที่แล้ว +25

    Bado sana kunamijitu imesoma na bado utaskia wazungu eti ni watetez wa haki za binadam..tuspoandamana au kufanya mikutano kila siku watatutenga...pumbavu

  • @cascmvirile8687
    @cascmvirile8687 5 ปีที่แล้ว +19

    Daaah Aseee broo fikira zako kama ZANGU daah MUNGU akuongoze Mzee mana ukisema kweli wanakuzima kama analogia kwenda digital

    • @nemohos4885
      @nemohos4885 5 ปีที่แล้ว +1

      mungu? mbona mungu asaiidi watoto ambayo awana chakula wawe na chakula?

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 5 ปีที่แล้ว +1

      Ata Mungu ni Mzungu mwenzao sisi tushaatupa Miungu yetu asili tukabeba dini zao

    • @brokenigga2842
      @brokenigga2842 5 ปีที่แล้ว

      @@BigZhumbe we acha tu

  • @josephatkashendwa1177
    @josephatkashendwa1177 4 ปีที่แล้ว +3

    Gonga like...Kaka yangu kutoka mama mwingine......"Africa ina umri mkubwa lakini bado inavalishwa nepi"

  • @benp7693
    @benp7693 5 ปีที่แล้ว +1

    Very great message

  • @rihannarose1731
    @rihannarose1731 5 ปีที่แล้ว +12

    Tunaomba nakala ziendelee na kwenye TV ndugu zetu nao wapate kusikiliza angalau wajuwe uhalisia wa mambo#kazi nzur

  • @robertmasatu4029
    @robertmasatu4029 5 ปีที่แล้ว +2

    Iko vizuri iyo ndugu yangu Africa inahitaji miti shamba tofauti na ile ya wazungu

  • @mzunguonlinetv9181
    @mzunguonlinetv9181 5 ปีที่แล้ว

    Nimesikiliza sana simulizi zako nikagundua .......unatumia muda mwingi sanaa kujiandaa kabala ya kuanza simulizi .......na pia nikagundua wewe ni moja ya watu wenye upeo mkubwa sanaa wa kufikiri kabla ya jambo na nikagundua kuwa watu kama wewe wanaitajika sanaa katika nchi zetu izi ..............namalizia tu kwa kusema wewe unajua unachokifanya yaani wewe ni kichwa unatumia akili yako vizuri sanaa ........napenda sana simulizi zako ANANIAS EDGER my brother from another mother ..................

  • @sagudanicasnicas2660
    @sagudanicasnicas2660 5 ปีที่แล้ว +50

    Tukiona viongozi wanaopambana ili tujikomboe wenyewe tunawaponda eti wantutesa

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 5 ปีที่แล้ว +3

      Sagudanicas Kwel kbs tena et mashtak tunawapelekea wao watuamulie tunawaona wazungu wa maana sana

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 5 ปีที่แล้ว +1

      @@jp1780 Marufuku kukata tamaa usichoke

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 5 ปีที่แล้ว

      @UCqmzrUyTOODhZZny-yyYxWg Marufuku kukata tamaa usichoke

    • @jp1780
      @jp1780 5 ปีที่แล้ว

      Agatha Thobias kweli bro but sometimes is just to much ulaya wa Africans tuna huwawa kama minyama ukija Africa ndohivo tena

    • @jp1780
      @jp1780 5 ปีที่แล้ว

      Agatha Thobias ila nakwelewa bro

  • @masungadutta3823
    @masungadutta3823 5 ปีที่แล้ว +10

    Kaka Mungu akusimamie yani Mpaka Machozi yamenitoka. Inauma sana na ukweli siku zote hauburudishi Bali unaridhisha na huja na maumivu.

  • @kirujam628
    @kirujam628 5 ปีที่แล้ว +5

    Asante kaka kwa video yako nzuri. Ninaunga mkono na mengi ulichoyasema. Lakini kuna jambo moja ambalo sijakubaliana nalo, na hiyo ni kulinganisha hali ya maendeleo ya Afrika na ya nchi kama Amerika, Malaysia, Singapore na kadhalika.
    Nchi ya Amerika haikufikia maendeleo kwa sababu ya ''maono'' ama ''founding fathers'', la! Amerika ni nchi iliyonyakuliwa kutoka kabila ya ''Red Indians'' naye ilijengwa kwa jasho na damu ya ndugu zetu, yaani ''Black Americans''. Bila huo unyakuzi na bila utumwa wa ndugu zetu, Amerika ingekuwa nchi ya kawaida au hata ya umaskini.
    Nchi kama Singapore na Malaysia hazina rasilimali kiasi cha kulinganishwa na zetu. Afrika kina mali nyingi chini ya ardhi yake na mali hii inavutia wakora mbalimbali kutoka kila pembe ya dunia. Wakora hawa, sana sana wakishirikiana na viongozi wetu bure, wanatupangia vita na kutuletea magonjwa. Tunaposhughulika na majangwa mbalimbali wao wanelendelea kutupora.
    Kwa hivyo shida kuu ya Afrika ni mali yetu nyingi!

    • @sofiaasukuku8238
      @sofiaasukuku8238 5 ปีที่แล้ว

      Wewe Ni pumbavu ujuhi lolote ,kaha kimia funga bakuli lako ,ajakoseya ata kidogo ,nyama wa pori wewe

  • @UlimwenguMilenga
    @UlimwenguMilenga 5 ปีที่แล้ว +5

    Tunaomba Africa tuwe United, mganda akionekana Tanzania 🇹🇿 anafungwa.
    Sio maisha ayo wote ni waafrica.

  • @olivercloud5597
    @olivercloud5597 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kijana una mawazo mengi sana kijana. Umasikini wetu ume sababishwa na ubaguzi ambao tuko nao. Tu ache kwanza ubaguzi kati yetu sisi kwa sisi.

  • @enockyohana6856
    @enockyohana6856 5 ปีที่แล้ว +2

    Tumejengwa kweny misingi ya kuogopa tangu ukoloni..tumelelwa kweny misingi ya unafiki ...tumelelew katk malez mabaya sana...tunawaza tupate misaada ili tupige hatua ..hakuna jamb kama ilo ..namuheshim rais wetu Magufuri anapambana japo sio MTU wasiasa Ila anapamban haswa kutukumbush sisi nia akina nani.. Africa tuamke jamn..ghadafi alihitaj uafrica umoja wa wamataifa wakamuua..

  • @edsonmwaibanje129
    @edsonmwaibanje129 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa simulizi hii, hakika wewe ni mwaafrika halisi na mzaleno wa kweli kaka, Hongera sana

  • @godfreymkanje5667
    @godfreymkanje5667 5 ปีที่แล้ว +2

    "Babu zetu walifungwa minyororo shingoni..lakini sisi tumefungwa fikra hili ni kweli ...natamani tuamke tulipo lala ...TANZANIA ni nchi tajiri sana lakini rais akifanya maendeleo wengine wanampinga...sijui ni nini tumefichwa usoni petu ...tunampinga raisi kwa kuipa kipaumbele lugha ya kiswahili ila waswahili sisi bado tunampinga...MUNGU inusuru africa ..."

  • @nissannicolas8397
    @nissannicolas8397 4 ปีที่แล้ว

    Baba nakupenda sana
    Natena nakufwata 100%
    Unasemakweli adui wamu afrika ni mu afrika
    Hataserekali zetu zingekuwa zinaku fwata kungekuwa mabadiliko

  • @almacaugust9501
    @almacaugust9501 5 ปีที่แล้ว

    Asante Sana'a

  • @josephnyandadomenick7373
    @josephnyandadomenick7373 5 ปีที่แล้ว

    nice stories

  • @venancemalima1181
    @venancemalima1181 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera na asamte,hata viongoz bora wamapotokea Afrika tunawaita dikteta.Inapendeza kukusikiliza.

  • @erickmodest5488
    @erickmodest5488 5 ปีที่แล้ว +1

    Du kaka uko sawa kabisa

  • @moviesseries9923
    @moviesseries9923 5 ปีที่แล้ว +7

    Unaongea points tupu Brother 🤗

  • @enockyohana6856
    @enockyohana6856 5 ปีที่แล้ว +5

    Naomba nishaur fungua group whtsap kisha liite harakat kwa MTU mweusi..tufunguan harakt nimuhim ili historian ibadirik tena uafrica ulindwe na kila mmoja

  • @ufc-ultimatefightingchampi8456
    @ufc-ultimatefightingchampi8456 5 ปีที่แล้ว +3

    Africa Hamkeni....Great job bro.

  • @ramadhanalfan6249
    @ramadhanalfan6249 5 ปีที่แล้ว +24

    NDUGU YANGU UNACHO SEMA KWELI NAUNAONA MBALI SANA ASANTE SANA

  • @imanivard1127
    @imanivard1127 5 ปีที่แล้ว +2

    Umezungumza ukweli sana tena sana,tunawafanya wao miungu watu mpaka tunachukia asili yetu,
    Mambo yao ya ajabu sisi ndio tunaona ujanja

  • @abdulxavi8121
    @abdulxavi8121 5 ปีที่แล้ว +14

    Safi sana gonga like

  • @haidarihondo4475
    @haidarihondo4475 5 ปีที่แล้ว +2

    umetisha sana kk hongera

  • @dicksonsisya349
    @dicksonsisya349 5 ปีที่แล้ว +1

    I like this News Team and the main narrator Ananias its the best and of its kind.
    Thank you so much Team Global and Team Ananias.
    How i like your voice and all the education you offer us through this channel.
    Please keep it up my brother from another mother.
    Dickson Sisya - From Zambia, DRC and Mauritius.

  • @enockyohana6856
    @enockyohana6856 5 ปีที่แล้ว +1

    Wazee wa zaman hawakuish wao Ila walituandalia sisi...ila sisi tunaharib vyote...ili wanao kuja wapamban wenywe..fid q alisema wanataman kutuangusha chini wanatukuta tumelala chini..

  • @MauBonde
    @MauBonde 26 วันที่ผ่านมา

    Point muhimu sana.kweli sisi tuliokua ulaya huku mipaka IPO lakin i tunapita tofauti na afrika tunavobaguana.

  • @amani2555
    @amani2555 5 ปีที่แล้ว

    Naipenda sana

  • @kelvinshaban2641
    @kelvinshaban2641 5 ปีที่แล้ว +1

    keep it up ananias

  • @kulwamigo9127
    @kulwamigo9127 5 ปีที่แล้ว +9

    Nimekuelewa sana ,lkn hivi hawa tunaoamini ni viongozi wetu wanajua haya!? Anyway hii inaonekana hili la waafrika ni agano la Mungu....maana kujua haya mambo hayahitaji akili kubwa. !

    • @sonson9282
      @sonson9282 5 ปีที่แล้ว

      Shida sio viongozi shida ni sisi

  • @prochesslyimo4863
    @prochesslyimo4863 5 ปีที่แล้ว +3

    Heri wazazi waliokuzaa....Na ashukuriwe Mungu aliyewapa maarifa haya

  • @princejaytz6166
    @princejaytz6166 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali xana

  • @scopioncaptan551
    @scopioncaptan551 5 ปีที่แล้ว

    Dah Inaskitisha sana

  • @zesootv6726
    @zesootv6726 5 ปีที่แล้ว +3

    kaka uko juu mungu akubariki

  • @ntcltd5010
    @ntcltd5010 5 ปีที่แล้ว +1

    true bro

  • @rajabkafuta3385
    @rajabkafuta3385 5 ปีที่แล้ว

    kazi njema kaka. ushauri mzuri, tupunguze ufinyu wa kimawazo na kifikra Afrika.

  • @rasihamsangi8084
    @rasihamsangi8084 5 ปีที่แล้ว

    Mungu endelea kutufahamisha yaliyo ya kweli

  • @juhudikihongosi3904
    @juhudikihongosi3904 5 ปีที่แล้ว +9

    Tengeneza kitabu bro kitakuwa kinatufundisha Sana maana makala zako ziko vizuri sana

  • @calhoun1750
    @calhoun1750 5 ปีที่แล้ว +7

    I hope everyone watch this video so people can change 😭😭😭

  • @abdulkarimhamissi3755
    @abdulkarimhamissi3755 5 ปีที่แล้ว +2

    Jana nimeona marekan imemuwekea vikwazo balozi wa Zambia tanzania nikashindwa kuelewa

  • @adammj6258
    @adammj6258 5 ปีที่แล้ว +20

    Yaani hata uitafsir kwa lugha zote uwape na Copy kila mmoja hawaelewi sijui tulirogwa na nani! "" "haya ma NGO nayachukia tangu yanaanza, siku hizi zipo hadi za kutetea mashoga na wanatumia kivuli cha haki za binaadamu, Shenzi kabisa!

  • @gloirejoseph9408
    @gloirejoseph9408 5 ปีที่แล้ว +1

    mimi mkongomani ila nahishi south Africa nakukubali sana Bro kwa story zako ohh my Africa

  • @justineallan8
    @justineallan8 5 ปีที่แล้ว +1

    Africa bado haijakombolewa. Pamba inalimwa mwanza wahindi wananunua maelfu ya tani kisha wanatengeneza nguo tunakuja kuuziwa kwa gharama ya juu zaidi

  • @josephatkashendwa1177
    @josephatkashendwa1177 4 ปีที่แล้ว +1

    Gonga cheers bro hata kama hutaki huo ndio ukweli "Unyenyekevu usio na maana ni sehemu ya ujinga pia", afrika tumejenga majeshi yenye nguvu, majeshi ya afrika yanatumika kulinda wapolaji, nguvu hii ingetumika kulinda raslimali za afrika ingekuwa baraka kwa waafrika, mfano ni raslimali zinazoibiwa Kongo, huku wakongo wakiuana na kula risasi, kweli ukiwa masikini halafu mjinga ni hatari kweli kama ilivyo Afrika.

  • @rashakishoka2798
    @rashakishoka2798 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana kakaa

  • @enockyohana6856
    @enockyohana6856 5 ปีที่แล้ว +1

    Endelea kutufungua tujitambue asee ...Africa tujitambue

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 5 ปีที่แล้ว +1

    Like u Ananias buddy untuamsh San vijan lkn mamb yatabadilik tu hy

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ujumbe huu....

  • @abdulkarimhamissi3755
    @abdulkarimhamissi3755 5 ปีที่แล้ว +2

    Ukiitaka ujue waafrica niwajinga na pia uamin wazungu wanatutia ujinga angalia black pnda mwishon jamaa alitaka aende akawaue wazungu baada ya kupata nguvu ndugu zake wakampinga wakamshanbulia yeye

  • @thetriplesofbethlehem6095
    @thetriplesofbethlehem6095 4 ปีที่แล้ว

    Asantesana kwa mafundisho mazuri mwalimu✊🏿we are coming home soon

  • @eddokasanga6338
    @eddokasanga6338 5 ปีที่แล้ว +13

    dah tumejenga majeshi yenye nguvu badala ya uchumi wenye nguvu

  • @agnessestoni5631
    @agnessestoni5631 5 ปีที่แล้ว +2

    Naskia hasiraaaaaah vibaya mnooo Mung ameibariki Africa nawatu wake

  • @t33pelos77
    @t33pelos77 5 ปีที่แล้ว

    kazi nzur bro

  • @mickyomary5215
    @mickyomary5215 5 ปีที่แล้ว

    Unajuwa sana

  • @nemohos4885
    @nemohos4885 5 ปีที่แล้ว +6

    wazungu sio rafiki wetu. nakumbuka 2014 nikivyo rudi bongo niliona mademu na wazungu nikasema daa nchii yetu imeisha. watu wengine ni washamba wana fikiria wazungu ni mungu. mzungu hana roho nzuri.

  • @petermahimbo9450
    @petermahimbo9450 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kiongozi .bigbrain.

  • @alfredmtui8602
    @alfredmtui8602 5 ปีที่แล้ว +3

    damn bro upo vizur sana

  • @ayubunyiriza6124
    @ayubunyiriza6124 5 ปีที่แล้ว +18

    😂😂😂 mda wote unafanya maandalizi ya kuondoka duniani

  • @hermanstephenntabahungu5310
    @hermanstephenntabahungu5310 5 ปีที่แล้ว

    Kama ingekua inaruhusiwa kuilike hii video hata mara trillion ningefanya hivyo,,,,bigup boss kwa elimu makini na ya kizalendo

  • @isayamichael
    @isayamichael 5 ปีที่แล้ว

    Point kabisa BRO mungu awe nawew Et

  • @msonocollo9551
    @msonocollo9551 4 ปีที่แล้ว

    asante kwa kumbea mama africa ukweli asante mungu akuwe uzidi kutuelimisha sisi wana wa afrika

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 5 ปีที่แล้ว

    Nice one

  • @ryobajohn7177
    @ryobajohn7177 5 ปีที่แล้ว +1

    hongelen sana kazi nzuri sana

  • @heritier5119
    @heritier5119 5 ปีที่แล้ว

    Africa ingekuwa mbali sana kiuchumi kama tusingedai Uhuru bandia

  • @alphoncemtuluka3387
    @alphoncemtuluka3387 5 ปีที่แล้ว

    Ongera sana muandaaji wa hii story yaani

  • @thobiassmollel2608
    @thobiassmollel2608 5 ปีที่แล้ว

    Brother hongera sn...sijajua Ni lini watu weusi tutastuka kuheshimiana, kujikubali na kujitambua...never

  • @humphreykajigili6866
    @humphreykajigili6866 5 ปีที่แล้ว +1

    Bro nakubali kinoma kaz ya kutoa ujinga kikubwa tufanyie kaz tunarudishwa nyuma na viongoz wetu pia

  • @japhetkazeri7135
    @japhetkazeri7135 4 ปีที่แล้ว

    Kaka ubalikiwe sana na Mwenyezi Mungu.Wewe ni Mkombozi wetu

  • @allysamba1695
    @allysamba1695 5 ปีที่แล้ว

    Nakku bali sana bulaz salute kwako na mngu hakufanyie wepes katka mmbo yko

  • @chumujr3961
    @chumujr3961 5 ปีที่แล้ว +1

    Maarifa mazuri sana

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando 5 ปีที่แล้ว +8

    Umeongea Kweli Waafrika tuamke .

  • @emmanuelndaka6881
    @emmanuelndaka6881 4 ปีที่แล้ว

    Napenda sana kuskiliza stori zako

  • @zindubyams5713
    @zindubyams5713 5 ปีที่แล้ว

    Fresh sana kaka

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 5 ปีที่แล้ว +6

    wa china na wa Inde nao wanazaaga sana mradi kuwa wengi wa africa tuna kosa misimamo ndo kinacho turudisha nyuma

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 5 ปีที่แล้ว +12

    hizi nondo peleka bungeni

  • @erickmkwera2784
    @erickmkwera2784 5 ปีที่แล้ว

    Umeniliza Sana broo

  • @khalifadaudi622
    @khalifadaudi622 3 ปีที่แล้ว

    Ningependa sana maneno haya kama yangewafikia wakubwa wa nchi hii

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 5 ปีที่แล้ว +3

    Huzuni kwa kweli,

  • @januarykayala2396
    @januarykayala2396 4 ปีที่แล้ว

    Amazing nachukua mda mwingi kumfuatilia

  • @jumamkokota9484
    @jumamkokota9484 5 ปีที่แล้ว +2

    Umeongea maneno mazito sana kaka na yote yanamaana sana

  • @rizikivincent9471
    @rizikivincent9471 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki afrika tumetiwa akili finyo kujirudi kwenye usawa.wetu inakuwa shida na wanaoweza.kurekebisha ni viongozi wetu wa afrika nzima kuungana na kulifanyia kazi ili tatizo

  • @johnkabeja2219
    @johnkabeja2219 5 ปีที่แล้ว +5

    Ili kuikabili hali hii ni lazima Waafrica vijana tujitafakari na tuchukue hatua kwa kuanza kujikubali sisi na vya kwetu pia tuuondoe unyanyasaji kwa waafrica kote Duniani