GWAJIMA NAWASOMEA BIBLIA MAWAZIRI ILI MBADILIKE NAMNA YA KUFIKIRI |SISI WOTE NI WATANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • #siasa #tanzania #gwajima

ความคิดเห็น • 117

  • @kenedyjosephtz6900
    @kenedyjosephtz6900 4 หลายเดือนก่อน +32

    Nimekusikiliza vizuri sana unamaalifa mengi hii nchi inakufaa sana ukigombea uraisi nakupa kura yangu,,, barikiwa sana

  • @emanuelamos5595
    @emanuelamos5595 4 หลายเดือนก่อน +14

    Gwajima ni mtu na Nusu, mtu wa maono💯

    • @edchrisbeatz8976
      @edchrisbeatz8976 4 หลายเดือนก่อน

      Wengine wana muona sio ila huyu jamaa ana akili sana ya maendeleo

  • @petromihambo1405
    @petromihambo1405 3 หลายเดือนก่อน +10

    Mtu mwenye akiri kubwa JOSEPHAT GWAJIMA

  • @meryevance6744
    @meryevance6744 4 หลายเดือนก่อน +10

    Rais hajae Baba Mungu akuzidishie hekima

  • @jeoffreyamis3782
    @jeoffreyamis3782 4 หลายเดือนก่อน +11

    Askofu Gwajima, umewakilisha vizuri hoja yako! Sijui kama mawaziri husika imewaingia kichwani, Ili wizara zao zianze kusomana! Lakini hii hoja nakumbuka uliwahi kuzungumza huko huko bungeni, hatujaona mabadiliko yoyote. Labda tatizo lilikuwa ni nani wa kuratibu, ndio maana Rais Samia ameamua kuunda wizara ya Mipango! Lakini kwa namna kitila nkumbo alivyo, anaweza kubeza mawazo haya, akaja na ya kwake. Tukabaki vilevile mifumo kutosomana. Hii ndio tatizo la Nchi yetu. Ebu tusikilize waziri ata~wind up Vipi. Yetu Masikio.
    Hongera Askofu Gwajima na mbunge wetu!

  • @GodluckWiz
    @GodluckWiz 4 หลายเดือนก่อน +21

    Jasusi la mbinguni Raisi ajaye 2025 ukisikia tu gwajima kachukua form ya urais ujue kapitaaaa tutaibomoa kuzimu kwa moto ulao

    • @WinstonWinfredy
      @WinstonWinfredy 4 หลายเดือนก่อน +1

      Unaota ukiwa kitandani au kwenye mto

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nawaombea VIONGOZI WANGU WA TANZANIA

    • @salummhina4857
      @salummhina4857 4 หลายเดือนก่อน

      Kura za maoni hakupita aliteuliwa tuu iweje urais iwe rahisi hivyo!!!

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hana lolote ni freemason tu huyo

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@salummhina4857mwambie aelewe, hajii kitu

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 หลายเดือนก่อน +5

    Yesu Kristo (Mungu) ajibu maombi ya Watanzania tunahitaji Rais mwenye uelewa kama wewe mwenye maono makubwa kama Rais Magufuli

  • @masabosimeon9502
    @masabosimeon9502 4 หลายเดือนก่อน +6

    Man of God, you have divine intelligence!!!

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 4 หลายเดือนก่อน +15

    GWAJIMA GOMBEA URAIS NITAKUPA KURA❤

  • @abelbaran4190
    @abelbaran4190 4 หลายเดือนก่อน +8

    Good your a leader with greater visions🙏

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 3 หลายเดือนก่อน +2

    Gwajima uko vizuri!
    Unaowashauri Sasa😗

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 3 หลายเดือนก่อน +4

    Umeongea sana juu ya mipango ya taifa, nakuombea sana siku Moja hili wazo lifanyiwe kazi na tupate nafuu ya kutumia pesa zetu kuyanufaisha mataifa mengine na wahusika wa kuagiza vipuli wanaokula Cha juu

  • @UfahamuwaKristo
    @UfahamuwaKristo 3 หลายเดือนก่อน +4

    This need a president like Gwajima

  • @HassanAlly-l2c
    @HassanAlly-l2c 4 หลายเดือนก่อน +9

    Ukweli mtupu uyu mwamba ni kichwa sana

  • @bethmahela2182
    @bethmahela2182 3 หลายเดือนก่อน +5

    Point baba

  • @kigomamaranathagospelchoir2642
    @kigomamaranathagospelchoir2642 3 หลายเดือนก่อน +6

    Rais ajaye kwa jina la Bwana

  • @ramadhaniathumani1025
    @ramadhaniathumani1025 4 หลายเดือนก่อน +18

    Ccm chama changu!huyu ndio Rais mwenye maono!tuache uchawa na udini!tujikite kwenye uwezo halisi wa mtu sio uchawa!

  • @henribwema2778
    @henribwema2778 4 หลายเดือนก่อน +4

    Waouh, njoo kwetu congo.

  • @wiza2309
    @wiza2309 4 หลายเดือนก่อน +3

    Saafi sana. Hawa ndiyo watu wanaotakiwa kuwemo Bungeni lkn majibu hapo ya Waziri husika yanaweza kuja very shallow. Mungu atusaidie kuvuka hapa tulipo

  • @MetalcomTraders
    @MetalcomTraders 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mh Gwajima mbunge wa Mtama mtoto Colnal Moses Mnauye aliyasema hayo..hakusikilizwa...hasa kwa sababu alitaka ijengwe reli toka huko kwenye hayo madini kwenda Mtwara mlikotoa gasi mnayoitumia na wenyewe wanatumia Kuni...malori yenu yanaharibu barabàra naamini hamtatàka reli hiyo kwa sababu ya malori yenu kukosa kazi .

  • @flaicombilinyi2426
    @flaicombilinyi2426 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nchi inaendeshwa kila mtu anaangalia masirahi yake wanasau kuwa wao ni viungo vya taifa umefungua akili zao kazi kwao kuziruhusu zifunguke❤❤

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 4 หลายเดือนก่อน +3

    Well said Dr gwajima

  • @godfreygodwine9148
    @godfreygodwine9148 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akutunze sana, kiongozi mkuu.

  • @mathiaspaul6712
    @mathiaspaul6712 3 หลายเดือนก่อน +1

    Big brain BISHOP

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huge brain, Godbless.

  • @mkudehank-pv2sd
    @mkudehank-pv2sd 3 หลายเดือนก่อน

    Uishi milele baba yangu

  • @meryevance6744
    @meryevance6744 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kuwa kiongozi lzm huwe na akiri ya shule na hekima ya Mungu

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 4 หลายเดือนก่อน +3

    A nation without vision perishes, and my country perishes for lack of visionary leaders😢😢😢

  • @gadielygadiely1948
    @gadielygadiely1948 4 หลายเดือนก่อน +3

    Umesema vyema sana.

  • @ericmoramagige3407
    @ericmoramagige3407 3 หลายเดือนก่อน

    Fantastic

  • @MzeeMkoloni
    @MzeeMkoloni 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mch Gwajima kwa kunoa watu

  • @elishamkasu5191
    @elishamkasu5191 3 หลายเดือนก่อน +2

    Fire..BOOM

  • @amoskoyo4597
    @amoskoyo4597 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kilicho baki n kumpa inchi huyu mwamba nakuelewa sana Askofu gwajima

    • @severinmmassy7627
      @severinmmassy7627 3 หลายเดือนก่อน

      Kwamaneno machache hivyo apewe nch??

    • @amoskoyo4597
      @amoskoyo4597 3 หลายเดือนก่อน

      @@severinmmassy7627 mfutilie kama unaita kujua

  • @emanuelcnmatimba
    @emanuelcnmatimba 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gweje Barikiwa

  • @frbm1729
    @frbm1729 4 หลายเดือนก่อน +5

    Big brain .Jasusi la Mbinguni

    • @renatusrevocatus3895
      @renatusrevocatus3895 4 หลายเดือนก่อน

      Jasusi la Mbiguni au la kuzimu?

    • @tanstudiotv
      @tanstudiotv 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@renatusrevocatus3895we naye mpuuzi, kwani yeye kasema kuzimu kwenye comment yake??

  • @officalbenardaustin5364
    @officalbenardaustin5364 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hekima ya hari ya juuu sana kama Mungu atakupa kibar ngombea uraisi

  • @HappinessJohn-ni3vq
    @HappinessJohn-ni3vq 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hii hekima izidishwe na MUNGU....

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 หลายเดือนก่อน

      Nani katutishia tusiwe na maono hayo?

  • @GervasSospeter-vt3zi
    @GervasSospeter-vt3zi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe chukua from tukupe urais chap kidogo vinginevyo risu asubui kbra ya misa ya pir💪💪

    • @EagerBirthdayCake-zh8xb
      @EagerBirthdayCake-zh8xb 4 หลายเดือนก่อน

      Ndg yangu weee....
      Huwajuagi Wana Siasaa kumbe,ukitaka uamini hamna Mtu mwenye nondo akapewa hata Wizara tu akawa na moto huo uo,hao ni wahuni tu hapo Bungeni.

  • @lukassospeter1594
    @lukassospeter1594 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mtu wa maana kabisa

  • @husseinmpulaki9784
    @husseinmpulaki9784 2 หลายเดือนก่อน

    Ni sahihi sana anachozungumza mbunge Gwajima hii hata viwanda VYA Cement wanaagiza copper scrubs wakati tuna iron ore aluminum na pozzolana hii ni hatari kwa Taifa

  • @PaulinaLwena
    @PaulinaLwena 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akulinde kakangu

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest 4 หลายเดือนก่อน +3

    amesema vizuri sana

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hii nchii inahitaji watu watano kama hawa rais waziri mkuu spika wabunge makamu warais na mkuu wa majeshi tukiwa na watu kama gwajima kwenye hizo nafasi tumeula

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kinachonisikitisha sana siku hizi ni jinsi viti vya Bunge vilivyo wazi bila Wabunge.
    Yaan waliomo hata robo hawafiki daah! Hata hamu ya kufuatilia Bunge inaisha kabisa!

  • @rithersospeterkati2303
    @rithersospeterkati2303 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน +1

    huyu awe mshauri wa Rais..Mama Samia tunaomba msogeze Gwajima kama mshauri wako

  • @hoseaseif6602
    @hoseaseif6602 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli baba

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wow❤

  • @zipczionkanada6
    @zipczionkanada6 3 หลายเดือนก่อน

    Keakweli mch NGWAJIMA WEWE NI MZALENDO HALISI

  • @Hussein-cx3zt
    @Hussein-cx3zt 3 หลายเดือนก่อน +2

    Upon SAWA nichi inaitaji umoja

  • @mussaananiasmyonga727
    @mussaananiasmyonga727 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu na Nusu. Askofu.....

  • @violetakinyi-x6r
    @violetakinyi-x6r 3 หลายเดือนก่อน

    Vio mkenya , long live mtumishi

  • @daviddsouza735
    @daviddsouza735 3 หลายเดือนก่อน

    Mipango inayofuatiliwa zaidi ni ili inayoingiza pesa kwenye mifuko kwa wakati ujao ulio karibu. Mipango itakayoleta faida kwa wengine na baadae sana haiwezi kupewa umuhimu

  • @dianaroseclement8139
    @dianaroseclement8139 4 หลายเดือนก่อน +3

    👏👏👏👏

  • @kigomamaranathagospelchoir2642
    @kigomamaranathagospelchoir2642 3 หลายเดือนก่อน +2

    CCM wanajua kukombiza mienge ya moto ya kichawi

  • @PendoSamson-rr8uy
    @PendoSamson-rr8uy 18 วันที่ผ่านมา

    Tanzania kwanza

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤

  • @alexmwanioti6390
    @alexmwanioti6390 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hata wao wanajua kuwa huyu mwamba ni kichwa ila wanajizima data

  • @francisdeomassawe6307
    @francisdeomassawe6307 4 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @GabrielPetro-lx2uw
    @GabrielPetro-lx2uw 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maoni mazuri Kwa maendeleo ya taifa letu

  • @wilirkikereti8882
    @wilirkikereti8882 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Mh. Mbunge aisee milele

  • @ManaseMasawe
    @ManaseMasawe 3 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee huyu mwamba ni MTU Na nusu

  • @Incredibleone7426
    @Incredibleone7426 3 หลายเดือนก่อน +2

    Chuma

  • @IpyanaSolomon
    @IpyanaSolomon 3 หลายเดือนก่อน

    Mama ivi humuoni askofu Gwajima kweli? Mjaribu ni wizara moja ata mwaka mmoja uone,uyu ni mtu na nusu

  • @sylvestrengwelu2012
    @sylvestrengwelu2012 3 หลายเดือนก่อน

    Mh.RAIS MPE WIZARA HUYU DR.HASA YA VIWANDA

  • @GodluckWiz
    @GodluckWiz 4 หลายเดือนก่อน +3

    Uyu ni BABA wa wotee

  • @MagnusMathiasi
    @MagnusMathiasi 3 หลายเดือนก่อน +1

    MTU WA ZAMAANI

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hizi mic zinaua migongo ya Wabunge

    • @JosephKayombo-e9h
      @JosephKayombo-e9h 3 หลายเดือนก่อน

      Aisee hata mimi nimeliona haziwezi kupandishwa kidogo mtu asiiname?

  • @LucasChilendu-gs6po
    @LucasChilendu-gs6po 4 หลายเดือนก่อน +2

    Watanzania weng shule hawana wanazisoma kwenye makaratas tu

  • @hajimnzava1972
    @hajimnzava1972 3 หลายเดือนก่อน

    Falume zadunia,

  • @hemedshalua2002
    @hemedshalua2002 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mzalendo wa Kweli

  • @MetalcomTraders
    @MetalcomTraders 3 หลายเดือนก่อน

    Mnaruhusu vijiti vya kutolea nyama kwenye meno vitoke china wakati ni mianzi iliyoja Mtwara na Iringa..tunaruhusu kuagiza majembe .mapanga na masepetu wakati tulikuwa na Kiwanda cha Ufi bado kidogo tutaagiza hewa na mvua toka nje..

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna wawakilishi wakiongea unatamani kusikiliza HOJA wengine wanaongea sifa za kutukuzana tu tu mara flan mara vile speech NZIMA inakuwa imejaa sifaaa na SI hoja za kuleta kubadili umaskini wa waTz , jwajima wakupe nafasi Zaid ,HATUHITAJI mtu kuwa na HISTORIA ya UONGOZI ,Bali tunahitaji KIONGOZI mwenye maoni TIJA ya KUACHA HISTORIA kwenye UONGOZI wake unaoonekana kwenye MAISHA ya waTz.

  • @idrisakyone
    @idrisakyone 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa kuwa alishindwa kusimama na imani, akakubali kuingia bungeni kwa ticket haramu kidemokrasia bc ataishia mshahara na makelele, wala hawezi barikiwa mawazo yake.
    Na TOBA INAMHUSU.

    • @tarithalusola4458
      @tarithalusola4458 3 หลายเดือนก่อน

      Wew NI Nani hata umhukumu mtumishi wa Mungu

  • @elicktilia4430
    @elicktilia4430 3 หลายเดือนก่อน

    We super ila macho yetu ni shida kuona

  • @senteukimanyim316
    @senteukimanyim316 3 หลายเดือนก่อน +1

    😅

  • @OswardMadege-gd7yo
    @OswardMadege-gd7yo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi watangulize uzalendo wa nchi bila kuona utapata nini, shida hizo materials imported zina walaji bila shaka kwa kuwa huwezi nunua chakula nje ya nyumba yako wakati ndani unacho

  • @josephkasagula4535
    @josephkasagula4535 4 หลายเดือนก่อน +4

    Haya mnayo yazunguma mbona hatuoni mabadiliko,watanzania tunakosea wapi

    • @ErizicDaud
      @ErizicDaud 3 หลายเดือนก่อน

      Tatizo hao watoa vibali vya hizo bizaa Wana pewa mpunga mlefu Sana na wenye viwanda huko inje na inchi yetu inavishelia vya hovyo Sana havina hata maana hasa upande wa maziwa na bahari wezao wangapi kazi wao et utali chimba tu.kama Shelia za kuvua samaki utafikili samaki wa tz tu Malawi Wana vua Hadi mayai kwetu Sasa utakuta kuzaliwa

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 3 หลายเดือนก่อน

    Gombea URAIS maana mara zote umebeba ILO WAZO ,SHIDA YA WIZARA ZOTE ZINASHINDANA KISIASA KUONESHANA UMWAMBA ,
    HAWAJUI TU KUWA SISI WANANCHI HATUHITAJI KUONA UMWAMBA WAO WA KISIASA TUNATAKA KUONA MATOKEO YANAYOJITETEA YENYEWE NA SIYO WAO KUTUSOMEA WAKATI HAVIONEKANI . TZ ITAWALIWE UPYA TU

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 4 หลายเดือนก่อน +1

    Karibu unarudi kutuomba kura ndio unayaona hayo? Miaka minne yote umewasifia. Badilika kwanza wewe , kama mtumishi wa Mungu uache unafiki. Mengine yatakaa sawa.

    • @MerereJr
      @MerereJr 4 หลายเดือนก่อน

      Sio lazima kuonyesha kuwa wewe huna akili, askofu Gwajima siku zote hii ni ombi lake kwa muda mrefu. Sasa wewe unarukia tu mambo usiyoyajua.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@MerereJrgwajima hana lolote ni freemason tu na mtu muongo na mpiga madili

    • @meryevance6744
      @meryevance6744 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe nimjinga usigeogea mapepo yako

    • @tarithalusola4458
      @tarithalusola4458 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe NI wivu tu kwani ameanza Leo kuongea kama humpendi wewe nyamaza wengine tunafurahia anavyotusemea

  • @geofreychitamu366
    @geofreychitamu366 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shida siyo nchi,bali namkumbuka mwl jkn,namnukuu,ili nchi iendelee inahitaji vitu 4,watu wapo,ardhi ipo,siasa safi?uongozi bora ?,tunatokaje hapo ktk nusu kwa nusu?

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 หลายเดือนก่อน

    TATIZO NI CHANZO KILICHOMUWEKA MTU BUNGENI HADI UWAZIRI KAMA ALIINGIA KWA MKONO WA MUNGU ATAKUWA NA HEKIMA YA MUNGU MAANA NI CHAGUO LAKE NA KAMA KAINGIA KWA NJIA YA MWOVU ATAKUA AKITENDA KUTOKANA NA NJIA HIOHIO

  • @eatlawe
    @eatlawe 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nafikiri katika nchi hii hakuna mtu asiyeyumba na msimamo wake. Ameshikilia swala la maono ya muda mrefu ya nchi hii! Wengi wa muda mfupi hawamwelewi kabisa maana wanachotaka ni sasa! Ila ni kama Dr Stockman katika "An Enemy of the People" ambaye alionekana kama adui wa watu kwa sababu wengi walikuwa wajinga kama sisi na wanasiasa wanatudanganya sana!

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaaaa kwelikweli

  • @ip_header
    @ip_header 4 หลายเดือนก่อน

    Amezungumza vzr, tatizo yanasemwa mengi utekelezaji ndio tatizo.
    Hata yeye Gwajima aliweka mpango wa kuwapamafunzo vijana wa jimbo la Kawe Japan lkn mengi alio yasema haja tekeleza.
    Tunarudi palepale Tz tunawasemaji wengi watekelezaji ndio changamoto

  • @sarajngonyani
    @sarajngonyani 3 หลายเดือนก่อน

    Kwenye soda ash hapo kuna hila ya vita ya kiuchumi na wakenya

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 3 หลายเดือนก่อน

    Ebu jaribu kuchukua fomu

  • @wistonbrighton
    @wistonbrighton 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu baba ni jembe kwelikweli?

  • @drtobias_
    @drtobias_ 3 หลายเดือนก่อน

    WANAO SHAURIWA SASA HAHAHAHAHA HAHAHAHAHA

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 3 หลายเดือนก่อน

    Makofi katatu

  • @abrahammtegeta635
    @abrahammtegeta635 4 หลายเดือนก่อน +1

    Anaongea vizuri lakini jimboni kwake hana uwakilishi mzuri kabisa.

    • @meryevance6744
      @meryevance6744 4 หลายเดือนก่อน

      Tatizo sio yy nchi Aina maono jiulize kaingia lini CCM aweze kuibadirisha nchi mifumo akiwa mbunge

    • @meryevance6744
      @meryevance6744 4 หลายเดือนก่อน

      Una akiri usigeuliza hvy

    • @manethmwiyanja7654
      @manethmwiyanja7654 3 หลายเดือนก่อน

      acha Uongo sisi tupo huku

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 3 หลายเดือนก่อน

    Rais anatakiwa kuwa na maono km wewe

    • @Chef_Ammytz
      @Chef_Ammytz 3 หลายเดือนก่อน

      Haupo sahihi kinachohitajika sio maono ya Rais kinachotakiwa nchi iwe na sera elekezi zinazomwongoza kiongozi yeyote aliyepo madarakani