Gwajima "AVURUGA" BUNGE, Akinukisha BALAAA....Mwigulu ASHINDWA Kujivumiliaaaaaaaaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 220

  • @uhurunamaendeleo6127
    @uhurunamaendeleo6127 4 หลายเดือนก่อน +21

    Mweshimiwa Mwigulu wewe unapenda kodi zaidi kuliko mali ghafi za nchi yetu. Amwelewe Mch Gwajima anachoongea. Rell imeshajengwa kwa gharama na uwezekano wa kupunguza gharama ndo imeisha. Gwajima Mungu Akubariki sana.

  • @PhilomenaStephen-qr9ff
    @PhilomenaStephen-qr9ff 3 หลายเดือนก่อน

    ASKOFU GWAJIMA NAKUPENDA SANA.
    MUNGU ASIKIE MAOMBI YANGU MUNGU AKUTEUWE MWENYEWE KWA NJIA ZAKE UWE RAISI KWA JINA LA YESU.

  • @paulsimon9871
    @paulsimon9871 4 หลายเดือนก่อน +5

    Vichwa smart Bungeni ni pamoja na Gwajima, Luhaga Mpina hawa jamaa hawaogopi sura ya mtu wanaongeaga fact siku zote hakuna uchawa, Super Gwajima

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 4 หลายเดือนก่อน +13

    Kama mimi ni mwenyekiti Mwigulu kaaa chini unapoteza muda wa Gwajima

    • @mzengimarkus34
      @mzengimarkus34 4 หลายเดือนก่อน +3

      Kama kichwa kibovu cha Mwigulu kitatumika kuongoza hata mkoa moja tu ndani ya Nchi hii, hali itakuwa mbaya zaidi.

  • @mugishadavidsengati5119
    @mugishadavidsengati5119 4 หลายเดือนก่อน +5

    Gwajima is very super smart Mungu akusimamie Mtumishi anakili sana huyu jamaa maono ya miaka mingi hutuongoza kujua tunachotaka kufanya

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 4 หลายเดือนก่อน +9

    INAFIKIRISHA SANA....MBONA MH. ZITTO ALISHAYASEMA HAYO MIAKA ILIYOPITA....SERIKALI YA CCM IKAZIBA MASIKIO!

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts 4 หลายเดือนก่อน

      Zito alikua jembe jingine, tena sana, hakutakiwa atoke nje.

  • @shirimaoliva7695
    @shirimaoliva7695 4 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa mchungaji Gwajima ,, ni raha Hofu ya Mungu uwepo pia Bungune

  • @obadiamhagama1281
    @obadiamhagama1281 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nice tunahitaji maono ya Nchi ili tusiwe omba2 kwa nchi nyingine

  • @EdwineMuebrania-bc6ov
    @EdwineMuebrania-bc6ov 4 หลายเดือนก่อน

    A guy is very smart and intercultural .very good Mr gwajima

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 4 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu mwigulu ndio majizi yanapinga Kila kitu hatukutaki wewe

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 4 หลายเดือนก่อน

    Gwajima ana akilinyingi sana, huyu ikimpendeza Mungu na mama akimuona basi uwaziri ni saizi yake...ni mzalendo wa kweli

  • @rosecmabula5080
    @rosecmabula5080 4 หลายเดือนก่อน

    Aiseeee gwaji boy kama gwaji boy Mungu akuweke baba huna baya dhamila yako inaonekana ni njema Sema tu Kuna watuuuu hawapendi ukweli kwasababu wao wanakula na kuvaaa na kuishi na kwenda wanapotaka na kufanya wanalo taka bila kujali mwananchi mliopa kodi na tozo ambazo iliyamkini wangezilipa wao

  • @sagy1239
    @sagy1239 4 หลายเดือนก่อน

    kinachotakiwa chuma kichimbwe usimbishie maono anayosema gwajima ni upande wa chuma chimbeni sio maneno maneno tu😂😂😂

  • @BentleyB-d3u
    @BentleyB-d3u 4 หลายเดือนก่อน +6

    "Ninapo changia muda unaisha Itabidi niombe kanuni muda Unapo pungua inakuwaje" gonga like

  • @SillinusNyanda
    @SillinusNyanda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mweshimiwa waziri ni sawa.Je hayo maono yanakuwa reviewed.Ni lazima ifanye kwa muda husika.Ukweli watendaji vitu vingi viko kwenye makatasi tu.Tujitahidi tufanye kwa vitendo na kwa sahihi.Asante

  • @placidchaka214
    @placidchaka214 4 หลายเดือนก่อน +3

    Asakofu,ninakukubali sana.
    Kuna siku za nyuma,Mchora Katuni mmoja magazetini,aliwahi kumchora Omba omba maalufu nchi aliyekalia Kigoda cha Dhahabu huku akiomba,"Saidia Masikini. Dhahabu,akiomba,"SAIDIA MASIKIN".Ndipo Mzungu akatokea na kumpa shs:Elfu tano na akam'badilishia kile Kigoda cha dhahabu na kumpatia kiti kikubwa cha "plastiki".Hapa ndipo Askofu anajitahidi kuwaeleza Viongozi wahusika nchini kwa hekima ya Ustaarabu wa hali ya juu.
    Viongozi,kwanini hatuoni mbali na kuzidi kutenda Uongozi wetu kimazowea kama jana na juzi?Msiwe kama Matonya Omba omba maarufu nchini.
    Asante kipanya hotuba.zako katika tamsilia ya katuni zinajitokeza kuwa endelevu.Zitatuamsha.

  • @evaristcm2734
    @evaristcm2734 4 หลายเดือนก่อน +7

    Serikali ijayo itakuwa moto sana. Askofu Gwajima hayuko peke yake. Wapo wengi. Waliokuwa wakipata nafasi ni wale ambao hata viwanda vya pamba havipo. Mipango mibovu. TUNATAKA TUME HURU NA KATIBA.

  • @onesmoeliasi3269
    @onesmoeliasi3269 4 หลายเดือนก่อน +1

    Gwaji ni smart sana ni mtu na nusu wachache wanaweza kumuelewa

  • @TheKaswahili
    @TheKaswahili 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nakubaliana na hoja ya Mheshimiwa Gwajima

  • @mtengelamtengela1496
    @mtengelamtengela1496 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Gwajima kuwa upande wa wananchi

  • @sospeterurassa9894
    @sospeterurassa9894 4 หลายเดือนก่อน +4

    Zito kabwe aliyasema mapema,ni utashi wa maono ya viongozi hapa tulifeli

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 4 หลายเดือนก่อน +1

    IQ za watu huwa zinatofautiana sana na ndiomana kuna fast leaners na slow leaners mfano huyo jamaa pale ni dhahiri kwamba IQ yake ni ndogo sanaaa hasa kwenye kufikiri (critical thinking) nadhani anachokiweza zaidi huyo mjomba licha ya nafasi yake ilivyo kubwa ni kubuni tozo kusifia na kutetea vitu vinavyotufanya tuendelee kubaki nyuma. Kwa mfano mimi ni mjinga darasani mjinga mwenzangu anakopi kila nachokiandika, je yatosha kunifanya nijisifie mimi ni mjanja wakati kila mtihani nafeli? Jibu ni no viongozi wetu wengi thinking capacity is a big problem.

  • @JohnMashamba
    @JohnMashamba 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mch,Gwajima Mungu akubariki,ni lazima kuwa na umoja na mpango wa viwanda uendelezwe.

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 4 หลายเดือนก่อน +9

    Mwigulu we ni mjinga tu mpiga madili tu swala hapo ni umwisho wa matumizi ya makaa ya mawe

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gwajima Waziri mkuuu makonda rais au Gwajima Rais makonda waziri mkuu Naomba Mungu atende tumachoka na wasokua na maumivu na Nchi ni mtazamo wangu tu

  • @mkushiinafricatvonline3309
    @mkushiinafricatvonline3309 4 หลายเดือนก่อน +1

    Gwaji boy ni bora kuliko mawaziri mia, naona mwigulu anajing'atang'ata tu itabidi badae ajisikilize alichokuwa anaongea atajidharau kweli

  • @DrpeterTngayanimo
    @DrpeterTngayanimo 4 หลายเดือนก่อน

    Gwajima uko. Sahihi sana mtumishi baadae nitakuita mbunge.

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 4 หลายเดือนก่อน +1

    Anachosema gwajima wapinzani walisema San kipind wapo bungen laki wakakaz makalio hapo hamn kitu wazee wangu ,mbuzi na gitaa

  • @alphoncehanura6697
    @alphoncehanura6697 4 หลายเดือนก่อน

    Tanzania mara nyingi tunakurupuka tu ... Zitto aliyasema vizuri sana zaidi hata ya Gwajima,moja kupeleka sgr Mwanza badala ya Kigoma kwenye mzigo mwingi toka Drc,
    Pili ilikuwa hiyo ya Liganga na Mchuchuma alitumia neno "fungamanisho" la reli na chuma, lakini serikali isiyo na maono ya mbali.

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 4 หลายเดือนก่อน +1

    Gwajima ameendelea kuishi kweny uafrika kwanza ana madini mengi kichwani,bimukubwa afanye kuacha kugombea tunampitisha mchungaji fasta

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 4 หลายเดือนก่อน +3

    Daah gwajima nomaa sana verry verry verry

  • @arnoldbenedict3894
    @arnoldbenedict3894 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hii akili kubwa ya mheshimiwa Gwajima waziri tutolee kelele zako

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee gwajima huwawez hao mafisad.wao wamekaa kutekeleza matakwa ya wamagharib tuu.cc waafrika ni watumwa wa wzungu.😂😂

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sipati picha inchi iwe na viongozi wajuu kama gwajima,majaliwa,makonda,sabaya,Dr.asha migiro duuu Tanzania itapaa kwa haraka

  • @dennisnjonanje62
    @dennisnjonanje62 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sema ukweli wewe, HATUPO PAZURI 😂😂

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema, Tupo na Wasio na UPEO, FIKRA FUUPI.

  • @JohnMacha-cd9cc
    @JohnMacha-cd9cc 4 หลายเดือนก่อน

    Gwajima hongera kwa mawazo mazuri bungeni mipango hiyo ndiyo haswa inayohitajika

  • @ماجكموزجوني
    @ماجكموزجوني 4 หลายเดือนก่อน

    You're right Mr Gwajima BUT some project could take longer than what you think if you want to rely on resources from home.
    Some project have to be done first and pay the huge bill but will be compensated by getting back from the sale of what you're talking about.
    Remember steel project would have be done by another contractors not the ones who built the railways.
    You're right but if there is steel, nothing has been lost. We can still get the steel and sale to get our money back and use for other project. Some projects don't need to wait. Have to be done ASAP and feel the pain and eat fruits later.

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wazir hapo amna kitu anapiga porojoo tuu hapo uyo jaman anawaza kupiga ela tu na kula bata basss amna kitu hapoo

  • @giftlwae953
    @giftlwae953 4 หลายเดือนก่อน

    Uwenda mipango hipo, lakin bado matendo. Kwaiyo tupendelee matendo zaid kuongea ongea

  • @markoesombo8440
    @markoesombo8440 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yale Mchungaji anavyosema ju ya mchuchuma na liganga Nzito Zubaheri Kabwe alivinzungumuza tangu zamani kama miaka inne.

  • @KevinJohn-tf4gv
    @KevinJohn-tf4gv 4 หลายเดือนก่อน

    Maono gani mlio nayo sas,akuna m'mbunge mwenye maono apo.
    Nyie asingepita Magufuli apo pasingekuwa na chochote,akuna inchi yoyote ambayo inachukulia mfano kwa inchi ya Tanzania,nyie ndo mnachukulia mfano kwa inchi zingine.

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 4 หลายเดือนก่อน +1

    mara nchi yetu haina maono ya mdamrefu,mara haijawahi kuwa na maoni

  • @Fatma-up9qs
    @Fatma-up9qs 4 หลายเดือนก่อน

    I am not this guy's fan, but kaongea ukweli mtupu...( na sio leli ni reli, na sio Palis ni paris). Naona "R" zinamshinda

  • @dominarwechungura5797
    @dominarwechungura5797 4 หลายเดือนก่อน

    Mpe maua yake Gwaji boy

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi vyie CCM Bado mnataka mwigulu nchemba aendelee kutuongoza watanzania wote 2025..nk inaonyesha pamoja na elimu aliyokua nayo Bado hajamsaidi nifinyu wakuwaza😢😢😢 au kuona

  • @paulsimon9871
    @paulsimon9871 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwigulu alikua anaongea nini labda 😂 mzee wa trat na trap hana jipya huyu mzee

  • @MsafiriMleza-gu4py
    @MsafiriMleza-gu4py 4 หลายเดือนก่อน +1

    Gwajima super sana

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Gwajima anajua mambo ya Mnya'az Mngu!!😊

  • @eliudykaimu
    @eliudykaimu 4 หลายเดือนก่อน

    Nimesikiliza mpaka mwisho mchungaji kaongea pont sana ila najiuliza picha iliotambulisha mbona haiendani na kilichoongelewa mtoapost akili yako iko vizuri kweli au una mtindio wa ubongo

  • @aronesamson3692
    @aronesamson3692 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wazili.unaongea nn bwana Aiseee hatutakiwi kua hapa tulipo fika punguzeni wizi ili tupige hatua hii Nchi ni tajili mno

  • @DicksonSamwel-uj7iu
    @DicksonSamwel-uj7iu 4 หลายเดือนก่อน

    Gwajima ahsante unamaono makubwa sn, Mwigulu atulie

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 4 หลายเดือนก่อน

    Daaa gwajima wew ni kichwa sana sio kilaza una umagufuri fulani

  • @eatlawe
    @eatlawe 4 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu ni mwongo! 2025 ndio nini? Kitu gani kimefanyika? 2025 inaisha na nyingine ndio inafikiwa ya 2050. Hona hoja ya kumpinga Dr. Gwajima.

  • @LivinusMwinuka
    @LivinusMwinuka 19 วันที่ผ่านมา

    Waulize ccm,chadema walishauli.wakaonekana vinyago.

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 4 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri Mch! I salute you!❤

  • @isackmsuya3556
    @isackmsuya3556 4 หลายเดือนก่อน

    Sema baba wapone

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose 4 หลายเดือนก่อน

    Sifaham kama mweheshimiwa mwigulu anafaham anacho sema gwajima? Kama kungekua na mipàngo ya mda mrefu Reliyetu mpya kwa sasa ingekua inasafirisha mizigo! Imezimwa kwa sababu ya maroliiiiiiiiiii wananchi msifikirie hatujui?

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 4 หลายเดือนก่อน +3

    Akili ikihamiya tumboni inakuwa ugonjwa ccm ni wapumbavu wote

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania aina mfano wowote inaviongoz wa ovyo sana

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 4 หลายเดือนก่อน

    Dah! Maisha yanakwenda kasi Sana!! Leo Gwajima unasema Magufuli hakuwa na maono Wala mipango ya muda mrefu wakati ulikuwa unasifia kila kitu na kumdharau mtangulizi wake na kumsema vibaya hadharani!!! Muogope Mungu mzee, huko aliko Magu anakusikia na anakujibu Ila tu huwezi kusikia kwakua mupo ulimwengu tofauti.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe Mwigulu unajigamba tu hakuna kitakacho fanyika ni kusema hana lo lote Mwigulu hapendi hata kujifunza. Mwigulu ajidai anajua kila kitu. Wewe ulisha kaa Kenya si unajigamba tu Umeisha kwenda kwa Kagame ujione.Hivi kwa Game aje kukopi nini hapa ukienda kila Inchi zinazo tuxunguka watucheka sana huku Mwigulu akijidai. Ukiongea na wale waliopiga hatua ukijidai hivyo atakuambia nini zaidi ya kukudanganya kuwa wanakopi wakopi nini?

  • @EvaristKway
    @EvaristKway 4 หลายเดือนก่อน +3

    Umeonysha nia lkn mpingakristo hakuwa mbali hii miaka ya sasa nchi inarudi nyuma kimaendeleo kwaajili yake lkn hajui anachokifanya ilimradi aonekane nayy yumo

  • @simonerasto6044
    @simonerasto6044 4 หลายเดือนก่อน +1

    GWAJIMA... THE NEXT PRESIDENT

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa jima apewe hii nafasi ya mwigula😀👍🏿

  • @CK-ri1mo
    @CK-ri1mo 4 หลายเดือนก่อน

    Nimeonakofia ya Mzee kicheche starting Makoti😂😂😂

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bila viongozi bora Tanzania itaangamia

  • @alfredfuteh573
    @alfredfuteh573 4 หลายเดือนก่อน

    Ndugu yangu Mwigulu, unaweza ukawa na manati ukamwona ndege ukamtungua na manati. Lakini je, ulipanga kumpiga ndege wa kula au kungulu? Kila kitu kwa mipango. Usiwafundishe wakazi wa Ubungo Kibangu kuvua pweza wakati hawana bahari badala ya wakazi wa Mafia ingawa wote wako pwani. Wataalamu wa mipango wanajua hilo.

  • @PhabianYasih
    @PhabianYasih 4 หลายเดือนก่อน

    Maono ya nchi yako kwenye katiba tu, kwa sababu ndiyo dira ya kutuongoza hajlishi kiongozi atatoka chama gani

  • @PeterJacksom
    @PeterJacksom 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kwele pastor

  • @samorasanga2230
    @samorasanga2230 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tungebahatika kuwa na wabunge wawili tu kama Gwajima nchi ingesonga mbele

  • @sagy1239
    @sagy1239 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂gwaji boy

  • @ZachariaNicodemas
    @ZachariaNicodemas 4 หลายเดือนก่อน

    Sikia jina mwigulululu aina ya mizizi inayoota maeneo ya chooni , pale alipojisaidia mtu kichakani pia huota iyo mizizi mwingulu! , majina mengine laana tusiwaite watoto jmn😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @EmmanuelKishiwa
    @EmmanuelKishiwa 4 หลายเดือนก่อน

    Hili bunge hili duuuh Aya sawa Mimi nipo sina Cha kusema zaidi ya hili Kwa kweli.....

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna viongozi wengine aise basi tu, pongezi kwako gwajima wengine wanawaza tu kusifia hata visivyosifika, hivi mmemuelewa huyo jamaa taarifa aloitoa ni ya ki...ku... kiasi gani!

  • @abduljuma7807
    @abduljuma7807 4 หลายเดือนก่อน

    Hamuwezi kuchimba mpaka mjitoe kwa wamagharibi Gwajima unajua ndio hawataki tuchimbe kajiungeni na Mrusi wazungu Hawa taruhusu hakunachamaono tuwakatae kwanza wazungu

  • @MwatijaFikoti
    @MwatijaFikoti 4 หลายเดือนก่อน

    Gwajima sema tu napa ni katiba mpya Ili kuweka mambo sawa.

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 4 หลายเดือนก่อน

    Wakaaji wa Dar -Es Salam wana mabalabala ya ajabu. Polike ya inchi mbalimbali za africa ni maajabu.

  • @HorizonLtd-ty7ep
    @HorizonLtd-ty7ep 4 หลายเดือนก่อน

    Gwajima unauwezo mkubwa sana wa kufikilia Mungu akutangulie sana
    Na hii nchi huwa haipendi kutumia viongozi wenye maono kama gwajima sijui kwann?
    Ukweli ni kwamba Taifa hili likitambuwa michango ya kina gwajima nakufanyia kazi mawazo yake hili taifa litaimalika sana.
    Tukubali kushauliwa Tukubali kubadilika
    Sasa wewe mwigulu kwani ukipokea ushauli mzuri wa gwajima utapungukiwa nin?

  • @MariamBunyenyi
    @MariamBunyenyi 4 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu nchemba 2025 out wakikuchagua basi singida mazuzu

  • @kamadollar.
    @kamadollar. 4 หลายเดือนก่อน

    Anabaki anapiga kelele za maono maono badala ya kujata straight VIONGOZI WASIO WAADIRIFU. Watu wana jua na wa mechoka.

  • @eatlawe
    @eatlawe 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndio anafaa kuwa rais wa nchi hii siku moja! Kila mara amezungumzia maono! Yaliyoko kwenye makaratasi ni ya muda mfupi! Ila ukinunua nje kuna faida kwa wanunuzi!

  • @giftlwae953
    @giftlwae953 4 หลายเดือนก่อน

    Matendo ni vyema kuliko kuliko maneno. Viongozi wafanye kama mabubu ili wafanye

  • @damaschengula1433
    @damaschengula1433 4 หลายเดือนก่อน

    Ngwajima yupo sawa nashangaa kiongozi anapinga nini, ukweli na havifungamani.

  • @emanuelpetro9591
    @emanuelpetro9591 4 หลายเดือนก่อน

    Kikao hiki ni cha muda mrefu leo unatuletea ukijidai ni habari mpya jitathimi bwana unatumalizia mb,we fikiria wakati huo huyo mama alikuwa bado hajawa spika.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanajua wanachokifaya ni discount na two percent wao ni wapigaji wazuri lazima kiongozi awe kichwa vinginevyo wahuni ni wengi

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimezariwa inazungumuziwa liganga ba mchuchuma na mwigulu alikuwa mtoto zaza anazeeka mimi na mshauli mwiguli asinge changia hoja ya kujitetea huku anatete udhaifu wa mipango ya selikal ivi ni nan aliwaloga watendakazi w selikali yetu hawan wanauchungu wa kinafik tu ?

  • @madreks253
    @madreks253 4 หลายเดือนก่อน

    Wabunge wengi ni maneno tuuuu na jazba, tena wanaofoka sana hawafanyi kitu...nothing new, kila Bunge same story, too much longolongo with no actions...only a few like Minister Basher ndio wanafanya kazi....

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 4 หลายเดือนก่อน

    Haya yote Gwajima kayakopi kutoka kwa Zito Kabwe alisha yaongeabhaya miaka kadhaa iliyopita.

  • @OmariGamuya-dz2oo
    @OmariGamuya-dz2oo 4 หลายเดือนก่อน

    This is very very true

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shida viongozi si wazarendo,wako kwa ajili ya vibaraka wa kizungu na waarabu

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mwigulu jambazi hili silipendi

  • @akwanzamtenga2174
    @akwanzamtenga2174 4 หลายเดือนก่อน

    Gwajima Ana point. SGR ilitakiwa itengeneswe na chuma ya liganga

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 4 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji anaongeaga madini tupu, hawa ni wazalendo halisi

  • @goodluckjackson5564
    @goodluckjackson5564 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ugombee Urais mwaka 2025

  • @ellymaz2187
    @ellymaz2187 4 หลายเดือนก่อน

    Hivyo ndivyo wabunge wanapaswa kuchangia hoja. Bahati mbaya humo ndani sijui kama Wabunge wa namna hii wanafika 20.

  • @rajabumwagalazi8786
    @rajabumwagalazi8786 4 หลายเดือนก่อน

  • @YasintaRaphael
    @YasintaRaphael 4 หลายเดือนก่อน

    Gwajima mtu alliyeiona kesho

  • @saudashabani1560
    @saudashabani1560 4 หลายเดือนก่อน

    mwigulu unapoteza muda aiseee Gwajima ana madini sana

  • @NUSRARAMADHAN-wm5qy
    @NUSRARAMADHAN-wm5qy 4 หลายเดือนก่อน

    Gwajima ni kiumbe atari sana