Tulicho Beba,Askofu Maboya,Mtume Mwamposa,Nabii Suguye Lazima Watupige (Askofu Gwajima)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Kuendelea kupata mafundsho mengine zaidi ya neno la Mungu,tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#DrElieWaminian#MwangaWaAkili.

ความคิดเห็น • 104

  • @benjaminkapelah7664
    @benjaminkapelah7664 2 ปีที่แล้ว +3

    Bundle langu linaisha vizuri kwa kusikiliza maneno ya watumishi wa Mungu nabarikiwa

  • @yoshuasalum8623
    @yoshuasalum8623 4 ปีที่แล้ว +5

    Baba yangu askofu Gwajima, Mungu akupe maisha marefu, akutumie zaidi kama alivyokukusudia. Aaaamen, wewe ni mtu muhimu sana kwenye injili ya wakati huu,

    • @chulelubella2819
      @chulelubella2819 6 หลายเดือนก่อน

      Umepotea ameshaasi anafanya nini huku Kwa matapelli

  • @DavidoWaukwel
    @DavidoWaukwel 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde sana asko me nakupenda sana askofu

  • @adeliphinamussa3085
    @adeliphinamussa3085 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu bhn kinachomsaidia aeleweke anaakili nyingiii sana so pia nampenda,, anauwezo mkubwa wa ushawish

  • @mganafredh186
    @mganafredh186 4 ปีที่แล้ว +4

    Bishop Gwajima upo juuu... Ufahamu wako habari za Mungu ni neeema tu uliyopewa na Mungu mwenyewe

  • @annamlaponi9454
    @annamlaponi9454 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa mno umoja wa watumishi wa Mungu,hakika kazi yenu ni njema.Ameen.

  • @sofiaantonioantonio7265
    @sofiaantonioantonio7265 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana Kuhani wa Bwana yesu kristo Askofu Gwajima misichomoki kwenhe mafundisho yako yamenifanha niwepo mpaka leo!

  • @graceluvinga190
    @graceluvinga190 3 ปีที่แล้ว +2

    Watumishi mungu awabariki sana kwa kongamano walioitwa wajulikane pia gwajima ajiande kugombea urais wa nchi wananch tunamkubali pia mungu amemkubali ameni

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah mpaka nimeliaaa nimeelewaaa sanaaa leo nimebarikiwa sanaa Amenn

  • @mwinjilistisinwaobadia2736
    @mwinjilistisinwaobadia2736 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi Bwana aendelee kukutumia

  • @user-xt3co7sy9p
    @user-xt3co7sy9p 4 หลายเดือนก่อน

    Amina sana baba

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 4 ปีที่แล้ว +6

    Anayewapinga Hawa , Mimi nitawaombea tu Gwajima upo sawa , sijakosea kukusikiliza

  • @mwendadalus2329
    @mwendadalus2329 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki sana watumishi Mungu nimependa sana umoja wenu hakika taifa kitapona sasa na kuwa na umoja

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Mungu amechagua mtu mmoja ameinuliwa leo katika siku ya Bwana, Isaya 41:1-4.

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana dady wangu! ubsrikiwe na Bwana!

  • @prophetshukurumongela3085
    @prophetshukurumongela3085 11 หลายเดือนก่อน

    Asanteeeeeeee Kwa Maarifa haya Mtu wa Mungu

  • @raimundozacariasjonas7426
    @raimundozacariasjonas7426 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba Yangu Mungu Akubariki sana 🇲🇿

  • @juliusmabuga1518
    @juliusmabuga1518 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakuelewaga sana Askofu gwajima

  • @user-bt9cm4cj4i
    @user-bt9cm4cj4i 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo gwajima umekosea kuwainua manabii wa uongo juu kumbe na wewe nimmoja wao

  • @Prothelogic
    @Prothelogic 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaa bishop Gwajima highly capacity plus greater IQ be blessed

  • @winfridaremmy2252
    @winfridaremmy2252 4 ปีที่แล้ว +1

    Anaelewa Na aelewe.....Glory to god

  • @user-xe3fo1bh5s
    @user-xe3fo1bh5s 9 หลายเดือนก่อน

    Bwebwe za gwajima zinaweza kukufanya umwone wa maana au ujiulize alikua wapi sikuzote kumbe mshamba mmoja sana aliye ona afanye utapeli kupitia dini

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 2 ปีที่แล้ว +1

    Haleluya. Thank you so much daddy Gwajima.

  • @prophetshukurumongela3085
    @prophetshukurumongela3085 11 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeen

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Inafahamika kuwa kweli ninyi ni mitume, lakini ni kuwa mtimize, habari za manabii wengi wa uongo, hivyo mlitengwa ili kutimiza NENO la BWANA kuwa watatokea wengi wa uongo.

  • @bukuruphilibert2968
    @bukuruphilibert2968 2 ปีที่แล้ว +3

    Tuachane na yote huyu gwajima Ana akili kubwa sanaa

  • @Dottopeche
    @Dottopeche 4 ปีที่แล้ว +1

    gwajima is talented

  • @noelpaul640
    @noelpaul640 2 ปีที่แล้ว +2

    Powerful Revelation

  • @zeddybass6672
    @zeddybass6672 ปีที่แล้ว

    Gwajima 🔥🔥🔥sana🙏🙏

  • @servantjosiahtv3129
    @servantjosiahtv3129 4 ปีที่แล้ว +3

    Umoja huo unanibariki

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni sehemu ya Maombi yangu kuona Wana wa huduma mbalimbali wanaongea lugha moja

  • @user-zs6ef5wq9p
    @user-zs6ef5wq9p 6 หลายเดือนก่อน

    Herufi J kwenye Moja na mbili

  • @aprgg
    @aprgg 4 ปีที่แล้ว +2

    Very Powerful Revelation!

  • @tmothcharles4037
    @tmothcharles4037 5 หลายเดือนก่อน

    Ameen baba

  • @zaiciousmuneer3697
    @zaiciousmuneer3697 4 ปีที่แล้ว

    Amina Baba mng akutie nguvu

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 4 ปีที่แล้ว +2

    Mpk hapo nimekuelewa kwenye fasiri ya binadamu kuwa ni roho.

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 9 หลายเดือนก่อน

    Kipi mlichokibeba Cha ukweli mmoja anauza mafuta mwingine ananua kucha na nywele Kwa hayo ndio maono Gwajima tuambie basi

  • @godisgood3590
    @godisgood3590 2 ปีที่แล้ว

    🙏amen nitakuwa

  • @evanmutegoa3408
    @evanmutegoa3408 ปีที่แล้ว

    This is Heavy🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kigomampyatv9209
    @kigomampyatv9209 3 ปีที่แล้ว +1

    AMEN AMEN

  • @alfayorgodfrey6089
    @alfayorgodfrey6089 4 ปีที่แล้ว +1

    Ooooooooh Lord! Groly to God.!

  • @apostleadamgige4662
    @apostleadamgige4662 4 ปีที่แล้ว

    Nimetiwa nguvu sana

  • @paulheko5279
    @paulheko5279 ปีที่แล้ว

    Very powerfully

  • @jeniferuroki5754
    @jeniferuroki5754 3 ปีที่แล้ว

    nakuelewa sana gwajima

  • @akanishabani5789
    @akanishabani5789 4 ปีที่แล้ว

    Injili ya namna ya kibinadamu hiyo si Mungu! Umeshindwa kumsikiliza Mungu sasa unafundisha uzushi!

    • @winniesainet8635
      @winniesainet8635 3 ปีที่แล้ว

      🤭

    • @janegeogre3234
      @janegeogre3234 2 ปีที่แล้ว

      hujui unachokiongea wewe kaa kimya!.. tena ingia uvunguni utlie hukohuko!!...

    • @emmanuelsamwel741
      @emmanuelsamwel741 ปีที่แล้ว

      Akani wa bible alilaaniwa ndio maana unaishi kwa jina hilo

    • @christophermbembati1854
      @christophermbembati1854 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelsamwel741 MUNGU wa mbinguni amsamehe huyo kijana

  • @lightmoshi3131
    @lightmoshi3131 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jacobkassim3642
    @jacobkassim3642 4 ปีที่แล้ว +1

    Umoja wenu. Nimeukubali .japokuwa sikubaliani fundisho lenu potofu

    • @georgematanga4865
      @georgematanga4865 4 ปีที่แล้ว +4

      SIO RAHISI UKUBALIANE NA MAFUNDISHO YOTE MFANO KUNA KKKT, RC, MASHAHIDI WA YEHOVA, WASABATO n.k Tanzania ina watu wengi sana unadhani ni rahisi wote wasali kanisani kwenu? kutokukubaliana na fundisho haimanishi ni feki ila UFAHAMU WAKO UMEISHIA HAPO.

    • @sharondivine8994
      @sharondivine8994 4 ปีที่แล้ว +1

      Soma maandiko Na muulize Roho Mtakatifu, usiikariri mafundisho yako

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 4 ปีที่แล้ว

    Sure Bishop

  • @bishopdrchiefmwakilima8520
    @bishopdrchiefmwakilima8520 4 ปีที่แล้ว

    Glory to God

  • @mathiaspmashibe5696
    @mathiaspmashibe5696 ปีที่แล้ว

    Huo wimbo mwisho kaimba nani

  • @mafunzo
    @mafunzo ปีที่แล้ว

    Huu wimbo uliibwa na nani

  • @joshuantagala2872
    @joshuantagala2872 4 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo ,wakati manabii wa bahari wanatamba Eliya alibaki pekeyake nabii wa Bwana ...na upumbavu wa kina yane na yambre itakua dhahiri mbele ya watu wote ni swala la Muda tu.........Manabii wa bahari kumbukeni Mungu wa Eliya yu hai

    • @paskalibenedictor6291
      @paskalibenedictor6291 4 ปีที่แล้ว +1

      Unyenyekevu nikitu chathama Kaenichini mjifunze Bado mnahitaji Maziwa ya Akili ili mpate kukulia wokovu

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 4 ปีที่แล้ว

      Hamna mababii wanaoitwa bahari wewe Soma vizuri biblia yako..

    • @msafirigombo9924
      @msafirigombo9924 4 ปีที่แล้ว

      Umoja huu nimeupenda sana na jumbe za watumishi wa Mungu nimezipenda sana.Kwa umoja huu kuna vitu vikubwa Mungu atavifanya katika Taifa letu.

    • @sylvestermalisha5292
      @sylvestermalisha5292 4 ปีที่แล้ว

      Bahari ni nani??
      Na nabii wa bahari ni nani hapo??
      Tujuze tafadhari!!!

    • @christophermbembati1854
      @christophermbembati1854 ปีที่แล้ว

      @@sylvestermalisha5292 huyu mjinga anamaanisha ati hawa watumishi ni wa uongo, MUNGU was mbinguni amsamehe.

  • @elishashillah9776
    @elishashillah9776 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo wa mwishoni ni wa nani? Nautaka kuudownlod, nisaidie pls

  • @jacobkassim3642
    @jacobkassim3642 4 ปีที่แล้ว +3

    Napingana na gwajima .Mimi sihitaji kumjua shetani ana nguvu gani .ninachojua Yesu yuko juu ya nguvu zooooote Ushindi Wangu uko ktk Jina LA Yesu

    • @denisjohin8052
      @denisjohin8052 4 ปีที่แล้ว +3

      Ili upambane na adui yako, lazma ujue nguvu alizonazo au silaha alizonazo ili ujue unaanzaje kupambananae,,askof Yuko sawa

    • @geofreyngino6163
      @geofreyngino6163 4 ปีที่แล้ว +2

      Kumbuka anaetawala dunia hii ni shetani wala sio mungu ... Gwajima yuko sawa ..... ! Soma biblia vzr

    • @georgematanga4865
      @georgematanga4865 4 ปีที่แล้ว

      Ni kwa nini Yesu hajamuua shetani? VITA VYETU SIO KTK DAMU NA NYAMA BALI NI ......... hizo ngazi zinaonyesha level ya maadui kwa hiyo vita vinatofautiana. jeshini kuna vyeo mbalimbali ukipambana na koplo ni tofati sana ukipigana na kanali wa jeshi la shetani. kuna wachawi ma lena lakini wapo wanaoweza kujigeuza mende au nyoka, TAFAKARI.

    • @gorofurodgers1404
      @gorofurodgers1404 4 ปีที่แล้ว

      Jacob Kassim

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว

      Unaemfuata Yesu au unaemuabudu?

  • @jumamahimbo683
    @jumamahimbo683 4 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji unalindwa na body gad hauna I man I😴😴😴😴

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 3 ปีที่แล้ว

    Duuh

  • @mabungopania4865
    @mabungopania4865 4 ปีที่แล้ว +1

    UBILINI INJI YA UZIMA WA MILELE NA SIO KUPAKANA MAFUTA

    • @apostleadamgige4662
      @apostleadamgige4662 4 ปีที่แล้ว +2

      Ujinga ni kutokujua neno,asiyekula asimhukumu anayekula,kama hujui neno la Mungu bora unyamaze,

    • @georgematanga4865
      @georgematanga4865 4 ปีที่แล้ว +1

      Wanahubiri sana ila wewe unasikiliza viongozi wako wanaokuzuia usione upande wa pili. Ungefuatilia mwenyewe kwa makini ungegundua mengi mazuri ambayo huko ulipo hayapo.

    • @eliusjohn385
      @eliusjohn385 4 ปีที่แล้ว

      Kupakana mafuta sio tatzo ata Mungu alikua anapaka mafuta watumish wake. Xema watumish wengne wanatumia hvo vitu kinyume.

    • @eliusjohn385
      @eliusjohn385 4 ปีที่แล้ว

      Yesu alikua anatumia vitu mbalimbali kuponya watu watu. Mfano alimwambia kipofu apake matope uson akapona

    • @eliusjohn385
      @eliusjohn385 4 ปีที่แล้ว

      Ila hawa wanatufisha. Wengne wanatumia kinyume