Ukiujua ukweli huu Hata simba hawezi kukufanya chochote!! Askofu Gwajima
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 มิ.ย. 2021
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Lucky is Tanzania for God to raise you a powerful man of God full of teachings of the holy spirit.....full of revelation........
Amen...nabarikiwa sana na huduma yako mtumishi wa mungu...
Ningependa kama pastor Gwanjima angelikuwa na huduma kama hii hapa inching Kenya.
Huu ndio Ukweli .Neema ya Kupata MAARIFA kila mwenye mwili Kamata.BwanaYesu asante sana kwa ajili Dr.
Blessed in kenya
Amen 🙏🏿🙏🏿 baraka mtu wamungu
BABA MHESHIMIWA ASKOFU GWAJIMA UNANIBARIKI MARANYI UKITOA INJILI UBARIKIWE SANA MUTU WA MUNGU
THI'S WONDERFUL SERVICE
Mungu akutunze sana
Hapà gwajima umenena,🙏🙏
Asante kwa mahibiri. Dada mnenaji nabii kazi amenena kwa lugha ndio ila tafsiri lazima iwe kwakufaidia kanisa. Pia kufuatana naneno la Mungu angapashwa funika kichwa sisemi kama mwana sheria ila awe na sura ya mujakazi inje pia ndani wala sihukumu apana kachunguze maandiko
Karama ya kinabii sasa imejidhihirisha waziwazi ndani yako Bishop Josephat Gwajima.
Shukurani sana Mchungaji Gwajima
Baba watu wote wange ishi kama mke wako bila mapambo Mungu ageonekana anatembea life kanisani eeh Mungu ubarikiwe Baba yetu Gwajima
Amen Amen dady Mungu akufikishe apendapo
NAKUONA UKIWA RAIS WA TANZANIA NA ITAKUWA KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMEN.
Ameeeeni
Amen may God bless you more grace you all in christ
❤ nimebarikiwa.
Amen MUNGU akubariki sana
Asante sana Baba kwa kazi
Ameeen a man of God
Amen mtu wa mbinguni
Ameeeeeeeeeeen aaaaaameeeeeeeeeen.
Amen.
I love you dady
Mungu akutunze
Amen
Amina kubwa
Mutumishi wa mungu amen
I am very blessed for this church
Kwa.jina la Yesu imekuwa
Mungu akuimalishe daima hakika ulizaliwa kwa ajili ya haya
Gory
UKIIJUA KWELI INAKUWEKA HURU,
Mimi ni Mwana-wa-Mungu- nimezaliwa, na Roho Mtakatifu,
Siyo mwili na mavumbi ni mavumbi,
Amina Baba nimepokea
Natamani kupata number ya mzee wangu mpendwa mheshimiwa ASKOFU GWAJIMA tafazali nisaidieni jamani
Saw
Powerful Dady
Amen amen 🙏🏾
Amen,Amen, Amen.
Kudhihilika kama mwana wa Mungu amen
Amen my Papa
Roho wa ndani inuka uawagaze
Amen .. Mm ni Roho..
Kuna huyo dada akianza kunena kwa Lugha huwa nahisi uvuvio na nguvu ya ajabu sana. Mungu azidi kumtia nguvu. Huwa napenda sana. 🔥🔥🔥
👍👋💪
Ameeen
Haleluya👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Ayayayayyayayyayayyayaya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen 🙏
Hallelujah
Aamen Aamen
Amen!
Asanteeee
Ameen mtushi wamungu gwajima
ameeeen
Amina mimi ni mtu wa mbinguni 🔥🔥
❤
Asante sana baba!
Amina!mimi ni mtu wa roho,
Amina
Ameeen. Hakika nikisema imeshakuwa
mwana wa Mungu hatendi dhambi, mchungaji anamaanisha kuwa mwamini ni mtakatifu daima na hana dhambi, sababu mwamini ni roho na roho zetu ni za mbinguni daima, mwamini kwaio usijione mtenda dhambi hata km unazitenda kimwili, Mungu hakutambui tena kimwili anakutambua kiroho, hio ndo asili yetu .
Huuu ni ujumbe kabambe unaotua rohoni tu, akili haiambui kitu.halllelujah
Aman Dady ubalikiwe
Sheria ya mwili n dhambi na mauti lkn Sheria ya Roho n uzima na aman
Hahaha mzee unaongeya kweli.tuwatosha tena watumishi wapi wakujuwa kutufuza ivi
Hiyo ni kweli Baba shetani alitupiga chenga tukamsahau mtu wa mbinguni
Amen
Ameeen
Amina
Ubarikiwe Sana na Bwama wetu Yesu kristo kwa mahuri yote na kufuata Sana Mungu akuzidishie , ila neno huburi juya utakaso watu wajazwe roho mtakatifu , kataza ule dada anaye sema kwa lugha Sana aache kusuka nywele wengine waache kuchoma waishi utakaso Aksanti mwana wa Mungu
Ubarikiwe mtumishi wa mungu, ameen 🙏
Ameeen
Amen
Amen
Amen