ASKOFU GWAJIMA ANAONGEA NA WATANZANIA | TAIFA KWANZA | 25.07.2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • WE ARE LIVE

ความคิดเห็น • 2.4K

  • @simaraphaellucas8469
    @simaraphaellucas8469 3 ปีที่แล้ว +177

    Hotuba hii iperekwe tbc na itv mpaka Rtd na Radio 1 irudiwe kila baada masaa2 ivyo imufikie kila mtazania, wazarendo tutachanga tulipie garama hizo! wazarendo tutakao changa gonga like tufaamiane!

    • @mabawamaguta6154
      @mabawamaguta6154 3 ปีที่แล้ว +3

      Waaaoooh kabxaaa kaka uko sahh ipelekwe kwenye channel mbali mbali na Radio mbali mbali iwe inarudiwa kila baada ya masaa 2

    • @onesmoelias8509
      @onesmoelias8509 3 ปีที่แล้ว +3

      Kabisa nami ntachangia Ili Kila raia aiskie hi nizaid yaspeech had namachoz yamenitoka mungu atusaidie

    • @selector728
      @selector728 3 ปีที่แล้ว +3

      Ipelekwe sio iperekwe

    • @ebraniacosmosy2072
      @ebraniacosmosy2072 3 ปีที่แล้ว +4

      Hotuba za mama hazina mashiko kama hizii..

    • @hasanipoy3976
      @hasanipoy3976 3 ปีที่แล้ว +4

      Mimi natoa milioni moja

  • @barnabaskabuzya2010
    @barnabaskabuzya2010 3 ปีที่แล้ว +56

    Hotuba Hii ya Askofu Gwajima ni hotuba muhimu sana. Iingie kwenye kumbukumbu ya Taifa. Mungu ibariki Tanzania

    • @mwalimulossilamsuya1944
      @mwalimulossilamsuya1944 3 ปีที่แล้ว

      Unapo hubiri MATHABAHUNI NI VYEMA AJIKITE KTK NENO LA MUNGU.KISHA MAMBO YA CHANJO AANDAE MKUTANO WA KISIASA KAMA MBUNGE AONGEE VILE ATAKAVYO...VINGINEVYO UDOKTA WAKE UNAKIWA WA UCHONGANISHI NA INAONYESHA UPEO WAKE WA MAONO NI MFINYU SANA..HAJALI MASLAHI YA WALE AMBAO BILA CHANJO MAMBO YAO HAYAENDI.KISHA TUONE KAMA YEYE ANAWEZA KUSAFIRI KWENDA KUTEMBELEA VIJIWE VYAKE NJE YA NCHI.."THINK DEEP BROO"..

    • @agnessantony7105
      @agnessantony7105 3 ปีที่แล้ว

      @@mwalimulossilamsuya1944 ubaya aliosema apo uko waap coz bungenii uwez ongea masaa yote ayo..Kam ujamwelewa tupishe. Kwanza

    • @victorcharlesmwakikoti8833
      @victorcharlesmwakikoti8833 3 ปีที่แล้ว

      @@mwalimulossilamsuya1944 your brain is useless

  • @jumabulula3262
    @jumabulula3262 3 ปีที่แล้ว +152

    Mwenye macho kaona,mwenye masikio kasikia,ahsante Dctor Gwajima
    Tuko pamoja nawe
    Amina

  • @abdulrahmanhassan698
    @abdulrahmanhassan698 3 ปีที่แล้ว +18

    Mimi ni muislamu ila gwajina una malipo yako kwa mungu, saut yako italipwa bila shaka, wewe ni mtetezi wa watu na unaiman kweli kiroho, Nipo pa1 nawewe Askofu Gwajima

  • @stewardjohans9989
    @stewardjohans9989 3 ปีที่แล้ว +11

    Jpm bado yupooo a legend never die naomba gwajima 2025 gombea urais mi nitakup kura

  • @martinmligo302
    @martinmligo302 3 ปีที่แล้ว +39

    Hakika umevaa viatu vya Magufuli....usiogope baba Askofu Mungu ni mkuu kuliko watu wote na chochote duniani🙏🏻

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 3 ปีที่แล้ว +93

    Hakika Gwajima wewe ni kiongozi maneno hayo tulitegemea yasemwe na kiongozi mkuu wa taifa tuko nyuma yako na Mungu hawezi kutuacha kamwe Mungu akubariki sana kiongozi wa Mungu

    • @josephtemu2633
      @josephtemu2633 3 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana mchungaji kwa kuwa wewe ni msema kweli huna chembe yoyote ya unafiki. Unafiki ndio umetawala waafrika tunaangamia

    • @stanleyrocky2278
      @stanleyrocky2278 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @bembankurunzinza7759
    @bembankurunzinza7759 3 ปีที่แล้ว +137

    Asante SANA Hon. Bishop Dr. Gwajima umenifurahisha SANA pamoja nawewe kamanda. Twende mbele Taifa Kwanza. Watu wanapewa hofu.

  • @tess_ffmarley3162
    @tess_ffmarley3162 3 ปีที่แล้ว +3

    Thank you Bishop Gwajima, for fighting for us Africans, I pray that the Lord God Almighty protects you, and all tanzanians, all burundians and others and give them wisdom to do the will of God.

  • @labnalast7551
    @labnalast7551 3 ปีที่แล้ว +4

    Asantee mwenyezi Mungu kakutumia ww baba kuokoa taifa letu,imeshakuwa ujumbe umetufikia,barikiwa

  • @hadijasaidi331
    @hadijasaidi331 3 ปีที่แล้ว +21

    Hongera sana kwa maneno yako yaliyojaa busara kweli uamsho wa maneno umejaa hekima
    Haya ndiyo maamuzi ya kujenga sio kudidimiza
    Watanzania tuamke tusikubali kupelekwa

  • @bryanninziza1245
    @bryanninziza1245 3 ปีที่แล้ว +28

    Asante sana askofu maana ujinga unaendelea nihatali
    I'm watching from united state of America 🇺🇸

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Mange kimambi yupo huko muamshe asklize

    • @victoriaerick9822
      @victoriaerick9822 3 ปีที่แล้ว

      MUNGU akulinde ngwajima unajua kutoa ujumbe saiki MUNGU muongezee maono.

  • @emanhokilinda326
    @emanhokilinda326 3 ปีที่แล้ว +23

    Nlikua sikukubali Ila kwa hili tupo pa1 like nyingi hapa kwa mwamba gwajiboy🙏🙏

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 ปีที่แล้ว +73

    Waislamu na Watanzania wote mulio ndani ya nchi yenu muombeeni dua Mungu amlinde huyu .Msema kweli siku zote anajuwa na maadui na hasa msema kweli.

  • @livingstonechurchtz8400
    @livingstonechurchtz8400 3 ปีที่แล้ว

    Utulivu wa rohoni ni matokeo chanya kutoka Kwa Mungu. Ubarikiwe sana bishop kwa Mafunuo hayo

  • @liliansamson674
    @liliansamson674 3 ปีที่แล้ว +126

    Gwajima nimekupenda bure, wewe ni mwanaume wa shoka.💪💪💪

    • @ahazimboyogo7740
      @ahazimboyogo7740 3 ปีที่แล้ว +1

      Pr uko vizr tuko pamoja

    • @ahazimboyogo7740
      @ahazimboyogo7740 3 ปีที่แล้ว +1

      Pr uko vizr tuko pamoja

    • @stellandege5594
      @stellandege5594 3 ปีที่แล้ว +1

      Bi up Gwajima

    • @christamazara1266
      @christamazara1266 3 ปีที่แล้ว +2

      Huyu co mnafki,huyu ni Magufuli kbs Mungu akulinde kbs maana watu wa haki hawapendwi

    • @aloycesimon8351
      @aloycesimon8351 3 ปีที่แล้ว

      Tukopamoja, askofu gwajima.

  • @gabrielnyanga8155
    @gabrielnyanga8155 3 ปีที่แล้ว +36

    Wahubiri wakuu wa Kenya, mbona hamuongei kuhusu mambo haya ya chanjo? Ubarikiwe Askofu Gwajima!

    • @alfrange7886
      @alfrange7886 3 ปีที่แล้ว

      They are not free thinkers...they just rely on what the western suggest and the government and they are tumbocrats too.

    • @winfridamsukuru9819
      @winfridamsukuru9819 3 ปีที่แล้ว

      Hawako huru Tanzania tumeondokewa na magufuli lkn bado tuna wengine hawa💪💪👏👏

  • @alfinmbilinyi1326
    @alfinmbilinyi1326 3 ปีที่แล้ว +18

    Tz taifa la mungu Kuna vipaji vya kulinda nchi ona huyu jamaa anavyotoa material kwa taifa lake mpaka raha.Naipenda tz yangu uko vizuri gwajima

  • @We2k7
    @We2k7 2 ปีที่แล้ว

    Amen sini Mungu anayesema ndani yakooo
    Barikiwa njo saha ya Mungu sasa kijitukuza
    Nimecanjwa apana juuu singe safiri nanirikuwa naitaji safari iyo basi Yesu anikumbuke juuu nilisababiswa
    Tuombeye kwa iyo

  • @alexandermabanda1357
    @alexandermabanda1357 3 ปีที่แล้ว +1

    B bless man of God watashindana na hawatashinda. Bwana yesu atatutetea katika namna ya ajabu we are going to live a super natural life. Amen

  • @silwimbaibrahim4535
    @silwimbaibrahim4535 3 ปีที่แล้ว +208

    Watanzania tulikuwa tunalia tutapata wap chuma kama jpm haya Sasa chuma kingine ichi hapa mungu balik gwajima

    • @loismarwa10
      @loismarwa10 3 ปีที่แล้ว +14

      Jaman munaonaje watazania wezangu kwann 2025 asipewe urais wa ichi huyu ni chuma Kama jpm

    • @silwimbaibrahim4535
      @silwimbaibrahim4535 3 ปีที่แล้ว +5

      @@loismarwa10 iyo inaeleweka lakin tuombe kwa mungu tupate lais kama gwajima

    • @NadiaNadia-gb7zs
      @NadiaNadia-gb7zs 3 ปีที่แล้ว +5

      MUNGU amuinue Gwajima

    • @jerryignarce7774
      @jerryignarce7774 3 ปีที่แล้ว +6

      Unaona mbali kaka

    • @joshuakahwa5911
      @joshuakahwa5911 3 ปีที่แล้ว +4

      Jpm no 2 fact

  • @stevensimbaulanga2756
    @stevensimbaulanga2756 3 ปีที่แล้ว +18

    Mimi na familia yangu tumechagua kutokuchanjwa kwa kutumia chance ya hiari.... Hakika Baba josephat Gwajima wewe Ni Baba wa taifa wa pili🙏🙏🙏Thanks God for this gift.... Mungu akuliinde Sana... Taifa limeponaa

  • @umojawawatanzania3813
    @umojawawatanzania3813 3 ปีที่แล้ว +63

    HIVI HAWA WAZUNGU WANATUONA WAAFRIKA NI MAPOYOYO KAMA ENZI ZA UKOLONI AU?. KAMA WW SIO POYOYO GONGA LIKE HAPA.

    • @abubakaliyahaya2968
      @abubakaliyahaya2968 3 ปีที่แล้ว

      Yan tutakoma

    • @wazirimkombwe4203
      @wazirimkombwe4203 3 ปีที่แล้ว

      Viongozi wetu litafakariwe ili

    • @samuelmwaipaja5181
      @samuelmwaipaja5181 3 ปีที่แล้ว

      Hata zamani wazee wetu walikuwa na akili, Ila tatzo ilikuwa wafalme na machief. Wafalme ndo waliwauza watu wao kwa wazungu.
      Hata Sasa, nawaona ndugu zangu mpo vzuri. Tatzo ni viongozi wetu... Wamenunuliwa.

    • @mabawamaguta6154
      @mabawamaguta6154 3 ปีที่แล้ว

      Umeongea point kaka

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 ปีที่แล้ว +18

    Kwenye hilii mchungaji Niko na WW🙌🏽💯

  • @africaauntheticcivilizatio6985
    @africaauntheticcivilizatio6985 3 ปีที่แล้ว +73

    This guy is the future of Tanzania.. Maghufuli never died in vain.

  • @daughterofakingtabitha.9833
    @daughterofakingtabitha.9833 3 ปีที่แล้ว +24

    Kabisa wewe ni baba yangu nikiwa ulaya. Hakika wewe ni kiongozi wa ufufuo na uzima duniani. Una watoto wengi inje ya Tanzania. Asante baba yangu. Hakika mimi sijachwi. Tumepewa option ya kwamba you can choose not to take the 💉 due to your faith or health. I will use my faith. Mambo yaha tayari Mungu alikuwa amefunulia watoto wake. Mungu wangu ni mkubwa kuliko chanjo

  • @raiszongo1580
    @raiszongo1580 3 ปีที่แล้ว +53

    Tunaitaji uwe Rais next season...watu Kama Gwajma tunawaitaji Tanzania,God bless you forever

    • @lugendolucas4699
      @lugendolucas4699 3 ปีที่แล้ว

      Unafikiri uraisi ni viazi unajiwekea tuu.

    • @ombenimenson
      @ombenimenson 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa anajua saaana Yaaaan, awe Rais

    • @obadiasapi3088
      @obadiasapi3088 3 ปีที่แล้ว +1

      Anafaa Sana wazozuli haijalishi awelaisi wachadema Au ccm anafaa

    • @alfredvida8780
      @alfredvida8780 3 ปีที่แล้ว

      Rais gani Sasa mfufua misukule au???

  • @amos878
    @amos878 3 ปีที่แล้ว +18

    Muheshiwa wewe ni kichwa hii chanjo hata hapa marekani wenyewe nusu ya wananchi wameikataa mweheshimiwa 👏👏👏👏

    • @kasianzulu3859
      @kasianzulu3859 3 ปีที่แล้ว

      Wameikataa uko nambie ndugu hali ikoje uko?

    • @amos878
      @amos878 3 ปีที่แล้ว

      @@kasianzulu3859 ndugu hapa bado imerudi kwa kasi kubwa na hata waliopata chanjo wanaugua ila kikubwa hii chanjo wanayoitoa hapa unafikiri ndiyo hiyo wataleta tanzania? Tuwe waangalifu hakuna cha bure

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 3 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏🙌🙌🙌 wewe na mimi ndio wazarendo wa kweli ktk Taifa letu la Tanzania. Sitochanjwa wala kua na hofu juu huo ugonjwa. R.I.P OUR LOVELY PRESIDENT OF TANZANIA AND AFRICA IN GENERAL John Joseph Magufuri. Umetuachia Gwajima na tupo tunaungana nae.

  • @esterjema2932
    @esterjema2932 3 ปีที่แล้ว +2

    AMEN, Mimi sitachanjwa kwa jina la YESU pamoja na familiya yangu, pamoja na ndugu zangu kwa jina la YESU namtegemea Mungu wangu, pamoja na YESU wangu alienifiya msalabani

  • @japhethmbusyamwanaufufuona4646
    @japhethmbusyamwanaufufuona4646 3 ปีที่แล้ว +30

    Kenya nione kiongozi kama wewe baba nitafurahia Sana. Wewe ni mtu umetumwa na Mungu,na hilo halina mjadala🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @josephrevocatus2816
    @josephrevocatus2816 3 ปีที่แล้ว +7

    Baba tumesikiliza hotuba yako tumeibroadcast kwenye speaker na tutaendelea kutoa elimu hii kwa watanzania.Mungu akupe maisha marefu mtumishi wa Mungu

  • @mohamedmkubagwa3874
    @mohamedmkubagwa3874 3 ปีที่แล้ว +37

    Safi sana Askofu Josephat Gwajima, Mungu wa Mbinguni akulinda kwa Masilahi mapana ya watu wake.

    • @augustinolupala1216
      @augustinolupala1216 3 ปีที่แล้ว +1

      sichanjwiii nimekuelewa bishop gwajima

    • @huseinsemngindo1133
      @huseinsemngindo1133 3 ปีที่แล้ว +1

      Na kuelewa sana Askofu Heshima🙏🙏

    • @mohamedmkubagwa3874
      @mohamedmkubagwa3874 3 ปีที่แล้ว +1

      Zile nyakati za mwishoni ndio hizi kama zilivyokwishwa tanabaishwa kwenye ufunuo 13:1-18,Ee Mungu tuoneshee njia katika nyakati hizi

  • @happynjita4290
    @happynjita4290 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwa sana mtumishi wa mungu tunakuombea ulinz kwa mungu akupe uzima ufikie malengo yako tunakuomba uchukuwe fomu ugombee urais unatufaaa sana wao wanaendelea kufa cc hatuogopi kufa kwani kifo kikopale pale mungu tupiganie watanzania wote🙏🙏🙏

  • @maxmillianson2722
    @maxmillianson2722 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Askofu Gwajima hakika wewe ni umetumwa na mungu kuja kututia iman na kutufariji wewe ni mfariji wa wanyonge....imani yangu ilikuwa kwa mwenyezi mungu kuwa baada ya magufuli atakuja mwingine na sasa nimeona ni wewe mwenyezi mungu aendelee kukulinda Askofu wewe ndie tunu ya Taifa letu....

  • @HAAM670
    @HAAM670 3 ปีที่แล้ว +5

    The speech/presentation is from the realm of spiritual authority!!! Alaaa, the demon corona virus shut up and loose my nation in the name of Jesus.

  • @HAAM670
    @HAAM670 3 ปีที่แล้ว +5

    Yaani, yaani, Askofu Gwajima you killed it, nilikuwa nasubiri Sana MTU 1 wa Mungu jasiri kama SIMBA aseme MANENO kama haya!!! Umebaki wewe Tu Babangu, wewe Tu Kulivusha Kanisa la Tz. Umebaki wewe Tu kulivusha Taifa hili. You were born for such a time like this my man of God!!! Soldier! Soldier! in our land!!!The only one!!! GO! GO! GO! Mbingu na Nchi ziko upande wako!!! Waombaji tupo upande wako! Yaani umetoshaaa!!! Umeniondolea MASIKITIKO yooote, nilikuwa nasikitika kwanini Viongozi wa DINI wamekaa Kimya namna hii! UMETOSHAAAAA!!! One Soldier, by the name Gwajima is enough for our NATION!!!

  • @avithm.katunzi3411
    @avithm.katunzi3411 3 ปีที่แล้ว +20

    I wish kila mtu angekua japo na aslimia moja tu ya akili, maarifa na maono yako.
    U are more than intelligent, are a genious one. U speak only whts right in a right time to the right people.

  • @ombenimenson
    @ombenimenson 3 ปีที่แล้ว +16

    Gwajima Wewe Usibadilishe Msimamo Mtumishi wa Mungu..... Hakika Mimi nakuelewa Vizuri

  • @robertkivuyo4937
    @robertkivuyo4937 3 ปีที่แล้ว +26

    Awareness is extremely an important tool to liberate people.... Gwajima much appreciation from me. Chana ukweli

  • @suleimanmussa4703
    @suleimanmussa4703 3 ปีที่แล้ว +18

    Nimekukubali.. Gwajima maana mwanamme hua hapindishi maneno... sio kama wale mashoga leo anasema pera kesho chungwa... Pamoja sana Askof

  • @rahabusonelo1307
    @rahabusonelo1307 3 ปีที่แล้ว +38

    Mungu akubariki baba tunakuamini. Tumuombee sana baba Yetu

  • @edgersenyagwa3583
    @edgersenyagwa3583 3 ปีที่แล้ว +11

    Tuwaombee watu Kama Askofu Gwajina wanaojitoa kwaajili ya watanzania , niwachache Sana wanaokua na ujasili Kama huu Mungu awabariki watetezi wetu 🎉

  • @alicrbatume3114
    @alicrbatume3114 3 ปีที่แล้ว +61

    This man is telling us the truth

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 3 ปีที่แล้ว +6

    Subhanah Allah Allah Akbarr 😳 Allah Wetu Mtukufu Subhanah Wataala akulinde na akuzidishiye usujaha Inshaalllah 🤲 I like your confidence. you are stronger lider. you have Patrice Lumumba, Nelson Mandela, and John Pombe Magufuli's spirits inside you. be protected from the evil eyes and they plans Inshaalllah 💞🤲💞🔥🔥🔥🏆🔥🔥🔥👑. you are next president of Tanzania 🇹🇿.

  • @hebronkilimanjaro6724
    @hebronkilimanjaro6724 3 ปีที่แล้ว +54

    The strongest speech kweli una uzalendo wa kweli.

  • @emmanuelzani2889
    @emmanuelzani2889 3 ปีที่แล้ว +8

    Tunawahitaji watu kama nyinyi katika taifa letu. Mungu akubariki sana, mtumishi wa Mungu. Asante.

  • @DivinePresenceofGod7
    @DivinePresenceofGod7 3 ปีที่แล้ว +18

    MR. TANZANIA A MAN OF GOD , HAKUNA WAKUKUZUIA WALIO UPANDE WETU NI WENGI SANA..
    KULIKO HAO WA KORANA.WAPIGWEEEEEEE......

    • @witnessjames3612
      @witnessjames3612 3 ปีที่แล้ว

      Tunakuombea kwa Mungu aishiye milele akutunze ,akulinde wewe ndiye Rais wetu ajaye kwa ajili ya Tanzania ijayo .MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI GWAJIMA

  • @ulimbokamwaipaja2856
    @ulimbokamwaipaja2856 3 ปีที่แล้ว +8

    Hakika u are real a man of God,na utaendelea kuw hivyo kwa sababu nina iman hta Mungu amekukubali na anajivunia

  • @peterbalilemwa9563
    @peterbalilemwa9563 3 ปีที่แล้ว +15

    Good reasoning! Good facts! Wise & Intellectual performance on thinking

  • @babuernest331
    @babuernest331 3 ปีที่แล้ว +97

    You're the only religious leaders who dares
    👏🙏

    • @molisitoyi9455
      @molisitoyi9455 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akulinde hakuna wa kukudhuru mungu yupo tuelimishe watanzania

    • @barakahmwambene7919
      @barakahmwambene7919 2 ปีที่แล้ว

      Am a born again bishop for Jesus is coming again ministry in malawi

  • @egnomsigwa8418
    @egnomsigwa8418 3 ปีที่แล้ว +53

    Mama Samia kama hujamsikiliza mwamba gwajima bas nitakuwa na mashaka na wewe juu ya uwezo wako wakufikiri Mambo makubwa

    • @amosayubu1828
      @amosayubu1828 3 ปีที่แล้ว +1

      Ameshauza nchi huyo Mama!!! Duuuh Mama,ndani ya miezi ndo tumefika hapa??? Mungu akurehemu!!!

    • @officialyohanamalisa1873
      @officialyohanamalisa1873 3 ปีที่แล้ว +1

      Hawezi kusikiliza, maana tayari ameshacheza ngoma ya Mzungu

    • @mabawamaguta6154
      @mabawamaguta6154 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaa kabxaaa kaka

    • @hilderrichard3390
      @hilderrichard3390 3 ปีที่แล้ว

      Amen Mungu awe mtetezi wako maana we nimtetezi wetu wanyonge🙏

    • @winfridamsukuru9819
      @winfridamsukuru9819 3 ปีที่แล้ว

      Mama kashakula mwingi wamzungu hata magu afufuke leo lzm atazimia tena hawezi amini Mama ndio huyo derila kabisa

  • @AAl-xy8kl
    @AAl-xy8kl 3 ปีที่แล้ว +33

    AMEEN BABA MUNGU WA MBINGUNI AKUTUNZE ZAIDI KWAAJILI YETU SISI WA TANZANIA... NAKUPENDA SANA BABA

  • @robimgendi6147
    @robimgendi6147 3 ปีที่แล้ว +6

    Tufanye maombi ya nguvu sana,, mchungaji yupo katika hatari. Ni nguvu ya Mungu tu inaweza kumlinda.!

    • @aloycesimon8351
      @aloycesimon8351 3 ปีที่แล้ว

      Nikwel robi, lakn watu wa ainahii huwaga hawafagi hovyo hovyo.

  • @fatumambwana7192
    @fatumambwana7192 3 ปีที่แล้ว +1

    Asee!! Bwana Gwajima una hakil nyingi mno🙏🙏. Mungu akubariki mno. Na azidi kukulinda tuko nyuma yako.💪💪

  • @hamisihassan8856
    @hamisihassan8856 3 ปีที่แล้ว +76

    Naamini utapata maadui wengi sana hasa kwenye ccm na serikali ya huyu mama, ila sisi wazarendo tunakuombea sanaaa sanaaa kwa Allah.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamani we hamis umeniliza unajitambua Sana ase mungu Alie juu akubaliki

    • @wilemakunga1016
      @wilemakunga1016 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kbx

  • @carolineondabu4539
    @carolineondabu4539 3 ปีที่แล้ว +7

    Asante mchungaji niko Bahrain penye kuna Corona nashukuru mungu wetu nimekua tuko pamoja hapa waliniita kichwa ngumu nafurahi sana

    • @ramadhanmagubika411
      @ramadhanmagubika411 3 ปีที่แล้ว

      Uko bahrain kuna demu mmoja anaitwa rukia unamju ni mkenya ni demu wangu huyo

  • @edwardnamakonde7310
    @edwardnamakonde7310 3 ปีที่แล้ว +27

    Sema mtumishi wa MUNGU,
    Tukisema Yuko Jasusi wa mbinguni aliyepewa siri nyingi mwakaa kushangaa shangaa,
    Shauri yenu.

  • @thecargotsold
    @thecargotsold 3 ปีที่แล้ว +8

    This man is true Patriot who loves God and his country.
    Next time uko Birmingham, lunch is on me Mchungaji. Nakuunga mkono kwa haya maneno, I wish waKenya wenzangu wanaweza gutuka waache uzombie

    • @irenekanyi1125
      @irenekanyi1125 3 ปีที่แล้ว

      True Man of God....the bible says my people will perish because lack of knowledge...Thank you I needed this..🙏

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 ปีที่แล้ว +6

    I tap and connect this confidence in Jesus Name!
    😀nakupendaga sn, Gwajima I stand with u for this!

    • @priscamahenge1431
      @priscamahenge1431 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akupe moyo wa ushuja Mami nipo pamoja na wewe eemungu tuongoze

    • @ibrahimissakihiga458
      @ibrahimissakihiga458 3 ปีที่แล้ว

      @@priscamahenge1431 jamani jamani mjomba magu uripo ingewezekana hata kugeuka nyuma ungeshangaa Sana watanzania warivyo vaa barakoa

  • @wendinkomba2083
    @wendinkomba2083 3 ปีที่แล้ว +59

    Mimi nasememo Gwajima ni MZALENDO wa kweli na mwenye uchungu na taifa lako la TANZANIA na AFRIKA kwa jumla

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 ปีที่แล้ว +44

    Huyo anaitwa independent Preacher, anayehubiri bila kuangalia sura ya mtu. 💪💪
    🦠Flekelea mbali kabisa.

  • @kakwaletv3560
    @kakwaletv3560 3 ปีที่แล้ว +40

    Watanzania tumuunge Mkono Bishop Gwajima Josephat kwa Vitendo

    • @annamzava3386
      @annamzava3386 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaaani MUNGU Aniweke 2025 Nakuomba Ugombee Urais,Kura Yangu Chukua

    • @mbogosodebella8907
      @mbogosodebella8907 3 ปีที่แล้ว

      Nasimama na askofu gwajima

    • @aloycesimon8351
      @aloycesimon8351 3 ปีที่แล้ว

      Tunashikamana na gwajima,mia kwa mia.

  • @zabronmadano9053
    @zabronmadano9053 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mtumishi, nimebarikiwa sana sana katika hili, Hofu ni mbaya sana Watanzania wenzangu, Bado najiuliza kwa nini tumerudi nyuma kiimani kiasi hiki, MUNGU ALIYETUPIGANIA MWANZO NDIYE ATAKAYE TUSHINDIA TENA KATIKA HILI, Tulikuwa mbali sana kwa kweli HAKUNA SILAHA SIRAHA ITAKAYO SIMAMA JUU YAKO NA IKAFANIKIWA

  • @adorateurpaulbukuru8307
    @adorateurpaulbukuru8307 3 ปีที่แล้ว +15

    Amen...God bless you 2give u the authority to deliver the Nation n all AFRICAN⌚✊

  • @georgepazia6927
    @georgepazia6927 3 ปีที่แล้ว +19

    Ndugu zangu mwenye maskio na asikiye na mwenye macho na aone,Roho wa Bwana awaambia Mataifa..Jina la BWANA Libarikiwe

  • @brilliantmind7137
    @brilliantmind7137 3 ปีที่แล้ว +284

    Watu Kama Gwajima Tanzania wamebaki wachache Sana tuwaombee Sana ndio hazina ya taifa

  • @isakwisakaminyoge9202
    @isakwisakaminyoge9202 3 ปีที่แล้ว +31

    Thanks again pastor God will make you happy forever

  • @simonkitabu4077
    @simonkitabu4077 3 ปีที่แล้ว +20

    Be blessed Gwajina and God bless you, we 're together

  • @vessymusonda4032
    @vessymusonda4032 3 ปีที่แล้ว

    I like this man of God, he is not a simple person. I support your stand sir. From zambia

  • @alfrange7886
    @alfrange7886 3 ปีที่แล้ว +36

    Independent thinkers are very few in this continent, you are one of them Gwajima. One love from 🇰🇪🇰🇪

  • @yavuzkarasu5761
    @yavuzkarasu5761 3 ปีที่แล้ว +231

    The president to be Askofu Gwajima
    Unastaili kuongoza nchi Aisee huo ujasili sio wa kawaida ,naungana na wewe Hizo Chanjo hazitufai kabisa

    • @abeltete9104
      @abeltete9104 3 ปีที่แล้ว +7

      Nakukubali sana askofu gwajima nindo zako za uhakika

    • @alnordarnold5189
      @alnordarnold5189 3 ปีที่แล้ว +9

      True Sana indeen the next my next president

    • @annaluganha7021
      @annaluganha7021 3 ปีที่แล้ว +5

      Kwa kweli huyu kainyesha ujasiri mkubwa sana! Kapinga wazi wazi, ili hata huyo mama mwenyenyumba asikie na hamuogopi. Na ni mbunge wa Ccm humo humo! Tungepata wabunge kama hawa hata 20? Tusingenyanyasika nyanyasika.

    • @charlesbingwa6355
      @charlesbingwa6355 3 ปีที่แล้ว

      Upo vizuri

    • @michaelmongasyo5972
      @michaelmongasyo5972 3 ปีที่แล้ว +1

      My Almighty God bless you man of God!

  • @zainabunkungu7067
    @zainabunkungu7067 3 ปีที่แล้ว +13

    Asante Sana Gwajima mungu akusimamie uendeleee kutuelimisha wa Tanazania mungu tusaidie watoto wako 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @cieranchillo7
    @cieranchillo7 3 ปีที่แล้ว +12

    Somo nimelielewa 👌🇹🇿Mungu atutunze🙏🏻 Mungu akutunze Mtumishi wa Mungu

  • @tutukagara9452
    @tutukagara9452 2 ปีที่แล้ว

    From Kenya I bless you in Jesus name ..

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 3 ปีที่แล้ว +14

    Huyu ni Daudi wetu Mungu ametunyanyulia baada ya Magufuli Asante Ee Mungu wetu tunajua unatupenda Tanzania ni nchi teule tunapendwa na Munguu

  • @augustinomlowe8059
    @augustinomlowe8059 3 ปีที่แล้ว +23

    Good insight Prof. Gwajima

  • @veronicamhanga2548
    @veronicamhanga2548 3 ปีที่แล้ว +24

    Kiukweli MUNGU akubariki sana mtumishi. Jembe la BWANA wangu.

    • @Wamoyothenumberone
      @Wamoyothenumberone 3 ปีที่แล้ว

      Tanzania tumebakiza huyu mmoja ,tu ndo ametetea watanzania wengi

  • @siryegela9833
    @siryegela9833 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa sikuwahi kumuelewa kabisa Ila kuanzia Jana namuappreciate big up bishop ❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mussasoftwarephone610
    @mussasoftwarephone610 3 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima umeupiga mwingi sana hakika umeokoa taifa lako. Mungu akupe maisha marefu.

  • @gaspermlay6493
    @gaspermlay6493 3 ปีที่แล้ว +106

    Kweli Gwajima ni jasiri ,hongera sana mtumishi kwa kutokumuogopa shetani na wafuasi wake.

    • @rosemerengary1834
      @rosemerengary1834 3 ปีที่แล้ว +6

      Amen baba asante nipo europe nasijachanja

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 3 ปีที่แล้ว +1

      Watakuambia uongelee ya Kawe tu je ccm ingali sawa

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 3 ปีที่แล้ว

      @@rosemerengary1834 uko nchi gani Rose?

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 3 ปีที่แล้ว

      @@rosemerengary1834 uko nchi gani Rose?

    • @chifkeef5000
      @chifkeef5000 3 ปีที่แล้ว

      Ongea tuponeee....

  • @roseuwambe893
    @roseuwambe893 3 ปีที่แล้ว +8

    Asantee sana mungu mwema umeongea maneno mazuri sana mimi na familia yangu hatuchomi

  • @maggiechande20
    @maggiechande20 3 ปีที่แล้ว +7

    Ahsante sana Mungu kwa Wazalendo na Wenye kuwa tayari kujitoa kwa ajili ya Wazalendo. Mungu Akulinde. Mungu Tunakuomba Usikie Kilio Chetu Watanzania. Mungu Waangamize Wagaidi wa Nchi Tanzanian.

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye sikio na asikie neno roho asema na watanzania, Mungu tusaidie usituache, mhifadhi mtumishi wako

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 3 ปีที่แล้ว +4

    Duuh magu💔💔 😭 mambo yamebadilika we mungu mpumzishe baba pema magu wangu mambo yamebadilika Sana

  • @davidgagi2134
    @davidgagi2134 3 ปีที่แล้ว +79

    Hongera baba Askofu Kwa Eli mu Yako ya kuelimishe wananchi wote!!

    • @lwenhelezabron5797
      @lwenhelezabron5797 3 ปีที่แล้ว +2

      Mwenyez Mungu akujalie afya njema kaka ili uweze kuwa msaada mkubwa zaid kweny hili taifa na hata dunia nzima!

    • @lwenhelezabron5797
      @lwenhelezabron5797 3 ปีที่แล้ว

      Mwenyez Mungu akujalie afya njema kaka ili uweze kuwa msaada mkubwa zaid kweny hili taifa na hata dunia nzima!

  • @thatforeign4590
    @thatforeign4590 3 ปีที่แล้ว +31

    48:29 😅 Dah You make alot of sense mtumishi. May God protect us all

  • @kimokumu
    @kimokumu 3 ปีที่แล้ว +31

    Thank you bishop! Chanjo ya haraka ya majaribio haifai!

  • @geazinyiwale5624
    @geazinyiwale5624 3 ปีที่แล้ว +1

    Asant san bishop kwamaono yako mungu aendele kukutumia zaidi na zaidi neema ya mungu ukufunike kwa jina la yesu

  • @yuliahenry3383
    @yuliahenry3383 3 ปีที่แล้ว +8

    No weapon formed against Tanzania shall prosper. In Jesus Name. Majeshi majeshi majeshi ya Bwana. Ubarikiwe Bishop Gwajima

    • @dorcusanjiri9888
      @dorcusanjiri9888 2 ปีที่แล้ว

      Wow! that's okay, boldness can deliver

  • @willymnyaga8131
    @willymnyaga8131 3 ปีที่แล้ว +96

    KIKWETE! KIKWETE! KIKWETE! Unamuingiza chaka huyo mama, utu wa watanzania unaufanyia biashara ili utajirishe familia yako, mungu anakuona kikwete.

    • @mchancy9953
      @mchancy9953 3 ปีที่แล้ว +2

      Kikwete mshenzi sn

    • @zaburionlinetv6245
      @zaburionlinetv6245 3 ปีที่แล้ว

      @@mchancy9953
      Nyie watu mbona mnatumia mitandao vibaya

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 3 ปีที่แล้ว

      Kikwete amekosa nini? Acha kuchanganya mambo usimuingize kikwete kwenye maamuzi ya mtu mwingine

    • @allyhuyu1892
      @allyhuyu1892 3 ปีที่แล้ว +1

      Willy mnyanga umefeli maamuzi ya mama samia niyake usimuingize mtu mungine, kosa likitokea ni lake kiongozi wa nchi mstaafu halimuhusu, Ila msimamo wa huyu mbunge nimeukubali nimeupenda namimi nasema sichanjwi labda unikute nimezimia na barakoa zao ndizo zitakazo tumalia hasa kwa watumiaji wetegesha humo magonjwa

    • @nyamkamawanjara29
      @nyamkamawanjara29 3 ปีที่แล้ว +3

      kikwete ni mpenzi wa mama samia kwahiyo kila kitu ndio tu

  • @desderymakoiblessmakoi9537
    @desderymakoiblessmakoi9537 3 ปีที่แล้ว +38

    Yesssss wadondokewe na kitu kizito kwa JINA KUU LA YESU

  • @apostlefredricksyengo2002
    @apostlefredricksyengo2002 3 ปีที่แล้ว +27

    Onpoint man of God, I like your courage and speaking truth of the matter, barikiwa kila mara wanibariki

  • @esterjema2932
    @esterjema2932 3 ปีที่แล้ว +31

    Kweli huyu ni mtumishi wa MUNGU sahihi alieitwa na Mungu mwenyewe, Mungu akulinde akuepushe na maadui,

  • @alphoncinaphilemon6582
    @alphoncinaphilemon6582 2 ปีที่แล้ว

    May God bless Tanzania and its people who worship and fear ONLY HIM FOREVER AND EVER AMEN

  • @noelgasper3976
    @noelgasper3976 3 ปีที่แล้ว +78

    Ndiyo Sababu Mar.. Magu alisema nipeni Gwajima, Hakika aliona Spirity ya Uzalendo juu yako. Binafsi nimeiona sasa! Kweli wewe Si Mwanasiasa fuata upepo.

  • @sekuludevidi5007
    @sekuludevidi5007 3 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akuinue ktk viwango vya juu zaidi mtumishi wa mungu,naomba uchangue pakuwekwa sanamu lako

  • @apostlefredricksyengo2002
    @apostlefredricksyengo2002 3 ปีที่แล้ว +11

    Mzungu ni Kama shetani Hana cha bure🤣🤣🤣Siri umelifichua Askofu, mighty worrior usiongope, Asante kutuzaidia na kutujuza zaidi🇰🇪🇰🇪

  • @johnkisomo7488
    @johnkisomo7488 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana mtumishi kwa kutufumbua macho Mungu atubarikii sana tuvuke katika hilii salamaa Ameen

  • @tausilaleonard586
    @tausilaleonard586 3 ปีที่แล้ว

    Asante askofu mungu akulinde unatutafsilia vizur Sana biblia takatifu tupo pamoja