ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ubarikiwe sana Mchungaji Kwa mfano huu mzuri wa jua la haki,ni kwamba limenibariki sana
Mungu akupe kila hitajilako 🙏
Mungu Azidi kukuongoza Mchungaji,Mifano hii nihai na Mungu Huwapitisha watu wake
Powerful testimony have learnt something here
Mungu ni mwema,jua la Hali liwe kwangu Amina
Glory to God. Hallelujah!
Ahsante sana, hii ni sawa na story ya Esther alivyomuomba Mungu, mambo yakamgeukia naaman,na alifikilia ni Mordecai ndio atauwawa,Mungu ni mwaminifu kwa walio wake.
Glory 2god
Amen 🙏🙏 Kwa kweli umeugusa Moyo wangu mchungaji Mungu akubariki Sana
Aisha ubarikiwe
Asante Yesu wangu. Jua la haki, Mungu unatisha naogopa matendo yako
Mungu akupe maisha marefu kama no za vocha chungaji wa Mungu iko siku Mungu atanipa kibali nije kusal na nyie
Amen . Asante sana mchungaji nimejifunza mengi sana
Nakuelewa Sana mchungaji barikiwa sana
Ameen Ameen
Malaika wa Bwana, Fanya kituo kwangu
Amina haleluya
Just la Haki
Amen Mungu ni mtenda haki
Nakupenda sana baba
Mungu akulinde akubariki akutendee mema Amen
Ameeeeeeeeerrreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Ameen
Amina
Nami naomba jua la haki likanizukie na mimi,napokea ushuhuda huo Kwa mikono miwili
Amen
Wala siwashangai hao Anania na Safira ,kikubwa shetani alikuwa ashaona nyota ya jamaa inawaka akaanza vita
Amen kubwa baba mchungaji
Mafunzo yako mchungaji yananitia ujasiri sana kwenye ndoa yangu
Jesus Christ!
Palipo na mzoga ndipo wakusanyikiapo tai
Jamaniiiii anayemjua huyu Anipe njia yakumuona ninashida Sana najua Akiniombea naweza vuka ninayopitia
Wewe upo wap sasa hivi
Upo maeneo gani dar es salaaam
@@highzacknnko9685 mbez kimara
ni Mchungaji kiongozi kanisa la Kkkt Kijitonyama, kwa sasa amesafiri kwa ajili ya maombi unaweza kupata watumishi wengine wako hapo kanisani
@@lynmichael2537 ok poa asant sana Mungu Akubark
Ameeeeen ameeeeen
Huyo ndiye Mungu tunayemwabudu