Eee Mungu Haya mahubiri yameniingia rohoni sijawahi kujuta kama Leo Mwenyezi Mungu Tusamehe sisi wanao Rev Kimaro nakupata kutoka London KWA KWELI UNAJUA KUHUBIRI
Kumbe watawala wasio wazalendo walikuepo tokea zamani, somo zuri juu ya nchi yetu kama mtawala anamasikio naasikie kama anajiita chura kiziwi upanga hautatoka nyumbani mwake
Ivi najiuliza watu wazima wanao fanya dhambi kila siku watasamehewa kweli, maana ata ulifanya dhambi ukiwa mtoto afu ukaokoka "utailipia tu"" Mungu awapatilishie maovu yao wayatendao sio watoto
Zaburi 100: 1 Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote; 2 Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba; 3 Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba... 4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake; 5 Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi. *TWENDE MBELE ZA MUNGU WETU KWA SIFA NA SHUKRANI!! KAMA SIO YEYE HATUNGEFIKA HAPA TULIPO, HALELUYA!!!*
Always following you from Washington DC nakupenda Bure mtumishi. Nikita Dareslaam January nitakutafuta nikusalimie katika jina la Yesu kristo.
Ubarikiwe baba wa kiroho kwa mafundisho mazuri nakupata vizuri sana nipo zambia
Barikiwa sana Daddy nakupata hapa OMAN.
Wat a blessing i got 4m this massage God bless u Dr kimaro man of God
Mchungaji KIMARO nakuelewa Sana tunaomba uwe na makongamano Live mikoani. Mungu AKUPE ufunuo Huo.
Mungu akubariki sanaa mtumishi....
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Mwenyenzi Mungu azidi kukulinda nakukuinua viwango vingine uendelee kutufundisha neno lake.
Yesu wewe nintegemeo langu🙏🏼
I'm blessed 😅
Amina sana mchungaji
Dastan, Rwanda. What a good teaching. Stay blessed.
Mungu anakutumia sana Mtumishi na watu wengi wanaponya.
Mungu akubariki mtumishi kwa mafundisho ya neno la Mungu
Mungu ni mwema anakutumia Kwa kutuokoa sisi wenye shingo nguma Ameen
nayapenda sana mafundisho yako mungu akutunze Dk kimaro
Barikiwa mtumishi
Amen Amen
Hakika ujumbe mzito huu! Dhambi unayoifanya ofisini au kazini inaingia nyumbani! Mungu utusaidie tuweze kufikiri sawasawa🙏
Pastor eliona mi nikushukuru kwa somo lako na mafundisho kutoka madhabahuni.nimekupata vzr kutoka Nairobi Kenya
Barikiwa sana Baba
Mungo akubariki sana mchungaji
Ubarikiwe sanaa Baba Kwa mafundsho mazuri nakupata nikiwa Nairobi Kenya
Hakika Mungu azidi kukuinua viwango vya juu ktk utumishi wako!
Amina mtumishi kwa mafundisho mazuri mno
Napenda Sana mahubiri yako baba Mungu azidi kukuinua
Mungu akutunze sana Pastor!
Nimebarikiwa sana
Barikiwaaaa mchungaji
Katika watumishi ambao sijawahi kuwasikiliza nikakosa massege ni wewe Mchungaji Kimaro kwa kweli Baba Mungu akutunze
Amina sana
Dhambi siyo stareheee😭😭😭😭
Eee Mungu Haya mahubiri yameniingia rohoni sijawahi kujuta kama Leo Mwenyezi Mungu Tusamehe sisi wanao Rev Kimaro nakupata kutoka London KWA KWELI UNAJUA KUHUBIRI
Amina
Very true pastor
Uwiiiii mungu tusamehe
Ubarikiwe Mchungaji unanibariki
nimebarikiwa,nimejifunza namna bora ya kufikiria
Nabarikiwa sana
Kweli kabisa
🙏🙏
Amina baba
Amen
Nimekuelewa...
Kumbe watawala wasio wazalendo walikuepo tokea zamani, somo zuri juu ya nchi yetu kama mtawala anamasikio naasikie kama anajiita chura kiziwi upanga hautatoka nyumbani mwake
Binafsi nilikuwa sikujui,nilipoanza kukusikiliza nimegundua kuwa wewe nimtu makini sana.Mungu akubariki.
Falsafa nimtazamo wa mtu kwanini iwe ofense
CLINTON NA MONICA LAWSKY! DAUDI NA MKE WA URIAH! DUNIANI HAPATOSHI TUNAVIACHA TUOMBEANE MEMA! DHAMBI SIO STAREHE!
Ivi najiuliza watu wazima wanao fanya dhambi kila siku watasamehewa kweli, maana ata ulifanya dhambi ukiwa mtoto afu ukaokoka "utailipia tu"" Mungu awapatilishie maovu yao wayatendao sio watoto
Mungu wetu ni warehema anasamehe na anasahau
God is great good message🙏🙏🙏🙏🙏
Maneno yako yananikumbusha JPM rip.
Tunafundishwa kuwa watu wema na tusimuonee mtu maana malipo ni hapahapa duniani
Zaburi 100:
1 Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;
2 Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba;
3 Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba...
4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake;
5 Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
*TWENDE MBELE ZA MUNGU WETU KWA SIFA NA SHUKRANI!! KAMA SIO YEYE HATUNGEFIKA HAPA TULIPO, HALELUYA!!!*
Kuua so
Amen
🙏🙏
Napenda Sana mahubiri yako baba Mungu azidi kukuinua
nimebarikiwa,nimejifunza namna bora ya kufikiria