Jinsi ya kuishinda roho ya Uzinzi na Uasherati - (Na. Askofu Dr. Fredrick Simon)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มิ.ย. 2023
  • Jinsi ya kuishinda roho ya Uzinzi na Uasherati - (Na. Askofu Dr. Fredrick Simon)
    #mahubiri #fredricksimon #pcct #uzinzi #uasherati

ความคิดเห็น • 190

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 ปีที่แล้ว +1

    MiMi niko fiti sema tuu namuogopa MUNGU Asante YESU wambinguni nitakuwa mwaminifu milele 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @officialjemimahowiti
    @officialjemimahowiti 11 หลายเดือนก่อน +2

    We cover such teachings mostly for the church,God bless you

  • @brysonmandari5694
    @brysonmandari5694 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana mtumishi,ee Mungu wa huruma uturumie na kutuepusha na dhambi hi kuu.

    • @stellahmnema9279
      @stellahmnema9279 ปีที่แล้ว +2

      Ameen baba...

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Amina ....ni kweli mtumishi wa Mungu...Mungu atusaidie sana

  • @shadrackmasagi9608
    @shadrackmasagi9608 ปีที่แล้ว +4

    Amina baba Askofu,Mungu akubariki somo zuri na lamhimu SANA KTK maisha YA Mkristo na safari yakwenda mbinguni

  • @WilliamMidodo
    @WilliamMidodo 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa SoMo nzuli

  • @monicawagunda7751
    @monicawagunda7751 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi MUNGU akubariki sana baba .🙏

  • @mwakilulelefrancis280
    @mwakilulelefrancis280 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi kwa SOMO kubwa MNO B shop

  • @FredMahunda-ee3iz
    @FredMahunda-ee3iz ปีที่แล้ว +2

    Amen. Tunabalikiwa Sana Dr Frederick saimon.

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina ... Mtumishi wa Mungu

  • @mathiaschipa3790
    @mathiaschipa3790 ปีที่แล้ว

    Askofu Mungu akubariki sana na andelee kujaza na roho wake uwaponye wengi wanao angamia kwa dhambi hii kubwa

  • @jeremiahmwalukosya1745
    @jeremiahmwalukosya1745 ปีที่แล้ว +12

    Haya masomo kusikia niadimu sana kwa kizazi hiki mtumishi ubarikiwe sana

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli mtumishi,.....Amina Mtumishi wa Mungu

    • @nanguniMtaita-hz4zt
      @nanguniMtaita-hz4zt ปีที่แล้ว

      Askofu sikweli kwamba hizo ndizo dhambi kubwa. Dhambi ni dhambi hakuna inayomzidi mwingine. Dhambi ni yeyote inayomwasi Mungu. Fundisha watu wazikimbie dhambi kila uchwao. Amri kumi ni muhimu. Ukikosa moja kati ya tisa, umeasi juu ya zote. Uzinzi ni jambo dogo sana mbele za Mungu. Ibrahim, Yakobo, Samson na Daud wote hawa walikuwa wanzinzi wakubwa, lakini hatimaye wamefia mikononi pa Yesu. Walisamehewa hatimaye.

    • @AndreaKitago-dv6dq
      @AndreaKitago-dv6dq ปีที่แล้ว

      Asante baba askofu

    • @reubennjuguna5791
      @reubennjuguna5791 ปีที่แล้ว

      ​@@pcctonlinetvp😊 lol😊p😊

    • @reubennjuguna5791
      @reubennjuguna5791 ปีที่แล้ว

      ​@@pcctonlinetv😅are lp
      😅😅p😊 on on pl😊ol

  • @hatiagk4447
    @hatiagk4447 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri sana.

  • @AlbethAlbeth-wh6qd
    @AlbethAlbeth-wh6qd หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana baba

  • @arubalydia224
    @arubalydia224 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie kwa kweli haswaa ambao bado vijana damu inahema Kwa Kasi Roho Mtakatifu atushindie hili.. from Saudia Arabia barikiwa sana askofu 🤔🇸🇦🇰🇪🇰🇪

    • @mathiaschipa3790
      @mathiaschipa3790 ปีที่แล้ว

      Bora uowe kuliko kuingia kwenye dhambi

    • @arubalydia224
      @arubalydia224 ปีที่แล้ว

      @@mathiaschipa3790 ndio hivo ndg Sema ndoa nazo neema inahitajika

  • @nashonigwimo4212
    @nashonigwimo4212 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki Sana mtumishi dunia inashida kwa dhambi ya uzinzi hubili Niko pamoja na wewe

  • @SamwalYolamu-if8lh
    @SamwalYolamu-if8lh 11 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe kanisa Ra reo rimepotea MUNGU atudaidie

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli mtumishi tunachangamana kanisani kwa upande mmoja inaweza kusababisha kuchochea uasherati.lakini kujitenga kati ya wanaume na wanawake ktk nyumba za ibada sio kigezo cha kuepuka uzinzi pia , kwani kuna watu huwa ni watakatifu wakiwa kwenye nyumba za ibada ukiwakuta mtaani huwezi kuamini kwa matendo mabaya wanayofanya.hivyo Mungu anataka tujitambue na kuishi maisha yanayompendeza muda wote na popote.

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi neno jema Sana baba kwa dini zote

  • @bishopfredricksimon9064
    @bishopfredricksimon9064 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa swali lako zuri mpendwa mwalimu Bagheni. Mungu ni wa rehema, ukitubu kwa kumaanisha, anasamehe kabisa. Jambo la kwanza ni kuhakikisha kwamba una mahusiano mazuri na Mungu wako. Jamii watakuelewa pole pole wakishaona mwenendo wako ulivyo tofauti.

  • @MtumeNaNabiiFadhiliPNgoha
    @MtumeNaNabiiFadhiliPNgoha ปีที่แล้ว +3

    Amenii ubarikiwee asikofuu

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina.. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @albertbissaga1425
    @albertbissaga1425 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana.

  • @Jane-fg1hb
    @Jane-fg1hb ปีที่แล้ว +2

    Fundisho la maana Sana Kwa kanisa,barikiwa Sana bishop.

  • @user-el5et6jq7n
    @user-el5et6jq7n ปีที่แล้ว +2

    Oooh somo lizur saana hakika limenibariki saana

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina Mtumishi wa Mungu..Ubarikiwe zaidi

  • @pastormukulungulwe2901
    @pastormukulungulwe2901 ปีที่แล้ว +2

    Amina kubwa baba ubarikiwe sana

  • @user-ec4nr6jq4t
    @user-ec4nr6jq4t ปีที่แล้ว

    Sahihi kabsa mungu tusamehe utuondolee hizo roho kweli zina
    tutesa sana

  • @estacdkarisa4705
    @estacdkarisa4705 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 Amen 🙏 nimeshukuru Askofu kwa kunifunza vyema

  • @melkizedekwiliam-hi7bz
    @melkizedekwiliam-hi7bz ปีที่แล้ว +5

    Amina baba yangu! Min mwanao Melkizedek wiliam. Kwa sababu ya mafundisho yako leo nimekuwa miongoni mwa wachungaji wenye washirika zaidi ya mia mbili. Mafundisho yako yamekataa kuondoka moyon mwangu na yamekuwa msaada mkubwa sana. Utukufu kwa Mungu wetu

    • @SimonLyamuya-pe1gg
      @SimonLyamuya-pe1gg ปีที่แล้ว

      Bwana Mungu unisaidie na familia jamii iliyotuzunguka tuweze kuzishinda dhambi ya uzinzi uasherati na kupenda fedha kupita kiasi.MTU KUJILINDA MWENYEWE INAWEZEKANA ,AMINA

    • @melkizedekwiliam-hi7bz
      @melkizedekwiliam-hi7bz ปีที่แล้ว

      @@SimonLyamuya-pe1gg rafiki kujilinda mwenyewe huwezi bila msaada Roho Mtakatifu. La muhimu ni kujitambua udhaifu wako na kumkabidhi Roho wa Mungu, ili akuongoze njia ya kushinda dhambi hizo

  • @coveringtruckscompany819
    @coveringtruckscompany819 ปีที่แล้ว +2

    Pastor Mimi manywele nakupata vizuri Sana .

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina.... Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu

  • @user-zg6xt9xh8o
    @user-zg6xt9xh8o ปีที่แล้ว

    Baba Mungu akubaliki sana ,,,,,kwa somo

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory ปีที่แล้ว +1

    Mungu uwasaidie watumumishi wako wengi wametawali na hiyo roho mbaya

  • @barakafabiani5487
    @barakafabiani5487 ปีที่แล้ว

    Nimekufatilia Leo2 na nimebarikiwa nawee barikiwa sana bishop

  • @user-ps2rv2bj2d
    @user-ps2rv2bj2d ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa mungu ubarikiwe sana nimeenda na wew hadi mwisho yani for sure nikama unaniona yan haya masomo yamekuja kwa ajili yangu nikweli ninampenda mungu huduma ninayo ila hi roho ya uzinzi inaendelea kunifuata NAIKIMBIA ZINAA kwa jina la yesu christo

  • @apostlefrankevarist831
    @apostlefrankevarist831 ปีที่แล้ว +1

    Amina kubwa sana

  • @user-fv7ge1no4m
    @user-fv7ge1no4m ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pst kwa mafunzo yako

  • @user-mn1fl3kc8x
    @user-mn1fl3kc8x ปีที่แล้ว +1

    Ubarikwe sana Baba

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awa urumie wazazi wote tu

  • @hatibuexauty4024
    @hatibuexauty4024 ปีที่แล้ว +1

    Amina mpakwa mafuta wa bwana!!

  • @MathayoKasonyi-zb8sg
    @MathayoKasonyi-zb8sg ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri baba

  • @user-xq7or5lb8t
    @user-xq7or5lb8t ปีที่แล้ว

    Amen true barikiwa sana pastor

  • @jonasnyamiyonga4594
    @jonasnyamiyonga4594 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi umeniponya kwa SoMo lako, mungu akudizishie

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina ... nashukuru sana Mtumishi wa Mungu

  • @liliankevin657
    @liliankevin657 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe 🙏

  • @gregorymhanze
    @gregorymhanze ปีที่แล้ว +6

    You are a good pastor ,

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Ameen Nashukuru Mtumishi wa Mungu

    • @jamessila3219
      @jamessila3219 ปีที่แล้ว

      Kweli tunataka Kama hawa

  • @philicemadasia5345
    @philicemadasia5345 ปีที่แล้ว

    Thank you pastor kwa neno nzuri

  • @user-nw8ti8dg5g
    @user-nw8ti8dg5g 11 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa neno

  • @JaneMbaruku
    @JaneMbaruku ปีที่แล้ว +2

    Mungu Nisaidie mimi

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Amina Mungu atakusaidia Mtumishi wa Mungu

  • @felisterndeule-oc3yv
    @felisterndeule-oc3yv ปีที่แล้ว +2

    Amina baba yangu

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe mwanangu

    • @AzAz-sy6zp
      @AzAz-sy6zp ปีที่แล้ว

      ​@@pcctonlinetv❤❤ amen 🙏🙏

  • @nelsonsulubu949
    @nelsonsulubu949 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi mungu akubariki somo lako limenibariki

  • @davidnchipai1781
    @davidnchipai1781 ปีที่แล้ว

    Bishop Bwana awabariki hili ni ukweli mtupu

  • @LovenessMaggie-oj3sp
    @LovenessMaggie-oj3sp ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi hali hiyo ya usherati naipitia kwa myumba yangu niombee

  • @neemalushinge6038
    @neemalushinge6038 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Baba

  • @JovinePaschal
    @JovinePaschal ปีที่แล้ว +2

    Amina kubwa baba

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 ปีที่แล้ว

    🙏amen asnt sana ubarikiwe

  • @ereneusmathias3389
    @ereneusmathias3389 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi wa mungu ubarikiwe sana

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina sana Mtumishi wa Mungu

  • @thomasjohn7176
    @thomasjohn7176 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana

  • @Victoriabaker-dh3ph
    @Victoriabaker-dh3ph ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @nicholaussatielnkondo8966
    @nicholaussatielnkondo8966 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kwa Elimu kubwa kama hii, umenifungua mtumishi wa Bwana

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @julianajuliana6931
    @julianajuliana6931 ปีที่แล้ว

    Amen na ubarikiwe sana

  • @rachealsiuji8349
    @rachealsiuji8349 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU AKUTUNZE Baba yangu

  • @IdionisMaholo-xc7hc
    @IdionisMaholo-xc7hc ปีที่แล้ว

    Aisee mungu atusaidie sana

  • @janetwanjiru7745
    @janetwanjiru7745 ปีที่แล้ว +1

    Thank you very much man of God

  • @user-dc9nt8fv9x
    @user-dc9nt8fv9x ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana baba askofu

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 11 หลายเดือนก่อน

    Amiiiiina
    Baba 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️

  • @jacksonsolomon3302
    @jacksonsolomon3302 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana Baba

  • @lulacaferaslokendo4290
    @lulacaferaslokendo4290 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kupa maneno zaidi kutufundisha

  • @yesuanikumbukejanuary8363
    @yesuanikumbukejanuary8363 ปีที่แล้ว +2

    😭😭 nahitaji msaada wako BWANA YESU.

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Amina ... Mungu atakusaidia Mtumishi

  • @jofryoba7762
    @jofryoba7762 11 หลายเดือนก่อน

    nilikuwa sijui kama Bado mahubir kama hayo yapo MUNGU akubariki pastor

  • @enosbahati223
    @enosbahati223 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi

  • @kennedyonyina6790
    @kennedyonyina6790 7 หลายเดือนก่อน

    Ukweli na kanisa inaitaji kumtambua Mungu, hii ndio njia moja ya kushida yote...... Wapi wokovu, na wapi nafasi ya Roho mtakatifu Kwa kanisa

  • @pascasmathew424
    @pascasmathew424 ปีที่แล้ว

    Barkiwa sana ❤

  • @marykipondya4807
    @marykipondya4807 11 หลายเดือนก่อน

    Roho yangu hii radhi lakini mwili n dhaifu!!!Eee Mungu baba atusaidie tuweze kuyaishi mafundisho yake na kushinda uzinzi

  • @TreatHu
    @TreatHu 7 หลายเดือนก่อน

    Que Dieu soi loué

  • @allykachol7760
    @allykachol7760 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa mtumishi

  • @user-kn3ll6ju8b
    @user-kn3ll6ju8b ปีที่แล้ว +1

    Me muhanga WA uzinzi na uasherati, nimejitahidi kufunga masaa 12 Hadi 24, lakini bado nahitaji msaada mchungaji. 😭😭😭

    • @melkizedekwiliam-hi7bz
      @melkizedekwiliam-hi7bz ปีที่แล้ว

      Kufunga na kuomba si suluhisho pekee. Kuwa na adabu na Neno la Mungu, kukubali kuongozwa na Roho Mtakatifu tena kwa unyenyekevu, kubali nguvu ya Damu ya Yesu na utakombolewa.

  • @NilahNsulwa-xv9cm
    @NilahNsulwa-xv9cm 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @NilahNsulwa-xv9cm
    @NilahNsulwa-xv9cm 11 หลายเดือนก่อน

    Amena mtu mungu

  • @gregorymhanze
    @gregorymhanze ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi unaokoa wengi . Tutapataje kupona tusipojari wokovu mkuu namna hii.

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina ...nikweli Hakika

    • @RehemaZephania-vg7yn
      @RehemaZephania-vg7yn ปีที่แล้ว

      Mungu wangu nihurumie, maana nami niliwahi anguka ktk dhambi ya uzinzi,,,na nkakosa Aman moyon mwangu lkn baada ya kukumbuka kuwa mm n mpitaji dunian, cku yoyote naweza twalia nilitubia dhambi nkawa na Aman moyon mwangu, na Sasa naendelea na wokovu. Mungu nilinde nisitende dhambi Tena!! Hata vjana wenza ngu wasaidie na uwaokoe na hiyodhambi

  • @Jojiisraeli
    @Jojiisraeli ปีที่แล้ว +2

    Asante

  • @monicaakinyi7603
    @monicaakinyi7603 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏

  • @rutagengwasteven7879
    @rutagengwasteven7879 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen

  • @ChristinMulongo-vn7hv
    @ChristinMulongo-vn7hv ปีที่แล้ว

    Amen, 🙏Amen 🙏Amen 🙏

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 ปีที่แล้ว +1

    Man of God unaongea ukweli kabisa.. na hii ni onyo kwa ulimwengu

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤

  • @rachealsiuji8349
    @rachealsiuji8349 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU AKUTUNZE BABA

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina sana.... Mtu wa Mungu

  • @anthonybenedict5444
    @anthonybenedict5444 ปีที่แล้ว

    Amen amen 🙏

  • @SimonMongoi-nw6dz
    @SimonMongoi-nw6dz ปีที่แล้ว

    Amen baba mchungaji

    • @BnyMangi-qt7fm
      @BnyMangi-qt7fm ปีที่แล้ว

      Ubalikiwe baba Kwa SoMo zur

    • @BnyMangi-qt7fm
      @BnyMangi-qt7fm ปีที่แล้ว

      Mchungaji nauliza Kwa mfano mm nikiongoz wa idala ya vjana na nimelielewa SoMo je ina wezekana kwenda kuwafundisha vijana juu ya hii habali ya dhambi inavyo ya tesa nakuangamiza watu je inawezekana kwenda kulifundisha pale nilipolielewa SoMo hili naomba nipate majibu kama inawezekana na MUNGU akubaliki

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤🎉🎉

  • @ChristinMulongo-vn7hv
    @ChristinMulongo-vn7hv ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MichaelTangishakaGervas-pm6dc
    @MichaelTangishakaGervas-pm6dc ปีที่แล้ว +2

    Congratulations Bishop Fredrick Simon

  • @gabrielzanzes
    @gabrielzanzes ปีที่แล้ว +2

    Blessed divine instructions

  • @barikimatabishi3544
    @barikimatabishi3544 ปีที่แล้ว +2

  • @user-hn5oj7jd5l
    @user-hn5oj7jd5l ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 in the name of Jesus

  • @SabrinaSabrina-kv4sc
    @SabrinaSabrina-kv4sc ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @JovinePaschal
    @JovinePaschal ปีที่แล้ว +1

    Baba ya ngu ni mebarkiwa saana na somo

    • @yusuphusaimoni4182
      @yusuphusaimoni4182 ปีที่แล้ว +1

      Naitwa mchungaji Yusuph Saimon hakika baba ubarikiwe Sana sanaaaaa umenena vema sanaaaaa amen

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina Mtumishi wa Mungu endelea kubarikiwa na Bwana

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina Mchungaji.. Mungu aendelee kukubariki zaidi

  • @bilugwemwanzije
    @bilugwemwanzije ปีที่แล้ว +2

    Neema na maarifa zikuongoze mtumishi!!?...Kenya...watamu.

    • @pcctonlinetv
      @pcctonlinetv  ปีที่แล้ว

      Amina nashukuru sana ...Mtumishi wa Mungu

  • @losaleennjikho7902
    @losaleennjikho7902 ปีที่แล้ว +2

    Kweri kabisa

  • @bensonikumilu2730
    @bensonikumilu2730 ปีที่แล้ว

    Asandi pastor umenihinua mahali

  • @SeruyaJames-ih9xn
    @SeruyaJames-ih9xn ปีที่แล้ว +2

    Baba ninamunagani nawezakupata mawasiliano na wewe nimebalikiwa sana kwasomohili

  • @Mwalimujoshua.
    @Mwalimujoshua. ปีที่แล้ว +5

    Asante sana muhubiri! Nina swali: kulingana na ulivyo hubiri, umesema huku ukinukuu maneno katika bibilia kuwa tujiepushane na uzinzi na uasherati Kwa kukimbia na kuridhika na wapenzi ikiwa tumeoa na kuolewa au pia kulinda na kuwa na subira ikiwa hatuja oa au olewa. Swali langu Sasa; ikiwa mtu amewahii kunaswa katika mtego huu wa uzinzi na uasherati, anawezaje kujitakasa na kusahau yote? Suala langu linaangazia hali ambamo watu wengi wakinaswa katika dhambi hiyo, wanaamua kuendelea hivyo kwasababu jamii,dhamiri na wale ambao walihusika nao hawawezi kusahau. Tafadhali toa maoni Yako au mahubiri yatakayo landana na suala hilo ili kusaidia na kunusuru roho zilizo zama. Asante. Jina langu ni bagheni Joshua mwana Uganda, mwalimu wa shule za sekondari/upili.

    • @Ndoro-ux7pb
      @Ndoro-ux7pb ปีที่แล้ว

      Ubarikia

    • @yonamwakyusa
      @yonamwakyusa ปีที่แล้ว

      Umeongea somo kubwa sana maana hapo Ndipo panakuwa na kiini Cha kumrudisha mtu dhambini ni Muhimu watu wajue namna yakujitakasa na namna ya kufunga huo mlango

    • @yonamwakyusa
      @yonamwakyusa ปีที่แล้ว

      Swali kama somo

    • @yonamwakyusa
      @yonamwakyusa ปีที่แล้ว

      Maana baadi ya watu walio okoka wameacha hiyo dhambi kwa mwili lakini kwa mawazo wanatenda na bado wanahisi wapo salama"Yesu akasema yeyote atakae mtizama mwanamke nakumtamani amekwisha zini nae ""hapa Ndipo panapohitaji mafundisho kuishanda dhami ya uzinz katika mawazo.

    • @allenchisunga
      @allenchisunga ปีที่แล้ว

      Okoka

  • @PetroAbel-ws9nv
    @PetroAbel-ws9nv ปีที่แล้ว

    Nikweli Kati ya maeneo yanayohita msaada nihili,uzinzi kupenda cheo ,fetha

  • @phyderisndambuki4954
    @phyderisndambuki4954 11 หลายเดือนก่อน

    Location of your church please

  • @purittymulandi6450
    @purittymulandi6450 ปีที่แล้ว

    Mafundisho no mazuri Mchugaji