LIVE: Clouds 360 na Prof. Mohamed Janabi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 39

  • @taslimpluscargo6753
    @taslimpluscargo6753 10 หลายเดือนก่อน

    ukimsikiliza Dr janabi he is very smart,na watanzania wengi tunachukulia mzaha ila anayoyasema yapo sahihi hasa ukisafr ukaona wenzetu nje wanavokua serious na spitali hasa wakiwa waja wazito...

  • @shangwekiluwa3788
    @shangwekiluwa3788 5 ปีที่แล้ว +2

    Sayansi ya mapishi oyeeeee. Asante Dr.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Great ❤Janabi.Tanzania ikutambue kama shujaa🎉 Na mkombozi🎉

  • @brightonshakila6406
    @brightonshakila6406 5 ปีที่แล้ว

    Asantee Dr nilikuaga nakunywa maji debe ....sijachelewa

  • @jenipherishengoma1239
    @jenipherishengoma1239 7 หลายเดือนก่อน

    Magonjwa ya moyo shindwa pepo Kwa jina la Yesu

  • @kasareedwin1131
    @kasareedwin1131 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Pro kwa elimu.!

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Prof

  • @joycekerenge3605
    @joycekerenge3605 ปีที่แล้ว +1

    SoMo zuri sana ila watangazaji mngekua mnamwachia nafasi mtaalamu aelezee Kwa uhuru kuliko kuinterfia Kila mara

  • @leviskelvin1648
    @leviskelvin1648 ปีที่แล้ว

    Watching this after 4yrs is insane man, i could have died

  • @renatusmsumanje8543
    @renatusmsumanje8543 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa elimu

  • @nasserm.nasser5087
    @nasserm.nasser5087 3 ปีที่แล้ว +3

    Mtume SAW said, "The son of Adam cannot fill a vessel worse than his stomach, as it is enough for him to take a few bites to straighten his back. If he cannot do it, then he may fill it with a third of his food, a third of his drink, and a third of his breath.”
    Muslims today are sinning by going against the Prophets sunnah. Over eating is israf and haram in islam

  • @zachariahonga
    @zachariahonga 5 ปีที่แล้ว +3

    Ila hapo kwa bites katikati ya milo tunatofautiana. Milo yapaswa kupishana angalau masaa matano mlo na mlo. Na pia milo mingi kwa siku sio vizuri. Infact ki afya milo miwili kwa watu wazima ni bora kuliko mitatu

  • @manzimswazi8693
    @manzimswazi8693 5 ปีที่แล้ว +1

    shukran sanaa kwa elimu hii

  • @genesbureta1697
    @genesbureta1697 4 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye Maji kwa kweli tunadanganyana sana

  • @joycekerenge3605
    @joycekerenge3605 ปีที่แล้ว

    Dada SI utulie kidogo unacheka Cheka mpaka simusikilizi vzr mtaalam

  • @barakajao4594
    @barakajao4594 5 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri sana prof Janabi

  • @emmanuelmbedule3358
    @emmanuelmbedule3358 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa elimu professor Janabi kwa elimu

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo kudum kwa hichi 😢 kitu unaweza fanya mwezi au miezi mitatu than unajikuta usharudi tena kwenye wali na mikate 😢😢 mie nafanya but only nadum kwa miezi kadhaa tu bac

    • @ahz6907
      @ahz6907 11 หลายเดือนก่อน

      Unakula kiasi tu 😂 doctor mwenyewe atakuwa anakula huyo kama kawa 😅

  • @nazaone9073
    @nazaone9073 5 ปีที่แล้ว +5

    Watangazaji wana interupt sana

  • @alfaniabassi7091
    @alfaniabassi7091 5 ปีที่แล้ว +1

    Aisee nimechoka sana kwakweli tumesha asirika sku nying

  • @zachariahonga
    @zachariahonga 5 ปีที่แล้ว +3

    Asanteni sana kurusha vipindi vya kuelimisha kama hivi. Binafsi nimegain sana na ninashare hii vdeo na karibu kila mtu wa karibu nami.
    Dada kauliza swali kwamba "unakula nini ukiwa na njaa"...like a quick fix. Niseme tu kwamba njaa ya mtu aliyezoea wanga na ya mtu ambaye the primary food sio wanga ni tofauti sana. Ile ya mtu anayekula wanga sana ina makali sana (cravings) na unajiskia kama lazima ule papo hapo na ndo maana wengi anakula chochote atakachokuta.
    Tunahitaji vipindi vingi kama hivi kuelimisha wenye moyo wa kufanya mabadiliko.

    • @gemalucas4297
      @gemalucas4297 5 ปีที่แล้ว

      Thanks doctor,

    • @gemalucas4297
      @gemalucas4297 5 ปีที่แล้ว +1

      Juice ya tui la nazi lina uwezo wa kukuondolea tatizo la njaa kali.

    • @upendogerlad594
      @upendogerlad594 5 ปีที่แล้ว

      @@gemalucas4297 unaitengenezaje?

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว

    Kuhusu daku hapo nakataa mie daku nakula saa moja bfr adhana ila nn unachokula ndio tatizo kula majani nusu sahani kula kuku au samaki robo sahani na huo uwanga nusu sahani hapo huwezi nenepa than kaa masaa nane mpk 12 usile just kunywa maji kahawa , au bullet prof hapo itakusaidia ku bust
    Kuhusu maji inategemea na mwili wa mtu urefu wake na unene wake hamuwezi nyote kunywa maji sawa
    na kazi anazofanya Doctor

  • @HamisiNumbiHamisiNumbi
    @HamisiNumbiHamisiNumbi 5 ปีที่แล้ว +1

    Sayansi yamapishi ndio mwendo mzuri

  • @taslimpluscargo6753
    @taslimpluscargo6753 10 หลายเดือนก่อน +1

    kuna hadithi ya mtume(saw) inasema " hatuli hadi tuone njaa,na tukila hatuli tukashiba" na anayoyaongea professor yanaendana kabisa

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 ปีที่แล้ว

    Kabisa

  • @bakarikazema7814
    @bakarikazema7814 ปีที่แล้ว

    Yaani kuna haja ya watangazaji kujifunza mambo mengi kwa faida ya hadhira. Yaani hapo kuna mmoja ni mtaalam saana na wengine ni layman saana. Mzani haubalance na mpaka watangazaji wanaboa sasa

  • @musabarnabas7628
    @musabarnabas7628 ปีที่แล้ว +1

    Mada sirias za kitaalam, watangazaji acheni mizaha. Hasa huyo dada.

  • @muharamigoza446
    @muharamigoza446 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuta vizur sabá DR tangu pale kwenye kipindi mubashara tunawashukuruni wote nimepata elimu mpya hapo

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 5 ปีที่แล้ว +2

    Napia unaweza kula tende baby tena saa hiyo ya alfajiri. Tende zako 3 zinatosha.

  • @joyceluwungo5068
    @joyceluwungo5068 5 ปีที่แล้ว

    Yani nimecheka Dr alivyo ongea kuhusu maji maana kama alikuwa ananiona vile

  • @ymsumi1918
    @ymsumi1918 11 หลายเดือนก่อน

    wanangu wa kunywa lita nne za maji kwa siku oyeee😂😂😂😂

  • @zachariahonga
    @zachariahonga 5 ปีที่แล้ว +6

    😁😁😁usiskilize tumbo..cheki sam alivyorespond apo...😂😂😂 guys profesa yupo sahihi kabisa. Kula kwa kutumia ubongo na sio kwa kufuata tumbo.
    Miaka kadhaa iliyopita nlijifunza huu ukweli kutoka kitabu cha "ministry of healing" na ilikuwa vigumu kufuata ila nmefanikiwa. I control what i eat. Ladha sio kiongozi salama. Na by the way taste buds za ulimi zina adapt to new tastes ukizizoesha