Harusi mpya ya MWANAJESHI itazame ilivyokua lazima utaipenda' itazame mpaka mwisho Dioniz & Grace

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 448

  • @abmmediastudio4388
    @abmmediastudio4388  2 ปีที่แล้ว +22

    TAZAMA HARUSI YAFANYIKIA MBEZI STENDI YA MAGUFULI 'Bonyeza Linki Chini kuona video👇👇👇👇👇👇
    th-cam.com/video/SfZ-GY9C6Wc/w-d-xo.html

  • @shelomaday4633
    @shelomaday4633 3 ปีที่แล้ว +3

    Waoo nzuri!! Ila jaman uafande usije ukaingia mpk ndani....ndan itawale Aman kwa jina la YESU nasi twawaombeeni familia Bora nayaamani.

  • @ulumbimtemi1669
    @ulumbimtemi1669 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe Maisha marefu mwamposa tumeyaona mengi juu ya ukomboz wa familia nying

  • @lilianchemoi769
    @lilianchemoi769 3 ปีที่แล้ว +2

    Amazing! May God bless u & ur future generation

  • @suzzyyank7446
    @suzzyyank7446 2 ปีที่แล้ว +2

    Waooo this is the best wedding I have never seen ......may God bless them abundantly ...... congratulations

  • @alexmiage5351
    @alexmiage5351 3 ปีที่แล้ว +2

    Oohh grace ongera sana lakini umenisahau bana mbna hujanialika asee best wangu
    Ningenunua ata mauwa kama zawadi bana

  • @margaretamakobe7344
    @margaretamakobe7344 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow l love this, pia ni tafuta mwana jeshi

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah mashaallah tabaraka Allah
    Allah awadumishe katika ndoa yenu na awape mwisho mwema

  • @jacklinemoshi2570
    @jacklinemoshi2570 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dioniz kwa kuanza maisha mapya ya familia Mungu awe pamoja na nyie

  • @zenaabdallah3797
    @zenaabdallah3797 3 ปีที่แล้ว +4

    MASHAALLAH NAWATAKIA UTULIVU NA AMANI NDANI YA NYUMBA NA UVUMILIVU MUNGU AWAPE WATT WENYE KHERI NA BARAKA NYINGI AMANI ITAWALE NDANI YA NYU AMEEN

  • @chujimatemanga4005
    @chujimatemanga4005 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana mkuuu ndoa yenu ni mfano wa kuigwa kwetu

  • @jacklinemichael1934
    @jacklinemichael1934 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki duoniz na grace hongereni sana bado ya loy tu hapa anasubiri

  • @magembemakoye5037
    @magembemakoye5037 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awape maisha marefu

  • @fatmaaly6951
    @fatmaaly6951 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni sanaaa nawatakia amani furahara na ndoa yenye baraka tele inshaallah

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 3 ปีที่แล้ว +2

    Manshahallah Allah bariki ndoa hii🙏

  • @hawaseba796
    @hawaseba796 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera jamn Dada huogopi mapanga

  • @suzanamkenda8122
    @suzanamkenda8122 3 ปีที่แล้ว +10

    Nzuri jmn ila mm mwanajeshi hapana ngoja nione za wenzangu tuu

    • @tsagytz6755
      @tsagytz6755 3 ปีที่แล้ว

      🤔🤔🤔 kwann eb nipe no APA nikuchek plz

    • @abmmediastudio4388
      @abmmediastudio4388  3 ปีที่แล้ว

      Hahahaa..Unawaogopa wanajeshi?

    • @khadijamandia9418
      @khadijamandia9418 3 ปีที่แล้ว

      Unawaogopa

    • @lailalaila6297
      @lailalaila6297 3 ปีที่แล้ว

      Mm nataka mwanajeshi jmn

    • @tsagytz6755
      @tsagytz6755 3 ปีที่แล้ว

      @@lailalaila6297 lete no plz Kama uko serious tufahamiane

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว +2

    Msichana mzuri Sana,kavumile tu Ndoa no uvumilivu

  • @neemanyerere5160
    @neemanyerere5160 3 ปีที่แล้ว +3

    Wacha weee hongereni sana

  • @susanwangari3959
    @susanwangari3959 3 ปีที่แล้ว

    Waaah ata kwa harusi ni sura ya kazi

  • @marymuthama6850
    @marymuthama6850 3 ปีที่แล้ว +3

    Iko fne hadi nkataman❤️❤️❤️🌹

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 3 ปีที่แล้ว +9

    so amazing du ningerudi msichana ningeolewa na mwanajeshi

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว +3

      Mm naolewa naye dear ck c nying mana kila kitu tyr mpk mahar

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว +1

      @@marrydallas3337 muombe mungu kipenz pia upende kutembelea sehem walipo,mana ata mungu anasema ujisaidie na atakusaidia co kuomba mungu t alaf sehem uliyopo hapana ata dalili ya wao kukuona

    • @marrydallas3337
      @marrydallas3337 3 ปีที่แล้ว

      @@jescajulius8023 sawa mumy asante

    • @tsagytz6755
      @tsagytz6755 3 ปีที่แล้ว

      @@marrydallas3337nimefuatilia comment zenu ,, naomba mawasliano yako hap

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว +1

      @@marrydallas3337 au nikuunganishe naye?

  • @priscillakageha1689
    @priscillakageha1689 3 ปีที่แล้ว +1

    Wauh what amazing is it bravo God humble ur couple

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimeifananisha na Harusi ya Etgur na Halima wa Tamthilia ya Kituruki😁😁😁

    • @acleymakasi6773
      @acleymakasi6773 3 ปีที่แล้ว

      Taratibu za kijeshi zinafanana dunia nzima kama vp google islamic soldier wedding pakistan uone

  • @catherinemasakhwemakokhama9117
    @catherinemasakhwemakokhama9117 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow, feeling to the next for really 🥰

  • @joycekomanya3427
    @joycekomanya3427 2 ปีที่แล้ว

    Wamependeza kweli mungu awape ndo njema

  • @marionkidula4459
    @marionkidula4459 3 ปีที่แล้ว +1

    Awesome swrry

  • @leahsamson9354
    @leahsamson9354 2 ปีที่แล้ว +5

    Shogaangu hivi nawewe mjeda! Maana hukosei ulichoelekezwa, MMEPENDEZA

  • @nabosedward4836
    @nabosedward4836 3 ปีที่แล้ว +3

    Mtoto mzuri anae taka kuolewa na mwanajeshi anicheki😝😝

  • @zityk9308
    @zityk9308 3 ปีที่แล้ว +3

    Awesome, may God bless their union

    • @abmmediastudio4388
      @abmmediastudio4388  3 ปีที่แล้ว

      thank you Dear.

    • @bensonmasanja9862
      @bensonmasanja9862 3 ปีที่แล้ว

      Wamenikumbusha harusi yangu 2007 Feb ilivyokuwa pale Ukumbi wa police baracks,ilikuwa very fantastic

    • @dianambogela4868
      @dianambogela4868 3 ปีที่แล้ว

      💞💞💞💞may God bless their union

    • @brayoofwa6655
      @brayoofwa6655 3 ปีที่แล้ว

      Hae

  • @babalababalao222
    @babalababalao222 2 ปีที่แล้ว +3

    Aloo mungu awajalie

  • @neemajoseph3546
    @neemajoseph3546 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyc ♥️ Soo fantasitic real impressive deonic

  • @nancymuchanga6038
    @nancymuchanga6038 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow,very interesting wedding I love it

  • @kevinbenadyserekariizibiti451
    @kevinbenadyserekariizibiti451 3 ปีที่แล้ว +1

    Waooooo namimi tawa awa rikavio ngozi

  • @happyissa4526
    @happyissa4526 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana rafiki yangu Grace..

  • @abdulwaheedmustafa714
    @abdulwaheedmustafa714 3 ปีที่แล้ว +1

    Yup makn jesh

  • @joycekigoda7386
    @joycekigoda7386 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awape aman Na Furaha katika ndoa yenu barikiweni saaana Na muwe Na family njema

  • @linmesh8962
    @linmesh8962 3 ปีที่แล้ว +3

    Congregations may u b blessed

  • @habibakitila6696
    @habibakitila6696 3 ปีที่แล้ว +2

    Na mm natafta mjeda jaman

  • @christinemusyoki4595
    @christinemusyoki4595 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow congratulations

  • @divinamchannel2336
    @divinamchannel2336 3 ปีที่แล้ว

    Napenda sana harusi yenu na mugu sea awabariki

  • @irinenanciebarasa5566
    @irinenanciebarasa5566 3 ปีที่แล้ว

    wow۔۔۔nice one weddings soon me too

  • @leahmacharia865
    @leahmacharia865 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awadumishie upendo

  • @naomiilikeyoursongmumgodbl6748
    @naomiilikeyoursongmumgodbl6748 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice family be blessed

  • @uzca3zjnie2
    @uzca3zjnie2 3 ปีที่แล้ว

    Iko smart hata nimetamani ♥️

  • @pophax9809
    @pophax9809 2 ปีที่แล้ว +2

    More mnatabasam kidogo

  • @saromendimbo4732
    @saromendimbo4732 3 ปีที่แล้ว

    Harus na silah kam zot apo wanaonesh vijan wapend wake za wat jichangany uone 😊😊

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 3 ปีที่แล้ว +10

    Sasa chepuka akukute lisasi na yeye lisasi biashara imeisha

  • @khojarobebebebebebebebe9329
    @khojarobebebebebebebebe9329 3 ปีที่แล้ว +1

    %kubwa malaya/wahuni haoooh hawaturii nammoja akienda kozi anaoa huko akirudi wapo wamitaan naanakuwa anajivunia kazi hvy kukatariwa vigumu

    • @ibrahmanoma4179
      @ibrahmanoma4179 3 ปีที่แล้ว +1

      Tambua hakuna mwanadamu aliyekamilika kila mtu na tabia yake, So ww isije ukawa umefanyiwa na wachache ukatukana wote nakuwaona Malaya. Kwani hakuna raia ambao siyo wanajeshi na je siyo Malaya !???. Nyinyi ndo mnaosemaga wasanii Malaya kumbe si wote ni tabia ya mtu, umalaya haimaanishi mpaka uwe nani ndo uufanye hata ww Unaweza fanya ni tabia tu na vishawishi

    • @abmmediastudio4388
      @abmmediastudio4388  3 ปีที่แล้ว

      USISAHAU KU SUBSCRIBE👆 ILI UWE UNAONA HARUSI ZETU ZIJAZO🙏🏾❤

    • @ibrahmanoma4179
      @ibrahmanoma4179 3 ปีที่แล้ว

      @@ireneenea8432 Mwambie Anakalili

    • @janethmathew1170
      @janethmathew1170 3 ปีที่แล้ว

      UmalayA ni tabia ya MTU, BT jamii inawachukulia ivoo kwa kiasi kikubwa

    • @ibrahmanoma4179
      @ibrahmanoma4179 3 ปีที่แล้ว

      @@janethmathew1170 Basi si vyema kuwahukumu hivyo wote cause binadamu hawafanani kama vilivyo viganja vya mkono.

  • @aazz9824
    @aazz9824 3 ปีที่แล้ว

    I like wat ave seen 🙏🙏🙏Congrats

  • @lovemeja4971
    @lovemeja4971 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiii imetisha Abm

  • @irinenanciebarasa5566
    @irinenanciebarasa5566 3 ปีที่แล้ว +3

    wow very nice weddings God help me too soon my Weddings to be happiness like that one wow my God blessed all۔۔

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 2 ปีที่แล้ว +4

    dah jamaa katisha sana aise

  • @danielmandila1576
    @danielmandila1576 3 ปีที่แล้ว

    Nmefurahia sana hii harusi

  • @madotchekanabo679
    @madotchekanabo679 3 ปีที่แล้ว +3

    What the title of the song

  • @zilfazizou6107
    @zilfazizou6107 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama vile naikumbuka harusi yangu

  • @247unitedprayertz
    @247unitedprayertz 3 ปีที่แล้ว +4

    Congratulations Dioniz Ndanda boy!!

    • @josephluziga5184
      @josephluziga5184 3 ปีที่แล้ว

      Hongera unafanana jina na baba angu.

  • @paulinejohn6725
    @paulinejohn6725 3 ปีที่แล้ว

    Congrats to u guys D$G

  • @sharonsharice16
    @sharonsharice16 3 ปีที่แล้ว

    I hope to find my soldier husband here, congratulations

  • @irinemugambi2379
    @irinemugambi2379 3 ปีที่แล้ว

    Iyo ni kali sana

  • @danielngetich7260
    @danielngetich7260 3 ปีที่แล้ว

    It was so nice.

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 ปีที่แล้ว +1

    Alivyo serious sasa uyo mume 😂😂wajeda🙌🏃‍♀️

  • @estamathew5167
    @estamathew5167 3 ปีที่แล้ว

    Mmh wanajeshi mm hapana😁😁

  • @achahajigora4439
    @achahajigora4439 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana mjeda

  • @d.comdan
    @d.comdan 2 ปีที่แล้ว +4

    Wow great

  • @millycentmilly8290
    @millycentmilly8290 3 ปีที่แล้ว

    Woow imeweza

  • @doreensamwely8740
    @doreensamwely8740 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani watu Wana rahaa duniani acheni tu,siku nikipat wanguu wakunioa nitaenjoy san

  • @neemanyagusi4875
    @neemanyagusi4875 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh jomn afande hata kucheka hakuna

  • @marynoni7055
    @marynoni7055 2 ปีที่แล้ว +1

    Maana mimi sun naolewa na mjenda

  • @76update7
    @76update7 3 ปีที่แล้ว +1

    Kariri sura ya biarusi ukimuona kimbio nyingi sana

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 3 ปีที่แล้ว

    Daaa nzur harus yao mama ukavumilie maana ndo mshavishana pete

  • @shazimamakokha3969
    @shazimamakokha3969 3 ปีที่แล้ว

    It was amazing

  • @lovenesskitindi6824
    @lovenesskitindi6824 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmhh kichapo hakitakuwepo kweli hapo

  • @mwidinijuma8214
    @mwidinijuma8214 3 ปีที่แล้ว +2

    Wale wapenda wake za watu mke wa mjesshi huyo uje ujichanganye sasa.

  • @tinamburu5401
    @tinamburu5401 3 ปีที่แล้ว +2

    Congrats

    • @abmmediastudio4388
      @abmmediastudio4388  3 ปีที่แล้ว

      USISAHAU KU SUBSCRIBE👆 ILI UWE UNAONA HARUSI ZETU ZIJAZO🙏🏾❤

  • @athumanimfinanga1977
    @athumanimfinanga1977 3 ปีที่แล้ว +2

    Sijawai ona harusi ya mjeshi kapiga suti,wao nigwanda tu

    • @sophiaaidan508
      @sophiaaidan508 3 ปีที่แล้ว

      Bac ujawajua badoo izoo mbona ni sale suti za maofisa wanavaaaa mara nyingii tuu ni sehemu ya sale yaoo

  • @benterchepngetich5340
    @benterchepngetich5340 3 ปีที่แล้ว +2

    Harusi ya kukata na shoka, sijui nitapata wapi mjeshi nami tufunge harusi motomoto

  • @farhiaaassan6334
    @farhiaaassan6334 3 ปีที่แล้ว

    Muhayaaa uyooo kiboko

  • @marynoni7055
    @marynoni7055 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwani mwanajeshi lazima avae hiivi anapofunga ndoa

  • @jacksonurasa1884
    @jacksonurasa1884 2 ปีที่แล้ว +2

    Waoooo hongera Sana mamy

  • @upendojohn1337
    @upendojohn1337 3 ปีที่แล้ว +2

    So wonderful jaman

  • @winfridamsukuru9819
    @winfridamsukuru9819 3 ปีที่แล้ว +1

    Wapi Mjeshi nami nifunge harusiiiii

  • @ishmaelangore3811
    @ishmaelangore3811 3 ปีที่แล้ว

    It was perfect

  • @yusufujkululinda4947
    @yusufujkululinda4947 3 ปีที่แล้ว +1

    Iko vzr kweli

  • @dickzenobi3411
    @dickzenobi3411 3 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @asiamuhina3578
    @asiamuhina3578 2 ปีที่แล้ว +3

    inapendeza sna kwakwel inshallah ndoa yao idumu

  • @corneliusaranga5553
    @corneliusaranga5553 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

    • @abmmediastudio4388
      @abmmediastudio4388  3 ปีที่แล้ว

      USISAHAU KU SUBSCRIBE👆 ILI UWE UNAONA HARUSI ZETU ZIJAZO🙏🏾❤

  • @bintisaidbigupbrotherjuma8417
    @bintisaidbigupbrotherjuma8417 3 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka naskia wivu lkn uvumilie tu😂😂😂

  • @sharifamohd1010
    @sharifamohd1010 3 ปีที่แล้ว +1

    Muishi maisha mema

  • @mirumbeihema2589
    @mirumbeihema2589 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndowa niuvumilivu ndowa cyo uwafandee lmani ltawalee

  • @jimmyboytv1333
    @jimmyboytv1333 3 ปีที่แล้ว

    Nzur sana

  • @zuwenamrisho5321
    @zuwenamrisho5321 3 ปีที่แล้ว

    My hubby Fanya urud nass arus ytu iwe km hii 😍 mrs kamanda mtarajiwa

  • @rosemarytungu6569
    @rosemarytungu6569 3 ปีที่แล้ว

    Waooo jack hongera Sana

  • @jacklinekanyee8399
    @jacklinekanyee8399 3 ปีที่แล้ว

    nice one live in peace

  • @christinewanja1690
    @christinewanja1690 2 ปีที่แล้ว +4

    Nice wedding

  • @jacklinejudah3693
    @jacklinejudah3693 3 ปีที่แล้ว +1

    Congra

  • @vonieyfimbo5553
    @vonieyfimbo5553 3 ปีที่แล้ว

    Moe Dan wonderful

  • @jacquelineissah5374
    @jacquelineissah5374 3 ปีที่แล้ว +1

    So wounderful😘😘

  • @naomiilikeyoursongmumgodbl6748
    @naomiilikeyoursongmumgodbl6748 3 ปีที่แล้ว +1

    Nataka mwanajeshi nifanye naye jamani

    • @edgarnandonde48
      @edgarnandonde48 3 ปีที่แล้ว

      nitafute kwenye e mail yangu 👏👏

  • @jonathanmutua9104
    @jonathanmutua9104 3 ปีที่แล้ว

    Kali mno