USICHOKIJUA KUHUSU MKE WA AMBWENE MWASONGWE....? | MASANJA TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 216

  • @videodinifredrick6258
    @videodinifredrick6258 3 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante nimakuelewa sana ambwene

  • @shadrackallon
    @shadrackallon 5 ปีที่แล้ว +4

    Mtangazaji.. Hapana! Nadhani hujaijua kazi yako, unahitaji kujipanga vizuri. Ambwene kakupa majibu mazuri sana ingawa maswali yako hayana mpango.

  • @esterjoseph8461
    @esterjoseph8461 3 ปีที่แล้ว +2

    Majibu ya mazuri mtumishi tena ya kiMungu barikiwa sana ndg

  • @josephzumba8193
    @josephzumba8193 5 ปีที่แล้ว +2

    barikiwa mtumishi

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 6 ปีที่แล้ว +22

    Akili nyingi sanaaa huyu jamaa.....! Hawa ndo tunasema ni kioo cha jamii, barikiwa sana Ambwene......

    • @beatricesamwel8161
      @beatricesamwel8161 4 ปีที่แล้ว

      Hana akili nyangi Ila nguvu ya ROHO MTAKATIFU

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 3 ปีที่แล้ว

    Umenihimarisha sana kiroho ambwene, namjua yesu amenishindia safari zangu zote bila kushindwa. Mungu ajaniacha . Uwepo wa mungu una nguvu na huyo ndiyo mungu . Uwepo wa mungu unafurahisha haijalishi upo wapi ,unafanya nini mungu ni mungu ukiwa naye utamshangaa anavyokutumia. Amaizing.

  • @chrissiequeenmsami980
    @chrissiequeenmsami980 5 ปีที่แล้ว +14

    Nakupenda, napenda nyimbo zako pia, mungu akuinue

  • @zawadikatalikokataliko1530
    @zawadikatalikokataliko1530 2 ปีที่แล้ว

    Vrement j'aime tes chanson mon frére a bwene

  • @philisterkahindi5122
    @philisterkahindi5122 4 ปีที่แล้ว +2

    Tukikotoka Bwana mbali sana hapa tulipofika wewe wajua ... Huu wimbo wako kaka Ambwene hunibariki sana Mungu aendelee kukupa neema

  • @verokigabo9570
    @verokigabo9570 4 ปีที่แล้ว +2

    Uko vizuri na kazi zako pia mtumishi

  • @yohanajosephat1680
    @yohanajosephat1680 4 ปีที่แล้ว

    Amen,, Kaka ambwene...
    MUNGU huyu aishiye milele azidi kukupa hekima zaidi na zaidi na miwsho ufike kwake mbinguni. Hongera Sana kaka, majibu yako yananitia moyo na kuzidi kuwa na matumaini makubwa. Stay blessed more

  • @mwaminifungo4665
    @mwaminifungo4665 5 ปีที่แล้ว +2

    mungu akutunze sana kaka mara ya kwanza nilikuona kwenye mkutano wa new life kiwila nilifurahia huduma yako nakupenda penda kiukweli kaka yangu ambwene

  • @martinjunior6440
    @martinjunior6440 4 ปีที่แล้ว +2

    TUNAIMBA NYIMBO ZA INJILI bonge la message Kaka

  • @ibrahimnyanza3586
    @ibrahimnyanza3586 6 ปีที่แล้ว +2

    Heshima ya mrefu imesababishwa na mfupi...
    Jaribu Lipo ili MUNGU ajiinue kupitia hilo. ..
    Hakika mashairi ya ambwene yanahitaji hekima kuyaelewa ......be blessed brother

  • @lovenesssanga3162
    @lovenesssanga3162 2 ปีที่แล้ว

    God is incredible He is doing better we believe that we shall go further 🙏🙏🙏

  • @happiliciousdiva9767
    @happiliciousdiva9767 6 ปีที่แล้ว +44

    Mzee wa mashairi Magumu ila wenye akili ma hekima hutambua na kuelewa.... Mungu Akutunze bro

  • @dawillygene
    @dawillygene 6 ปีที่แล้ว +28

    Nakupenda sana kaka Ambwene, pia msimamo wako wa kiroho ni mzuri

    • @akimjoseph2818
      @akimjoseph2818 3 ปีที่แล้ว

      umenisemea maneno yote niliyotaka kumwambia kaka Ambwene

  • @isackphinis5040
    @isackphinis5040 4 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana ambwene yupo tofauti ya wenzake mungu azidi kukutumia

  • @elyzermkenda7431
    @elyzermkenda7431 5 ปีที่แล้ว +4

    barikiwa sana kaka unajibu vizur sana kwa hekima kiutumishi kabisa

  • @noelelphace8339
    @noelelphace8339 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana ambwene mumgu akupe maisha marefu unaakili sana mjomba

  • @asiimweanthony9057
    @asiimweanthony9057 6 ปีที่แล้ว +2

    Amen brother stay blessed, for sure unanibariki kwa nyimbo zako

  • @jacklinemwamasangura5806
    @jacklinemwamasangura5806 5 ปีที่แล้ว

    safi sana ameniona nyimbo zako zinanibariki sana kyala akutule

  • @sharoombay8997
    @sharoombay8997 4 ปีที่แล้ว

    Asantee kwa majibu Mtumishi.

  • @agnesslyatuu993
    @agnesslyatuu993 6 ปีที่แล้ว +7

    Ameni Mungu akubariki saaana mtumishi wa Mungu.Waimbaji wa nyimbo za injili wasisahau wanamuimbia Mungu aliye hai.Kimavazi kitabia mnawapa watu maswali sana.

  • @reginalionjo6531
    @reginalionjo6531 4 ปีที่แล้ว

    Amen namtukuza Mungu kupitia wewe mtumishi

  • @salahmane8323
    @salahmane8323 5 ปีที่แล้ว +8

    Mmh maswali yako hayana mvuto we kaka dah nimekufatilia sana asee badilika

  • @janetchriskagona831
    @janetchriskagona831 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sawa dear kaka

  • @eliusjohn385
    @eliusjohn385 4 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako hunipeleka rohoni. Nakupenda sana. Mungu azidi kukuzididhia hekima

  • @ElineemaSulle
    @ElineemaSulle 4 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @janechipeta6231
    @janechipeta6231 4 ปีที่แล้ว

    Amin tusisahau miiko asante sana

  • @ruthmwakifuna7351
    @ruthmwakifuna7351 5 ปีที่แล้ว +4

    big up Ambwene usiye na wivu. mnyakyusa Org

  • @olivalupala5374
    @olivalupala5374 5 ปีที่แล้ว

    mungu akubariki sana kwa kazi ya mungu

  • @gimbanantavyo5217
    @gimbanantavyo5217 6 ปีที่แล้ว +2

    God bless you Ambwene, nyimbo zako zinanibariki sana.

  • @precioussalome820
    @precioussalome820 6 ปีที่แล้ว

    u are blessed bro for sure kila nisikilizapo nyimbo zako sibakigi kama nilivyokuwa...Bwana azidi kukuinua zaidi

  • @gladnessmwalyanzi6180
    @gladnessmwalyanzi6180 3 ปีที่แล้ว

    Safi saaaanaaa kakaaangu MUNGU akutunzeeee

  • @jackilinram1083
    @jackilinram1083 4 ปีที่แล้ว

    Amina ambwene

  • @jeannedarc6656
    @jeannedarc6656 3 ปีที่แล้ว

    Amen kwa kutufariji

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu mtumishi

  • @saidikambimbaya6739
    @saidikambimbaya6739 5 ปีที่แล้ว +1

    We gudluck ndy anakutosha ..

  • @sarahmwakilasa9346
    @sarahmwakilasa9346 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana kaka ubarikiwe

  • @subiramomburi9148
    @subiramomburi9148 5 ปีที่แล้ว

    Kaka Abwene kweli upo vzr sana. Mungu aendelee kukutumia.

  • @philimonambilikile6645
    @philimonambilikile6645 2 ปีที่แล้ว

    Safiii sana

  • @noahmisholi1080
    @noahmisholi1080 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sanaa broh, nyimbo zako zina mafunzo makubwa sanaa

  • @sabasmorice112
    @sabasmorice112 4 ปีที่แล้ว

    Tangu Majaribu ni Mtaji Wewe ni wa baraka kwetu,
    Mungu akubari sana Ambwene.

  • @witnesssalila1169
    @witnesssalila1169 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana bro mungu azidi kukuinua zaidi

  • @oscarmanase1768
    @oscarmanase1768 6 ปีที่แล้ว +2

    uko vzr sanaaa mtumishi coz umaarufu haujakulewesha. washauri waimbaji wa kike waache ulimbukeni wasiige mitindo ya duniani

  • @mulungiester8675
    @mulungiester8675 6 ปีที่แล้ว +26

    Una majibu ya kitumishi Ambwene, keep humbling

  • @moreenkasekwa6521
    @moreenkasekwa6521 4 ปีที่แล้ว

    Love so much kaka mungu azd

  • @damarisedna532
    @damarisedna532 6 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kkngu MUNGU wetu akusaidie zaidi nikivunjika moyo wanifariji kkngu sana....

  • @jumaabduli781
    @jumaabduli781 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwr

  • @mariamndolela8919
    @mariamndolela8919 6 ปีที่แล้ว

    Namkubar sana kaka ambwene since tunasoma pamoja tia mungu haendelee kukuinua katika huduma

  • @deborahmollel3170
    @deborahmollel3170 3 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji tulia kwenye kazi vizuri;jiongeze namna ya kuuliza maswali

  • @hafsashayo1713
    @hafsashayo1713 ปีที่แล้ว

    Huyu kaka ni mtumishi wa kwel wa mungu

  • @kyandokyando9233
    @kyandokyando9233 2 ปีที่แล้ว

    Napenda Sana nyimbo zako wanao weka madansa wanaharb sana

  • @jumaabduli781
    @jumaabduli781 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Ambwene

  • @jassonejasper817
    @jassonejasper817 6 ปีที่แล้ว +1

    ambwene mungu akubariki sana kwa nyimbo zake nazipenda sana

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 6 ปีที่แล้ว +2

    unajibu vizuri kaka

  • @elizabethmwandu9899
    @elizabethmwandu9899 6 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukutia nguvu na moyo mkuu wa kuendelea kulitangaza neno la Mungu kwa njia ya uimbaji

  • @janethgatoni5981
    @janethgatoni5981 6 ปีที่แล้ว

    MUNGU akuinuwe zaidi

  • @abelbaraka263
    @abelbaraka263 6 ปีที่แล้ว +1

    Ni mtu wa nyumbani kwangu , anakipaji cha kufika, kufua, na nihasibu. Mungu azidi kuiinua karama iliyo ndani yako na akufanikishe Katika masanja
    .....watangazaji kwa umbea mpunguzeee.... Mke ni ni zawadi kutoka kwa Mungu...
    Ameen tumekubalika na Mungu..

  • @farajandeshe3525
    @farajandeshe3525 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongela Kwa kumweshim Mungu

  • @megamedia3430
    @megamedia3430 6 ปีที่แล้ว +2

    Hii topic jameni. Yaani raha zenu ni kuchunguza wake wa wenzio jameni. Sio kwa ubaya, nimeuliza tu

  • @sabastianraymond8841
    @sabastianraymond8841 5 ปีที่แล้ว +8

    Mwandishi ongea kwa hekima. Umsifu Mungu.

  • @maryoswad7022
    @maryoswad7022 4 ปีที่แล้ว

    We mzeee wa hekima ahsate kwa maneno mazuri sana yamejaa hekima

  • @nelsongodfray3972
    @nelsongodfray3972 5 ปีที่แล้ว

    Hongera zako MTU WA mungu .

  • @sabinamija9520
    @sabinamija9520 6 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo za ambwene anabaliki sana na anagu maisha ya watu

  • @jacquelinosmond221
    @jacquelinosmond221 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mtangazaji amemboa mtumishi ila amejitaidi kumwelimisha... maswali hayaendani na mtu anayeulizwa...watangazaji tulieni kwenye kazi, kuna tofauti ya kumhoji ebitoke na ambwene

  • @esterjoseph8461
    @esterjoseph8461 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda hiyo kueni na miiko waimbaji tambueni muziki mnaoufanya

  • @anethjaochimu3169
    @anethjaochimu3169 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda kaka abwene

  • @mkorinto7629
    @mkorinto7629 4 ปีที่แล้ว

    Anaakili sana

  • @nashaldina545
    @nashaldina545 6 ปีที่แล้ว +14

    Mungu akuinue zaidi ....nyimbo zako zina nitia Moyo sana

    • @neemaminja9328
      @neemaminja9328 6 ปีที่แล้ว +1

      kaka mungu azid kukutia nguvu.nyimbo zako zinatia moyo sana sana

  • @agnessmichael5378
    @agnessmichael5378 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana

  • @tongamushi2052
    @tongamushi2052 6 ปีที่แล้ว +5

    Kaka Rudi chuoni please interview haifanywi hivyo ndugu

  • @naominyamoya7615
    @naominyamoya7615 6 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwaga sana na nyimbo zako brother

  • @gloryjane4147
    @gloryjane4147 5 ปีที่แล้ว +1

    Host. Bado hajui kazi yake

  • @sandejimmy302
    @sandejimmy302 3 ปีที่แล้ว

    Hua nataman saa hata awe kka angu kbca lov broo ambwene

  • @nyakai5182
    @nyakai5182 6 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana bro

  • @chresencialuvara8303
    @chresencialuvara8303 6 ปีที่แล้ว

    Abwene is very bright very bright

  • @jennymassawe2893
    @jennymassawe2893 5 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako zimenibariki!!keep it up!!

  • @ladybilionaire379
    @ladybilionaire379 6 ปีที่แล้ว +2

    Mi sipendi maswali ya huyu host wa hii tv ana mapepe sana

  • @hobobenson5264
    @hobobenson5264 6 ปีที่แล้ว +3

    Dear Masanja , mtangazaji hana ladha

  • @nickkimati7415
    @nickkimati7415 6 ปีที่แล้ว +20

    Mtangazaji Jaribu kuwa mtulivu na maswali unayouliza jaribu kuyausianisha na mazingira.
    Unaongea na Mwimbaji unaleta habari za ng'ombe kweli

    • @dasilvajacmwax7436
      @dasilvajacmwax7436 5 ปีที่แล้ว

      Nick huyu mtangazaji nahisi hajielewi,,

    • @emanuelsitta8015
      @emanuelsitta8015 5 ปีที่แล้ว

      Nakupenda sanaaaa nyimbo zako zinanibariki sanaaaaa misuri ya imani Mungu akupe maisha marefu

    • @stellandege5594
      @stellandege5594 4 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji huna maneno ya kuuliza jinga ww

  • @neemaagustino8989
    @neemaagustino8989 6 ปีที่แล้ว

    nzuri sana mungu akubariki

  • @amiwitu9101
    @amiwitu9101 6 ปีที่แล้ว +1

    #Ambwene nakuombea mkono wa Mungu aliye hai uwe nawe daima ila USIUIGE ULIMWENGU KAKA, MAANA WATUMISHI WA MUNGU WENGINE WAMEKENGEUKA NA KUMUACHA MUNGU.

  • @sethmwaigomole1594
    @sethmwaigomole1594 5 ปีที่แล้ว +4

    Mtangazaji,najalibu kukushauri unapoongea n mwimbaji mkubwa uwe mtulivu aisee!!.

  • @elizampole4366
    @elizampole4366 6 ปีที่แล้ว +19

    mtangazaj 00000.0000% hujui kabisa kutangaza hujui kabisa tena masanja fukuza hyo ,,bradha kasome aseee .unahoji hovyohovyo .mara mziki ,,Mara ng'ombe aseee 000% .

    • @mariachaula2097
      @mariachaula2097 6 ปีที่แล้ว

      Nyimbo zako zinatia moyo kaka songa mbele

    • @sarahthadei8049
      @sarahthadei8049 5 ปีที่แล้ว

      00009%%%%%

    • @mariammichael9773
      @mariammichael9773 5 ปีที่แล้ว

      Eliza Mpole wew mwenyew hujui hata kuandika vizur halafu unamhukumu mwezako😂😂😂, cheki ulivyoandika brother { bradha }???

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 3 ปีที่แล้ว

      Yaani 00000000000

  • @gervassanga72
    @gervassanga72 6 ปีที่แล้ว

    Na barikiwa sana na kaka Ambwene

  • @ndenitoriakimaro9631
    @ndenitoriakimaro9631 4 ปีที่แล้ว

    Kaka Ambwene songa mbele Neema ya MUNGU ikupandishe juu zaidi

  • @jacqulinemushi5849
    @jacqulinemushi5849 6 ปีที่แล้ว +2

    Ahs kwa majibu mazuri kka Ambwene.Mtangazaji punguza wenge cool wakati wakuuliza maswali

  • @stevenlukumay5517
    @stevenlukumay5517 6 ปีที่แล้ว +2

    Napendanga sana mashairi zako kaka ambwene mwaswongwe

  • @ackleraezekiel2756
    @ackleraezekiel2756 5 ปีที่แล้ว

    nakupenda sana abwene

  • @jackiejackie1272
    @jackiejackie1272 6 ปีที่แล้ว +8

    amekuweza ulivyo mmbea😅😅😅😅amekukwepa vizuriii

    • @gomamas9684
      @gomamas9684 6 ปีที่แล้ว

      Napenda sana nyimbo zako zinanitia nguvu mno ubarikiwe

  • @desavage7200
    @desavage7200 5 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @agneskigeme1197
    @agneskigeme1197 6 ปีที่แล้ว +1

    Unayimba vizuri sana kaka yetu Mungu ukuongoze vizuri

    • @modestaruguzye3180
      @modestaruguzye3180 3 ปีที่แล้ว

      Huu wimbo mwanangu anaweza kuusikia siku nzima mbila kuchoka kweli umetubariki nyumba nzima namanisha familia nzima barikiwa mm pamoja na nyumba yangu yote tunakuombea abwene barikiwa sana sana

  • @pendokesi3977
    @pendokesi3977 6 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kaka

  • @benjaminabraham6912
    @benjaminabraham6912 6 ปีที่แล้ว +3

    Mtumishi ubarikiwe sana

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 6 ปีที่แล้ว +2

    Mwambie huyo hajui watu wanakotokea ni wapi?Pengine hakuzaliwa mjini wala kijijini,labda alizaliwa shimoni maana haelewi hata maana ya Elimu kulingana na miaka inavyokwenda

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi Ambwene una upeo mkubwa,dakika chache nilizokusikiliza nimevuna mambo mengi chanya....Kunta...Kinte.

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 6 ปีที่แล้ว +2

    Unaweza kutangaza lekebisha matatizo madogo madogo pia uwe na Subira pindi unapo uliza swali

  • @yohanakananika3586
    @yohanakananika3586 6 ปีที่แล้ว +17

    Huyu mtangazaji jaman! Mbona haeleweki kama hajitambui hivi au mnasemaje?

    • @ketralulu4103
      @ketralulu4103 5 ปีที่แล้ว

      John Kananika ....yaani yupo kama punguani kichwani anaboa

    • @happymassawe4417
      @happymassawe4417 4 ปีที่แล้ว

      Anayeulizwa ni mwerevu kuliko muulizaji, hahahaa