Mzaz n mtu mzma pia ndo mungu wa 2,ivo alisemalo Mzaz lipo,vijana wengi wanaingia tamaa ya kutafuta mafankio ya haraka ivo wanajikuta wanatafuta pesa kwa njia yeyote
@@mollelyally5213 wewe Waefeso 6:2-3 2 Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi, 3 Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
Walilipqnga. Kwa nini uandae sherehe hadi waandishi wa habari kumpa mamaako gari. Na mtu uliemtuma pia aseme hakuelewi. Eti jumanne hufanyi kazi. Mmepanga tu kufosi kujulikana
Chui take it easy maana mama zetu wanaishi kwenye analojia Mimi nakupenda sana bloo! Also me nilijenga nyumba mama aliikataa binafsi tuliofanikiwa kutoka kwenye familia duni tunachukuliwa hivyo! My name is King iddirisa kutoka family duni tunachukuliwa vibaya aisee
Huyu sign alifanya mwanzo ilionyesha na maongezi yake yako na doubt....mama anajua mtoto wake na mapato yake sasa hii utajiri watu all of a sudden wako na tajiri no no no no no ...mama alikataa ju labda akichukua thats all,kuna wengi ukipokea zawadi ama pesa ndio basi
Ni swala la uelewa tu Mama kapangwa akatae gari Kisa kijana wake Huyu chui anataka azungumziwe maana anataka ajulikane zaid ya hapo alipo maan kuna watu hawamjui huyu mwamba
Swali kwa mwenye akili jiulize wewe umemnunulia mama yako zawadi ya gari kwanini usimpelekee wewe hilo gari umpe mtu baki ampelekee mama yako na ni zawadi kubwa hiyo??? kwa waliosoma Cuba wameshajuwa,ni masharti hutakiwi upeleke wewe hiyo gari,mama yuko sahihi kukataa huenda ndio njia ya kumtoa kafara mama yako kwa ajali ya hiyohiyo gari mama kastukia issue ndiye mama yake anamjuwa vizuri mwanae na matendo yake si mnaona hata maelezo yake?
@@Marry-u8m wazazi wengi kama hujuwa tena wa kijijini wanaamini sana ushilikina me mwenyewe naelewa mtu anatafuta pesa ili ufulahishe family lakini mambo unayo yasikia
Usiogope. Nikweli familia maskini akifanikiwa moja anaambiwa keshakua mchawi. Ata namimi ilishanikuta nilipata ela nikenda kijijini nimjengee mama yangu atoke kwenye nyumba ya tope. Akakata nakusema nataka nimue
Uhm wew ndo una akili kbxaaaaaa yan mzazi ndio wakumpa vya Freemason mfuatilie uyooooo JamaaaaAH vzr ana adi Pete ya Freemason licha na hapo maelezo yak tyu anaonesha kbxaaaaaa
Kama ni gari la kawaida,na ni zawadi ya kawaida why uumie kias cha kutaka kujiua??unaweza kuwa familia yenu mnakula mlo mmoja wa wasiwasi au hata pa kulala hapako poa,halafu uibuke na gari lazima ushtukiwe
Jaman kuweni makini na watu hawa ni matapeli hiii ni michezo ya kuigiza inakuwepo sana sema wameihamishia kwenye mitandaowote hao waigizaji kuna wajinga watajichanganya sana kuweni makini hawa ni matapeli matapeli matapeli
MAMA MLINDE MTOTO WAKO WENGI WANATOA ZAWADI KWANI HUONI MWANAO ANAPAMBANA NA MAISHA? NA WEWE MWANDISHI MBONA UNALAZIMISHA MAMBO? WANDISHI KM NYIE MKIAMBIWA HAMFAI MTASEMA MNAONEWA?ACHENI HAYO MAMBO
Suluhisho ni wewe kuchukua ndugu zako nenda nao kwa Nabii au mtumishi wa Mungu akusaidie brother
Duniani hapa jamani Mama Martha analia mwanae hamsaidii chochote na huku mama chui anapewa gari anakataa sasa sijui
Huyu mama anajitambua sana@@Asha-s9u8p
Ndiyo hivyo mambo mchanganyiko,,, binadamu huwa haridhiki,, kila kitu anakitaka yeye, ukimnyima analalamika, ukimpa analalamika sasa sijui tuishije?
Ahahaha atar san
@@SarahNgweta yaani hata mimi sijui binadamu tuko vipi
@@Asha-s9u8pmama alisema ndg zak wanatoka mi mate kwaiyo family inajua
Huyu jamaa kweli freemasonry jinsi uwongeaji wake doesn’t make sense
Mzaz n mtu mzma pia ndo mungu wa 2,ivo alisemalo Mzaz lipo,vijana wengi wanaingia tamaa ya kutafuta mafankio ya haraka ivo wanajikuta wanatafuta pesa kwa njia yeyote
Ukiulizwa swali usipojibu ndio au hapana kiukweli jibu ni ndio
Mmmmh kweli hela zako ni halali Mungu akuzidishie ila kama zinamagumashi mmmh ngoja tuendelee kutazama.
Kwanza kusikia neno Nigeria😂😂😂tayar kabisa ww nimlemle alafu namna anavojib ,, mojakwamoja ni uhakika ,wamama wanaona mbali sana
Chui Tz sio wawili mupo watatu mwingine yupo Polini😂😂😂😂😂
Uko sahihi 😂😂😂😂😂😂
Wa4 na @officialnai
😂😂😂😂wee koma 😂😂
Hii ni kiki ametafuta namna ya kutoka na amefanikiwa kwasababu mi binafsi nilikua simfahamu ila saiv nimemjua😮😮😮😮😮😮
Mzazi sio mungu wa 2 acha kufuru
@@mollelyally5213 wewe Waefeso 6:2-3
2 Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,
3 Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
Wew ndo unakufuru unambishia mungu? Baada ya mungu ni wazazi tatizo uwelewa.
Dah Huyu Mwamba Anajikanyaga Sana Naamini Yupo Kwenye Chama 😢
D@@Bongotrending_media
Umeuona
Huyu siyo Masson labda anavusha Unga kiaina katoboa ulikua na Dhmira nzuri ya kumuhendo Mzazi Mungu atakulipia InshaAllah ❤
Man Freemason akubali Kama ni Freemason
To ukumbavu wako kwamba ww unamjua kuliko mamake
Kwa nn mwenyewe hujaeda
Walilipqnga. Kwa nini uandae sherehe hadi waandishi wa habari kumpa mamaako gari. Na mtu uliemtuma pia aseme hakuelewi. Eti jumanne hufanyi kazi. Mmepanga tu kufosi kujulikana
Uyu jamaa maelekezo yake yanajichanganya ni kweli atakua freemason
Freemason huo ata Pete anaoooo
Chui take it easy maana mama zetu wanaishi kwenye analojia Mimi nakupenda sana bloo! Also me nilijenga nyumba mama aliikataa binafsi tuliofanikiwa kutoka kwenye familia duni tunachukuliwa hivyo! My name is King iddirisa kutoka family duni tunachukuliwa vibaya aisee
Fact bro
@@iddikanjele2572 pole sana
Tajiri kachoka kuliko mm
Tunaomkubali p didy tujuane
Huyu jamaa interviews zake nyingi huwa anajinyeanyea tu kila akiulizwa kuhusu freemason. Ila mi naungana na mama yake!!
Chui hayo ni mambo ya kawaida ila kuyaondoa inabidi uje twende nikuombee kuvunja hizo roho ili uwe na amani.Hayo yanaisha tu.
Pole sana ndiyo dunia.
Huyu sign alifanya mwanzo ilionyesha na maongezi yake yako na doubt....mama anajua mtoto wake na mapato yake sasa hii utajiri watu all of a sudden wako na tajiri no no no no no ...mama alikataa ju labda akichukua thats all,kuna wengi ukipokea zawadi ama pesa ndio basi
Huyuu N nan mbna Mimi simjuii Chuii wawap huyuu😅😅😅😅
𝐓𝐢𝐭𝐨𝐤 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐨𝐧𝐠𝐞𝐚 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐣𝐨𝐢𝐧 𝐅𝐫𝐞𝐞𝐦𝐚𝐬𝐨𝐧 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐩𝐚 𝐩𝐞𝐭𝐞
Huyu ni tajiri Chui wa Mikumi National park pale.
Kama mama hujamuelezea vizuri chanjo cha utajiri wako ana haki ya kuikataa maana vijana wengi tunapenda njia za mkato
Ni swala la uelewa tu Mama kapangwa akatae gari Kisa kijana wake Huyu chui anataka azungumziwe maana anataka ajulikane zaid ya hapo alipo maan kuna watu hawamjui huyu mwamba
Hizo lakini ni nyingi 😅😅😅 Wenye D mbili washaelewa😅😅😅
Sio kweli hizo ni kiki bana,,mama na huyo jamaa wameyapanga tuu ili wapate trending lkn mwisho wa siku yote ni sawa
Majibu yake yanaeleweka mbona?
KIKI TU HAPO ZIMETENGENEZWA.
Kuna business inatengenezwa
Tatizo ni tamaaa ya maisha ndio mnapata pesa kwa njia mkato mnoo ,,,mama ana haki kukataa jeneza hilo
Your mum she's don't want you to sacrifice her evil money smart mum
𝐘𝐞𝐚𝐡 𝐡𝐮𝐲𝐮 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐧𝐚𝐤𝐮𝐛𝐮𝐤𝐚 𝐭𝐢𝐭𝐨𝐤 𝐚𝐤𝐢𝐩𝐞𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐩𝐞𝐭𝐞 𝐲𝐚 𝐟𝐫𝐞𝐞𝐦𝐬𝐨𝐧
@@shiroliz8627kwel anaoooo uyo umbwa
Uyu ni yeye
ulikosea bro ungekunywa plz
uyu chui namnukuu
1 anamarafiki freemasoni wengiiii
2 freemasoni anaijuwa hawezi izungumzia leo
3 wewe ni frimasoni( yes or no) hatoi jibu
4 hasemi pesa kazipata wap miradi yake haisemi (kama anamiliki viwanda, hoteli,zoo magari ya abilia trekta ashamba si aseme atangaze pia miradi yake )
Nimekuelewa mchizi♥️
Ni tabia baadhi yetu kuuthamini umasikini usio na faida dhana za kipuuzi. Tujitahidi tukiwa masikini wote tutasaidiana vipi?
Maongezi yake tu yanamfunga
Wenzako akina day mondi wameambiwa sana. Nawasihi ulikuwa basi nikweri wewe nifreemasoni
Wasani hawa aminiki, issue sio kufanyikiwa umefanyikiwa vipi
Kumbe ni ngosha 😮
😂😂😂😂 sorry wewe kaka Mungu anakupenda mamako anakuombea
Wewe ni freemason
Swali kwa mwenye akili jiulize wewe umemnunulia mama yako zawadi ya gari kwanini usimpelekee wewe hilo gari umpe mtu baki ampelekee mama yako na ni zawadi kubwa hiyo??? kwa waliosoma Cuba wameshajuwa,ni masharti hutakiwi upeleke wewe hiyo gari,mama yuko sahihi kukataa huenda ndio njia ya kumtoa kafara mama yako kwa ajali ya hiyohiyo gari mama kastukia issue ndiye mama yake anamjuwa vizuri mwanae na matendo yake si mnaona hata maelezo yake?
Kiufupi huyo ni kweli mama yake yuko sahihi
Ah jumba la B6
Mbn kama .....see more
Uyo tyr keshajielezea km yupo uko uko
Naomba unipe mimi hilo gari na Mungu atakuongezea mengine mengi.
Pole kaka usikate tamaa kaka wewe ni mtoto wa kiumbe kutawaliwa Kwa watu weusi ni shida wengi hawajiamini kama Kuna mafanikio.
Mimi nime mpeda sana huyo mama juu mzazi ana ona bali kuliko mtoto
Hizo akili zenu za ushirikina zinarudisha nyuma maendeleo.
𝐇𝐮𝐲𝐮 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐚𝐭𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐨 𝐧𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐭𝐬 𝐳𝐚𝐤𝐞 𝐯𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐦𝐛𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐩𝐞𝐭𝐞 𝐳𝐚 𝐟𝐫𝐞𝐦𝐬𝐨𝐧 𝐦𝐮𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐳𝐢𝐦𝐞𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐰𝐚 𝐣𝐢𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐟𝐫𝐞𝐞𝐦𝐬𝐨𝐧
@@Marry-u8m wazazi wengi kama hujuwa tena wa kijijini wanaamini sana ushilikina me mwenyewe naelewa mtu anatafuta pesa ili ufulahishe family lakini mambo unayo yasikia
Ni kweli mama yake yuko sahihi Sana,hata anavyoongea huyu mtoto unajua tu yuko upande Gani?
zawadi hailazimishwi.. mwenyezi mungu ndio anajua kama amekushuku .. palipo na moshi pana moto..
Tukio limepangwa. Maigizo
@@tyronemofekeng7152 niko upande wako
Huy ndie bwana kwanza majibu yk hayaeleweki
Akitaka kumtoa atamtao tu huyo mama mjingavsana
Ukistaajabu ya martha mwaipaja utayaona ya tajir chui
Usiogope. Nikweli familia maskini akifanikiwa moja anaambiwa keshakua mchawi. Ata namimi ilishanikuta nilipata ela nikenda kijijini nimjengee mama yangu atoke kwenye nyumba ya tope. Akakata nakusema nataka nimue
Kabisa kabisa. Hii ndio inayorudisha nyuma maendeleo.
Me namuelewa watu tunatoka vijijini hatujasoma badae zali linakutokea lakini family bwan
Sasa unaagiza gari kwann usipeleke boss
Kwa nini usiwakabidhi wazazi wako wote wawili wakiwa pamoja,? Kwa nini mama pekee.
yaani simpendi huyu kijana
@@wemaMichael-fr4th kwa nini
Itasaidia nini humpendi mtu asiye kujua wala haiwezi kutokea bahati mbaya mkakutana.
@@wemaMichael-fr4th kampende mama ako kwanza
Apo mkononi ringi hilo majibu tosha
Atolee wapi Ela huyu chui mashavu yamemshuka kama kahaba ela hana natafta kujulikana
Kakubali maana ukiwa massonic na ukakataa ni kesi nyingine ni sawa na kumkana Yesu
Mbona kakubali
Kwan uyu msanii ni wa hapa bongo mbona simjui
Tunda mani ludisha Gali la watu😅😅😅😅
Huyu kweli atakuwa anashiriki
aaaa ko kakataa kabisa au unatafuta kiki ili ujulikane manaa umekuja ghafl tu
Chui wake up My bloo we love you
Starting la kwanza ilo limedunda😂😂
Kwaiy ww umepelekwa na diamondi au
Kiki hii hamna kitu chengine January hii tutaona mengi
Bora unywe sumu kuliko kumtoa mama wawatu kwakupenda vya bure
Hakuna cha nabii hata hao ni manabii wa uongo na yesu alitabiri watakuja manabii wa uongo
Apo Nigeria hata mimi ningekataa mama ngastuka machale kundesa
@@HayuweMukumbule miemwenyewe apo kwenye Nigeria hapana
Chui ❤I love you bloo
Mama yake ndo anamjua yeye si ndo aliyemlea mama yako asikujue kweli kuna kitu hapo
Really hustler tutamuelewa jamaa lkn watoto wa mama hawaezi elewa
Yinipe mmi kwahuruma wako😀😀😀
Sasa huyu ndio tajiri😂😂😂
Pole
@@GabrielyMathias-e1bhamjui kufuru yk😂😂
Yule mama. Anaimani yakishirikini na hajielewi .vileyupo uswazu
Uhm wew ndo una akili kbxaaaaaa yan mzazi ndio wakumpa vya Freemason mfuatilie uyooooo JamaaaaAH vzr ana adi Pete ya Freemason licha na hapo maelezo yak tyu anaonesha kbxaaaaaa
Afazali rayvani tumepata suruisho maana ilikuwa kila mtu chui
Awo anataka kujurikana
𝐇𝐮𝐲𝐮 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐦𝐮𝐣𝐮𝐰𝐚 3 𝐲𝐞𝐚𝐫 𝐚𝐠𝐨 𝐬𝐬 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐩𝐞𝐚𝐧𝐚 𝐩𝐞𝐭𝐞 𝐳𝐚 𝐟𝐫𝐞𝐞𝐦𝐬𝐨𝐧 𝐚𝐭𝐚 𝐩𝐞𝐭𝐞 𝐢𝐤𝐨 𝐦𝐮𝐤𝐨𝐧𝐚 𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐟𝐫𝐞𝐞𝐦𝐬𝐨𝐧
Ingekua mama dangote angelica nayo shaaa
Ndogo.ukosawA.kabisa.hatawazazi.wanaweza.kukuharibia.heshima.ilasiku,moja,watakukumbuka,mguyupo.
kiki za kitoto
Kalibu Serengeti national park ask them by the name K - pesa ,K-money is only me
Nilikuwa na wewe lakini mama yuko sahii
Mama mjanja hamkawiagi kuwatoa sadaka kudaadeki😂
HELA UMETOA WAPI WEWWE
Mbona jibu unajibu kwa hofu
Kama ni gari la kawaida,na ni zawadi ya kawaida why uumie kias cha kutaka kujiua??unaweza kuwa familia yenu mnakula mlo mmoja wa wasiwasi au hata pa kulala hapako poa,halafu uibuke na gari lazima ushtukiwe
Huyu kweli mshirikina anadalili
@@HijaSaid-t6c ulijuaje😂😂😂😂
Huyu ni kwel freemason
Nawamefanna na mana huyu jamani
Hivi ni kweli mama akatae zawadi ya mtoto wake hapo kuna neno laki nihamutaki kuyaweka wazi kulikoni
𝐇𝐮𝐲𝐮 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐩𝐞𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐩𝐞𝐭𝐞 𝐰𝐚𝐣𝐨𝐢𝐧 𝐟𝐫𝐞𝐞𝐦𝐬𝐨𝐧 𝐭𝐞𝐧𝐚 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐨𝐧𝐲𝐞𝐬𝐡𝐚𝐧𝐚 𝐥𝐢𝐯𝐞 𝐢𝐧 𝐭𝐢𝐭𝐨𝐤 𝐦𝐚𝐦𝐚 𝐬𝐢𝐨 𝐦𝐮𝐣𝐢𝐧𝐠𝐚
Nakuelewa kijana watu wa vijijini ndivyo walivyo huelewa wao ni mdogo
Haya yanatokea sana kwenye hizi familia za kimasikini,nakushauri tu kijana we pambana lakini endelea kuwaheshimu hao ndugu zako na mamaako
Kwa Nini hukulipeleka mwenyewe,unaagiza mtu ?
Kuvitatua n ukue maskini inamaana ndio watakua na amani....wafrica bwana
Jaman kuweni makini na watu hawa ni matapeli hiii ni michezo ya kuigiza inakuwepo sana sema wameihamishia kwenye mitandaowote hao waigizaji kuna wajinga watajichanganya sana kuweni makini hawa ni matapeli matapeli matapeli
kwani wew ni mwanamziki
𝐘𝐞𝐲𝐞 𝐡𝐮𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐩𝐞𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐩𝐞𝐭𝐞 𝐳𝐚 𝐟𝐫𝐞𝐞𝐦𝐬𝐨𝐧 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐩𝐞𝐚𝐧𝐚 𝐭𝐢𝐭𝐨𝐤
Jamaa kumbe anapata hela kwa u free mason❤
Huyu nae akili yake kwa hivo yey alituma zawadi kwa mama watu wafanye sherehe lakin yey akiwa Lagos
Mama kaupiga mwingii
MAMA MLINDE MTOTO WAKO WENGI WANATOA ZAWADI KWANI HUONI MWANAO ANAPAMBANA NA MAISHA? NA WEWE MWANDISHI MBONA UNALAZIMISHA MAMBO? WANDISHI KM NYIE MKIAMBIWA HAMFAI MTASEMA MNAONEWA?ACHENI HAYO MAMBO
Maisha ya ki Freemason