Her facial expressions tells the real thing she's passing through, far different from her words, the energy she's using to convince herself everything is clear, it's not much enough to stimulate her body language...may God encourage her, something's wrong somewhere😔
Jamn waja tupunguze maneno halafu km ishu ndoa hakuna ndoa isiyokua na changamoto na pia km mnampenda kwel pigen goti na muwaombee wapendwa wetu kuliko kujaji na kumuhukumu mtu pia hatuwezi jua km anauchungu moyon ama furaha hyo ni siri yake mwenyewe kikubwa tupunguze kuhukumu tusije tukahukumiwa sisi.
She is composed. Na kizungu chake kuzuri Sana compare na wengi Sana nimewasika kutoka tz waki fanyiwa interviews..Hana shida yeyote Kwa ndoa yake tuwache kukuza Mambo yasiyo kuweka...inaonekana mtumishi anapenda Sana wenye makalio makubwa 😜😜
Sijasomea usaikologia, ila huyu dada anapitia mengi mpaka kiwango kutoficha, the voice is really vibrating ile ya emotionally, body language yake pia inaonyesha she is not fine, please girl go for a therapist, astrologyist, or a life coach, to assist you 🙏
@@Miss_mckenzie yes, I want to believe she had tension. I have been in such situations. She needs to be prepared for such for her husband is a celeb, there is no way she will totally avoid interviews and cameras
NILIJUWA NI MM PEKEYANGU NIMEONA UYU DD ANATAKIWA AKÀEE CHINI ALIIII EEE SIKU ZIMA KISHA AONGEEEE KILAKITU KAMA MJOMBA MCHUMAR NDOATAKUWA NAAMANI NA NURU YAUSO WAKE ITAONEKANA HISINURU YAKE WALA TABASAMU LAKE KIFUWA CHAKE KIMEBEBA MAMBO MAZITO MNO
Nyie acheni kuzingua alie nini sasa,kuna kitu gani cha kulia hapo,mnapenda kuzushazusha na kuleta hofu na taharuki zisizo na msingi ili mnayoyawaza nyie yawe realities,mbona kaeleza vizuri tu mambo yake sema homa tu ya Media Interview of which ni kitu cha kawaida kwa Begginers,Hebu ongeeni vitu vya msingi acheni kumkaribisha Shetani kila sehemu,I hate this
Haya maisha ya ndoa we yaone tu kwa wenzako yakija kwako ndo utaelwa vzr ,,Mungu aiponye ndoa jmn zinamambo mengi san
Jamaa ana mke mzuri Sana Mungu aibariki ndoa yao
Huyu dada kuna kitu anapitia...it seems amehifadhi vitu rohoni .pole mwaya
JOEL LWAGA ndo una mke mzuri kiasi hiki❤
Neema ya Mungu inatosha Sana kwenu... endeleeni kumtegemea Mungu Sana ktk ndoa na huduma pia Mungu Ni mwema Sana ..🙏🙏🙏
BEATIFUL LADY...Hana shida yoyote hajazoea tu interview
Na mie nahisi hivyo....sijaelewa wanaosema Ana stress
I love Joel lwaga songs 🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤❤❤❤🤗🤗 😂naweza kuwa msaidizi wake ,bure bila malipo
Bint mzuri mwenye hekima na busara kajibu kwa stara zote hongera Joel umepata mke bora nasio bora mke
She is so beautiful Mungu amtunze
Her facial expressions tells the real thing she's passing through, far different from her words, the energy she's using to convince herself everything is clear, it's not much enough to stimulate her body language...may God encourage her, something's wrong somewhere😔
the lady is cute Mungu akutunze dada.
No make up and still beautiful
Indeed beautifully lady
Karembo mashallah ❤️
Jamn waja tupunguze maneno halafu km ishu ndoa hakuna ndoa isiyokua na changamoto na pia km mnampenda kwel pigen goti na muwaombee wapendwa wetu kuliko kujaji na kumuhukumu mtu pia hatuwezi jua km anauchungu moyon ama furaha hyo ni siri yake mwenyewe kikubwa tupunguze kuhukumu tusije tukahukumiwa sisi.
shida ninyi mnaokua mnahukum pasipo kujua kuwa hukum ijuu yenu
huo ni udaku mnapenda kuchokonoa maneno ya wenzenu jamanii
She so pretty 🤩😍😍
Wooooh mrs Joel we love you 😍
Unaonekana unamachungu sana kila unachoweza kupitia Mungu anajua unauwezo wa kuyabeba
Mungu aponye ndoa zetu jmn😢
Eti acha kuzingua kaaaah?
Mbona kama kuna jambo ivi machoni mwake☺️☺️
Wengine wahajazoea ma camera sijui kuhojiwa mbele za watu..amejibu vizuri na yupo so bright na classy👌
@@estherminnahboaz6956 kweli kabisa
Kabisa Ana kitu moyoni
Wangekuja wote kwa pamoja ingependeza zaidi
She is bitter over something,.. Body language speaks volume. But God is good nothing is impossible with Him
Sure
I sense that energy as I start watching ..whatever its ..may God heal her maana people fight battles they never tells anyone
She's not okay 😢😢😢😢
😊❤nampenda
Hongr
Ur not happy Dada poleee
Hayupo sawa huyu mtumishi🧑🦯
Ilaa😂😂😂😂😂
Pole wifi wanadamu ndivyo walivyo kusema uongo
Body language she is not okay
Sijui kwann Kuna upepo m,baya wa wasanii wa injili kuachana
Hata Kama anachangamoto kwenye ndoa yake ndio ayaseme mtandaon?
Excellent questions and pace. I like how she answered the questions alot of wisdom, grace. She's very personable
My brother Joel napenda San kaz zake zinanibaliki San nyakat zot mungu akubaliki nafamilia yako
Mtihani
Congratulations mamy MUNGU azidi kuwatunza vyema katika maisha yenu ya ndoa. 🙏 na azidi kukupa uvumilivu huohuo uliokuwa nao.😘
Hongera dada uko na maisha privacy mpka raha siyo kama wengine
pole my dia,keep being strong...God is Faithfully.
Hana furaha😭
Real likitajwa jina Joel moyo wake unaugulia maumivu makari ukimwangalia vzr hayuko sawa!!
Huyu dada anaficha vitu moyoni mpaka sauti inadhihirisha nyieee daaah
Nimecheka kweli embu tafuta interview za nyuma kabla ya haya uone ongea yake ndio uje ucoment tena
Hajazoea camera tu, ukimulikwa kwa camera lazma uwe na kiroho dunda, ukiwa na machozi ya haraka unaweza kulia kwa hofu😂
Kadada kazur nahakana hata meakup
What is that mm sijamuelewa jaman
Kuna tatzo hapa amna Love yoyote dada pole tafta MTU uongee nae haiwezekan uje kabla ya mume inaonekana kuna kaubabe flan hivi alafu unamuogopa mumeo
Kuna kaubabe kaaah 😂🤣🤣jmn
Eeeh watu wengne wanaingia na waume zao ukumbini
ni mzuriiiiiiiiiiiii mpaka mzuri tena
Body language.....mmmmh something is not right.
Ana uchungu mwingi moyoni..anatakiwa kulia kwa nguvu zote kupunguza sumu
Unahisi ni wa ndoa au mengineyo
@@stellajoseph6235 Ni ya ndoa ndio.Haiwezekani uvumi ndio asikie hivyo
Yaani
Kwani aliwahi kuwaambia ana uchungu na ndoa yake???
@@queeniloge3677 Nashangaa
Good and lovely
God Jesus 🙏
Apati mimba ndio shida na kikwazo kwenye ndoa yao Mungu amsaidie uyu dada kwakweli
Unajuaje hawataki watoto? Sio kila mtu ana wito wa kuanzisha familia kibaiolojia
Akiiii She's not Okay 😧😧 Mungu Amtie Nguvu
She's wenging in swahiri😝🤣🤣☺️☺️
Aisee km kweli vile
Hakuna kitu kibaya kama kujaza vitu moyoni
Wee acha tuu. Mwisho ni BP
ana tetemeka sana
Mh hapana kuna jambo
Ako na kitu moyoni
Dada ana hekima yake, hata kama kuna magumu nyuma yake sisi hatujui, ila tunasema kile tumekiona,
No comment
Anatetemeka sana
Kuna kitu hapa muangalie huyu dada usoni hayuko sawa kabisaa mioyo hiii jamani ina mizigo kuliko stooo
Kiukweki kwamtazamo kunajambo hapo ✍🏿
Tena kuna jambo zito mno wa huyu dada
Nahisi ana ogapa camera ana aibu saana ndioman
Hana shida hajazoea interview,hapo hofu ya Camera tuu
@@frorenceetoile3016 ndo atake kulia alipoulizwa mumewe nimty waaina gani??
MBNA anataka kulia
Kumbe umeon dear
Good
Mmmmmh🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
She is composed. Na kizungu chake kuzuri Sana compare na wengi Sana nimewasika kutoka tz waki fanyiwa interviews..Hana shida yeyote Kwa ndoa yake tuwache kukuza Mambo yasiyo kuweka...inaonekana mtumishi anapenda Sana wenye makalio makubwa 😜😜
Kizungu ni lugha sawa na kijaluo au kiarabu so wala sio sifa kivileee
@@zakiamseka9698 hicho Kiswahili chako hapo Tanzania tuu hakuna mahali kina weza kupeleka
She is not composed...her body language says it all .......
Mungu anaenda kukupandisha viwango mamy
mdada anaonekana hayupo sawa kuna kitu nyuma ya pazia
Kweli huyo Dada hayupo Sawa kabisa moyo wa mtu ni kichaka wanawake tuna beba mizingo Sana moyoni
Fact
@@sweetluc2660 hasa alipokua anasemq mumewe ni mtu waaina gani katak kulia
@@salmaalimusa6809 Acha tu a nacheka usoni tu huyu Dada moyoni ana majereha
Hii shape duh🙌🙌 kumbe ndio maana munalove anakufa uturuki kwa ma surgery 🤣🤣🤣🤣
Hahaaa umenichekes
Hahaaa umenichekesha
Hahaaa umenichekes
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣KWN MUNA YY ANASEMAJE
@@sirahgodwin1240 Si anajichonga haaaaa ngoja tusubiri aseme
Mzuriiii sana
Samsingi za matter
Mmh humu kila mmoja ni mwamasaikolojia wamegundua dada wa watu hana amani hatari na nusu
Ha haaaaaaa.....hii ndo Tz.
@@marympango9247 hahaaaha haswaa ni burudani tu
🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mi nikiangalia naona kama anauchungu sana
Huyo hajazoea media km wengine bana na sio mapepe mnataka acheke ovyo
Moyo wa mtu ni kichaka huifadhi mengi pole mwaya wifi
Mange alitudanganyaga mke wa joel alishawahi kuugua kichaa🙄🙄🙄🙄
Ni muoga kamera anatetemek kidog ata mie singeweza
Mhmhmh nono kuna kitu hapa
She is so not okay.
Oi
Mbona kama hana amani
Deborah lukalu
Sijasomea usaikologia, ila huyu dada anapitia mengi mpaka kiwango kutoficha, the voice is really vibrating ile ya emotionally, body language yake pia inaonyesha she is not fine, please girl go for a therapist, astrologyist, or a life coach, to assist you 🙏
She is just not used to cameras and interviews..ni uoga tu wa kawaida..kwa mtu asiye na uzoevu huo.
Mkikimbiloa Wana ume handsome mwimbaji na unawivu utakufa mapema
Nyuma ya panzia atujui nini kinaendelea kuwa na mwanaume star ni mtihani
@@Miss_mckenzie yes, I want to believe she had tension. I have been in such situations. She needs to be prepared for such for her husband is a celeb, there is no way she will totally avoid interviews and cameras
Astrologists use witchcraft and other mystical powers that are not of God
Mke akishaanza kwenda kwa media hio ndio mwanzo basi, napenda wa south Africans jinsi wanaprotect family
Mbona kama anataka.kulia
Esco Donald mzee wa masuati kutoka msamaria Choir
Moyo unavuja damu
Huyu dada hayuko sawa kuna jambo linamsubua. Hana furaha
Haswaaa
watu msiokuwa na furaha huwa mnaona wengine hawana furaha pia mxieww
@@neemangwesa3372 🤣🤣🤣
Hata Mimi naona hivyo
@@neemangwesa3372 🤣😥🤣
Twende mbele turudi nyuma Joel kapeleka wapi pete mbona hana pete
Kuhojiwa bana mtu anakuuliza swali la kijinga unapanic kama huyo dada kasahau kuwa ni mtumishi kauli za kuzingua kinywa cha mtumishi🤣🤣
Kawaida sana siyo malaika haishi mbinguni
❤❤❤❤❤❤❤
Aliyeona Dada kamchangamkia huyo mkaka wa suti nani maana alikuwa hana amani. Joel hayupoooooo
Her marriage is not at peace walahi
Heheeee
Dah
Ndo mitandao hiyo my dear izoee tu
Wabongo bhana hayupo sawa kivipi??
Umeona eeh!
Wabogo wape picha wajaze
Imagine, yaani wanapenda kuona watu hawana furaha
Wabongo bwana
@@neemangwesa3372 kabisaaa....mie naona Yuko poa tu SEMA hapendi na hajazoea kamera interview.
She Is Definitely Not OWWK yan Ako na mambo mob Kwa Moto Wake
NILIJUWA NI MM PEKEYANGU NIMEONA UYU DD ANATAKIWA AKÀEE CHINI ALIIII EEE SIKU ZIMA KISHA AONGEEEE KILAKITU KAMA MJOMBA MCHUMAR NDOATAKUWA NAAMANI NA NURU YAUSO WAKE ITAONEKANA HISINURU YAKE WALA TABASAMU LAKE KIFUWA CHAKE KIMEBEBA MAMBO MAZITO MNO
Anza kulia wewe kwanza
@@ellyminja5707 😂😂😂
Ukorofi sasa
@@lovenessdiva3370 watu wana wivu na mambo yasio wahusu
Dada tumefanana miili..lol
Nyie acheni kuzingua alie nini sasa,kuna kitu gani cha kulia hapo,mnapenda kuzushazusha na kuleta hofu na taharuki zisizo na msingi ili mnayoyawaza nyie yawe realities,mbona kaeleza vizuri tu mambo yake sema homa tu ya Media Interview of which ni kitu cha kawaida kwa Begginers,Hebu ongeeni vitu vya msingi acheni kumkaribisha Shetani kila sehemu,I hate this
Ukwel
Me nna waswas joel anamnyanyasa huyu mwanamke
Hadi anataka kulia doooo ndoa hz
Kabisa
Hakuna ajuae kinachomsumbua ..don't judge
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.
Joel una mke mrembo
This interview Guy is not wise
he should read body language. Ata kama nikutafuta content that crap