kaka nakukubali sana ushauri wako umenitoa sehem moja kwenda nyingine kupitia mawaz yako nilitoka kijijna elfu tano now nina milik mtaji wa laki 3 na smart pia na gheto bomba kabsa mungu akubaliki
Daaaah leo nimepata somo muhimu sana katika maisha yangu. Mimi ni mmoja kati ya watu ninae chukuliwa powa sana, nilikua nawaza sana kipi kibaya nachowafabyia? lakini yote ni kwa sababu ulizo zitaja yaan hujaacha ata moja. Nipo hivyo. Kuanzia sasa nayafanyia kazi maelekezo yako. Asante sana Joel nanauka. Mungu akubariki sana.
Naaam mwalim ni kweli aisee naa nikwambie maneno yako yananisaidia sana kwenye ushauli wa wadogo zangu waliopo shule nawaambiaga kila siku nawapa amasa ya kusoma aisee!! Kwamaana nyingine ni kupuuza kijana ukishajitambua ukawa na akili ya kujitaftia lisiki unatambua ni wapi unaweza kupitia namaanisha ukatambua mzuri, mbaya wako msaidizi wako n.k asante sana mwalim joel mungu akubaliki❤🙏
Bro Joel umenibadilisha sana katika maisha yangu NIMEANZA kukufuatilia 2020 nimejifuza mengi mazuri kwenye video zako na kwenye vitabu vyako , Kwa kweli Mungu akubariki sana, umetuelimisha sana katika maisha yetu wengi tunajivunia Wewe . Ubarikiwe sana🙏🙏
Barikiwa san kak unatoa elimu kubwa sana na najifunza mamb meng xan kutok kwako hakik umekuw n mentor bora kwang.....Nawezaje kupata vitabu vyako hasa cha 1.Timiza malengo yako 2. Ishi ndoto yako
Nimekuwa nikiwavuilia sana watu na kuwajali,nimeishia kuumìzwa,sasa basi nilishaamua kuwatoa wote kwenye maisha yangu,na sasa nimesimama na Mungu basi.mtu anakupigia simu,nipikie chakula nakuja,unapika huoni mtu na hakwambii samahani pumbav sana😅😅😅
Shukrani kiongozi, ila nilikuwa na shwali unipe ushauri kaka kuna watu wasio jiweza kila wiki Nina wapaga musaada sasa ningeli hitaji unipe mwelekezo namuna ya kuishi nao katika kuwa saidia
Ahsante Sana Mr Joel nanauka Video zako zinanimalizia bando sana napostigi sana huku Status na Wadau wanakuelewa vzr sana But Mm nilikuwa naombi hivi kama kuna uwezekano wa mm kuongea na wewe Mr Joel Nanauka.. mm nipo Zanzibar
Actually nimegundua hata sisi watazamaji wako tunakuchukulia poa sababu muda wote upo unapatikana na contents zako zipo muda wowote, so hatutilii maanani ohooo . Daaah sawa
kaka nakukubali sana ushauri wako umenitoa sehem moja kwenda nyingine kupitia mawaz yako nilitoka kijijna elfu tano now nina milik mtaji wa laki 3 na smart pia na gheto bomba kabsa mungu akubaliki
U made it bro
Lightness
That's is fact 😢
Bro Joel hii ni zaidi ya huduma..,Kila siku nimekua nikipata utajili wa maarifaa MUNGU akubariki sana🙏
Big up bro Kwa elimu yako nakufuatilia nikiwa lamu nakupenda sana bro
Daaaah leo nimepata somo muhimu sana katika maisha yangu.
Mimi ni mmoja kati ya watu ninae chukuliwa powa sana, nilikua nawaza sana kipi kibaya nachowafabyia? lakini yote ni kwa sababu ulizo zitaja yaan hujaacha ata moja. Nipo hivyo. Kuanzia sasa nayafanyia kazi maelekezo yako. Asante sana Joel nanauka. Mungu akubariki sana.
Hongera
Mungu azidi kukuongezea miaka mingi hapa duniani.
Kiunkweli najikuta jasiri, na kujiona nilikua wap siku zote hzo mungu akutunze kka
Najivunia kua miongon mwa mwanafunz wako mungu akujalie maisha malefu
broo nakukubali
Mungu akutiye nguvu mwalimu
Nanauka ,mungu akupe uhai mrefu sana ,kwa mafundisho mazuri,
Wanisadia sana kwa hii elumu yako ninyayopita'Mungu akzudiahie
Naaam mwalim ni kweli aisee naa nikwambie maneno yako yananisaidia sana kwenye ushauli wa wadogo zangu waliopo shule nawaambiaga kila siku nawapa amasa ya kusoma aisee!! Kwamaana nyingine ni kupuuza kijana ukishajitambua ukawa na akili ya kujitaftia lisiki unatambua ni wapi unaweza kupitia namaanisha ukatambua mzuri, mbaya wako msaidizi wako n.k asante sana mwalim joel mungu akubaliki❤🙏
Bro Joel umenibadilisha sana katika maisha yangu NIMEANZA kukufuatilia 2020 nimejifuza mengi mazuri kwenye video zako na kwenye vitabu vyako , Kwa kweli Mungu akubariki sana, umetuelimisha sana katika maisha yetu wengi tunajivunia Wewe . Ubarikiwe sana🙏🙏
Inauma sana kuna muda unataman hata uondolewe hisia aiseeeeee inaumiza sanaaa
Daah! Huu ujumbe umenifikia kwa wakati sahihi sana kama vile umejua hali ninayoipitia kwa sasa. Asante sana Kaka @Joel Nanauka
ASANTE SANA MWALIM JOEL NIMEPATA KITU KIPYA LEO KUTOKA KWAKO MUNGU AKUBARIKI SANA.
Unaongeya kweli kabisa. Mungu Aulinde.
Mungu akuzidishie Mafunuo brother shule yako mitian yangu matokeo yanatia moyo
Asante sana mtumishi Umekuwa Baraka sana kwangu na kwa wengine kila siku Tunajifuza , pia nimejifuza katika hili Asante
Umenipa kituuuuuu...🤝🤝
Hakika somo hili limenigusa sana ma brother be blessed
Daaaah hii ndo situation napitia Tena kwa mtu wa karibu sanaaa daaaah thnx kwa somo hili
Barikiwa san kak unatoa elimu kubwa sana na najifunza mamb meng xan kutok kwako hakik umekuw n mentor bora kwang.....Nawezaje kupata vitabu vyako hasa cha 1.Timiza malengo yako 2. Ishi ndoto yako
Brother nmetokea kuelewa sana somo lako
Heshima yako bro,,
Hiyo jambo upo sawa kabisa hata mimi nipo hivyo ninaweza vumilia sana ila nikiamua kubwaga manyanga huwa siangalii upoje kwangu
Hongera sana kwa somo hili. Lina nguvu sana..
Asante sana mwalimu naendelea kujifunza .amen
Yani tokea nianze kuku fatilia 2022 maisha yangu umenibadilisha sana kiongoz ubalikiwe sana
what a good life insights....God bless you
bro mungu akupe maisha uundelee kuelimisha watu
thanks bro for your education ,you make me feel blue
Nashukuru sana ❤❤
Asante Joel nimejifunza
Mungu aendelee kukuinua, Najifunza mengi sana kwako.
Daaah umenigusa kwakweli 🙏🙏🙏🙏 napenda kujibebesha mizigo ya watu adi wanafika stage wananichukulia powa
We acha tu
Daaah😢 hii imenigusa sana kaka
🙏🙏 Shukran sana acha nijikague nianze na mm mwenyewe kujirekebisha
Asante sana, nimejifunza kitu kikubwa sana. Ukiwapa watu vitu vya bure sana wanakuchukulia poa
MUNGU azidi kutufunua zaidi ya hapa 🙏
Ahsante sana kwa kuendelea kuni'alert' Pr Joel. Mungu Aendelee kukutumia.
Naam Mungu akubariki kwa ajili ya wengine wote nasisi sote katika HUDUMA hii
asante sana kiongozi wangu
Asante sana ni hakika sana
Amina kweli kabisa mimi yamenikuta
Ahsante sana, hili ni zaidi ya Darasa
Ni kweli kabisaaa kiongozi
Mm binafsi umenivusha mahalo mungu akubariki sana
Duuh nimejifinza sana
Asante kaka Joel leo nimejifunza kitu,maana yamenikuta.na video imekuja kwa wakati
Nimejifunza kitu ahsante saana kaka joel❤
Kwel kabisa yamenikuta piah,,,
Mungu akubariki sana. Kwa sasa wapo wawili wanaonisaidia hapa duniani. Yupo Mungu na wewe.
Great man of God 🔥🔥🔥
Exactly ukitoa vya bure sana wnakchkulia poa
Mungu akubariki Kaka
Naendelea kujifunza, Ahsante sana Mwalimu kwa kunizungumzia.
shukran brother kwa ujumbe🙏
Ukweliii mtupuuu huu mentor 🙏 more thanks 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asanteee sana kaka
Asante kwa hili.....
Thanks boss🎉🎉
Nakukubali sana. Mungu akubariki sana
Asante sana kaka Joel mungu akutunze
Ubarikiwe sana brother mimi nmewahi kupitia hapa
Asante baba nimeongeza jambo jipya kwenye Maisha yangu
Asante xana kaka munguakubariki
Asante sana 🎉
Shukran joel❤❤❤
❤Ujumbe mzuri huo
Nimekuwa nikiwavuilia sana watu na kuwajali,nimeishia kuumìzwa,sasa basi nilishaamua kuwatoa wote kwenye maisha yangu,na sasa nimesimama na Mungu basi.mtu anakupigia simu,nipikie chakula nakuja,unapika huoni mtu na hakwambii samahani pumbav sana😅😅😅
Shukrani kiongozi, ila nilikuwa na shwali unipe ushauri kaka kuna watu wasio jiweza kila wiki Nina wapaga musaada sasa ningeli hitaji unipe mwelekezo namuna ya kuishi nao katika kuwa saidia
Shukran
Kaka mngu akabaliki ishi mda mwingi tuzidi kujifunza kupitia wew
Hakika ningeanza kukufatilia mapema thamani yangu ingekuwa juu mnooo... lakini naamini sijachelewa sana bado nina nafasi ya kutengeneza
Jmn yamenikutaa saaaana mi
Hapo kweri
exclusive ❤❤❤❤❤❤
Asante bro
Unyama san
Ahsante sana
Ahsante Sana Mr Joel nanauka Video zako zinanimalizia bando sana napostigi sana huku Status na Wadau wanakuelewa vzr sana
But Mm nilikuwa naombi hivi kama kuna uwezekano wa mm kuongea na wewe Mr Joel Nanauka.. mm nipo Zanzibar
KAKA MUNGU AKUBARIKI SANA
Joel nanauka 📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌
Mm yamenikuta tena kwa ndugu wakaribu Yani nimeanza kulia upya
We achabtu ndugu yangu ! Yamenikuta kwa ndugu zangu ndugu zanguuuù.uwiii jamani
Good speech
Tuko pamoja kaka
Dedicated to you my best coach
Uko vzr
Actually nimegundua hata sisi watazamaji wako tunakuchukulia poa sababu muda wote upo unapatikana na contents zako zipo muda wowote, so hatutilii maanani ohooo . Daaah sawa
Naomb namb yako y sm tafadhal
Dh mwalim pendelea kutufunua ubongo mm unanipa elimu kumbwa sana ww
Kuanzia leo nazima data kwenye kichwa changu ili nithaminiwe nimekuelewa teacher 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mm pia kipenz yan sitasikiliza la mtu tena
Rolemodal forever💊💊💊💊💊💊💊💊💊💊💊💊💊💊💊💊💊
Appreciate
Kwa kweli wewe ni kiumbe Muhimu.
"Elimu ni chakula pekee cha akili."
Life wisdom series
Brooo joel vitabu vyako naweza pataje
Najivunia MUNGU aliyekusimamisha leo ufundishe hili u
🔥🔥🔥🔥
I wish ningekuwa Tz ningekuja jamani
Ni kweli kabisa unachosem bro tujifunze tusipende kuwachukulia watu poa n tujiepushe n kuchuliw poa na tujaliane pia✍️✍️✍️✍️✍️
👏👏💪🎉🙏
Yaaani umeongea ukweli.usio.pingika