NILIKUA MPIGA DEBE TARIME |SASA NINA DEGREE YA UUGUZI SWEDEN |NILIANDAA NDOA HATA SIJUI KAMA ATANIOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2024
  • Rhoby ameeleza Safari yake ya maisha kutoka Tarime mpaka kufika Sweden, kutoka kwenye familia ambayo kusomesha mwanamke ni hasara mpaka kupata elimu yake ya degree ya nursing.
    Ametoa mafunzo mengi.
    Thank you Rhoby, for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 277

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h 6 หลายเดือนก่อน +10

    Hongereni sana Shena na Robby kwa hii interview ya aina yake!
    Niko na simu mbili na account tofauti! Natumia zote ili zizoeleke, naona moja haitoshi kwa hizi mishe za mtandaoni! Napambana kuondoka kwa hii hali ya maisha niliyonayo kwa sasa! Pia nazitumia kuongeza likes! Na kuwaongezea subscribers! Tuwaunge mkono hawa wanaotupa info na tuzitumie kujiongeza!

  • @Jessy-f9w
    @Jessy-f9w 6 หลายเดือนก่อน +14

    Tatizo la binadamu anaweza kukuonyesha njia ila akiona upo serious na anachokwambia anakasirika maana anahisu utamzidi

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 6 หลายเดือนก่อน +18

    Kwa kweli maisha ni kupambana yaani inahitajika ujasiri 😂

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ahsante sana Shena kutuunganisha na Robby.
    Robby hongera sana kwa kuonyesha Rangi zako mwenyewe ( Your true colours) Ulikataa kukidhi matakwa ya Wazazi na ndugu zako! Ukayatafuta maisha ya ndoto zako! Wewe ni Malkia wa Nguvu.
    Tupambane na maisha, baadaye inawezekana.
    Maua yako yanakuja.
    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @PhineaceMusongo
    @PhineaceMusongo 6 หลายเดือนก่อน +4

    Nimefurahia mahojiano yako na Robhi, ameeleza ukweli ambao watu wengi huwa hawausemi na wengine hawatski kuusikia, ni kweli kabisa maisha ya ulaya ndivyo yalivyo, hata hapa United Kingdom ni sawa kabisa na aliyoeleza Rhobi

  • @azaransari7307
    @azaransari7307 6 หลายเดือนก่อน +10

    Umenipa moyo Dada Roby nina 41 nipo Germany naenda kujiandikisha Shule nilikuwa najiona nimezeeka

    • @eusterchacha9799
      @eusterchacha9799 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tujuane wa jerumani

    • @onesmowega85
      @onesmowega85 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@eusterchacha9799upo sehemu gan

    • @esterkivaria8986
      @esterkivaria8986 4 หลายเดือนก่อน +1

      41,hujazeeka bhanaa

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 6 หลายเดือนก่อน +10

    Umejielezea vizur sana Tanzania nio kwenye maisha na raha zote

  • @kasimuadam
    @kasimuadam 6 หลายเดือนก่อน +6

    mdada anaitwa Rhobi alikua rafiki yangu tarime mpaka nakula kwake wakati naendesha bus kwa zakaria

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 6 หลายเดือนก่อน +8

    Asante sana Dada Robi,kwaujasiri wako,mpaka kusoma na kupata degree.Congratulations.

  • @mohamedmwavuguto8276
    @mohamedmwavuguto8276 6 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sana Shena , na dada Rhobi . Mahojiano haya ni yenye manufaa mno kwa mtu ambaye siku zote yuko tayari kujifunza . Kuna mafundisho mengi tu , ambayo ukiyafanyia kazi unaweza kunufaika .

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 6 หลายเดือนก่อน +12

    Nimekupenda bure unaongea kiswahili safi angekuwa mwingine pua na kiingereza kingi

  • @ChristinaKirigiti
    @ChristinaKirigiti 5 หลายเดือนก่อน +2

    Rhobi I am proud of you. Ukiwa Binti mkurya na kutuonyesha kuwa watoto wa kike tunafaida kwa Jamii yetu wazidi kuwasomesha. Ubarikiwe sana.

    • @user-ex7vw9em2m
      @user-ex7vw9em2m 5 หลายเดือนก่อน

      Asante dada kwa kututia moyo

  • @marwamwita3571
    @marwamwita3571 5 หลายเดือนก่อน +3

    She is real and i appreciate her alot

  • @marielouisekagoyire1378
    @marielouisekagoyire1378 6 หลายเดือนก่อน +5

    Umejikaza mama unabidii sana ya kupambana na maisha uko mfano kwa kila mwanamke ulaya ni ngumu maisha nikutoka jasho niko 7 years lakini nimeshindwa kupata muda wakusoma nurse tu amerika iko kazi mingi sana hata ukiwa hujuwi kusoma kwaandika unapata kazi

    • @HosianaBuuta
      @HosianaBuuta 5 หลายเดือนก่อน

      My dia naomba mwongozo,maana nimepambana sana kimaisha,nitoke nje ya Tz Sina mtu wa kunisaidia

  • @bobboris4859
    @bobboris4859 6 หลายเดือนก่อน +22

    From zero to hero big inspiration ❤

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 6 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani Dada hongera sana umeongea ukweli mtupu Mimi nimeishi unachokisema na ni muumini wa hayo unayoamini good luck sn

  • @LoyceFundi-qf7iw
    @LoyceFundi-qf7iw 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana dada Rhobi, nimekupenda sana na kuipenda shuhudi Yako. MUNGUBABA AZIDI KUKUPA HEKIMA na Upendo mwingi.

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe Robby ni fighter kweli, kuna watu wameishi miaka 30 hapa Sweden hawajasoma cho chote .wako tu na kupaty. Ongera sana. 🇹🇿🇹🇿🇸🇪🇸🇪😁😁

  • @user-ne7ro2hp1q
    @user-ne7ro2hp1q 5 หลายเดือนก่อน +1

    Rhobi,niliwahi kuwa na ww trm mjini..baadaye ukapotea ila nimefurahi kusikia ulivyojiendeleza..hongera kwa kupambana Mungu aendelee kukupgania

  • @hellenhabakkukmsellem6014
    @hellenhabakkukmsellem6014 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sijawahi kuona mwanamke jasiri na mwenye focus kama wewe Rhobi.
    Hongera sana sana na Mungu azidi kukuinua.👏🏽

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yani natamani huyu mama yetu ni JAMANI ANAFAA KUWA MTOA MADA ZA KUHAMASISHA WANAWAKE NA VIJANA , NA YUKO POSITIVE, SIMPLE NA DIRECT I LOVE HER STORY IS REALLY.

    • @aniciakaboya3373
      @aniciakaboya3373 5 หลายเดือนก่อน

      48:05 hongera Robby wewe ni mfano Kwa wanawake

  • @lionnelmugisha7003
    @lionnelmugisha7003 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu dada tunaishi pamoja inchi moja Munge nipa simu yake anipe ushawuli ana exeperiance mu maisha

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yani hii ya kusaidiwa ukifika ukatoboa kuliko yeye sijui kwa nini inatuleteaga shida, kwa nn watu hawaelewi kua mungu anaweza kuwatumia kama daraja kwetu acheni chuki na wivu❤

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hiyo chaty ni nzuri. Imefanya vizuri. 🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿

  • @chumchum1526
    @chumchum1526 6 หลายเดือนก่อน +5

    Interview nzuri sana inainspire.ubarikiwe dada rhobi❤

  • @tradamus4158
    @tradamus4158 6 หลายเดือนก่อน +1

    The best interview mwanamke anaejielewa kujieleza safi sana kwa kujielewa maana wanawake wa Tanzania 🇹🇿 yuko radhi kwake kusiwe na maendeleo lakini hela yake aifiche akanunue makorokocho badala ya kushea na mumewe watengeneze maisha wao wanawaza wakimpa hela mwanaume anaenda kuhonga ndio akili zao zilivyo lakini kushea pamoja kunasaidia kufanya maisha yako pamja na mwenzio kutakua na maendeleo lakini ubinafsi wa wanawake kutegemea mtu mmoja ningumu sana kutoboa watu wabadilike

  • @hellenshija6124
    @hellenshija6124 5 หลายเดือนก่อน +3

    Daah nmejifunza kitu kikubwa sana kutokukata tamaa,,hata udharaulike vip,pia ndugu ndio wanaongoza kudharauliana sana

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 6 หลายเดือนก่อน +6

    Wow raha yakuweka notification on chapu habari hewan😂❤ love you sister shena🎉

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 6 หลายเดือนก่อน +23

    Sisi Waafrika Wazazi tuna mila Potofu kwa watoto wa Kike jamani, Pole Sana Robby

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 6 หลายเดือนก่อน

      Inaumiza sana sana😢😢

    • @rhobyanderberg1101
      @rhobyanderberg1101 6 หลายเดือนก่อน +1

      Asante 😊

    • @elioimer8423
      @elioimer8423 6 หลายเดือนก่อน

      “Malmo” ni mji mmoja mwisho wa dunia kaskazini Kabisa mwa Norway. Kuzuri sana lakini baridi. Robby usirudi Huku Africa kuja kusaidia . Waafrica hawana shukrani sana sana utajuta kwa nini umefanya hivyo. Watakukatisha tamaa na wivu mwingi . Tafuta pesa zako ufurahie Maisha na familia yako. Kweli Afrika Ina raha zake ukiwa na pesa lakini Huwezi kuzitengeneza bila figisu figisu na makodi kibao

    • @masekebabere3282
      @masekebabere3282 6 หลายเดือนก่อน

      @@rhobyanderberg1101 musubahti nimekupata vizuri sana hongera kwa kujitambua thamani yako na kufanta kile unachotaka. Wa Tarime hapa tuko pamoja

    • @masekebabere3282
      @masekebabere3282 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@rhobyanderberg1101 musubahti nimekupata vizuri sana hongera kwa kujitambua thamani yako na kufanta kile unachotaka. Wa Tarime hapa tuko pamoja

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mama yuko vizuri sana. Asanteni shena na mgeni wetu.

  • @ruthmukami7573
    @ruthmukami7573 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jua ruuuga...dada Robi mkurya haswa!!.. I am also Robi.. my dad born and bred in Tarime. I know uncle Zakariah.

    • @Mtanda.
      @Mtanda. 5 หลายเดือนก่อน

      Ruth salama? Uko wapi siku hizi

    • @ruthmukami7573
      @ruthmukami7573 4 หลายเดือนก่อน

      @@Mtanda. nipo

  • @janemyinga2575
    @janemyinga2575 6 หลายเดือนก่อน +6

    Nimependa story yako halafu ni mkweli Sweden nawajua hao watu vinzuri

  • @user-hi2ii3ks2c
    @user-hi2ii3ks2c 6 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu dada ni mimi kabisa nilimuacha mzungu huku tz tukiw kahama kisa maua mimi nataka pesa yeye ananipa maua😂

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 6 หลายเดือนก่อน +1

    Robby nimekupenda sana you speak trueth. You look good Mungu azidi kukubariki na moyo wako Mkuu.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 6 หลายเดือนก่อน +3

    Na ni kweli,maisha mazuri yapo nyumbani.
    If you know, u know

  • @nashonikazabukeye5259
    @nashonikazabukeye5259 6 หลายเดือนก่อน +5

    Shena asantee Kwa kuendelea kutu elimisha

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 6 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana wengi huwa hawaelewi kuwa waminifu nimtaji mkubwa kuriko fungu la pesa ❤❤

  • @ogweyoranga8110
    @ogweyoranga8110 5 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera Rhobi kwa kuelimisha jamii. Umekuwa muwazi kwa kuongea maisha katika uhalisia wake. Wewe ni kichocheo cha watu kujituma na kufanya kazi kwa bidii ili wafanikiwe. Unaamini na kuishi katika falsafa hiyo. Nadiriki kusema kwamba ufunuo wa Shajara yako inaelimisha mno jamii katika nyanja mbalimbali. Wewe ni mpiganaji na unastahili nishani ya mwaka kama Dada, Mama au Bibi wa mwaka. Nikutakie maisha marefu na yenye siha njema.

  • @jeanmiruho4770
    @jeanmiruho4770 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤kwakweli Mungu akubariki saaana Dada Robby!!niko apa Stockholm Sweden yote umeongea kwakweli kabisa nimejifunza mengi sana kupitia kipindi kizuri kama iki.

  • @LeocardiaDaniel-sj3wl
    @LeocardiaDaniel-sj3wl 5 หลายเดือนก่อน

    Dada Robby Mungu akubariki Sana maneno yako yamenibariki Mimi . Hata zote ulizozipitia kuanzia nyumbani Hadi kufika ulaya ukweli ni kwamba uliwa ni mpango wa Mungu.

  • @berliner140
    @berliner140 5 หลายเดือนก่อน

    Woow mama Roby…a very great story…tusen takk 🙏🏿

  • @odiramwamba-fb2el
    @odiramwamba-fb2el 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu Dada ni fighter kweli, namjua , nilikua namuona pale ESSO tarime kwa Peter Zacharia ,Mungu akuinue zaidi .

  • @chachawambura811
    @chachawambura811 5 หลายเดือนก่อน

    Rhoobhi hongera sana kwa kujinasua na kujitoa kimasomaso. Funzo kubwa sana kwa wanawake wa siku hizi kuacha kujibwetesha na kutegemea miteremko. Hongera sana sana sana!

  • @user-kp5ly3ou9x
    @user-kp5ly3ou9x 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana roby wewe ni mfano wa kuigwa kwa wananawake wapambanaji africa kwa kweli umenitia moyo sana kumbe inawezekana mtu akitambua kusudi lake

  • @samiragillian5972
    @samiragillian5972 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kusema ukweli sipendi Scandinavian States due to racism regime ambayo iko very discreet. Pamoja na weather. Anyway anatetaka kuishi ajaribu. Welfare zao nzuri.

  • @robertmasatu8423
    @robertmasatu8423 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Rhobi, umepambana. God Bless you

  • @daudinyaruhucha6200
    @daudinyaruhucha6200 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mdogo wangu kwa ujasiri wako hongera sana big up

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 6 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana nice interview watching from Dubai

  • @user-tl8of7hh5h
    @user-tl8of7hh5h 5 หลายเดือนก่อน

    Okole bhuya for your explanation ! ntolache kubhona obhung'aini.

  • @lizbwoga9292
    @lizbwoga9292 5 หลายเดือนก่อน

    I'm so excited about your efforts, may God bless the work of your hands always 🎉
    Very inspiring story dear 🙏
    Boke from Kenya watching

  • @stellapallangyo9832
    @stellapallangyo9832 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sister rhobi kiukweli umenivutia sana. Natamani nipate namna ya kuja ulaya. Mimi ni nurse nafanya kazi ila natamani kuja ulaya.

  • @cynthiaAndrew-ww5rh
    @cynthiaAndrew-ww5rh 6 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana kwa kupambana

  • @user-kr2yk6gn4q
    @user-kr2yk6gn4q 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana big up, u a real fighter, and superwomen.

  • @veronicamigera5227
    @veronicamigera5227 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana umetoka mbali sana, acha Mumgu aitwe Mungu😘enjoy your self😢

  • @davidmaina4379
    @davidmaina4379 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera Mama Rhobi , wapendeza jinsi unavyo eleza ,roho Safi

  • @Lucy_ikupa
    @Lucy_ikupa 6 หลายเดือนก่อน +3

    Marafiki wengi wakikuunganisha wanataka utumike sio mfikie ndoa

  • @maroasamson6219
    @maroasamson6219 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mama ni mependa ushauriwako kwa vijana wanaopenda kupambana, na vimetuige mazuri ya wazungu

  • @gladnessmbise
    @gladnessmbise 6 หลายเดือนก่อน +5

    Very very nice story

  • @user-rs9ty6oj2z
    @user-rs9ty6oj2z 5 หลายเดือนก่อน

    Size Robi nimekuelewa kumbe ndipo ilkuwa target yako sister mungu akupe maisha marefu pambana nimekuelewa mm bro wako (njoroge)

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 6 หลายเดือนก่อน +7

    Nice story

  • @florahngonyani9514
    @florahngonyani9514 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera Sana una madini mazuri

  • @estherkimori
    @estherkimori 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera Rhoby nimependa ulivyopambana.

  • @otatchabeartrice5569
    @otatchabeartrice5569 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nice story woww

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Mungu azidi kukubariki

  • @selinalawala2270
    @selinalawala2270 5 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza kitu dada, umetufundisha kuwajibika. Hongera dada Roby

  • @elizajohn8728
    @elizajohn8728 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ nmekupenda mkurya mwenzangu.Rhobh wajina.

  • @safiam5338
    @safiam5338 2 หลายเดือนก่อน

    Toka nimeanza kufatiliya story hiyi nimeyipenda sana hongera sana mungu akupe afia😅

  • @rahmaluziga4821
    @rahmaluziga4821 6 หลายเดือนก่อน +11

    Strong and focused woman congratulations

  • @marwamwita3571
    @marwamwita3571 5 หลายเดือนก่อน

    Ningeomba sana kupatanishwa na dada Robi,i live in Germany but nimezaliwa Tarime

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda sana huyu ndio strong woman

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ok tuachane na story zote, mbona huyo dada ndo kama kwanza ana 35 au mwenzetu ana genes zipoje? Kiukweli anapendeza mno hongera kujitunza vzr

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 6 หลายเดือนก่อน +2

    Big inspiration

  • @user-ri1vp7vx7s
    @user-ri1vp7vx7s 5 หลายเดือนก่อน

    Rhobi Asante Sana kwa elimu, naomba unisaidie NAMI nisome ufundi VETA huko

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Dada Robhi

  • @user-xr6nn9xz4s
    @user-xr6nn9xz4s 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Robi, nitafutie na mimi rafiki nataka kuja huko Sweden

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 3 หลายเดือนก่อน

    I never give up really thankful dada robi😊

  • @user-dk6rc9kb3f
    @user-dk6rc9kb3f 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mama I wish ningepata connection Ya kufika walau nijifunze kidogo

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada anapendeza sana, hongera kwake 👍

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimempanda Sana Dada jamaani hongera sana

  • @EsterBwana-cs6yf
    @EsterBwana-cs6yf 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Robby naitwa ester toka Tarime

  • @LucyJoseph-pb4um
    @LucyJoseph-pb4um 6 หลายเดือนก่อน +2

    Waoooo Robi wewe ni wifi yangu jamani

  • @suzyfarms2021
    @suzyfarms2021 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Kwa interview nzuri.unesahau tu kuliiza swali la hao watoto aliongeza kama ni wa kizungu or wa Africa

  • @marrysamwel596
    @marrysamwel596 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera dear robby❤️💕❤️💋

  • @BlessingJohansson
    @BlessingJohansson 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera mwanamke wa shoka ❤

  • @user-tz9bd4yr4h
    @user-tz9bd4yr4h 5 หลายเดือนก่อน

    My lovely mom i love her❤

  • @NaomiSabuni
    @NaomiSabuni 5 หลายเดือนก่อน

    Mm mama siki umenifanya nikukumbuke sana Rhobi kweli maisha ni popote

  • @CynthiaOtieno-yj2ym
    @CynthiaOtieno-yj2ym 2 หลายเดือนก่อน

    Congratulations dada kazi mzuri sana

  • @user-on4jf2tu7m
    @user-on4jf2tu7m 5 หลายเดือนก่อน

    Umetisha, Mungu akutunze

  • @fatmakitundu9454
    @fatmakitundu9454 6 หลายเดือนก่อน

    Robby Mashaallah!

  • @muturidorcas6798
    @muturidorcas6798 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana .Ila hakika wema hulipwa wema.Hi Robi am Dorcas.Am yet to find a lot from you sis

  • @deuskusaga8156
    @deuskusaga8156 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hatimae mkoan wetu umefikia😊😊

  • @LucyJoseph-pb4um
    @LucyJoseph-pb4um 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 6 หลายเดือนก่อน

    Ni Mungu tu Alikusaidia hongela na pole

  • @training5879liza
    @training5879liza 5 หลายเดือนก่อน

    Thanks Robby

  • @muthekimutheki
    @muthekimutheki 5 หลายเดือนก่อน

    You give us hope

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 6 หลายเดือนก่อน +7

    Robby has Golden heart❤

  • @janneyjuvline3710
    @janneyjuvline3710 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman WA kwetu Peter Zacharia namfaham

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana.

  • @user-ml4xy8xf1g
    @user-ml4xy8xf1g 4 หลายเดือนก่อน

    Nimekupenda sana dada...alfu nimepata ujasiri mkubwa sana kuusu

  • @MarryMussa-lv5yq
    @MarryMussa-lv5yq 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan ningepata neema ya kwenda kwenye nchi za wenzetu ningefanya kazi kwa uchungu sana ili wanaonidharau wote siku moja wauone ukuu wa Mungu kupitia mimi ipo siku tu

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 หลายเดือนก่อน

      Ukishafika utaona kawaida tu

    • @ericfelician7996
      @ericfelician7996 หลายเดือนก่อน +1

      Utafanikiwa kama ukipambana ukifika pambana mwaya rafiki kama unahitaji msahada niambie nikupe connection