TULIKUTANA MIEZI MIWILI KABLA YA VISA KUISHA|MAMA MKWE HAKUNITAKA|NIMEPITIA UBAGUZI|HOTELIA IMENITOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Hakuna Matata kitchen ameeleza Safari yake ya maisha kutoka Tanzania kufanya kazi za hotel mpaka kufika kuingia Qatar, Dubai na hatimae kufika Marekani
    Ameeleza changamoto na mapambano yake ya bila kukata tamaa na kuhitaji maisha yaliyo Bora zaidi.
    Alivyoweza kutimiza malengo yake na namna alivyokutaka na mume wake kwa online dating
    Thank you Bernadetha for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 151

  • @ZuwenaAlhabsi-ic5rv
    @ZuwenaAlhabsi-ic5rv 6 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah napenda sn wageni wk unaowahoji, Maneno ya huyu dada ni kweli anavyosema kazi yeyote ni kazi ili mradi inakuingizia rizki,fanya kadri ya uwezo wk.

  • @SueMcHanna
    @SueMcHanna 6 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana Bernadetha, umefafanua vizuri. Lakini dada Shenna shida watz waoga na hawana confidence, mtu anakuomba mchongo unamuelekeza na unampa utaratibu wote, akisikia kuna mtihani wa kiingereza humpati tena, ukija kwenye gharama mtu anapotea, unataka kitu kizuri ni gharama hata waliokuja wametumia gharama kubwa, hakuna cha bure. Watz changamkeni fursa, tumelala sana , wakenya wenzetu wanasaidiana sana, kwasbbabu wana confidence na wanajua kingereza.

  • @hildamjenga7586
    @hildamjenga7586 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mdogo wangu Benadertha hakika una roho ya dhahabu toka nimekufahamu tukiwa shule o level na hayo uliyoyasema yametoka kabiba moyoni mwako na asante kwa ku inspire wengine.

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 7 หลายเดือนก่อน +12

    Shena watanzania hatupo nchi nyingi sana tatizo ya roho mbaya, watanzania tuna roho mbaya sana tofauti na waafrika wenzetu wa west Africa na wakenya, watanzania hatupeani connection, mimi nimemuomba mtu namba ya ajent wa hapo Dubai tu na kaninyima anahisi akinipa namba ntapata Sanaa, hilo ndio tatizo kubwa, roho mbaya Sanaa

    • @ruuhbakary
      @ruuhbakary 7 หลายเดือนก่อน +2

      Shoga upo ndugu yng km una ela pamban tu utafika ila usitegemee mtz atakufikisha nje kumi kwa mj mwenye roh mzur

    • @marrypius576
      @marrypius576 7 หลายเดือนก่อน +2

      Pamban mwenyw uende usimtegemee mtu

    • @joycemallem7427
      @joycemallem7427 7 หลายเดือนก่อน +2

      Tuma namba nikutumie wasap sasa hivi lakini uwe na passport ya kusafiria

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc 7 หลายเดือนก่อน +2

      Wakenya ndo waogope kabisa kiufupi ukifika popote achana na marafiki

    • @ruuhbakary
      @ruuhbakary 7 หลายเดือนก่อน

      @@joycemallem7427upo nchi gn mamy

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sister Bernedeta Mungu azidi kukumiminia Baraka..maana umetufungua macho mno...Respect sis Sheena💖

  • @SabinaVicent-l8w
    @SabinaVicent-l8w 7 หลายเดือนก่อน +6

    Dada shena hongera sana huyo dada anatufingua macho kabisa tuamke kweli tusilale kabsaaaa,

  • @MissKaliz
    @MissKaliz 7 หลายเดือนก่อน +6

    Hakika penye nia pana njia 😍,Mtafutaji hachoki haswa anapo pambania anacho kiamini na raha zaidi ikiwa una passion nacho💪🏾.
    Karibuni 🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @agnesgodsaviour5968
    @agnesgodsaviour5968 3 หลายเดือนก่อน

    Shukrani Kwa elimu

  • @AmimaLaiza
    @AmimaLaiza 3 หลายเดือนก่อน

    Nakukumbuka ndugu, tulikuwa Zanzibar, wewe ukiwa serena znz,,,
    Hongera sana kwa safari yako ya maisha

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mm nakupenda sana dada na ninakufatilia sana ila video zinakuwa ndefu sana unajua wengi wetu tunaangalia kwa simu Sasa video inamaliza lisaa na nusu au masaa mawili yaan kukaa masaa mawili Au limoja kutazama tuu video Moja mh ngumu ningeomba utuwekee pat one na two ili tutazame ata dk 30 inaisha dk 30 tunaitafuta nyingine

  • @MsMasola
    @MsMasola 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana kwa ushujaa wako wa kupambana na maisha.

  • @nunumsabaha2581
    @nunumsabaha2581 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Kwa uvumilivu Dada yangu

  • @franksuzana7123
    @franksuzana7123 7 หลายเดือนก่อน +1

    Safi dada nakufuatilia sana..... mnatufungua macho big up

  • @Jessy-f9w
    @Jessy-f9w 7 หลายเดือนก่อน +3

    Shena unatuletea vitu vizuri sana

  • @bettymbatta9626
    @bettymbatta9626 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ila wanaume wa kibongo🙌🏽 juzi nimemsifia Bill Gate nikaambiwa namtaka hadi leo nimenuniwa 😁

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 7 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu dada ana uwezo wa kumuambukiza furaha mtu yeyote 🌹

  • @esterkivaria8986
    @esterkivaria8986 7 หลายเดือนก่อน +8

    Yaani Leo hakupoi,huku hakuna matata,Kule mdada kakimbia mzungu,,,aaaha dada shena ubarikiwe🎉

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  7 หลายเดือนก่อน +1

      Thanks dear 🙏

    • @roseharryson7127
      @roseharryson7127 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@OfficialDatingAssistance kipenz mzima?naomba unisaidie jinsi ya kuwasiliana na huyu dada

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 7 หลายเดือนก่อน

      Jamani mtutafutie na ss kaz uko​@@OfficialDatingAssistance

    • @bintibaibe1958
      @bintibaibe1958 5 หลายเดือนก่อน

      Hii story imeboa sn,huulizi maswali ni kama tunahadithiwa hadithi imenochosha sn

    • @eliwajajacob8569
      @eliwajajacob8569 4 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana dada benadeta

  • @gracemahugi4380
    @gracemahugi4380 7 หลายเดือนก่อน +5

    Nimempenda huyu mama mwenzangu

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 7 หลายเดือนก่อน +1

    Muwazi anaupendo hana roho ya choyo ujue kimtokacho mtu njee ndicho kimjaacho❤much love

  • @maryamnjagila3896
    @maryamnjagila3896 7 หลายเดือนก่อน +4

    Tatizo la Wabongo tunasemwa sana wachoyo wa michongo pia waoga wa kusafiri

    • @sophiakassim6784
      @sophiakassim6784 7 หลายเดือนก่อน

      Sanaaa wachoyo kwa kweli

    • @ngowibeatrice1701
      @ngowibeatrice1701 7 หลายเดือนก่อน

      Watanzania wanaroho mbaya aswa wanao hishi ilaya atavkama anajua kitu akwambii

  • @RebecaRebby
    @RebecaRebby 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dada nimekupenda sana hapo kwenye changamoto tunazopitia then nyumbani hawajui wanakupangia tena mwingine anakuambia kabisa nitumie kiasi flani 😢😢 hua inakera sana

  • @adeodatuskakorozya9064
    @adeodatuskakorozya9064 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa interview

    • @doryrogness1186
      @doryrogness1186 6 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mtata ya aje my dear

  • @joyceKingu
    @joyceKingu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nikupenda Dada. Story yakoni ya nguvuu. Ina mashiko maana experience zako ni some la maisha tosha. Kisha una moyo mkuu wa uvumilivu lakini sio wa kijinga. You always know what you are doing and when to change gear. 🎉 I wish you a happy life. You eared it and deserve it. And for Shena, thank u for bringing such a treasure of experience and knowledge. Keep it up

  • @neyshao2492
    @neyshao2492 7 หลายเดือนก่อน +2

    Love you ❤Dada Bernadeta

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ambariki mcheshi sana uyu dada piya siyo mchoyo wakutowa elim

  • @happinessmarijani2783
    @happinessmarijani2783 5 หลายเดือนก่อน

    Wonderful news

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mswahili anafaa kuwa story teller❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @geraldmanoti1716
    @geraldmanoti1716 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂 huyo ndo mtoto wakinyamwezi org anamwagia madini hadi buldani.

  • @geraldmanoti1716
    @geraldmanoti1716 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mmarekan kapata mmramecan mnyamwezi wa skonge,

  • @leylascherer3111
    @leylascherer3111 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bena bongo yenyewe very nice

  • @stephaniabenjamini2848
    @stephaniabenjamini2848 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vzr Detha

  • @rosemunisi818
    @rosemunisi818 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shena your are the best

  • @geraldmanoti1716
    @geraldmanoti1716 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ila kabla hujannepa dah ulikuwa unawakimbiza dada yangu, walekasoga Sana ilombolyane.

  • @somoeabbas943
    @somoeabbas943 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahi sana kukuona dada yangu

  • @samtushi1759
    @samtushi1759 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wow... This is awesome I'm in Qatar now!

  • @MsuriHamisi
    @MsuriHamisi 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nipo Qatar na unacho kisema ni kweli yani unashinda mataa mapaka majangwani

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tunashukuru sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 7 หลายเดือนก่อน +7

    Wafilipino wabaguzi kwa waafrica lakini wenyewe wachafu kama sijui kitu gani. Kwao wanalala hadi makaburini.

  • @maryali2122
    @maryali2122 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli ndio tulivo wabongo tabia mbaya usiwe na uji ga pouuzia TABORA UNATOKA SRHEMU GANI ISRVYA AU NGmbo pole sana puuuza maosha yaendelee

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo pa ma x wa kiafrica kurudi na kuomba misaada na michongo wakati mwingine hata ngono ni kweli kabisaaa.
    Niilichogundua mapenzi ya kiafrica ukiyamaliza kistaarabu walengwa huwa awaamini na wakati mwingine wanakuchukulia kama zwazwa kutokana na wewe kuwaacha waende kirahisi bila kuwagasi ndio maana sasa wanagats za kukujia tena na demand zao za kufikirisha.
    Ila kama mtaachana kwa vurugu, maswali na vilio vingi vilivojaa lawama na laana hapo ndio wanaweza enda mazima na wasikugasi....

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 6 หลายเดือนก่อน +1

    Zile za majumbani mara nyingi wasichana wetu wa Africa wanachukua waume za watu na zaidi mabodi yetu ya kiafrica ni mtihani kwa waajiri

  • @gracemzigo4942
    @gracemzigo4942 6 หลายเดือนก่อน +1

    Like baby😂. Asante dada

  • @geraldmanoti1716
    @geraldmanoti1716 4 หลายเดือนก่อน +1

    Vp bado unasali rc? Unaenda kanisani.

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 7 หลายเดือนก่อน

    Emirates wanakuja UK 🇬🇧 bila visa nadhani wanagongewa visa airport nadhani hata kwa marekani wao hakuna shida labda alionana nao hawana passport za Emirate

  • @waelyrobart296
    @waelyrobart296 7 หลายเดือนก่อน +3

    My love dada 😍😍😍 nakupenda sanaaaaaaaa❤

  • @rachelmgema6930
    @rachelmgema6930 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 bertha umenichekesha sana😂😂😂 eti ulikuwaga na nani na nani😂😂 😂😂😂

  • @priscangimba6194
    @priscangimba6194 7 หลายเดือนก่อน +2

    Safi saana

  • @adeodatuskakorozya9064
    @adeodatuskakorozya9064 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bernadetha mdogo wangu 🔥🔥

  • @oceantechcomputerservices3526
    @oceantechcomputerservices3526 7 หลายเดือนก่อน +1

    Chei chei Dertha we heard you and we love you sister

  • @graceindoshi6807
    @graceindoshi6807 7 หลายเดือนก่อน +2

    My neighbor,I always get vitumbua fresh even today I did

  • @ZuwenaAlhabsi-ic5rv
    @ZuwenaAlhabsi-ic5rv 6 หลายเดือนก่อน +1

    Vipi boss atakuleta halafu akunyonge? Ni kitu hakiingii akilini

  • @SabinaVicent-l8w
    @SabinaVicent-l8w 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani huyu dada anachokisema ndiyo nimefanyiwa Mimi shena mungu atusaidie waafrika ni watu wabaya sana sana japo nindugu zetu na sisi ni waafrika lakini wanajua kuumiza Sanna Mimi ndo wamenitoka kabisa ,

  • @AmimaLaiza
    @AmimaLaiza 3 หลายเดือนก่อน

    Benadetha habari

  • @Mazoea
    @Mazoea 7 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu Dada nimesoma na mdogo wake anaitwa Linda Mlunde Mlimani Primary School..Linda Mlunde alikua ana akiri sana Darasani...

    • @minabelle353
      @minabelle353 7 หลายเดือนก่อน

      Unanikukumbaka Amina nlikua kaa dawatibmoja na Linda mlunde grace sales, neema rutayisire sijui wako wapi

    • @Mazoea
      @Mazoea 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@minabelle353Nakukumbuka sana. Grace sikazwe yupo Tanzania Suzana basilius yupo Tanzania .wewe upo wapi my Dear..

    • @Mazoea
      @Mazoea 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@minabelle353Wewe upo Wapi Dada yangu..mimi Nipo USA

  • @Oliva_Meela
    @Oliva_Meela 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kuzaa mapema sio shida dada shida unazaa na nani 😂😂😂

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wakutoka Asia wanakubalika sana kwa vile niwaoga, wanatetemekea maboss na wanafanya watakachoambiwa bila kuhoji au kulalamika. Waafrika wanajulikana kichwa ngumu

  • @NeymaHisa
    @NeymaHisa 5 หลายเดือนก่อน

    Ayo ya ubanguzi ni mengi mm mwenyewe nipo hapa Abu Dhabi na mtanzania mwenzangu na nikipika km nipo hapo yy Ali na ni mbanguzi mbaya anampenda mweupe mm ana mpango na mm

  • @gracemahugi4380
    @gracemahugi4380 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanangu yuko nairobi anasoma ila muda wowote ataondoka

  • @HappyMoses-lu5dd
    @HappyMoses-lu5dd 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani huyu dada mawasiliano yake please shena Hakuna matata zipo nyingi

  • @GagaPaint
    @GagaPaint 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo picha ya nyuma kaz father atanasi rejend

  • @gracemahugi4380
    @gracemahugi4380 7 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu wanyumbani jamani nisaidike no anisaidie mwanangu anataka kwenda huko apate mtu wakumuuliza

  • @ViolethMazengo-nd8cy
    @ViolethMazengo-nd8cy 7 หลายเดือนก่อน

    Shena huyu dada nimempenda sana atoe mawasiliano yake yupo waz sana

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @SabinaVicent-l8w
    @SabinaVicent-l8w 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo dada una mtoto sasa?

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 7 หลายเดือนก่อน +1

    Emirate ukubwa ni kama wilaya moja Tanzania

  • @gracemahugi4380
    @gracemahugi4380 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ila huyu dada ananifrahisha sana amepita sana na anatufundisha mengi ht kwa watoto wetu

  • @winfridalukindo
    @winfridalukindo 7 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥

  • @rayasaid3734
    @rayasaid3734 4 หลายเดือนก่อน

    Dada unasema kweli tupu

  • @maryamnjagila3896
    @maryamnjagila3896 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mphilipino wabaguzi mno lakini ni wachafu sana wakiwa kwenye kampuni alafu muafrica peke yako lazima wakufanyie fitina wakutoe

  • @peterkiguru4399
    @peterkiguru4399 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli watu wakula pamoja hata makanisani

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wabongo elimu duni, ujasiri zero , kwenye kila kitu ndio mana Hatuko sehem nyingi za maana

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 7 หลายเดือนก่อน +1

    Housekeeper nipo hapa, ngoja nichangamkie mitandaoni sasa

  • @marrypius576
    @marrypius576 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nimezisaka sana kazi za uarabun dada angu maan mim ni hotelia ila wanakwambia mpka uwe kule na ukikutan na maagent wanakwambia kazi million 3 😂😂😂 yan ni shida

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  7 หลายเดือนก่อน

      Mfate dm ya insta atakuelekeza..

    • @marrypius576
      @marrypius576 7 หลายเดือนก่อน

      @@OfficialDatingAssistance inst anatumia nani?

  • @safiam5338
    @safiam5338 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kwa sababu wa filipino ni watu wanajitahidi sana kwa kazi zao hata mu manyumba ni wasafi sana

  • @NeemRamadhani-j8h
    @NeemRamadhani-j8h 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kila siku siachi ubuyu unitee, adi nimeshajua miji ya nje kabla sjafika.

    • @Mazoea
      @Mazoea 7 หลายเดือนก่อน +1

      Karibu Sana mimi nipo Maryland..

    • @MissKaliz
      @MissKaliz 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@Mazoea Mimi ni jirani yako hapa DC

    • @ruuhbakary
      @ruuhbakary 7 หลายเดือนก่อน

      @@Mazoeamambo dear tupen ubuy kipenz mnafikaj hk

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kamsalimie

  • @themaestro-24
    @themaestro-24 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani umenichekesha eti tunabaguliwa kwenye majumba yaani ni kweli kabisa

  • @JoeIssa-c5b
    @JoeIssa-c5b 7 หลายเดือนก่อน +1

    😢

  • @maryamnjagila3896
    @maryamnjagila3896 7 หลายเดือนก่อน +1

    Raskhaimah, UAE aisee good experience

  • @marrysamwel596
    @marrysamwel596 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nilijua nimenchenji gia mimi uwiiiiiiii

  • @MwanaRamathani
    @MwanaRamathani 7 หลายเดือนก่อน

    Mung akusimamie

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 7 หลายเดือนก่อน +2

    shena upoi kabisa uboi kabisa unatuleteya vitu vya moto moto kweli kweli

  • @Jessy-f9w
    @Jessy-f9w 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani shena unatupa vitu konki

  • @GetrudaMamiro
    @GetrudaMamiro 7 หลายเดือนก่อน +1

    Comooonnnnn.... Hahahaha

    • @GetrudaMamiro
      @GetrudaMamiro 7 หลายเดือนก่อน

      Ahsante umenifungua macho, sasa mimi napenda aniulize mambo ya kifamilia... Kumbe nakosea

    • @GetrudaMamiro
      @GetrudaMamiro 7 หลายเดือนก่อน

      Jamaniii kwa nini sikusomea hotel

  • @ZuwenaAlhabsi-ic5rv
    @ZuwenaAlhabsi-ic5rv 6 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mfanyakazi aliyenyongwa na boss huku Arabuni, Serikali ni moja tu na sheria ni moja tu, na inajali sn wageni, ndugu zetu wadada wa kazi wengine si wazuri wanakuja na mambo mengi.mimi house maid wangu huu ni mwaka wa kumi,msisikie ya kuambiwa Jamani nchi zetu zinajali sn utu wa kila mtu.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  6 หลายเดือนก่อน

      Hongera kwa kua na roho njema na kupata dada mwema, lakini uhalisia huko kuna matukio sana yanaripotiwa kila siku 🙏

    • @AnethMinja
      @AnethMinja 5 หลายเดือนก่อน

      Naomba. Number zako

    • @AnethMinja
      @AnethMinja 5 หลายเดือนก่อน

      Naomba number zako

  • @gracemahugi4380
    @gracemahugi4380 7 หลายเดือนก่อน +3

    Shida yako shoga yg ht tukiomba no hujibu kabisa wala hutoi

    • @nicedavid8536
      @nicedavid8536 7 หลายเดือนก่อน +1

      Fatilia Video zake utaona namba

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  7 หลายเดือนก่อน +2

      Thanks dear

    • @gracemahugi4380
      @gracemahugi4380 7 หลายเดือนก่อน

      @@nicedavid8536 kama leo nimemfatilia mara 3 vipindi vyote ukimpenda mtu shena hakupi no na mimi nimember wk sana ktk vipindi vyake

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 7 หลายเดือนก่อน

      Ashatoa namba sana, labda hujaangalia baadhi ya video zake.

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa ambaye ajaona c ampee tyu

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤️❤️❤️