Awamu hii SMZ mnatekeleza miradi tele ya ujenzi lakini cha kuhuzunisha wafanyakazi wengi kama sio wote wale wenye ujuzi wa kawaida km vibarua basi ni wageni, hivi SMZ mnashindwa kuwanufaisha vijana wa zanzibar kwa fursa hizo za ajira za muda mnazozitengeza? Ndo tumekua wavivu kiasi hicho?
Hongera Rais mwinyi: Allah akubariki
Mungu awape Nguvu kulisimamia hilo viongozi wetu
Unguja tu Pemba aaaaahh😢
Ao wapemba wenyewe wote wapo Unguja, Pemba wameacha mikarafuu tu.
Awamu hii SMZ mnatekeleza miradi tele ya ujenzi lakini cha kuhuzunisha wafanyakazi wengi kama sio wote wale wenye ujuzi wa kawaida km vibarua basi ni wageni, hivi SMZ mnashindwa kuwanufaisha vijana wa zanzibar kwa fursa hizo za ajira za muda mnazozitengeza? Ndo tumekua wavivu kiasi hicho?
Hakatazwi mtu mbona , wengi wetu hatuwez kazi za nguvu ,,,, tunapenda kulalamika na kutaka malipo ya juu as if kamapuni ni za wajomba zetu .
Storı zısıwe nyıngı jengeni hıyo njıa au ndo yakuja kupıgıa kampeni
😂😂😂