- 247
- 116 989
wizara ujenzi Zanzibar
เข้าร่วมเมื่อ 14 มิ.ย. 2019
UZINDUZI WA UJENZI WA BARABARA NA DARAJA LA UZI NG'AMBWA
UZINDUZI WA UJENZI WA BARABARA NA DARAJA LA UZI NG'AMBWA
มุมมอง: 1 953
วีดีโอ
WAKUU WA IDARA, DIVISHENI WA ZMA WAMETAKIWA KUJIFUNZA KWA KINA MAMBO YA KIMKAKATI
มุมมอง 754 หลายเดือนก่อน
WAKUU WA IDARA, DIVISHENI WA ZMA WAMETAKIWA KUJIFUNZA KWA KINA MAMBO YA KIMKAKATI
WAZIRI DKT. KHALID AKANUSHA UPOTOSHAJI NA UZUSHI
มุมมอง 2444 หลายเดือนก่อน
WAZIRI DKT. KHALID AKANUSHA UPOTOSHAJI NA UZUSHI
DKT. MNGEREZA AKABIDHI VIFAA NA KUZINDUWA MFUMO WA KIDIGITALI WA ANUANI ZA MAKAAZI
มุมมอง 474 หลายเดือนก่อน
DKT. MNGEREZA AKABIDHI VIFAA NA KUZINDUWA MFUMO WA KIDIGITALI WA ANUANI ZA MAKAAZI
DKT.MNDEWA: WATENDAJI WA SERIKALI MUNAOSIMAMIA TEHAMA KUWENI WABUNIFU KATIKA UTENDAJI WA KAZI ZENU
มุมมอง 324 หลายเดือนก่อน
DKT.MNDEWA: WATENDAJI WA SERIKALI MUNAOSIMAMIA TEHAMA KUWENI WABUNIFU KATIKA UTENDAJI WA KAZI ZENU
DKT. KHALID: MAONESHO HAYA YAMETOA FURSA KWA VIJANA WETU KUFIKA NA KUJIFUNZA
มุมมอง 384 หลายเดือนก่อน
DKT. KHALID: MAONESHO HAYA YAMETOA FURSA KWA VIJANA WETU KUFIKA NA KUJIFUNZA
WATENDAJI WA SERIKALI WASHAURIWA KUZICHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA CHUO CHA IIT MADRASA ZANZIBAR
มุมมอง 285 หลายเดือนก่อน
WATENDAJI WA SERIKALI WASHAURIWA KUZICHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA CHUO CHA IIT MADRASA ZANZIBAR
SHIRIKA LA MELI ZANZIBAR LASAINI MKATABA UJENZI WA MELI MBILI MPYA ZA KISASA
มุมมอง 2.7K5 หลายเดือนก่อน
SHIRIKA LA MELI ZANZIBAR LASAINI MKATABA UJENZI WA MELI MBILI MPYA ZA KISASA
SERIKALI ITAWASHIRIKISHA WANANCHI UJENZI UTAKAPO ANZA
มุมมอง 2055 หลายเดือนก่อน
SERIKALI ITAWASHIRIKISHA WANANCHI UJENZI UTAKAPO ANZA
UONGOZI WA CCM WILAYA YA KATI WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI KUPITIA SEKTA YA MIUNDOMBINU
มุมมอง 1605 หลายเดือนก่อน
UONGOZI WA CCM WILAYA YA KATI WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI KUPITIA SEKTA YA MIUNDOMBINU
WANANCHI WA BANDAMAJI WATAKIWA KUJITOLEA VIPANDO VYAO ILI KURUHUSU UJENZI WA BARABARA
มุมมอง 1095 หลายเดือนก่อน
WANANCHI WA BANDAMAJI WATAKIWA KUJITOLEA VIPANDO VYAO ILI KURUHUSU UJENZI WA BARABARA
JAMBO JET YAZINDUWA SAFARI ZAKE ZA NDEGE MOMBASA - ZANZIBAR
มุมมอง 1.4K5 หลายเดือนก่อน
JAMBO JET YAZINDUWA SAFARI ZAKE ZA NDEGE MOMBASA - ZANZIBAR
MABAHARIA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MIONGOZO ILI KULINDA USALAMA WA ABIRIA
มุมมอง 825 หลายเดือนก่อน
MABAHARIA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MIONGOZO ILI KULINDA USALAMA WA ABIRIA
SMT NA SMZ ZINATHAMINI JITIHADA ZINAZOTOLEWA NA MABAHARIA KATIKA KUKUZA SEKTA YA USAFIRI BAHARINI
มุมมอง 555 หลายเดือนก่อน
SMT NA SMZ ZINATHAMINI JITIHADA ZINAZOTOLEWA NA MABAHARIA KATIKA KUKUZA SEKTA YA USAFIRI BAHARINI
SMZ IMEANDAA UTARATIBU WA KUZIJENGA BARABARA ZINAZOINGIA KTK KAMBI ZA VIKOSI VYA SMZ UNGUJA NA PEMBA
มุมมอง 4K6 หลายเดือนก่อน
SMZ IMEANDAA UTARATIBU WA KUZIJENGA BARABARA ZINAZOINGIA KTK KAMBI ZA VIKOSI VYA SMZ UNGUJA NA PEMBA
PRESS SIKU YA MAADHIMISHO YA MABAHARIA DUNIANI 2024
มุมมอง 1136 หลายเดือนก่อน
PRESS SIKU YA MAADHIMISHO YA MABAHARIA DUNIANI 2024
MIUNDUMBINU YA BARABARA ZANZIBAR NI NEEMA TUPU
มุมมอง 7188 หลายเดือนก่อน
MIUNDUMBINU YA BARABARA ZANZIBAR NI NEEMA TUPU
MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI ZANZIBAR
มุมมอง 1768 หลายเดือนก่อน
MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI ZANZIBAR
TUNA KILA SABABU YA KUWAKUMBUKA, KUWAENZI NA KUWAOMBEA DUA VIONGOZI WETU WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI
มุมมอง 588 หลายเดือนก่อน
TUNA KILA SABABU YA KUWAKUMBUKA, KUWAENZI NA KUWAOMBEA DUA VIONGOZI WETU WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI
ZAA ZANZIBAR YAPONGEZWA KWA KUTOA HUDUMA NZURI AIRPORT
มุมมอง 778 หลายเดือนก่อน
ZAA ZANZIBAR YAPONGEZWA KWA KUTOA HUDUMA NZURI AIRPORT
WANANCHI WA DONGE MELI ISHIRINI WAMETAKIWA KUITUNZA MIUNDOMBINU YA MAJI SAFI NA SALAMA
มุมมอง 1558 หลายเดือนก่อน
WANANCHI WA DONGE MELI ISHIRINI WAMETAKIWA KUITUNZA MIUNDOMBINU YA MAJI SAFI NA SALAMA
WAENDESHA PIKIPIKI WATAKIWA KUHUDHURIA MAFUNZO YA USAFIRISHAJI
มุมมอง 328 หลายเดือนก่อน
WAENDESHA PIKIPIKI WATAKIWA KUHUDHURIA MAFUNZO YA USAFIRISHAJI
MV MAPINDUZI 2 INATARAJIWA KUCHUKUWA ABIRIA IFIKAPO MWEZI WA APRIL MWAKA HUU
มุมมอง 7K9 หลายเดือนก่อน
MV MAPINDUZI 2 INATARAJIWA KUCHUKUWA ABIRIA IFIKAPO MWEZI WA APRIL MWAKA HUU
WIZARA YA UJENZI YA SMT, SMZ KUMALIZA MITIKISIKO YA KIMASLAHI
มุมมอง 13110 หลายเดือนก่อน
WIZARA YA UJENZI YA SMT, SMZ KUMALIZA MITIKISIKO YA KIMASLAHI
WUMU KUITEMBELEA BARABARA YA UWANJA NDEGE - MNAZIMMOJA KUONA UJENZI UNAVYOENDELEA
มุมมอง 78610 หลายเดือนก่อน
WUMU KUITEMBELEA BARABARA YA UWANJA NDEGE - MNAZIMMOJA KUONA UJENZI UNAVYOENDELEA
MIAKA 60 YA MAPINDUZI SEKTA YA MIUNDOMBINU IMEIMARIKA IPASAVYO ZANZIBAR (WUMU)
มุมมอง 65811 หลายเดือนก่อน
MIAKA 60 YA MAPINDUZI SEKTA YA MIUNDOMBINU IMEIMARIKA IPASAVYO ZANZIBAR (WUMU)
ZMA NA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR PAMOJA NA MAFANIKIO YAKE
มุมมอง 22111 หลายเดือนก่อน
ZMA NA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR PAMOJA NA MAFANIKIO YAKE
SHIPCO NA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR
มุมมอง 29611 หลายเดือนก่อน
SHIPCO NA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR
Hongera Rais mwinyi: Allah akubariki
Awamu hii SMZ mnatekeleza miradi tele ya ujenzi lakini cha kuhuzunisha wafanyakazi wengi kama sio wote wale wenye ujuzi wa kawaida km vibarua basi ni wageni, hivi SMZ mnashindwa kuwanufaisha vijana wa zanzibar kwa fursa hizo za ajira za muda mnazozitengeza? Ndo tumekua wavivu kiasi hicho?
Hakatazwi mtu mbona , wengi wetu hatuwez kazi za nguvu ,,,, tunapenda kulalamika na kutaka malipo ya juu as if kamapuni ni za wajomba zetu .
Unguja tu Pemba aaaaahh😢
Ao wapemba wenyewe wote wapo Unguja, Pemba wameacha mikarafuu tu.
Mungu awape Nguvu kulisimamia hilo viongozi wetu
Storı zısıwe nyıngı jengeni hıyo njıa au ndo yakuja kupıgıa kampeni
😂😂😂
Waheshimiwa ya nini kuparamia magazi ya meli? Subirini viteremshwe mkague chini.
Hamna,mpango,wizzimtp
❤
bora ingetengezwa kwa wa australia,wagiriki aw wajapan
Mashallah zanzibar oyyeeeeee
Mashaallah
Maa shaa Allah.
Safi sana
Maashaallah. Kiukweli huyu Mkurugenzi wa hili shirika la Mawasiliano ni mtu sahihi kabisa kwa maslahi ya taasisi, wafanyakazi na maendeleo kwa wananchi na nchi kiujumla. Kwa sababu kwanza anaonekana taaluma yake inaendana haswa na nafasi pamoja na taasisi aliyopewa kuisimamia na kuiongoza. Na ndio maana ameweza kuwa na maono makubwa sana ya kuweza kuibadilisha hii taasisi kutoka kuwa WAKALA wa Miundo Mbinu ya Tehama na kuifanya rasmi kuwa SHIRIKA LA MAWASILIANO LA ZANZIBAR (ZICTIA) kupitia sheria nambari 4 ya mwaka 2020 - 2023 na ameweza kubainisha shughuli zote kuu ambazo shirika hili litakwenda kuzitekeleza kwa ikiwemo kuziunganisha taasisi zote za serikali kupitia mkonga wa mawasiliano ya Internet na kuweza kuwatoza kodi ya matumizi ya huduma hiyo ikiwa ni miongoni mwa njia za kukusanya fedha za kuliendesha shirika hili pamoja na kuibua vyanzo vipya vya kuiongezea mapato serikali kuu kupitia gawio la faida ya makusanyo ya fedha ambazo zimepatikana ktk utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo. Allah azidi kumjaalia maono makubwa zaidi na kuwajali wafanyakazi wote kwa maslahi makubwa ya wananchi pamoja na nchi kiujumla. VIVA ENG. SHUKURU AWADH!!! VIVA STAFF!!! VIVA ZICTIA🙏🙏🙏
Alaa mmeliona ilo la vibanda eeh,maana mji mzima wa zanzibar uko hivyo ukiachilia mbali mji mkongwe.
Kwa familia yake na marafiki zake
Safi muheshimiwa
Tunaomba muongeze milango ya kutokea
Mashallah hongera sana khadija Allah akuzidishie hekima katika kazi zako hongera school mate
Ile meli ya Flying horse izuiyeni yahatarisha maisha ya watu muliangalie sana hili mara ngapi inakwenda na kuzima njiani. Hii leo imefungishwa njiani
Zictia
Njaa ndio neema ya Zanzibar hakuna neema labda nakama nyinyi furahini wenzenu wanalala njaa shida tupu hamuoni haya kilo ya mapembe 2500 sukari 3000 ni kweli yajao neema tu na yajao yanafurahisha tumo katka kufurahika hili pigo si la mmoja kila mtu amepigwa
Njaaaa tupu
Neema ni kua maisha rahisi. Watu wa zamani walikua wanatuambia dunia ya zamani ilikua ina neema. Kwamaana maisha yalikua rahisi. Hii ya sasa ni nakama. Maisha yamekua ghali.
Ni nakama tupu.
Wenzenu vitengo vya habari za wizara vilivoendelea, wanakata kata interview kwenye socio medias kama twetter au insta afu youtube wanaiweka yote ili mtu apate kionjo kule afu akija uku apate habari yote, nyie had youtube munakata videos
Acheni ujinga wekeni interview yote tuisikie, ayo mambo ya kukata kata interview ni ya kizamani, wekeni yote apa, munakata kata nini
Tunashukuru kwa maendeleo mh rais aangalie na swala la ndege ya zanzibar air line
Nakama tupu. Maana ukali wa maisha haukupungua. Umeengezeka mara dufu.
Kwan nn maendeleo uchim wa bluu barabara au chakula au hospital
Wizi kwenye viza mtu anatumia muda mwingi sana ujaze form Ya viza foleni ukapige picha foleni ukalipie viza foleni masaa mawili wizi mtu pale
Safi sana barabara zikiwa safi na pana na mataa njiani ndio mwanzo wa kuifungua nchi kiuchumi na maendelea piga kazi kijana wa mkuranga
Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Unawatakia Waislamu Wote Duniani Kheri ya Kumbukizi ya Kuzaliwa Kwa Mtume Muhammad (S.A.W)
Mashallah buyu kuzuri
Comments na Kushare Video hiii
😂
Hakuna lisulowezekana Z'bar Hongera sana {Mh Dr Hussein Mwinyi Rais Wa Z'bar.
Safi Sana
Na pembeni ya njia kue kunavutia
Iyo campun ni waturuk lkn HR Na msaidizi wake wametoka bara mzanzibari kuipata nafasi ya tesiti ningumu na ukiipata ukipasi ulipe 150000 km nafasi umekosa kafanyeni uchukuzi wa jambo hilo km hukupelekwa na mkuu wa wilaya au mkowa utamaliza nauli kwenda na kurudi
Utalii utageuka utakua utalia
Na barabara ya bububu musiisahau ni changamoto wa watumiaji
Nafikiri mheshimiwa na hata mashirika ya ndege na agents zao wapo wanaoita kisauni airport bila hata international na kuna ya nje ambayo wanaandika zanzibar international airport sio Abeid Aman karume.
Hiii nzuri
Buyu kuzuri mashallah mji mpyaaaa huseni oyeeeeee
Huseni mwinyi oyeeeee. Umenifurshisha mwinyi barabara ya chukwani buyu inatengenezwa kutakuwa kuzuri ksribu na beach umenifurahisha mwinyi asante baba.
Ahsanteeee
Kazi nzuri san
Mashaallahu ❤❤❤
Vp barabara ya Chake mkoani imefikia wapi?