@Dada big Farida me nakupenda sana 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 Actually your a good teacher,,,Endelea hvyo2 kutupa masomo mblmbl kuhusu Mahusiano....Mwenyezi Mungu atakubariki....big up sana.
Ahsante dada farida kwa somo zuriiiii.. Hili somo ni muhimu sana Allah akuzidishie uwezo wa kufikiri na kuweza kufikiria mada nyengine mzuri zaidi ya hii
😀😀😀😀😀😀 hiko Chakula cha Mwili nakitaman sana Although bado sijakila,,,,,ila Mm nikimpenda demu nimempenda sinaga Michepuko kbs...Mm ni Mwanaume mwaminifu sana ktk Mahusiano yangu.
Mashaa Allah ujumbe mzuri wenye mafunzo sana,jazallahu kher kwa kutoa mafunzo kwenye njia ya busara na wenye mvuto hata waeza angalia video na mtu mwenye umri mkubwa bila ya kuona haya
@big farida asante mda mashallakh pia tumesahau dini yetu ya kiislam. Ndio muhimu khaki yake mume akitaka anytime apewe maana khaki. Yake na usimpo mpa dhambi unalaaaniwa
Kwakweli mke anae mpa haki yake mme anapohitaji husababisha mme awe anawahi kufika nyumbani kwa wakati hasa wakati wa jioni mapemaaa! Huu ni utafiti wangu binafsi,jaribuni wanawake mfaidike kwenye ndoa mtakula mpaka vya uvunguni wallahi!
Umelizungumza mwenyewe kuwa sisi waafrica je ikiwa unasema waafica je huyo mume anaetaka kitendo landoa mke ananjaa Halafu unasema Mwanamke anukie aipate wapi manukato basi mwanamme tu ndie mwenye haki tu je Mwanamke ndio asio nahaki kwa mwanamme
Hamida Alhabsi mke anahaki zake na mume anahaki zake pia ....ukimskia mtu kutamani tendo landoa huyo lazma atakua ameshiba ..habari ya manukato wanawake tujishuhulishe ilitupate angalau pesa zamahitajietu madogo madogo ayo manukato jipake unukie kwa ajiliako dear raha jipe mwenyew usisubiri kupewa
kwakweli dada mintasema ukweli wanaume hawajulikani mume anakwambia mbele ya uso kilasiku ukila kitu kimoja unakinai lakwanza la pili mume unampa kwa moyo wote unakuja kumfuma anamwanamke nnje unaliongeleaje hilo
Shufaa A. Waume mpaka mungu kuaruhusu kuowa Mpaka wake4 nikwakua anawajua matamanivu yao mengi kuliko ya wanawake waume aikwa na mke mwembamba akumuona mnene mate humdondondoka akiwa na mweupeee mweusi pia yuwamtoa ukonda sasa hao tuwazoweye japo hawazoweleki
Watatutepetesha tena mwana mke anacoka n'a mwenye atakuwa rhadhi kutomasa kila siku manayake hamsaidiyi mume cocote ndo wale vifo vya mende kitandani tena maman kuna wanaume anamaliza dakika 20 hadi 30 moja tu mapumziko ndo raha tunapeyana alternance
agnes peter mke pia anahaki zake kama kulishwa kuvishwa makaazi kupewa tendo landoa na mengine mengi...ila apa sikuya eleza nayaandalia video mungu akipenda
@Dada big Farida me nakupenda sana 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 Actually your a good teacher,,,Endelea hvyo2 kutupa masomo mblmbl kuhusu Mahusiano....Mwenyezi Mungu atakubariki....big up sana.
John De Star aamiyn kwetu sote brother 😍
@@bigfarida6992 Pa1 sana Sister
Ahsante dada farida kwa somo zuriiiii.. Hili somo ni muhimu sana Allah akuzidishie uwezo wa kufikiri na kuweza kufikiria mada nyengine mzuri zaidi ya hii
Saleh Elmazrouy in sha Allah
😀😀😀😀😀😀 hiko Chakula cha Mwili nakitaman sana Although bado sijakila,,,,,ila Mm nikimpenda demu nimempenda sinaga Michepuko kbs...Mm ni Mwanaume mwaminifu sana ktk Mahusiano yangu.
Mashaa Allah ujumbe mzuri wenye mafunzo sana,jazallahu kher kwa kutoa mafunzo kwenye njia ya busara na wenye mvuto hata waeza angalia video na mtu mwenye umri mkubwa bila ya kuona haya
Jamila Yusuf Ahmed manshaallah allah ameturuzuk lugha nzuri haina haja kuwakosa adabu watu video zina tembea huenda zikafika kutazamwa nawazee
big farida kweli kabsa,Mola atuongoze njia iliosawa in shaa Allah
Dada masomo yako yananijenga Alhamdulillah,shukran kipenzi Allah akuongezee
Kulthum Salim aamiyn mungu atuongezey sote dear😍
kumbe kunaendaga ivo ...shukran Dada kwa darasa
Asante Dada usafi muhimu xn kwa wanawake
Mwanaisha Nguku kweli kabisaa mpenzi
Mwanaisha Nguku ,hata wanaume usafi mhim tena sn
Shukrani habithy anna so smart mashallah 100% unatunza penzi lako...!
Fatma T afuan dear😍😍😍
asante dada kwa mafundisha yako kwli changamoto hizo tunapambana nazo
Ramadhan Kibogoyo mungu awawekeye wepesi
binti juma
MashaaAllah jazzak la kheri
Dada ahsante kwa masomo yako mazur
Kulwa Angel afuan habibaty
@big farida asante mda mashallakh pia tumesahau dini yetu ya kiislam. Ndio muhimu khaki yake mume akitaka anytime apewe maana khaki. Yake na usimpo mpa dhambi unalaaaniwa
RAMILI MOE eeeh dear ikiwa huna sababu inokuzuiya mpe hakuake😂😂😂
big farida muhimu kumpa. Khaki iyo 💋❤❤😀achoke yy japo hii kitu haichokeshi
RAMILI MOE umeona eeeh😘
😍😍😍 Ongera Habibtî wangu 💋💋💋 from @Abfat...
cendrillon Nam Ahsante mpenzi 😍😗😍😗
@big farida mwanamke smart bibi weee tenaa sante mamy💋💋💖❤😃eti simpii jamani mtikhan anaisabia mabati😃dhambi jomoni kutowa muhimu sn
RAMILI MOE 😂😂😂😂😂halali kuca😍😍😍
mbn cc huwa hatusinzii?
@Jesca Julius,,,,,Hamsinzii wakat gn?
Sister Farida yaani umenitouch sana, let me be quite,
Joseph Loy ongea tu brother😍😍😍
Dada nimependa ufundishaji wake masomo ya ndoa
Elias Puli ahsante brother 😍
shukran habibty😗😗
Shufaa A. Afuan mpenzi 😗😗😗
hii swala yaknyanyuwa mguu kila siku me kwauvivu wangu ndicho kitakacho nifanya nisiolewe😂😂😂😂😂
Arafa Iddy 😆
Arafa Iddy 😂😂😂😂😂utazowea dear😂😂😂😂
Arafa Iddy looh kazi
Arafa Iddy haaaaaahaaa wewelllll
Arafa Iddy we arafa iddy utapata zambi za kuzini kila siku
Dada nakupenda sana unafunza watu vizu😘😘😘😘😘
بدر الشمري Ahsante 😍😍
Nitalipateje somo hili? kwa sababu nimelipenda sana somo hilo.
Elias Puli labda ulikopi Youtub mpenzi
shukran dada
Rahma Ramadhan afuan dear😍😍
Shukran habbty
Aisha Rashed afuan dear 😗😗😗
waende t huko nje aaaaah nn bhn, ila akirudi asiniguse acje kuniambukiza magonjwa bureee
@Jesca Julius,,,,Ukitaka asikufanyie hivyo bc huna budi kumpa Mapenzi ya dhati,,,,,Sisi Wanaume tunapenda sana Madem zetu watupende kwa dhati.
Shukran habbty hagy
Diya Osman afuan dear 😗😗😗
Kwakweli mke anae mpa haki yake mme anapohitaji husababisha mme awe anawahi kufika nyumbani kwa wakati hasa wakati wa jioni mapemaaa! Huu ni utafiti wangu binafsi,jaribuni wanawake mfaidike kwenye ndoa mtakula mpaka vya uvunguni wallahi!
Ukweli dadangu nimependa somo
shaukat mohamed ahsante brother 😍😍
somo zuri sana
Rehema Emanuel Ahsante sweet heart wamie😗😗😗
Salam alekum mbona upo kimya sana
hasan jamal alaikumsalam warahmatullah wabarakatuh mie uyu brother
big farida
swadankta yahabnty wang
Mashaallah dd
Nikupongeze kwa sauti Leo inasikililkika fresh
Mohmed Alabre oooh kumbe mic mpyaa inafaa kuliko ya awali
Haha
Mm bado sikusikii ongeza sauti
Shukran sana dada
MERCY KITOTO afuan dear 😍😍😍
naomba namba yako
Jackline Tungaraza 0031684283982
Umelizungumza mwenyewe kuwa sisi waafrica je ikiwa unasema waafica je huyo mume anaetaka kitendo landoa mke ananjaa Halafu unasema Mwanamke anukie aipate wapi manukato basi mwanamme tu ndie mwenye haki tu je Mwanamke ndio asio nahaki kwa mwanamme
Hamida Alhabsi mke anahaki zake na mume anahaki zake pia ....ukimskia mtu kutamani tendo landoa huyo lazma atakua ameshiba ..habari ya manukato wanawake tujishuhulishe ilitupate angalau pesa zamahitajietu madogo madogo ayo manukato jipake unukie kwa ajiliako dear raha jipe mwenyew usisubiri kupewa
kwakweli dada mintasema ukweli wanaume hawajulikani mume anakwambia mbele ya uso kilasiku ukila kitu kimoja unakinai lakwanza la pili mume unampa kwa moyo wote unakuja kumfuma anamwanamke nnje unaliongeleaje hilo
Shufaa A. Waume mpaka mungu kuaruhusu kuowa Mpaka wake4 nikwakua anawajua matamanivu yao mengi kuliko ya wanawake waume aikwa na mke mwembamba akumuona mnene mate humdondondoka akiwa na mweupeee mweusi pia yuwamtoa ukonda sasa hao tuwazoweye japo hawazoweleki
Thanks sweetheart miss you oooh
Akinyi Susan u well come dear😗😗😗
big farida hahaha in sha Allah
Asante ,siku mingi
Siku mingi kabisaaa my dear hujambo
Thx
Zuhura Salum Uwell come dear 😍😍
kazi ipo
Watatutepetesha tena mwana mke anacoka n'a mwenye atakuwa rhadhi kutomasa kila siku manayake hamsaidiyi mume cocote ndo wale vifo vya mende kitandani tena maman kuna wanaume anamaliza dakika 20 hadi 30 moja tu mapumziko ndo raha tunapeyana alternance
Yvette Binkas cha uvivu oyooooo😍😍😍
Basi unge zidisha sauti yako hai eleweki can't understand
Faiza Ummu Mohamed pole sana dear
Tendo la ndoa ni dawa tena hupata usingizi mweroro.
Omar Salim kabisaaa dawa haswaaa😂😂😂
Nzuri dada
Damaris Kwamboka ahsante 😍😍😍
naomba email address yako dada farida
fatma abdallah bigfarida2000@yahoo.fr
Haha wwe umepatia nahao hawajawasoma waume zao wanaume hawakinai kabisa
Mohmed Alabre 😂😂😂😂
Dada unasema kweli hayo yote natamani ungefundishe wakimama wote wakaelewa siri ya mafanikio ya ndoa.
uko vizur habybat
Shams Said Ahsante brother 😍😍😍
Namb unitafutie rafki wakizung my no0652814785
Marry Henry nikimpata nita kujuza😘
Chakula ya mwili kweli!
Marry Henry Je haki ya mwanamke ni ipi ? Maama kila kitu baba je mama kwenye ndoa anafai nini?
agnes peter mke pia anahaki zake kama kulishwa kuvishwa makaazi kupewa tendo landoa na mengine mengi...ila apa sikuya eleza nayaandalia video mungu akipenda
kumbe kunaendaga ivo ...shukran Dada kwa darasa
kumbe kunaendaga ivo ...shukran Dada kwa darasa
N'dzimwenga Rizik afuan dear😍😍😍
kumbe kunaendaga ivo ...shukran Dada kwa darasa
N'dzimwenga Rizik afuan dear