TOFAUTI ZA WAUME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • NDOA&FAMILLIA

ความคิดเห็น • 164

  • @abeidsaleh7308
    @abeidsaleh7308 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nzuri sana uko sawa kabisa ukweli utabaki kuwa ukwelitu na mkataa ukweli mchawi.

  • @lucvisso6936
    @lucvisso6936 6 ปีที่แล้ว +2

    Aksante mama. unazungumuza vizuri sana kama wacongomani.

  • @hidayamussa4273
    @hidayamussa4273 7 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah Dada upo sahihi maneno yako hongera sana nimependa Darsa lako

  • @aminatuabdhulahi8405
    @aminatuabdhulahi8405 7 ปีที่แล้ว +4

    Asante dada naolewa ivi karibuni so mada zako zanipevusha na kunifungua akili, Allah akubariki.

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +1

      Ongera mpenzi Allah akuekeye kila lakheri

    • @aminatuabdhulahi8405
      @aminatuabdhulahi8405 7 ปีที่แล้ว

      big farida Amiin

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 7 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kuwa dada yetu anasema amefaidika kwa sababu yuko njiani kuelekea kwenye [maisha ya] ndoa nadhani ni jambo la busara viongozi wa kijamii wanaofahamu umuhimu wa kueneza maarifa ya kuimarisha ndoa, kama vile wewe, wafahamu kwamba kuna aina mbili za makundi ya kijamii yanayohitajika kusaidiwa kwa mawaidha yanayohusu kuboresha na kudumisha maisha ya ndoa. Makundi hayo ni [kwanza] vijana ambao wanatayarishwa kuingia kwenye ndoa na kundi la pili ni la wazazi ambao ndoa zao zina misukasuko. Kwa hivyo Allah akujaalie uweze kupata maarifa ya kuokoa majahazi ya wanandoa ambayo yanazama hapa na pale. Na Allah akujaalie uweze kupata maarifa kamili kuhusu kuwatayarisha vijana ki akili na ki tabia na ki maongezi etc. kwa sababu ndoa nyingi huwa zinapata misukasuko ambayo inauwezo wa kusababishia kuvunjika na pengine muda mfupi baada ya kufungishwa. Na pia baadhi ya wazazi huwa wanaishi bila kufurahia maisha ya ndoa kwa sababu ya kutoelewa mambo fulani muhimu. kwa hivyo ujue utukufu wa ndoa na ujue kwamba Mtume wetu amesema, kwamba atakapofariki mwanadamu amali zake hukatika ila katika mambo matatu......Na akataja elimu yenye manufaa. Kwa hivyo je! utajua vipi kwamba ilimu unayowafundisha wanandoa ni yenye manufaa?

  • @mikidaditwaibu1071
    @mikidaditwaibu1071 7 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah, Allah akuwepesishe ktkt majambo yako kwa darsa nzuri unazozitoa !!

  • @queenmorisho1331
    @queenmorisho1331 2 ปีที่แล้ว

    100%nakubali.Yani naridhika kwa somo lako

  • @mohamedadan9379
    @mohamedadan9379 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah"ni"kweli"dadangu"mungu"akuilimishe"zaidi

  • @hamadalihamad4210
    @hamadalihamad4210 6 ปีที่แล้ว +1

    ujumbe mzuri sana

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Hamad Ali Hamad ahsante brother

  • @hassanmwachimako8131
    @hassanmwachimako8131 6 ปีที่แล้ว +2

    Naam, nakubaliana nawe kabisa Bint Juma. Mungu akupe uwezo zaidi kuelimisha ummah In Shaa Allah

    • @aliceakilimali1963
      @aliceakilimali1963 6 ปีที่แล้ว +1

      sasa dada utapatabidije nawakati shoshoteunamufanyiya unapokeya mutusikilasiku mazarau jounalipwa utaendeleyaje utachokatu dada?

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Alice Akilimali ni kweli dear lazma ucoke ila ikiwa ulijitoa kwa moyo msafi mungu atakulipia maana wema hauozi

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Hassan Mwachimako aamiyn

  • @philemonchanja9801
    @philemonchanja9801 7 ปีที่แล้ว +1

    upo vizuri sana Dada nakupenda sana! Dash unanipa hisia mpaka basis, andaa DVD,CD au kitabu

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      Nitaya fanyia kazi brother ahsante kwa advise

  • @muhammadalmasikawaya7228
    @muhammadalmasikawaya7228 7 ปีที่แล้ว +3

    We dada una akili ya watu 30 maana unaeleza mambo yenye uhalisia kabisaa,tena kwa lugha nzuri ya uungwana.
    Big up sana

  • @ramiahassani8750
    @ramiahassani8750 7 ปีที่แล้ว +6

    Qur'an 3:14 "wamepambiwa wanaume kupenda kutamani wanawake na Mali nyingi

  • @jumamkuzi1028
    @jumamkuzi1028 7 ปีที่แล้ว +2

    dada pongezi kwa mawadha
    ni mambo yanayo fanyika kwa kweli

  • @maimunaambusaidi8236
    @maimunaambusaidi8236 6 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa allah darsa zuri sana jazakallahu khairan

  • @zalkhaley9452
    @zalkhaley9452 6 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Zalkh Aley afuan mpenzi 😍

  • @khalidkassim9782
    @khalidkassim9782 7 ปีที่แล้ว +1

    Mashalaah keep advice I like your show....thanks you

  • @symohsakani
    @symohsakani 7 ปีที่แล้ว +2

    UKWELI DADA

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 ปีที่แล้ว +1

    nachukia sana wanaume wengi wananuka huko mbele na kule kuangalia angalia wanawake

  • @meshackorwa1672
    @meshackorwa1672 7 ปีที่แล้ว +2

    big up ma sister

  • @mawazomichael5806
    @mawazomichael5806 7 ปีที่แล้ว +1

    iko sawa dada,,

  • @adijaadija2335
    @adijaadija2335 7 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂dada unanichekesha eti unahema kama kapaka asant kwaushauri wabure my😚😚

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +2

      Cheka mpenzi uboreshe afya 😂😂😂😂

  • @mohammedmasoud8219
    @mohammedmasoud8219 7 ปีที่แล้ว +1

    ni kweli 100 juu ya 100

  • @charlessaid115
    @charlessaid115 7 ปีที่แล้ว +1

    Dada umelezeaa vizuri Mimi binafsi nimependa na nimejifunza things

  • @shaukatmohamed4187
    @shaukatmohamed4187 7 ปีที่แล้ว +13

    ukweli kupitia kiasi dadangu

  • @oyay2821
    @oyay2821 7 ปีที่แล้ว +1

    nnapenda Sana channel yako. keep it up

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      Ahsante

    • @salummhenne4159
      @salummhenne4159 6 ปีที่แล้ว

      Dada umenikosha

    • @salummhenne4159
      @salummhenne4159 6 ปีที่แล้ว

      Mimi nina tatizo moja kuwahi kufunga goli na kuna wakati nachelewa kufunga goli. Hii ina sababishwa na nini? namba yangu ya simu ni +96892719786

  • @alishaffi7715
    @alishaffi7715 7 ปีที่แล้ว +2

    yaani unatusaidia sana Dada

  • @perfectlema8390
    @perfectlema8390 7 ปีที่แล้ว +1

    waambie hao dada FARIda hawajui tutu heddo dada

  • @alsam4881
    @alsam4881 7 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli kabisa nimeshayaona hayo baadhi ya wanaume hawabebeki.

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +2

      Tutajitahidi kua beba hivyohivyo kwa nguvu za Allah watabebeka.

    • @emanuelpaskali8341
      @emanuelpaskali8341 6 ปีที่แล้ว

      Alsam hi

  • @omarisaid1315
    @omarisaid1315 6 ปีที่แล้ว +1

    Uko juu sister....

  • @alialbusaidi9130
    @alialbusaidi9130 7 ปีที่แล้ว +4

    Ata usiseme Dada wng namfanyia kila kitu TN anajisifu hajapata mke kama mm lkn chakushangaza anatongoza HD shoga zangu lakini talaka hataki kunipa hahaha chezea wanaume we ukiona kakukimbia usifikirie huyawezi no hiyo no tabia ya MTU km Malaya Malaya tu hata umrambe nyao

    • @prospermushi7772
      @prospermushi7772 7 ปีที่แล้ว +1

      Unajua sana unachokisema Farida. Hongera na endelea kutoa shule kwa wote. Mungu akutie nguvu na hekima zaidi. keep it up i like your talks.

    • @sarahmndewa4742
      @sarahmndewa4742 7 ปีที่แล้ว +1

      Prosper Mushi

    • @kassimakida3791
      @kassimakida3791 7 ปีที่แล้ว +1

      dd upo vzr ila waambiye wafike pande za tanga watafurahi

    • @dr.juliuss.nyasongo7867
      @dr.juliuss.nyasongo7867 7 ปีที่แล้ว +1

      Sikuwahi kusikiliza Mada zako, nimezisikiliza leo aaaaa fantastic. Wish u the best

    • @omarsalim9879
      @omarsalim9879 7 ปีที่แล้ว +1

      Kama si muugwana ni mwizi wa fadhizila.

  • @missagatha1756
    @missagatha1756 7 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaa unahema km kapaka uwiiii mbavu zangu mie

  • @exaudkiduko2131
    @exaudkiduko2131 7 ปีที่แล้ว +1

    asante dada lakini maumivu ninayoyapata kwenye ndoa yangu mungu ndo anajua!!!!! tendo la ndoa tu kama sijaanza Mimi kuomba hata tukae mwaka hawezi kuniambia ananihitaji dada

  • @nyarungesila4414
    @nyarungesila4414 7 ปีที่แล้ว +3

    Jina yangu sila mimi ni Congolese naishi USA ,I'm christian ila nakupenda sana dada unamashauri ma zuri ,naona unaongea francais sana uko mcongomani ao ?

  • @sheilaumuhoza6378
    @sheilaumuhoza6378 7 ปีที่แล้ว +4

    hahahahah, wifi uko juuu

  • @chachayusuph2946
    @chachayusuph2946 7 ปีที่แล้ว +2

    nimemkubali somo lake nim3kuwa fundi

  • @rashidmkoga8779
    @rashidmkoga8779 6 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo watu hawapendi kusoma na ndugu zetu wakristo hawana mafunzo haya nunueni vitabu vyandoa vya kiislamu mtayakuta haya Dada Farida zawadi kubwa andika vitabu itakua sadaka watu waelewe kwa upana hongera kwa kujifunza haya maana bila kuyasoma usingeeleza kiufasaha

  • @ashaally.hahahaha1249
    @ashaally.hahahaha1249 6 ปีที่แล้ว +1

    yaani Dada ukovizuri

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Asha Ally. hahahaha ahsante dear😍😍

  • @tizosaid3962
    @tizosaid3962 7 ปีที่แล้ว +1

    uko vizuri dada

  • @bifatu9459
    @bifatu9459 6 ปีที่แล้ว +1

    Je na kama mume yuko na Sukari ..round yake moja na hata dakika 10 amalizi kisha akakuolea mke mwengine je ni sawa

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Bi Fatu hatoweza kua tendea haki ....hapo mume hua anahangaishwa na tamaa tu maana mke mmoja hamtoshelezi hajazake wawili itakuaje🤔

    • @bifatu9459
      @bifatu9459 6 ปีที่แล้ว

      Hapo umenena dada yani wemwenyewe ushibi wala utosheki kila upangiwe ratiba

    • @robsonmwongi895
      @robsonmwongi895 6 ปีที่แล้ว

      Bi Fatu njoo kwangu

  • @tausishabani7659
    @tausishabani7659 7 ปีที่แล้ว +1

    Kweli dada yang unaweza ukawa muaminfu ukampenda asilimia 100 ukamskizila kila anachokuamlisha pia anachokitaka kwako ukampatia lakini akaja kukufanyia kitu ambacho utakuja kukisahau maisha mwako utakua mtu wa kulia muda wote na yeye wala hajali

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +4

      Kila mwanamke anamsukosuko wake kwenyenye ndoa Allah atupe ujasiri wa kupambana nazo

  • @noelarhobininestide5190
    @noelarhobininestide5190 7 ปีที่แล้ว +1

    very true yan.........

  • @erasmusemmanuel8835
    @erasmusemmanuel8835 7 ปีที่แล้ว +1

    kwaiyo dada nifanyeje

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      mwanamke ukicheza nae kwa muda kabla ya kujamiana inasaidia sana

  • @Phonce-ei2pn
    @Phonce-ei2pn 7 ปีที่แล้ว +1

    yaani ww msaidie dada naomi andwer aseme kama wewe bila kusema matusi kbsaa

  • @hamidakassim4
    @hamidakassim4 5 ปีที่แล้ว +1

    hapo ndipo sis😆

  • @wazirichisunga7187
    @wazirichisunga7187 7 ปีที่แล้ว +1

    weli dada

  • @salminbaleche2173
    @salminbaleche2173 7 ปีที่แล้ว +1

    We dada utanifanya nikuoe wewe maana unanikosha sana

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      wapi brother nimeisha olewa

    • @salminbaleche2173
      @salminbaleche2173 7 ปีที่แล้ว

      Maashaa allah kwakweli lau kama wanawake wote watayafanya hayo uyasemayo kwa ikhlas basi sidhani kama wanaume tungetoka nje.Allaha akupe umri mrefu ili tupate faida zaidi na zaidi.

  • @angelangel4119
    @angelangel4119 7 ปีที่แล้ว +2

    na je kama yeye anashiba na round moja na Mimi sijatosheka

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      apo lazma kutakuepo na tatizo mana atakua amekuaca njia panda

    • @angelangel4119
      @angelangel4119 7 ปีที่แล้ว

      big farida mie alinikuta msichana Mdogo yeye ndo wa kwanza kwaiyo nikimwambia vipi tena anasema kwamba mpaka akae nusu SAA ndo aje tena lakini mpaka hio nusu SAA ifike ameshalala na mie nishalala kila Siku ndo ivo toka aniowe mwanzoni nilikua sijui ila sai nafahamu

    • @mohamedmariano5699
      @mohamedmariano5699 6 ปีที่แล้ว

      Angel Angel hi

    • @mohamedmariano5699
      @mohamedmariano5699 6 ปีที่แล้ว

      Angel Angel .Angel nitafute 0717 586095 nikuridhishe mamy

  • @laythatoman3945
    @laythatoman3945 7 ปีที่แล้ว +1

    Tutazisopsop mpaka zitanga'gara upya asante mamiy

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaa mpenzi ziwe mpya kama zimefungwa jana

  • @anthonykimbwene7503
    @anthonykimbwene7503 7 ปีที่แล้ว +4

    Mke wangu nampenda sana lkn anamaneno sana kwahiyo nikifika home anaanza na swali la kizushi baadae ananiumiza nakosa furaha nalala kwa taabu sana wakati mwingine natamani hata kuachana nae hata furaha ya mapenzi hakuna tena ananijibu vibaya hata hajari kama anamjibu nani unanisaidiaje dadaangu ninayo mengi lkn siwezi kuandika hapa

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      Pole sana brother

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      Ukiwa utaweza niandikie inbox brother

    • @anthonykimbwene7503
      @anthonykimbwene7503 7 ปีที่แล้ว +1

      Dada Inbox nakupataje kwa njia ya facebook au ipi? Maana nimekutafuta facebook sijakupata

    • @angelangel4119
      @angelangel4119 7 ปีที่แล้ว +1

      anthony kimbwene hunatofauti na mie

    • @tammysalum5475
      @tammysalum5475 5 ปีที่แล้ว

      anthony kimbwene pole sana kaka lakn mie nkwambie ukwel ,Fanya maombi kwa ajili ya mkeo,kuamin nguvu za gza lakn zipo,c kila mtu anafurahia mke na mume wawe na mahusiano mazuri,wanawake wengi wanafanyiwa mambo ya kmazingara wawe hivyo ili mwanaume amwache,nakuomba take time to think nachokwambia na uwanze kusali pamoja na mkeo ,Mungu atawajibu,mitabia mingne ni ya kutupiwa

  • @munahasanimunahasani7419
    @munahasanimunahasani7419 7 ปีที่แล้ว +1

    Sijui upowp nikufuate

  • @abubakarimwasumilwe7293
    @abubakarimwasumilwe7293 7 ปีที่แล้ว +3

    swadakta....

    • @arsenenkurunziza8962
      @arsenenkurunziza8962 7 ปีที่แล้ว +2

      yaani I wish make wangu angejuwa kiswahili akuskilize .100/100 true

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +5

      Oooh anaongea lugha gani

  • @erasmusemmanuel8835
    @erasmusemmanuel8835 7 ปีที่แล้ว +1

    dada kiukweli mimi mupenz wangu ananidanganya amefika kileleni kumbe bado kwa sababu

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      baadhi ya wanawake hua wanaongopa eti wame fika ila kiukweli hua wamecoka

  • @msskandi3316
    @msskandi3316 7 ปีที่แล้ว +1

    hakika dada

  • @raziajolie4057
    @raziajolie4057 7 ปีที่แล้ว +1

    Thx my sister

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 7 ปีที่แล้ว +1

    kweli mama yangu

  • @biubwaomarkhamis722
    @biubwaomarkhamis722 7 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mm naomba unipatie namba yako naitwa biubwa natokea Zanzibar please

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      Niandikie on bigfarida2000@yahoo.fr

  • @ruqsaynahussein9559
    @ruqsaynahussein9559 6 ปีที่แล้ว +1

    nini hatima ya mwanume mbahili..na unataikiwa uishi nae vp?

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Ruqsayna Hussein mume mbahili akieka pesa mahali chukua zinato kutosha kwa matumizi

    • @ruqsaynahussein9559
      @ruqsaynahussein9559 6 ปีที่แล้ว +1

      Da farida si anaweza akakupiga mpaka ukajuta.....hahaha mi naomba uizungumzie hiyo mada...unakuta mwanaume uwezo anao anafanya kazi pesa ipo lakini ukichukuwa hata 10000 ama 5000 uatazuka ungomvi mkubwa na ukimuomba ndio akupi kabisa na unakuta ni mama wanyumbani na hataki ufanye biashara yoyote kifuupi usijishukulishe..unaishi naye vipi?na unakuta nawe unawadogo zako ambayo wanaitaji some time masaada lakini una uwezo na wanonaona umeolewa kenye maisha mazuri unatakiwa uishi naye vp? Ila kwenye mambo ya shuhuli mchango mkubwa yeyoyote no 1....pls da farida lizungumzie hili sawala....

  • @biubwaomarkhamis722
    @biubwaomarkhamis722 7 ปีที่แล้ว +1

    Nataka iikutafute WhatsApp

  • @erasmusemmanuel8835
    @erasmusemmanuel8835 7 ปีที่แล้ว +1

    dada kama nikucheza tunachez san

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      unaeza kua unamchezea ila haumlevyi jaribu kumchezea mpaka unamuona kalewa hajiwezi huenda italeta mafanikio

  • @erasmusemmanuel8835
    @erasmusemmanuel8835 7 ปีที่แล้ว +1

    naomba namba zako tuchat watsupp unielimishe vizul

  • @tizosaid3962
    @tizosaid3962 7 ปีที่แล้ว +1

    kama umemeza chura.

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      Ahsante brother

    • @p.kasongot979
      @p.kasongot979 6 ปีที่แล้ว

      Tizo Said mchezi kweli wewe ulitaka azungumze vipi jiangalie sana

  • @neemaalbetine4981
    @neemaalbetine4981 6 ปีที่แล้ว +1

    .

  • @biubwaomarkhamis722
    @biubwaomarkhamis722 7 ปีที่แล้ว +1

    Au nitumie hiyo namba yako kwenye Facebook messenger biubwa Omar

  • @imfuranzizaaboubakar7651
    @imfuranzizaaboubakar7651 7 ปีที่แล้ว +1

    huhuhu na francais unaelea ni vizuli

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      imfuranziza aboubakar najitahidi 😂😂😂

  • @raziajolie4057
    @raziajolie4057 7 ปีที่แล้ว +2

    Nitumiye whtsp yako pls

  • @tausishabani7659
    @tausishabani7659 7 ปีที่แล้ว +2

    Kweli dada yang unaweza ukawa muaminfu ukampenda asilimia 100 ukamskizila kila anachokuamlisha pia anachokitaka kwako ukampatia lakini akaja kukufanyia kitu ambacho utakuja kukisahau maisha mwako utakua mtu wa kulia muda wote na yeye wala hajali

    • @mosesnyirenda6359
      @mosesnyirenda6359 7 ปีที่แล้ว

      Tausi Shabani

    • @mahamuduharuna6889
      @mahamuduharuna6889 7 ปีที่แล้ว

      Tausi Shabani Tausi tunavulia sana ila wanawake siyo yaaani ni hatari

    • @mahamuduharuna6889
      @mahamuduharuna6889 7 ปีที่แล้ว +1

      Tausi tunavumilia sana tena sana ila nyinyi wanawake hata kidogo

    • @HalimaHalima-me9ik
      @HalimaHalima-me9ik 7 ปีที่แล้ว

      Mahamudu Haruna Asannte dadaangu jamani wake kwawaume yafafanyie kazi mafundisho haya.walah utajisiki wakati wote

  • @shaukatmohamed4187
    @shaukatmohamed4187 7 ปีที่แล้ว +4

    ukweli kupitia kiasi dadangu

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +2

      Ahsante brother

    • @ais-lx3ub
      @ais-lx3ub 7 ปีที่แล้ว +1

      dada mume unamuweka vizuri kitu gani anachokitaka unampatia lakini mwisho wa. siku anakuwacha wanaume hataumpede vipi hata umpe mkundu lakini mwisho wasiku anakuwacha