MWANAMKE USIOGOPE KUMFANYIA MA UTUNDU MUMEO ATI ATAKUONA KAHABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 179

  • @AlexandrePame
    @AlexandrePame 8 หลายเดือนก่อน

    Siamini kama ungali mupya kwaivi vipindi ju unawazi mbali tena tafauti na wenziyo wa mbete, unajitahidi,saaaana,asante,na karibu tena

  • @FaridahNdomba-b4z
    @FaridahNdomba-b4z หลายเดือนก่อน

    Naitwa farida pia nimekupenda

  • @genevivermambo4000
    @genevivermambo4000 6 ปีที่แล้ว +1

    nakupenda mpnz unafundsha vzur

  • @nyembomajid1262
    @nyembomajid1262 7 หลายเดือนก่อน

    dada mke wangu anahizo tabia akiwa nyumbani yeye na Dera dare tokea asubui mpaka jioni nime nunua skati fupi ili akiwa nyumbani alivae hafanye hivo nime nunua Taity akiwa nyumbani alivae hafanye hivo wanawake kama hawa akiachwa vibaraza kila sehemu oooh wanaume hawariziki oooh waume ni wale wale ooooh wanaume siwambendi kumbe mwenyewe aliweka kitumbua mchanga

  • @KhadijaltvKhadija
    @KhadijaltvKhadija 6 ปีที่แล้ว +2

    Nimeupenda Sana. Unapatikana, wapi nije kupata mafunzo, nakalibiakuolewa

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Khadija ltv22. 6.2017 Khadija oooh sorry dear muda wa kutoa mafunzo zaidi na aya madogo ya youtube siwez kuupata kabisaaa ..nivyema upate mtu aliopo karibu n unapo ishi na atakae kua na muda wa kutosha samahani mpenzi

  • @faridaafrica634
    @faridaafrica634 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo sawa

  • @aminaosman1490
    @aminaosman1490 6 ปีที่แล้ว +3

    Ma shaa Allah dada..mafundo yako ni beautiful

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      amina osman ahsante mpenzi 😍

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 6 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahaaaaaaa,ma mkwe kumbe umemkosesha uhondo mwanangu. Nitakutafuta uwe somo wa mke mwenzio🤣🤣

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      tuma hamza weee weee aca mpenzi 😂😂😂😂😂

  • @lusungumligo5720
    @lusungumligo5720 3 ปีที่แล้ว

    Nimependa

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 2 ปีที่แล้ว

    Asante dada Farida. Mimi ni Mkristu nasikiliza channel yako kwasababu pamoja na kutufundisha mambo ya chumbani maneno yako hayaondoi utakatifu/udhu yangu. Sijiskii nasikiliza kitu kichafu, endelea kutufundisha dada angu mimi nahitaji kukumbushwa. Ebu tuambie dada Faida za Shanga kiunoni.

  • @hamidaalhabsi5114
    @hamidaalhabsi5114 6 ปีที่แล้ว +3

    asalam aleiku bint juma hongera sana kwa kutuelimisha sisi wanawake

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Hamida Alhabsi alaikumsalam warahmatullah wabarakatuh dear nawa shkuruni pia

    • @asheryshange9930
      @asheryshange9930 6 ปีที่แล้ว

      Hamida Alhabsi

  • @akinyisusan8049
    @akinyisusan8049 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana nimejifunza mengi

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Akinyi Susan great mpenzi😍😍😍

  • @jamilayusufahmed2529
    @jamilayusufahmed2529 6 ปีที่แล้ว +4

    Ma sha Allah mada nzuri sana

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Jamila Yusuf Ahmed Ahsante mpenzi 😍

  • @sanchopasha9256
    @sanchopasha9256 6 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru Dada angu.. Nakupa kidole gumba

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Sancho Pasha 😂😂😂😂😂😂hujatulia wewe kijana

  • @salehelmazrouy9089
    @salehelmazrouy9089 6 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante my dear kwa ujumbe

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Saleh Elmazrouy afuan mpenzi

  • @rukiaomary2385
    @rukiaomary2385 6 ปีที่แล้ว +1

    jazakalau khaira ukhty wanaume huwa hawaridhiki tunajitahidi saana kufanya hayo mautundu lkn unaemfanyia hajali ila somo lako linakamata kiukweli

  • @Suumerlinfifo1
    @Suumerlinfifo1 6 ปีที่แล้ว +2

    💞😘😘😘😘I miss youuuuuu Darling😰😰

  • @salimnguja7139
    @salimnguja7139 6 ปีที่แล้ว +1

    Jazaka llaahu khayra Ukhtiy.

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว

    Kweli maneno mazuri

    • @shanialfan5215
      @shanialfan5215 6 ปีที่แล้ว

      asante dada kwa somo nzur

    • @rehemachedi9546
      @rehemachedi9546 6 ปีที่แล้ว

      Habari iako Sistre biti juma nimekusalimiya sana too ILove you

  • @evaristelundula8343
    @evaristelundula8343 6 ปีที่แล้ว +1

    Madam,
    Thanks alot for this. Unacho Kipindi kwa TV gani? Hii TV si moja ya zile Chanals zinazo pitihwa na CANAL+ ? kama ndivyo, kwa nambari gani? Kuna uwezekano uwa saidie wake wetu kwa matendo (e.g practical please...) Kama unazo CD, mbali na Youtub, tuzipate_je...!
    Hongera sana mama. Ni mimi Kutoka DRC/North Kivu.

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Evariste LUNDULA apana kaka izi video zina patikana only on youtube

  • @raymondotiende9229
    @raymondotiende9229 6 ปีที่แล้ว

    habari yako dada shukurni

  • @eddahchepkorir7831
    @eddahchepkorir7831 6 ปีที่แล้ว

    Lovely!!!!! informative videos!!!

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว

    Kuwatengua udhu vooo😂😂

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 4 ปีที่แล้ว

      Umenkosesha uhondo Faiza hauja nijuza my

  • @cendrillonnam4549
    @cendrillonnam4549 6 ปีที่แล้ว +2

    Big up sis I just love uuu more

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      cendrillon Nam Ahsante mpenzi 😍

  • @ramiali4381
    @ramiali4381 2 ปีที่แล้ว

    Love

  • @mgenizulla3421
    @mgenizulla3421 4 ปีที่แล้ว

    Wasema kweli dada

  • @hanunarashid4677
    @hanunarashid4677 6 ปีที่แล้ว +4

    Asante habibty.
    💃🧚‍♂️

  • @AlexandrePame
    @AlexandrePame 8 หลายเดือนก่อน

    Unawanza vitamu zaidi ya wenzako wote

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 6 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah 😘

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 6 ปีที่แล้ว +1

    Mpenzi. Naomba unionyeche dawa ya chuvi. Una tumia vipi.

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 3 ปีที่แล้ว

    Nifunde somo

  • @azzairakoze180
    @azzairakoze180 6 ปีที่แล้ว +1

    nice my dear

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Azza Irakoze thanks sweetheart wamie

  • @ashurasaidi3038
    @ashurasaidi3038 6 ปีที่แล้ว +6

    dear mi nakaribia kuolewa na sijawahi kukutana na mwanaum na sijui chochot kuhus mwanaum ningependa uwe somo wang na sijajua unapatikan wap mim nip dar es salam

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Ashura Saidi Ahsante mpenzi kwa kupendelea kupata mafunzo ya ndoa kwangu ...mimi mtazamo wangu nivyema dear umpate somo alie karibu nawewe ili akufunze mengi zaidi...

    • @aishadaniella2548
      @aishadaniella2548 6 ปีที่แล้ว

      big farida nahitaji pia bt nko far maybe tunaeza wasiliana kwa simu

    • @jacksonjj1362
      @jacksonjj1362 6 ปีที่แล้ว

      Ashura Saidi njoo tuoane plz

    • @ramadhanikiluwa5249
      @ramadhanikiluwa5249 5 ปีที่แล้ว

      ashura saidi
      utaka mume

    • @aishaabdj8913
      @aishaabdj8913 5 ปีที่แล้ว

      Ahsnte

  • @wacmber2131
    @wacmber2131 6 ปีที่แล้ว +1

    Mi cjui kukatika marinda habbty nani atanifunza jamani😂😂😂😂

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      cmber mtoto pole dear apa apa youtube wanafunza kukata viuno mpenzi

    • @Suumerlinfifo1
      @Suumerlinfifo1 6 ปีที่แล้ว +1

      big farida wapi huko mpenzi?

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +2

      Didaz Nureisa apaapa youtub andika "kukata kiuno"zitakuja video kibao utacagua uipendayo

    • @Suumerlinfifo1
      @Suumerlinfifo1 6 ปีที่แล้ว +1

      big farida okey shukran Darling wangu,nitaangalia kwa umakini.alafu pia sio wanaume wote wanapeana fursa mabibi zao kuwakatishikia kiuno wengine hata hamnazo,tutajitaidi.

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Didaz Nureisa 🤣🤣🤣jitahidini wapenzi

  • @bigboy8508
    @bigboy8508 6 ปีที่แล้ว +1

    Ni sawa kumgusa mke wangu kwa sehemu za kati kati ya makalio?

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Tony Rbinson kugusa tu ila usiingie huko 😂😂😂

    • @bigboy8508
      @bigboy8508 6 ปีที่แล้ว +2

      @@bigfarida6992 okay leo usiku nitamgusa nione kama atapenda. But mara nyingi nikipeleka mkono karibu na hapo anaguna kwa utamu. Leo namgusa

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Tony Rbinson 😂😂😂😂😂

    • @emmanuelpaul24
      @emmanuelpaul24 4 ปีที่แล้ว

      @@bigfarida6992 Una mambo ww jmn haaaahaaaa

  • @rashidmkoga8779
    @rashidmkoga8779 6 ปีที่แล้ว +3

    Nice dada

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Rashid Mkoga Ahsante brother wamie

  • @maysaomar4242
    @maysaomar4242 6 ปีที่แล้ว +3

    anasema mm nimekuwa stress kwake Jambo lolote atakalo kufinya hata hanishuqulishi ...ss juzi nilimpigia simu na kuniambia anitumie pesa 2000 nilikuwa anataka kumtumia mungu haskii vizuri hakuna jibu...kila ninapo mpigia simu hashiki mwishoe akanizimia simu kabisaa....alikuwa yuko safarii...alipo rudi Jana Leo nikamuuliza ameniambia Hana pesa ya kunipa. Na Leo hii amenunua simu mpya namuuliza na hio simu ni ya. nani? amenijibu kwa istihzai na kucheka ni yangu nimeinunua kwa pesa yangu hio haikuhusu amenijibu hivyo ameniambia kama unaona umechoka na mm basi kila mmoja ashiki njia yake

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Maysa Omar pole sana dear kwa mtihani ulo kukuta uyo ata kua kweli mapenzi yake kwako yamekwisha kwenye mapenzi mume haez kukufanyia ivyo dear

    • @mamysaadkhamees4713
      @mamysaadkhamees4713 6 ปีที่แล้ว +2

      kwa ivyo maysa omar kwa muangalio wng huyo mume hana haja na ww mpaka amefikia hatua ya kukwambia kila mmoja ashike njia yke wallah cjui lkn kama hujamzalia bc subiri kwanza uzidi kumuangalia kama atabadilika na ujaribu sana kutomuuliza maswali ambayo hayana msingi na kama huna kazi ambayo yakupatia mapato bc jaribu kutafuta hata biashara ndogo ambayo utajimudu mambo yko madogo madogo bila kumuomba yy na zaidi fanya kama alivyotueleza ukhty farida jifanye changu doa kwa mumeo mvalie viguo vya kumsisimua ama pia mkalie na kanga moja ya mchina bila chupi ndani na mazungumzo yke jitahidi yawe ya mapenzi bila maswali mengi au kumuomba hela kila mara.jaribu kufanya hivyo in sha Allah utaona mabadiliko ata kwa mfano ukimuona hakuangalii au hajali unachofanya ww usichoke endela muonyeshe uso wa furaha japo moyoni unaumia huenda akabadilika na kila ukiswali usiache kumuomba Allah ambadilishe amjalia mume bora si bora mume.

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +2

      Mamy Saad Khamees pole sana dear kwa mtihani ulo upitia kusema kweli kuna wakati unagangania ndoa ila ikawa haina kheri nawewe at all

    • @maysaomar4242
      @maysaomar4242 6 ปีที่แล้ว +1

      Mamy Saad Khamees inshaAllah hbbty nitajaribu namna zote nifanyikiwe coz nampenda Sana mume wangu sijui iblisi yupi kamuingia.. shukrani Sana kwa ushauri

    • @mamysaadkhamees4713
      @mamysaadkhamees4713 6 ปีที่แล้ว +1

      big farida Shukran uhkty mara nyengine sisi wanawake tunapenda mtu ambae hapendeki nandio tunangangania lkn unapopiga moyo konde na kusema enough is enough bc mwenyeximngu ukufungulia penye kheri zaidi na ukamove forward na maisha yake yakawa mazuri sana.nitakufata in box nikupe historia yng kwa ufupi ambapo hapa siwezi kukueleza unaweza pata mawili matatu yakuwafundisha wanawake tusiwe na subra sana kupita kiasi.

  • @maysaomar4242
    @maysaomar4242 6 ปีที่แล้ว +7

    shukran kwa funzo....Na naomba unipe mawaida kuhusu hili swali langu....mm mume wangu tumeowana ss tuna miezi 5 na ameanza kunifanyia madharau kwa kutonijali nikimpigia simu hushiki nikimtumia sms hanirply sijui mwenzio nifanye nn, hata akitoka usubuhi haniagi tena mm namwekea kiamsha kinywa chake akishakula yuwatoka nikama siko hata kwaheri ,na akija hata salamu hanipi yuwanipita thu ni kama siko.....hata nikimwomba kitu hanitimizi nishauri mwenzio......nikianza kumwongelesha na kumuuliza anaanza ugonvi na kuniambia kwenu sio mbali nitakuregesha usinistress hata sijui nifanye nn akija yy na laptop yake hata haniongeleshi nishauri hbbty....hata ikiezekana naomba number yako tafadhal

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 6 ปีที่แล้ว +1

      Jibu je amekuowa kwa Sharia sawa sawa?

    • @maysaomar4242
      @maysaomar4242 6 ปีที่แล้ว +1

      tafadhali nijibu haraka iwezikanavyo kwa maana ndoa yngu itavunjika na mm sitaki hivyo hata sahii tumetoka kugombana mie mwenzio nahuzubika

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 6 ปีที่แล้ว +3

      ikiwa amekuowa kwa sharia sawa sawa una haki ya kuongea nayeye kuhusu jambo hilo. Na unaweza ukamwambia unataka kuongea na yeye. Akikubali mueleze kwamba katika ndoa una haki zako kama vile kuongeleshwa, kusikizwa, na hata kuhudumiwa. Na wewe pia una jukumu kama hilo kwake. [ mkumbushe kwamba ni ] Haki ambazo usipotekelezewa na hali ya kuwa wewe ni Muislamu na umeolewa unaruhusa ya kuzidai kwake. Na ikiwa utadhulumiwa una uwezo wa kumuomba Allah dua ya Madhluum. Je unaijua dua ya Madhluum? Lakini ikiwa unajuwa kwamba kuna makosa umemtendea jaribu upeleleze kutokana na maneno yake mwenyewe. Mwambie akwambie ukweli. Na ukijuwa umekosea kuwa tayari kujirejekebisha. Na yeye akiwa ndiye anayekosea kama kwa kukuadhibu kwa ukimya na kutoa vitisho ukiwa na hikma unaweza kumwambia hivyo si vizuri na ni vyema ajirekebishe. Lakini tafuta makosa yalipo kwanza.

    • @maysaomar4242
      @maysaomar4242 6 ปีที่แล้ว +2

      Saleh Kyambo nijibu mwenzio😭😭😭😭😭 naumia mie.....sahii Nina mwezi hakunipa haki yangu kwake sijui amepata mwengine coz akitumia laptop yuniziba .simu anaingia nayo mpaka sebuleni haachi kabisaa simu yake ....ananionyesha madharau Sanaa..Na .amebadilika kabisaa mwamzo tangu atoke safari yake sijui ni nn mbaya nimechanganyikiwa

    • @maysaomar4242
      @maysaomar4242 6 ปีที่แล้ว +1

      Naomba hio Duas nitumie

  • @fatmasalehimaam2796
    @fatmasalehimaam2796 6 ปีที่แล้ว

    Tata Farida vous êtes la meilleure

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 6 ปีที่แล้ว

    ili akutie kila wakati 😁😁😁

  • @cherutanyksa1507
    @cherutanyksa1507 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaa allah

  • @Suumerlinfifo1
    @Suumerlinfifo1 6 ปีที่แล้ว +1

    Mpenzi je twaeza kuzungumza wapi mbali na TH-cam personally?

    • @Suumerlinfifo1
      @Suumerlinfifo1 6 ปีที่แล้ว +1

      big farida shukran sana Habibty

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Didaz Nureisa afuan mpenzi

  • @mapambanotv19
    @mapambanotv19 2 ปีที่แล้ว

    Mbina Dada hutoi video mpya tstizo nn

  • @hasanjamal8064
    @hasanjamal8064 6 ปีที่แล้ว +1

    Kuna maada nataka nikupe ishallah nitafute dada masalam

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      hasan jamal mie uyu kaka hasan lete habari

  • @hawambunda7230
    @hawambunda7230 6 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah!

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 6 ปีที่แล้ว +4

    Jazzakallah khairan yaa Ukhty

    • @OfficialJouma
      @OfficialJouma 6 ปีที่แล้ว +1

      Salma Saidi somo zuri sana mashallah

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Salma Saidi kwetu sote mpenzi

  • @mariyammanirakiza2154
    @mariyammanirakiza2154 6 ปีที่แล้ว +1

    Shukran saana mpenzi

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Mariyam Manirakiza afuan dear

  • @taabohosain3849
    @taabohosain3849 6 ปีที่แล้ว +1

    Shukran ukhuty😍😘😘😘😘

  • @aisharashed2298
    @aisharashed2298 6 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani habbty 😘😘😘

    • @OfficialJouma
      @OfficialJouma 6 ปีที่แล้ว +2

      Aisha Rashed somo zuri sana hili,inabidi mjifunze

    • @aisharashed2298
      @aisharashed2298 6 ปีที่แล้ว +1

      Yani napenda sana masomo ya dada huyu habbty farida

    • @aisharashed2298
      @aisharashed2298 6 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli habbty inabid tuwe tunajifunza

    • @OfficialJouma
      @OfficialJouma 6 ปีที่แล้ว +1

      Aisha Rashed naomba namba yko ya wats ap aysha kama hautajali

    • @aisharashed2298
      @aisharashed2298 6 ปีที่แล้ว +2

      Namb iyo +968 94643399

  • @mohamedsurur2726
    @mohamedsurur2726 6 ปีที่แล้ว +1

    Sadakta

  • @subilasultan5992
    @subilasultan5992 6 ปีที่แล้ว +1

    Mim mama nataka nije kujiunga na wewe mama

  • @entertainmentplace3460
    @entertainmentplace3460 6 ปีที่แล้ว +4

    Dada wait nkwambie kuna waume wengine wanapenda sana kujudge

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Rhoda silas wapo mpenzi kawaida ukitaka kumfanyia mume mambo mapya lazma umuandae ķima zungumzo laa sivo lazma akudjaji

    • @entertainmentplace3460
      @entertainmentplace3460 6 ปีที่แล้ว +3

      big farida asante be farida asante hila nashukuru sana nko free sana na mme wangu so mm hukua mtundu sana kwa kweli ukiwa mtundu na mme wako huwa hawezi kukuacha iyo ndo siri kubwa ya chumbani

  • @Suumerlinfifo1
    @Suumerlinfifo1 6 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Didaz Nureisa aww hi beauty mpenzi najua umenikosa watsapp mwanao sim yangu aliiroweka kwenye maji mwenzio Sina sim😂😂😂😂😂nikinunua nyengine nitakujuza😂😂😂😂nimekumiss ajabu

    • @Suumerlinfifo1
      @Suumerlinfifo1 6 ปีที่แล้ว

      big farida jamani Mummy😭😭😭 pole sana hata nilikua na wasiwasi...pole sana ..Inasikitisha na inachekesha😂😂 Pole Mpenzi wangu...jamani watoto😂😂😂

    • @Suumerlinfifo1
      @Suumerlinfifo1 6 ปีที่แล้ว

      I miss you soo Muchhhhh💖💖💖💖😘😘😘😘😘😘💞💞💞💞💞💞💞 ,Nakusubiria Love

  • @jameelamct6514
    @jameelamct6514 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha asante dada

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Jameela Mct afuan mpenzi 😍

  • @Suumerlinfifo1
    @Suumerlinfifo1 6 ปีที่แล้ว +1

    💖💖💖💖💖💖💖 I love you

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Didaz Nureisa love you too mpenzi 😗😗😗

    • @Suumerlinfifo1
      @Suumerlinfifo1 6 ปีที่แล้ว +1

      big farida shukran My Mamaaaa💓

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Didaz Nureisa afuan mpenzi wa mie😗😗😗😗

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 6 ปีที่แล้ว

    ila mnaniudhi kt kimoja, kwa nn mnaongelea wanawake t ko cc hatuna uhitaji wa wanaume kuvaa boxe t mnapngelea wanawake t mfyuuuuuuuuu mbadirike ata wanawake wanaviitaji hvo vt

    • @sadih5333
      @sadih5333 6 ปีที่แล้ว

      Wewe hauna nyege , tumekugundua.

    • @sadih5333
      @sadih5333 6 ปีที่แล้ว

      Jesca

  • @janejehner9298
    @janejehner9298 6 ปีที่แล้ว +1

    ninapenda channel yako lakini pliz l need to taik to private l have a problem and lam giving up with life

    • @janejehner9298
      @janejehner9298 6 ปีที่แล้ว +1

      @@bigfarida6992 asante dada

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Jane Jehner u well come brother

  • @meyeedmoghela4994
    @meyeedmoghela4994 4 ปีที่แล้ว

    🔥

  • @khudhayfamaulidi2199
    @khudhayfamaulidi2199 6 ปีที่แล้ว

    dada sku hzi mbona huonekani?

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Khudhayfa Maulidi nipo brother

  • @nusralilobwa4752
    @nusralilobwa4752 6 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakallahu khery

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Nusra Lilobwa kwetu sote mpenzi

  • @annewairimu8709
    @annewairimu8709 6 ปีที่แล้ว

    Asante Sana dada

  • @maysaomar4242
    @maysaomar4242 6 ปีที่แล้ว +1

    walhi nimeongea na yy hata sijui nikuambie nn

    • @papyalonda9451
      @papyalonda9451 6 ปีที่แล้ว

      Number yako tafazali kuna yangine private kama nataka kuliza asante sana kwa vipindi vyako vina tu saidia sana

  • @maysaomar4242
    @maysaomar4242 6 ปีที่แล้ว +1

    naomba unijibu

  • @halimajuba4585
    @halimajuba4585 6 ปีที่แล้ว +2

    shukran

  • @roidatadey4599
    @roidatadey4599 6 ปีที่แล้ว +1

    Asantee sana dada

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Roida Tadey afuan mpenzi 😍

  • @muniraathman7873
    @muniraathman7873 6 ปีที่แล้ว +3

    Wengine hata uwafanyie nini hawajali

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Munira Athman hao niwa kusomewa dua Mungu awanyooshe

    • @bigboy8508
      @bigboy8508 6 ปีที่แล้ว

      Nataka tigo

  • @ashuramamaashuraaachekuvaa7798
    @ashuramamaashuraaachekuvaa7798 6 ปีที่แล้ว +1

    wanaume wengine hawana dhukraani ata umfanyie nn? atatoka tu, mi janamme yenyewe hii au mingine

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Ashura mama ashura aache kuvaa Vichy pk Hamza tenda wema nendazako dear malipo ni kwa mungu wanaume wengine waungwana wakitendewa wema wanaurudisha wengine niwezi wafadhila ata urambe nyayo ata kuliza machoz

    • @ashuramamaashuraaachekuvaa7798
      @ashuramamaashuraaachekuvaa7798 6 ปีที่แล้ว +1

      big farida mh aya nakubali tu, kishingo upande sijapata kwakwer. mwanamme kama uyo

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Ashura mama ashura aache kuvaa Vichy pk Hamza zidisha dua mpenzi kuko siku mungu atakupa mume aloendana na tabiazako in sha allah

    • @ashuramamaashuraaachekuvaa7798
      @ashuramamaashuraaachekuvaa7798 6 ปีที่แล้ว

      amiin inshallah yah rabby r alamiin

  • @christinamalima8313
    @christinamalima8313 6 ปีที่แล้ว +1

    Asanteee mamy❤

  • @shufaaa.4766
    @shufaaa.4766 6 ปีที่แล้ว +2

    yaa umrii

  • @raymondotiende9229
    @raymondotiende9229 6 ปีที่แล้ว

    habari yako dada shukurni

  • @raymondotiende9229
    @raymondotiende9229 6 ปีที่แล้ว

    habari yako dada shukurni

  • @raymondotiende9229
    @raymondotiende9229 6 ปีที่แล้ว +1

    habari yako dada shukurni

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Raymond Otiende salama alhmndulillah