MITEGO 4 mwanamke itumie ndani ya ndoa yako,,,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • This video is about My Movie 6

ความคิดเห็น • 380

  • @jeromechembe2206
    @jeromechembe2206 6 ปีที่แล้ว +7

    Yeah, usemayo ni kweli lakini kwa mtazamo wangu mbinu hizi zinafaa kwa mazingira ambayo Mwanamke amekufanyia maudhi madogomadogo. Kuna maudhi jamani kwenye maisha ya ndoa ambayo ni makubwa mno na yanakaa kihwani kiasi cha kuondoa kabisa hamu ya kulala na mwanamke huyo. Nifanyeje kukiponya KICHWA kwanza ili hamu irudi kwa mwanamke aliyekuondolea hamu kihivi? Kunamaudhi kama vile ya uwongo wa muda mrefu ambao ulikuwa hujui kama alikuwa anakudanganya kila mara kissa ukagundua, pia makosa kama ya kununua vitu pasi wewe kujua tena kwa hela amazokuibia wewe mwenyewe, ukagundua kanunua shamba au kitu kingine kama kujenga nyumba pasi kukujulisha wakati kila siku unaye na mnaongea ukdhania ni mwenzako. Binti Juma! Unapogundua mambo kama haya yawezekana kuirudisha hamu na mtu kama huyu kirahisi hivyo? Tafadhali nisaidie

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Jerome Chembe lazma uvunjike moyo kaka ....kurudisha ham kuna wezekana ikiwa mtakaa kaa cini mkaongea na kukiweka kila kitu wazi ...ikiwa atakubali makosa nakuomba radhi na ikiwa utamsameh

  • @nassralmaawali9163
    @nassralmaawali9163 6 ปีที่แล้ว +10

    Kweli we dad nakupenda buuuree coz kwanza kabisa we unafundisha vizuri mada zako zinaelimisha natunazielewa vizuri kabisa pili nakupenda kwa7 unajihrshimu kimavazi japo mada unazoziongelea nizandani vizuri Sana my sister maana kun majikungwi mengine yanajianika kama yanatangaza biashara tunashindwa kuwaelewa sijuwi wanatak waume zetu wawe wanawatamani kupitia mitandao love you so much my sister mwaaaaaa💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      nassr almaawali i love you too dear 😍😍

    • @nassralmaawali9163
      @nassralmaawali9163 6 ปีที่แล้ว +1

      big farida asante Sana kwakutupa masomo mazuri nasi tutakapoolewa. Tutakuwa tunaelimu yakutosha barikiwa Sana Amina 🙏 insha'Allah penda Sana wewe habibti🙏🙏💓💓💓🤣

    • @ayshahams7373
      @ayshahams7373 6 ปีที่แล้ว +1

      Hapo umesema dada

    • @robertgodwin3762
      @robertgodwin3762 6 ปีที่แล้ว

      nassrlalmaawali n

  • @rakhmandettu6075
    @rakhmandettu6075 6 ปีที่แล้ว +16

    Asante sana kwa mawaidha yako mazuri nmeyapenda sana, na nmejifjnza mengine mapya leo. Shukrani sana in Sha Allah, Allah akuajali uzima na umri mrefu uzidi kutufungua akili.

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Rakhma Lateef Aamiyn dear😍

    • @alafaissa8762
      @alafaissa8762 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @manderanyambali7228
      @manderanyambali7228 4 ปีที่แล้ว

      Dada nipo katika wakati mugumu sana Mimi namama hatuerewabi nomba ushauli

  • @annassuleiman4508
    @annassuleiman4508 6 ปีที่แล้ว +10

    wanaume wa siku hizi ni wajanja sana na hawana muda mwingi sana na mapenzi zaidi ya pesa. hiyo mitego wameshaichoka labda mtego wa limbwata😃😃😃😃😃😃

  • @husseinhamisi5274
    @husseinhamisi5274 ปีที่แล้ว

    Mwalimu uko vizur mistar hyo watanyoooka tuuu hw wenza wetu hyo ndio wad'aaa

  • @sophianolle4007
    @sophianolle4007 5 ปีที่แล้ว +2

    hahahaha😹😹😹😹😹 shukrani Dada maana unavosema asali lazima iliwe mm najikuta nacheka sana maan duuu

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  5 ปีที่แล้ว

      Sophia Nolle 😂😂😂😂😂👆🏾

  • @ediphabakunda8759
    @ediphabakunda8759 6 ปีที่แล้ว +59

    Hahaaaaaaa wanaume wengine hawategeki ukimwita bafuni utasikia usinisumbue hahahaaaa

  • @madamfatmamsindi2059
    @madamfatmamsindi2059 5 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah, shukran kwa darsa, Allah atakulipa Inshaa Allah

  • @annassuleiman4508
    @annassuleiman4508 6 ปีที่แล้ว +6

    maisha magumu jamani nyie acheni, mtu kichwa kimepasuka na pesa wewe unamletea mambo ya mitego, labda huyo mume awe kidogo vizuri kimshiko ndiyo atatulia kimtego..

  • @salimomarmkapa
    @salimomarmkapa 5 ปีที่แล้ว +1

    Mambo hapo yako shwari Dada. Ila yapo majitu mengine mapumbavu kabisa hayafunziki kwanza haya ya kizazi cha mtandao ya kijamii bule kabisa. Hawana hili wala lile, hanawana chochote cha unyagoni ni wakicheni party.

  • @shamilanassoro9905
    @shamilanassoro9905 5 ปีที่แล้ว

    Uko vzr pia lugha unatumia tu nzuri mtu mpaka unaelew yni ni maadili tosh, inshaalah ushi vyema dada

  • @mamyssmoe6706
    @mamyssmoe6706 5 ปีที่แล้ว +2

    Asali iliwe 2 hakuna namna😚😚😚😆😆😆😆😆

  • @FatimaAli-ln7fs
    @FatimaAli-ln7fs 5 ปีที่แล้ว

    Twashukur kwa maelezo yako mazur saaan,thanhs mummy

  • @abdulsaid4579
    @abdulsaid4579 6 ปีที่แล้ว +2

    Hmmmm....yami yami nimependa hiyo mitego yako dd yng.👍👍

  • @shadyajuma7947
    @shadyajuma7947 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah ukhty shukrn kwa mawaidha mazuri 😘😘😘😘

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Shadya Juma afuan mpenzi 😍

  • @salehelmazrouy9089
    @salehelmazrouy9089 6 ปีที่แล้ว +1

    Dada nakupenda ww ajuwae mungu kwasababu unajiheshimu sana na kufunza vzuri with out kutukana

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Saleh Elmazrouy Ahsante brother nakupenda pia kwa ajili ya Allah

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 4 ปีที่แล้ว

    Mm nasikia mwari kapelekwa kwa somo niliona akipelekwa kwa somo nsowa yake hudumu kumbe nyingi zinasokwenda kwa masomo hata hazidumu kuliko zile ambazo hazijui hata mlango wa somo nyie waongo mume ndokwanza ana michepuko mingi

  • @jeromechembe2206
    @jeromechembe2206 6 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli nakushukuru sana kwa Jumbe zako zote tangu nimeanza kuangalia Video zako. Umekuwa ukifundisha vizuri sana na ni ukweli mtupu. awaalikaga wenzangu pia wasio na Laptop tunaangalia wengi Mafundisho yako. Nilikuwa na wasiwasi kipindi umenyamaza muda mrefu nikadhani huenda Mume wako amekuzuia kuendelea na huduma hii. Mungu na akujalie kuhudumu hivi. Tafadhali nijuze email yako au hata Namba yako ya simu hapo Holland niongee na wewe. Asante sana

  • @anjelakisoka4140
    @anjelakisoka4140 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizur

  • @mamyssmoe6706
    @mamyssmoe6706 5 ปีที่แล้ว

    @bigfarida sina nenda rud kwenye haki atatowa nambaka mume wangu live alaaaaa hawez nifanyie ujinga huo atatowa 2 maana wanaume wengine hawataki mitego wao hata uvae guni utatowa 2 haloooo mada tamu hiz

  • @mayahabib4160
    @mayahabib4160 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuweke my cc inshaalah love you

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      maya habib Aamiyn thuma Aamiyn mpenzi ilove you too ooooh😍😍😍

  • @tattuu5622
    @tattuu5622 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah uko sawa kwa maelezo

  • @samdavid8583
    @samdavid8583 4 ปีที่แล้ว

    Dah yani ningepata mke wa namna hiyo mitego kila Kona Haki ya mungu ata akili ya kuchepuka usingekuwepo napenda sana ndoa yangu ila kuna mda nashindwa kuvumilia mpaka najikuta nachepuka bila kupenda asant sana dadaangu kwa yshauli na mafunzo mazur nimekupenda bule kwer hakuna mwanaume mjanja kwa mwanamke na hakuna mwanaume asiye kua na nguvu ila anakua hajakutana na na fundi mwenyewe ....

    • @musarmosony3500
      @musarmosony3500 4 ปีที่แล้ว

      Ohoo akij kusom hy comment umeish

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 6 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda Dad unajua kuelimisha👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Rozee Roz Ahsante dear 😍

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Rozee Roz nakupenda pia rozee roz 😍😍😍

  • @johnndege639
    @johnndege639 5 ปีที่แล้ว +1

    Wengine ukiwafunua ni kama vile umefungua chemba ya choo, kwaiyo hata akitumia hiyo mitego, ukikumbuka kitakachokufata ukimfunua lazma tu hamasa ipotee , ila asante kwa ushauri mzuri kwa wanamama.

  • @maryamsinganomaryamsingano7938
    @maryamsinganomaryamsingano7938 6 ปีที่แล้ว +11

    mashaallah dada mbona umepotea sana na kupenda sana japo sijaolewa lkn napata mafunzo asante

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Maryam Singano Maryam Singano nipo dear 😍😍😍

    • @suleymanmtembu
      @suleymanmtembu 6 ปีที่แล้ว

      Maryam Singano Maryam Singano duh nami natafuta mke

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว

      mahusiano na mholanzi naeza pata

    • @OfficialJouma
      @OfficialJouma 6 ปีที่แล้ว

      Maryam Singano Maryam Singano asalaamu alaykum..nije kutoa posa jamani?

  • @judymukui7171
    @judymukui7171 4 ปีที่แล้ว

    Im new here but nimekupenda bure, sijaolewa bado but im taking notes👌👌

    • @mirajintandu1510
      @mirajintandu1510 4 ปีที่แล้ว +1

      Kama kwel bac i promise u to marry

    • @judymukui7171
      @judymukui7171 4 ปีที่แล้ว

      @@mirajintandu1510🤣🤣sure im single sijui nipate wapi tutakaye pendana hadi kifo kitutenganishe

  • @aisharashed2298
    @aisharashed2298 6 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah habbty 👌👌👌nitaifanyia kaz 😘😘😘

  • @zewenazz8027
    @zewenazz8027 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah napenda sana kipidicako kizuri

  • @furahayamoyo9193
    @furahayamoyo9193 6 ปีที่แล้ว +11

    Sister Farida everything you have spoke in this video is good but the most important thing you didn't mention is COMMUNICATION.
    Communication is the number one thing that can eliminate or reduce the distance between two people. Instead of using your body every time you need your needs to be fulfilled you can talk to your partner openly and discuss about everything in a manner that you don't criticise or condemn him. Trust me communication is the way forward. Using your body will get him to bed with you but will never address the underlying problem and the behaviour might continue but talking openly to one another might be the key in solving all the problems.
    The problem with our Swahili culture is that it prevents women from talking openly about these matters and we have to find other ways of solving these problems i.e. what you have suggested. Therefore, we as women we should empower one another to have the courage to discuss any marital problems with our husbands in a constructive way In sha Allah.
    Lastly, May Allah subhanahu wa Taala grant you kheir for attempting to help others and May He instil Love, Compassionate and Understanding in everyone's marriage and grant pious husbands and wives to those who are seeking, ameen.
    Peace 🖤

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      aamiyn thuma aamiyn

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +2

      next time in sha Allah maneno yak nikweli mpenzi

    • @furahayamoyo9193
      @furahayamoyo9193 6 ปีที่แล้ว +2

      big farida In sha Allah mpenzi, na nimefurahi yakuwa hukuchukuliya vibaya. I Love You For The Sake Of Allah Subhanahu Wa Taala 🖤

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +3

      ukimuona mtu anakupa ushauri basi hua yuwakupendelea mazuri napenda watu wanao niunga fikra na kunishauri maana hakuna mjuzi wayote ila Mungu pekeake

    • @furahayamoyo9193
      @furahayamoyo9193 6 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kabisa maneno yako sis and we are all learning new things everyday. Very true mjuzi wa yote ni Allah subhanahu wa Taala. Keep up with the good work as you have so much potential to progress further in this field of work in sha Allah.
      ❤🖤❤🖤❤

  • @khloealfan7924
    @khloealfan7924 6 ปีที่แล้ว +7

    Mama asante maan wengn soon tunataka tuolewe....maan sijui ata moja...

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Khloe Alfan basi masomo ndo ayaaya dear anza kuckua kalam na karatasi😂😂😂

    • @jumakikobo8077
      @jumakikobo8077 6 ปีที่แล้ว

      Khloe Alfan mambo

  • @nuruhussein5318
    @nuruhussein5318 6 ปีที่แล้ว +3

    kaaa mume wangu yuwa ni timizia kwa kilakitu nasema alhandulilahi

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Nuru Hussein manshaallah

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 4 ปีที่แล้ว

      Muombe Sana mwenyez mungu amdumishe na tabia hyo Dada yang wanaume wa cku hz ni mthn

  • @maryamjay7252
    @maryamjay7252 6 ปีที่แล้ว +5

    Asalam aleykum madam fsante sana mpz wanifunza mengi hadi nafurahi.natarajia kuingia kwenye ndoa nitajitahid sana kuyafuata mafunzo yako hakiza inapendeza

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Maryam Jay alaikumsalam warahmatullah wabarakatuh dear

  • @annyrutty657
    @annyrutty657 6 ปีที่แล้ว +8

    Haaaa subr nkiolewa hyo mitego mme wangu itamuhusu. 😁😁

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      anny rutty 😂😂😂😂kabisaaa mpenzi

  • @mageandrew5550
    @mageandrew5550 6 ปีที่แล้ว +6

    Asante mama maana soon nitakuwa mke wa mtu mume wangu hiyo mitego itamuhusuuu!!

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Mage Andrew 😂😂😂😂

  • @kulthumsalim1886
    @kulthumsalim1886 6 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah habibty shukran kwa mafunzo mazuri.Allah akupe kila la kheir

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Kulthum Salim aamiyn dear😍

  • @athumanzahiri1392
    @athumanzahiri1392 6 ปีที่แล้ว +4

    halafu Dada farida samahani...we we no mzaliwa wa wapi ndugu yangu...maana tunapata elimu kubwa sana kutoka kwako ...Allah akuzidishie maarifa uzidi kutuelimisha.

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +2

      Athuman Zahiri Aamiyn mie ni nusu mzaram nusu mburundi

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว +1

      mzaram==mzaramo (wa dar es salam) ama?

    • @haullahhaullah4137
      @haullahhaullah4137 5 ปีที่แล้ว

      big farida nakupenda

    • @chatmariam364
      @chatmariam364 4 ปีที่แล้ว

      Mnzava Chris iiyhfrjx jours

  • @bakariabdallah3252
    @bakariabdallah3252 5 ปีที่แล้ว

    Dada upon vizuli sana maana iyo mitego yako aliye kamili alluki uyo shemeji kapata

  • @zipporahshore9418
    @zipporahshore9418 6 ปีที่แล้ว +4

    Asante dada...nakutakia kazi njema 😘😘

  • @tinagorges3741
    @tinagorges3741 6 ปีที่แล้ว +3

    Asante. Dada mpango mzima.huyo mungu akuweke dada

  • @aishaaisha1495
    @aishaaisha1495 4 ปีที่แล้ว

    Kaz kwao waliolewa wayafanyie kaz

  • @patimakhamis4469
    @patimakhamis4469 6 ปีที่แล้ว +3

    mafunzo mazuri Lakini wakaidi sisi binaadam

  • @user-yt5il4du5g
    @user-yt5il4du5g 8 หลายเดือนก่อน

    Ahsante. Sana. ✋✋🤚👋

  • @linusmalekela7430
    @linusmalekela7430 6 ปีที่แล้ว +2

    😃😃😃😃mimi siyo mbaka nitengwe mimindo namtega yeye

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      linus malekela ujumbe umefika brother

    • @linusmalekela7430
      @linusmalekela7430 6 ปีที่แล้ว +1

      Siyo vizuri unamnyima mwenzio hakiyake mpaka akutege iposiku atachoka kukutega ndo utakapo tafuta mtego umtege yeye halafu hauta uona 😂😂😂😂😂panya katoroka na mtego

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      linus malekela 😂😂😂😂😂😂kumbe

    • @marrymapunda6620
      @marrymapunda6620 6 ปีที่แล้ว

      linus malekela ahaha

  • @jamilayusufahmed2529
    @jamilayusufahmed2529 6 ปีที่แล้ว +3

    Ma shaa Allah napenda sana madaa zako zina mafunzo Mazuri sana

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Jamila Yusuf Ahmed Ahsante mpenzi 😍

  • @getrudacharles7473
    @getrudacharles7473 6 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kabisa Dada umesema.

  • @mrsseni6732
    @mrsseni6732 6 ปีที่แล้ว +4

    mitego kuntu 😂😂😂👌

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      pretty sashaa we aca tu mpenzi 😂

  • @moyowangu7729
    @moyowangu7729 5 ปีที่แล้ว

    Mwanaume atabakia kuwa mwanaume huezi mtega wala nini Kama wakutulia na wewe atatulia tu lakini ikiwa ni mchepuko ni sawa na kumpigia mbuzi gita

  • @shebyboy7517
    @shebyboy7517 5 ปีที่แล้ว +2

    Hay nasubilia iyo mitego.!

  • @elnamhangaelnamhanga5153
    @elnamhangaelnamhanga5153 6 ปีที่แล้ว +2

    jaman sjaolew najifunza mama angu Niko kweny uchumba

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      elna mhanga elna mhanga jifunze kabisaaa mpenzi 😍😍

  • @halimabakari2137
    @halimabakari2137 4 ปีที่แล้ว

    Tupooooo

  • @abdulkadirkassim2173
    @abdulkadirkassim2173 5 ปีที่แล้ว +2

    dah kwel nyinyi wajanj kwel ila usisahau kulaik ap

  • @nasraanasraa4815
    @nasraanasraa4815 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah ❤️💯

  • @hajikagg3265
    @hajikagg3265 4 ปีที่แล้ว

    Madiluu

  • @salimnguja7139
    @salimnguja7139 5 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmhh!! Dada we ni kiboko!!

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  5 ปีที่แล้ว

      Salim Nguja kumbee😂😂😂

  • @zuhurahamiss4593
    @zuhurahamiss4593 4 ปีที่แล้ว

    Shukran Madam.... Umeeleweka

  • @zaniamakame8544
    @zaniamakame8544 3 หลายเดือนก่อน

  • @soniataila4033
    @soniataila4033 6 ปีที่แล้ว +3

    wa kwangu huwezi kumtega akitaka anafanya kama hataki unabaki na mitego yako nae tayali amesha sinziya utatega mtu akiwa na usingizi ?maana kama hataki kufanya tendo la ndowa usingizi unamuanziya sebuleni kama hataki hataki .

  • @marianitamartina1130
    @marianitamartina1130 6 ปีที่แล้ว +1

    Woow loud And Clear..Thanx Sweet Aunty May Allah Increase Ur Effort

  • @elysejolierachellehope4136
    @elysejolierachellehope4136 ปีที่แล้ว

    Asan

  • @kelvinmonari8891
    @kelvinmonari8891 6 ปีที่แล้ว +5

    Ya Leo Kali kweli Nimekufulia kofia Mama

    • @martinkiptoo4845
      @martinkiptoo4845 6 ปีที่แล้ว +1

      Na shukuru kwa mafunzo mazuri yamesaidia mauziano kwangu na mwenzangu

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Martin Kiptoo u well come mpenzi 😍

  • @shakilamtira4035
    @shakilamtira4035 6 ปีที่แล้ว +6

    bas nitaitwa mama misaada

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Shakila Mtira aaah wapi mpenzi 😍😍😍

  • @jeromechembe2206
    @jeromechembe2206 6 ปีที่แล้ว +2

    Nashukuru sana kupata uwezekano wa ku-comment. Nimekuwa nikishindwa mara nyingi kusabscribe. Namushukuru sana Binti Juma au Farida au Furaha Binti Juma kwa Mafundisho yako. Kwa kweli unasaidia sana watazamaji wako. Ninamengi nahitaji ushauri wako tafadhali nipe email address yako au Namba yako ya simu. Asante sana

    • @jeromechembe2206
      @jeromechembe2206 6 ปีที่แล้ว +1

      Najaribu kukupigia kwa namba hii uliyonipa haiendi, yaonyesha kuna kasoro. Kwani CODE # ya Holland ni ngapi? Tafadhali nipe na code number. Asante

    • @jeromechembe2206
      @jeromechembe2206 6 ปีที่แล้ว +1

      Ama nipe Email address please? Lakini nipe pia kiusahihi Namba hiyo ya simu yako, please!

    • @jeromechembe2206
      @jeromechembe2206 6 ปีที่แล้ว +1

      My Email address is jerrychikomo@gmail.com

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Jerome Chembe iyi ninamba ya watsapp tu

  • @aminathoya4265
    @aminathoya4265 6 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani jazzaAllah kheir dada

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      أمينة كينيا Aamiyn thuma Aamiyn kwetu sote mpenzi

  • @evaevemayamei6874
    @evaevemayamei6874 6 ปีที่แล้ว +7

    Hahaha nitajaribu mtego huo leo 😍😍

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      evaeve mayamei 😂😂😂😂basubiri matokeo dear😍😍😍😍

  • @jorinerodrick8723
    @jorinerodrick8723 6 ปีที่แล้ว +1

    Wanikoosha Big Jaaaaaman daaah Sawa mama

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      Jorine Rodrick 😍😍😍kumbeeee

  • @centi50s
    @centi50s 5 ปีที่แล้ว +2

    Sawa kabisa

  • @athumanzahiri1392
    @athumanzahiri1392 6 ปีที่แล้ว +1

    vizuri sana Dada farida ubarikiwe

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Athuman Zahiri tubarikiwe sote brother 😍

  • @elidadaudi4106
    @elidadaudi4106 6 ปีที่แล้ว +1

    Wow I get u!!!!

  • @jumakikobo8077
    @jumakikobo8077 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana dada kwamaneno yako mazur

  • @kamilyaibrahim9784
    @kamilyaibrahim9784 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahaha mie nkiomba msaada chooni ntakufa kabisa

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  5 ปีที่แล้ว

      Kamilya Ibrahim 😂😂😂😂

    • @kamilyaibrahim9784
      @kamilyaibrahim9784 5 ปีที่แล้ว +1

      @@bigfarida6992 sio masihara huyu mja asiombwe hata msaada 🤣🤣🤣 utaomba poo na majirani hawaji

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  5 ปีที่แล้ว

      Kamilya Ibrahim 😂😂😂😂😂😂

    • @faizasaid8262
      @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว

      Kamilya Ibrahim uwii pole sana mmi mume kma huyo engenikondesha maana ninavopenda kudekezwa

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว

    Halafu tunasikitika wari wa siku hz.... kumbe nasisi tunachangia kuwakuza, akisubiri mume aje amfanyie ok! Lkn akimtafuta boyfriend akamtega? Dhambi ya zinaa na ww umeshiriki! Haya mambo si ya kuzungumzwa hadharani.

  • @mtegamohammed1460
    @mtegamohammed1460 5 ปีที่แล้ว

    ahsante dada, Allahu Barik

  • @mrsseni6732
    @mrsseni6732 6 ปีที่แล้ว +2

    nimekupenda mama 😂😂😍👌

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      pretty sashaa 😍😍😍😍😘

  • @jeromechembe2206
    @jeromechembe2206 6 ปีที่แล้ว +1

    Yet I can see as if you sent me about 5 replies but I managed to open only one. Is that true, Binti Juma? Thank you for your reply. Have a nice moment and service.

  • @mmvopvjairatu8185
    @mmvopvjairatu8185 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana dadaangu kipenzi

    • @vailetnicas8486
      @vailetnicas8486 5 ปีที่แล้ว

      mwanaume ata umufanyie nn alizik

  • @mariyammanirakiza2154
    @mariyammanirakiza2154 6 ปีที่แล้ว +1

    Assanteee Wangu Apo safi saana Masha Allah mwenyezi mungu atuwezeshe

  • @najmaalzaabi8385
    @najmaalzaabi8385 5 ปีที่แล้ว

    dada shukran sana naomba no zako

  • @giremasoud2506
    @giremasoud2506 4 ปีที่แล้ว

    Napenda mafunzo yk

  • @juniormafia3373
    @juniormafia3373 6 ปีที่แล้ว +2

    Mitego hatari

  • @colethalilungulu8747
    @colethalilungulu8747 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekupenda bure

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  5 ปีที่แล้ว

      Coletha Lilungulu u well come dear😍😍😍

  • @MwaliSadiq
    @MwaliSadiq 5 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah Allah akulipe

  • @hajially7003
    @hajially7003 6 ปีที่แล้ว +3

    Simpaka akubali uyo mme

  • @annamkama8423
    @annamkama8423 5 ปีที่แล้ว +3

    Mi sijaelewa aisee hiv kuna wanawake wanakaa njaa wik nzima ? Mbona mm mme wangu nikicheza napewa kila siku had nachoka ? Na sifanyi kikorombwezo chochote ?

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  5 ปีที่แล้ว

      Anna Mkama wapo dear wengine mpaka wiki 😂😂😂hadi wiki 2

    • @annamkama8423
      @annamkama8423 5 ปีที่แล้ว

      big farida . Dah sikujua hilo my dear.

  • @abdullatifomaralkindy1216
    @abdullatifomaralkindy1216 5 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah maneno matamu sanaaaa

  • @producerwavoko5455
    @producerwavoko5455 4 ปีที่แล้ว

    Atar sana

  • @floramoi5168
    @floramoi5168 6 ปีที่แล้ว +1

    Umenena dada uko vizurr

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Flora Moi ahsante mpenzi 😍

  • @mayahabib4160
    @mayahabib4160 6 ปีที่แล้ว +1

    Tupia kiji andawea hahahahah amazing

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      maya habib 😂😂😂😂😂😍😍😍

  • @jeromechembe2206
    @jeromechembe2206 6 ปีที่แล้ว +2

    I sent you an email. Please notify me when you get it and reading. Thank you

  • @smartnick8542
    @smartnick8542 6 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda na nimejiunza

  • @ashlimsuya1816
    @ashlimsuya1816 5 ปีที่แล้ว

    kwahiyo kilasiku mitego itakuwa hiyo tuuu????

  • @mbejodieudonne9257
    @mbejodieudonne9257 5 ปีที่แล้ว

    very good.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว +10

    😅😅😅😅 mambo yote waziwazi atake asitake atashikamana tuuu na buyu la asali ataramba.Asanteee sana dada.

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว +1

      MWANAHALIMA MWACHILI 😂😂😂😂kabisaaaaa dear

    • @OfficialJouma
      @OfficialJouma 6 ปีที่แล้ว +2

      MWANAHALIMA MWACHILI hahahh,maneno yko yamenifurahisha mwanahalima..mitego muhimu ,mi napenda sana nikitegwa.

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว +1

      juma yahya 😅😅😅😅😅 Mitego hatareeeee ina vyambo vya kuvutia lazma inase tuuu.

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว +1

      big farida 😅😅😅😅 hatareeee mitego kwa inavyo nasa.

    • @OfficialJouma
      @OfficialJouma 6 ปีที่แล้ว +1

      MWANAHALIMA MWACHILI mi ukinitega lazima ninase haswa kwenye mtego wako we jaribu tu siku moja😀😀

  • @yvettebinkas1539
    @yvettebinkas1539 6 ปีที่แล้ว +3

    Ushahuri mzuri wangu kama hakunasika apo basi ni mgonjwa ao hakutaki tena

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Yvette Binkas 😂😂😂umeona eeeeh da yvette 😍😍😍mercie ma belle

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว

      hmm

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Yvette Binkas da Yvette Jay sim yangu aliiroweka kwenye maji mwenzio Sina sim 😂😂😂😂 umuambie Mai najua ananitafuta

  • @christinamalima8313
    @christinamalima8313 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante mpenzi kwa mafunzo mazuri 😘😘😘

  • @nshimirimanadjamilla7270
    @nshimirimanadjamilla7270 3 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @yvettebinkas1332
    @yvettebinkas1332 5 ปีที่แล้ว

    Tuna ku miss la maman

  • @SirdickOmondi
    @SirdickOmondi 4 ปีที่แล้ว

    Allaaaa...

  • @zulekhaabdallah3367
    @zulekhaabdallah3367 6 ปีที่แล้ว +1

    Saf bi mdada mashallah mumy

  • @carolynemwangi7909
    @carolynemwangi7909 6 ปีที่แล้ว +2

    Nikweli Mummy nakupenda tuuu

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Carolyne Mwangi nakupenda pia carolyne mpenzi 😍😍😍