Yaani dada yangu wewe ni Fundi. Unahitaji tuzo. Dah...! Safi sana dada. Nimecheeeeeeka kwenye michupi yenye matobo na iliyoanza kusanzuka sanzuka😆😆😆😂. Mtu akicheza anaweza kufuga mabuibui. 😂😂😂😂😂😂
Swadkaa! Ume nena my lovely sister wanawake tumekuskia elimu nzur sn Asante,Ila usisahau kuwapa na kina kaka elimu ya nguo za ndani mana boxer zao wengine uvaa adi week
courage tu l'as bien expliqué madame,tu réside où à présent et votre nation? unahitaji pongezi kubwa sana maana unafundisha vitu ambavyo baadhi ya watu wengi walikua hawajui mambo hayo.
Ni kweli baadhi ya wanawake hawaelewi umuhimu wa kuvaa mavazi ya Lingerie kwa sababu kadha wa kadha, ikiwa ni pamoja na kukulia mashambani. Na pia hawaelewi kwamba nguo hizo huchangia kuboresha uhusiano wa kimapenzi. Kwa hivyo wakipatiwa na wenzao maongezi kama haya ya kuwasaidia kuelewa, wataweza kufahamu njia za kuboresha maisha ya ndoa na pia hiyo ni njia ya kupunguza mizozo katika ndoa.
Yani we Dada kila unacho kisema basi mimi nimekifanya kwa 80% huwa siwezi furahiya mpaka niwe kwenye mwanga, hongera sana dada hakika ukimfuata Mtume s.a.w utakua mwenye faida tu.
Big this is a nice topic nimepeana sana... Naomba niulize.. Hivi kama unaishi na watu wengine kama shemeji yako si itakua aibu kuvaa vimini? Mume wangu hua anatamani sana nivae vimini na vinguo vifupi vifupi lakini hua naona aibu shemeji yangu yupo nyumbani Muda wotr
Eeeeeeeee Bint Juma pengine wewe Ulizipata wengine hawana hapo enzi za akina Mabibi na Akina Mama walizivaa mbona waliishi mpaka wakazeheshana Bint Juma Mwanamme akisha mchoka mwanamke hana hila na hayo mambo ya night dress ni yakuinga tu wazazi wetu mpaka leo wako pamoja mwaname ni mbwa tu
As you say you want your husbad to respect you I think respect is not coming from night dress what every you say is not write sidiria ikichakaa ni sababu ya mke ingawa mwanamme hampi mwanamke pesa Nafikiri unaona wanawake wanavyo pingwa madukani kwa kuiba je wewe unafurahiwa
roxy Mashikura ndio hapo mwanamke inabidi ujishuhulishe angalau kijishuhuli kidogo dogo ili kukidhi mahitajiyako madogo madogo sio iwe kila kitu umuombe mume .nguo zandani zikufuraishe wewe zukupendeze wewe binafsi kabla hata uyo mume hajaziona ...ukisema namvalia yeye tu unaeza kua disappointed ikiwa hata ziona na kuzisifia
Nashukuru sana dadangu nimepata somo😍😍😍😍
Sara 551661031 Wanjala afuan mpenzi
Ahsante sana my sister
Hongera Ant FARIDA unatufunza yalio bora...hongera
Thank you my dada!! we ni kiboko cha kuadabishaa!!!
masha allah wnawake mpo c kupanda vtandani na mabuibui na ninja inahusuuuuu mwanamke mvuto kwa mumeo jmn hahahhhaha
Kabisaaa
big farida napenda sna vpindi vyako dada angu nashida na ww saman nakuomba tuchat pemben ila
Shadia Gsam haina shida mpenzi 0031684283982
azh zha yassin 😂😂😂😂😂kaZi tunayoo
MashaAllah nice, darsa
Hi sis big Farida asante sana kwa mada nzuri yenye manufaa Mungu akulipe kheri
Tausi Sure hi beautiful 😍😍 mungu atulipe kheri sote mpenzi
A.alaykhum sister leo umenimaliza BIG UP SISTER
Chuchu Lampa walaikum salam ww
nakupenda mamaaa!! asantee sana
hahaaaa duh dd angu Allah akuhifadh inshaallah
Thank you for your good advertising
Blasio Kwedo u well come😍😍
Big up sister kweli umenena
Thanks brother wa mie
Nakupendaga bure ujue
سالمه زنجبار ahsantaa
Mashallah vizuri sana my Lvly sis Allah akuhifadhi inshallah ameen
Allah atuhifadhi sote mpenzi
daaah umenfurahsha
Aysha Nondo maisha mafupi mpenzi 😂😂😂😂acha tufuraishane
😂😂😂😂i really love you so much my sis your sweetheart masha Allah jazakallah
I love you too dear
Kweli dada
Umetisha, From Tanzania, East Africa.
Ahsante brother
vituko lakini unanipa raha wakati sina.Dada nakupenda sana
Nashukuru dada
😃😃 uuuii dada Farida umenena jambo la maana ..nimepata funzo
U well come dear
Aiseeeeeee
Ahsanteeee mno.
Afuan brother
Mh! swadakta bbye, Umenena....
Yaani dada yangu wewe ni Fundi. Unahitaji tuzo. Dah...! Safi sana dada. Nimecheeeeeeka kwenye michupi yenye matobo na iliyoanza kusanzuka sanzuka😆😆😆😂. Mtu akicheza anaweza kufuga mabuibui. 😂😂😂😂😂😂
Aca mpenzi ni mtihani
My lovely 6ta unatumaliza mia sur mia
Moza Moza 😂😂😂kumbeee
hahahaha kisindiriya na mchupi umeniuwa mbavu good job
😂😂😂cheka dear afya iboreke
Pongezi kwako ujembe mzuri
Swadkaa! Ume nena my lovely sister wanawake tumekuskia elimu nzur sn Asante,Ila usisahau kuwapa na kina kaka elimu ya nguo za ndani mana boxer zao wengine uvaa adi week
In sha Allah nitajitahidi
Akambo Habib
big farida ningependa unitumie fuzo kwali namba 0710394458
Musalia Nelson sorry brother i don't have them on my phone
Akambo Habib utaachaje mume avae boxer wiki nzma dadangu??mume akishakuoa hubehave kama mtoto mdogo kila kitu ataka umwambie
Asant sana dada allah akuongoze
Munira Kinega Og afuan dear mungu atuongoze sote
DADA FARIDA upo sahihi haswaaaa... hakika somo hili limewaelimixha xaana akina mama ,, akina Dada,, na hata sis wanaume pia..,!!
Avith Celestine kweli kabisaa
dah somo zuri sanaa dear
Asante nimepata somo. Muda gani unatakiwa ubadirishe nguo za ndani baada ya kuzinunua? Mpaka ichakae au kuna muda maalumu
I love Jesus nguo zandani hazina muda maalum ukiona zimeaza kucuja au kamba kukokoteka hazivutiy tena hapo unatakiwa uanze kununua pya
big farida asante bi Juma, nitazingatia hilo👍👍
Mama hongera kwakuwafunza wa mama
Ahsante dear
Asant sana my dear farida
Shukrani dada kwa ujumbe mzuli mie tumbo hilo short cjui nifanye nin my
Itabidi uanze mazoezi ya kulipunguza mpenzi
big farida shukran nimejarib haripungui
Aisha Rashed usicoke kufanya mazoezi lita pungua ila litackua muda ...punguza Kula cakula zenye mafuta mengi ma soda ma soda yote ayo yanacangia
Sawa my nimekuelewa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah topic nzuri
Mohamed Seif ahsante brother
duuuuuh asante sana
Uwell come brother
courage tu l'as bien expliqué madame,tu réside où à présent et votre nation? unahitaji pongezi kubwa sana maana unafundisha vitu ambavyo baadhi ya watu wengi walikua hawajui mambo hayo.
Moris Barakah Ahsante brother mi ninaishi holland
Ooooooh kumbe Upo Holland
Daah aiseee Umenifungua.
Mie nilikua nahisi huenda upo Tanga au Mombasa.
MUNGU akuzidishie Kheri & Baraka.
Hahahaaa da farida ktk cku umenivunja mbavu ni leo,dah mwanamke kuvaa chupi ya kijani ni aibu au ni mshabiki wa yanga uwiiii
miss Agatha 😂😂😂😂umeona eeeh dear
JAZAKUMU ALLAH ALKHAYR CS
Brown kelly kwetu sote mpenzi
Hahahaaa da farida tatizo waume zetu hawana mda wa kutuangalia,mm nishavaa mpaka basii
miss Agatha basi vaa kwa kujipa raha mwenyew dear
hahahaha mlazimishe aone fanya hta kumuuliza mume hapo vipi nimenoga au
Kweli kabisaa
tunapenda mawaidha yako and nothin to ask
Ahsante...
U well come brother
Ni kweli baadhi ya wanawake hawaelewi umuhimu wa kuvaa mavazi ya Lingerie kwa sababu kadha wa kadha, ikiwa ni pamoja na kukulia mashambani. Na pia hawaelewi kwamba nguo hizo huchangia kuboresha uhusiano wa kimapenzi. Kwa hivyo wakipatiwa na wenzao maongezi kama haya ya kuwasaidia kuelewa, wataweza kufahamu njia za kuboresha maisha ya ndoa na pia hiyo ni njia ya kupunguza mizozo katika ndoa.
Asante sana Dada japo mm sijaoa
Yusuph Nzamilisi afuan brother in sha Allah mungu akupe mke mwema
Yani we Dada kila unacho kisema basi mimi nimekifanya kwa 80% huwa siwezi furahiya mpaka niwe kwenye mwanga, hongera sana dada hakika ukimfuata Mtume s.a.w utakua mwenye faida tu.
Rashid Mkoga ahsante
Asante Dada unatumia rugha nzuri mno.
@@rashidmkoga8779 umeongea kabisa. Yaani lugha anayotumia licha ya kuwa mada mzito lakini husikii tusi hata moja.
Nice dada 😘😘
Ibrahim Soud Khamis yani ww noma nakupa sapoti
Big this is a nice topic nimepeana sana... Naomba niulize.. Hivi kama unaishi na watu wengine kama shemeji yako si itakua aibu kuvaa vimini? Mume wangu hua anatamani sana nivae vimini na vinguo vifupi vifupi lakini hua naona aibu shemeji yangu yupo nyumbani Muda wotr
eve zawadi apo ikiwa unaishi nawatu kama sheji zako itakuangum labda uvae juu uvae buibui ukiwa chumbani namumeo unavua buibui
kweliii kabisaaaa dada
😆😆😆zima taa
😂😂😂kabisaaa
Shukrun my lovely
Afuan mpenzi
Kkkkkkkkkkkkkkkkkklllllkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk siz wanifurahishaaa
Mum Kmamy kumbe 😂😂😂
Wawo santaaa
wasichana wavahee nini my. beauty sister
Wajitahidi watafika
Unga Emedi nguo za kuvaa chumbani ninyingi nzuri na zenye kuvutia
shukuran mdada tuandalie video za kujisafisha mwanamke
Ndio tafadhali
umeongea sawa na kweli tupu
😅😅warabu ndo wana lala na mabaibui
Amina Fadhili ushawahi kulala nao kwan au unaongea tuh hujatuona bibi kwa raha zetu
😂😂😂😂😂😂
haha dd yani weye heti maziwa imeshakuwa kama saa tano yatatengenezwa
Eeeh wavae bra ziyanyanyue ya rudi saa tisaa angalau😂😂😂😂
Hahahaaa da farida umenivunja mbavu eti hata km maziwa yamelala saa tano ucku
Somo lako Lina faida Sana
Ameen dear
Mwanamke kujishauwa
waume wengine hawapend mwanga.
brighton richard nimshamba huyo utamuonaje jicho likirembuliwa na pozi za raha
😂😂😂apo caca
Eeeeh brother kushauwa kabisaa 😂😂
Safisana Dada ila sauti ikochini sana
Asante sana dada
chumba kimoja utapitapita jikoni wapi chumba kimebana
hahahah, binti JUMA,imeanza tena...ZIMISHA TAA,SIPENDI MWANGA MIMI ,jamani chumbani kuna siri nyingi
Jamila Ali sana mnoo 😂😂😂😂
MashaAllah tabarakallah umenena kweli. Uko Holland upande gani my sister? Barakallahu fiik
Nipo holland Rotterdam dear
Eeeeeeeee Bint Juma pengine wewe Ulizipata wengine hawana hapo enzi za akina Mabibi na Akina Mama walizivaa mbona waliishi mpaka wakazeheshana Bint Juma Mwanamme akisha mchoka mwanamke hana hila na hayo mambo ya night dress ni yakuinga tu wazazi wetu mpaka leo wako pamoja mwaname ni mbwa tu
Hamida Alhabsi da amida nitakucapa wewe😍😍😍😍😍
Operation haipendezi gizani
Didaz Nureisa opereshen gizani baathi ya vitu haviwez kwenda sawa kabisaaa
Asante dada
Sango Omari afuan dear
shukrani dada
Afuan dear
Hey my sister. Ntawezaje Pata hiyo video ya nguo za ndani tu. Please naomba ntumie WhatsApp 0768542351
Wacha weee,chezea hi farda
Andrew Mkongwi 😂😂😂umeona eeeeh
As you say you want your husbad to respect you I think respect is not coming from night dress what every you say is not write sidiria ikichakaa ni sababu ya mke ingawa mwanamme hampi mwanamke pesa Nafikiri unaona wanawake wanavyo pingwa madukani kwa kuiba je wewe unafurahiwa
Mmh nimependa sana nipatie namba yako pleass
Tina Juma Rashid 0031684283982
Wengune ukiwavalia hivyo ndo kwanza anaina kigegesi
Dada naomba unitumie video ya nguo za ndani pamoja na namna ya kujisafisha mwanamke kwenye namba yangu ya watsup 0742494019
Jackie Kimisha sorry dear iyo video sina kwenye sim ila kuhusu aina mbali mbali za mwanamke kujisafisha nita kuagizia in box dear
Jackie Kimisha dear namba naijaribu ila msg haziji sijui nimekosea mimi au uliandika namba vibaya
namba yangu ni hiyoooo 0742494019
Umenena ukweli kabisa
Umeona eeeh dear vip lakini hujambo
nimeyapenda sana masomo yako nitaka nizungumze na wewe inbox no +255746349201
Rehema Emanuel usijali dear nitakuwasialia in sha Allah
Haahahahahaha
shukran da farida
Sasa kama mwanaume hanunulie wala ukimuomba pesa ana kujimbu sina pesa sasa wanawake tufanyenini? Tupemawazo kwa jina naitwa SARA
roxy Mashikura ndio hapo mwanamke inabidi ujishuhulishe angalau kijishuhuli kidogo dogo ili kukidhi mahitajiyako madogo madogo sio iwe kila kitu umuombe mume .nguo zandani zikufuraishe wewe zukupendeze wewe binafsi kabla hata uyo mume hajaziona ...ukisema namvalia yeye tu unaeza kua disappointed ikiwa hata ziona na kuzisifia
big farida woow so nice masomo yamenifurahisha mwalimu
Munyuoki Stellah kumbe😍😍😍
@@bigfarida6992 nitakupataje da farida
JAMILA SAID MOHAMED mie uyu mpenzi
Please send me this video to me
Samahani sana computer yangu inamatatizo
Ikiwa poa please ntaomba unitumie maana nimeipenda hiyo video
Gifti Mhagama computer yangu ikiwa sawa nitajitahidi
Operation haipendezi gizani