UTULIVU NDANI YA NDOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • UTULIVU NDANI YA NDOA

ความคิดเห็น • 67

  • @abdunur323
    @abdunur323 6 ปีที่แล้ว +1

    Swadakt uko Mwalimu kamili, wewe big Farida binti Juma. Mungu wetu ule ambaye tumuabudu akuzidishiye kila la kheri, akulipe Dunia yako na Ahera yako In shallah.

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      ABDU NUR Aamiyn thuma Aamiyn

  • @husseinkinyudi8207
    @husseinkinyudi8207 7 ปีที่แล้ว +2

    Swadakta sister farida kwanza nakupa salamu za siku nyingi sana.kweli ujumbe umefika dada .uko juu sana sister n.a. nakubaliana kabisa n.a. mtazamo wako sister farida

  • @jenipherclement2103
    @jenipherclement2103 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda da farida cjawah chukia elimu unayoitoa maana una2saidia sn ktk kudumisha ndoa zetu

  • @saumusudi2555
    @saumusudi2555 6 ปีที่แล้ว +1

    asalaam alekum dadngu umenielimisha sana hapa.siku hizi ndowa zina haribika na mpango wakando..usipokuwa na subir utaiwacha tu ila ndowa ni subira tu kwa allah..ndungu zangu tuketini kwa ndowa tupate pepo kesho inshaallah

  • @zainabmakame1321
    @zainabmakame1321 6 ปีที่แล้ว +1

    Umenisaidia kutema sumu dada asante sana..mungu akubariki

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      zainab Makame tubarikiwe sote dear

  • @sakinaamundala8314
    @sakinaamundala8314 2 ปีที่แล้ว

    Muzuri sana

  • @nehemiaverehim314
    @nehemiaverehim314 3 ปีที่แล้ว

    Dada laitikama wanawake wagesikia haya uyasemayo aki ndoa zingegaa sana ubalikiwe

  • @Amishjuma
    @Amishjuma 6 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaaaah!Elimu ya hali yajuu shukran dada..Naweza pia elimisha rafiki yangu aliyonamatatizo hayo.

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Amishjuma ukielimika nakitu basi ni vyema kuaelimisha wenzio

  • @husseinkinyudi8207
    @husseinkinyudi8207 7 ปีที่แล้ว +2

    Mawaidha mufti kabisa farida.congratulation

  • @nuruhamza9209
    @nuruhamza9209 6 ปีที่แล้ว

    Ahsante Dada,kun kitu nimejifunza mnoo,ahsante navifanyia kz kweny ndoa yngu sasa

    • @safarikhamis2432
      @safarikhamis2432 6 ปีที่แล้ว

      Assalam alaykum , somo lako la mwisho lili kuwa ni la mada gani.
      Ahsant Bint Juma

  • @halimabakari2137
    @halimabakari2137 4 ปีที่แล้ว

    Ukweli mtupu sister farida love u

  • @salmajuma4015
    @salmajuma4015 5 ปีที่แล้ว +2

    Haswaaa unachokisema mm Nina tabia ya kuweka kitu moyoni

  • @diyaosman8992
    @diyaosman8992 7 ปีที่แล้ว +3

    Shukran dadangu Inn shaa Allah mungu ukupe afya nakupenda kwajili ya ALLAH

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      Diya Osman Ahsante dear ilove you to 😗

  • @jainaboman8952
    @jainaboman8952 4 ปีที่แล้ว

    Shukurani Dada kwamsaada wako allah akuzidishie kila lakher nimekupenda

  • @habibamuhina5947
    @habibamuhina5947 7 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah my lovely sister we learning more and more from you my dear jazakallah khair sweet 😘😘😘😘u are the Queen of the queen

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      Habiba Muhina Ahsante mpenzi

  • @blasiokwedo7025
    @blasiokwedo7025 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks agreat lady teach them dada, you could come on our country actually,you can many of them because those words you are talking a lot them they have pressure

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @mamyssmoe6706
    @mamyssmoe6706 7 ปีที่แล้ว +5

    Big farida shukran habibty kipenz bint juma maneno kuntu hayo lazima tusafiane njia laa sio hivyo kwanza mwanamme ukimfatilia sn utapata presha isiyo julikana kubwa tuongeze vikorombezo kwenye ndoa zetu endelea kutuelimisha sis💖💖👊

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +1

      RAMILI MOE afuan mpenzi wa mie

    • @latjohn9665
      @latjohn9665 7 ปีที่แล้ว +1

      RAMILI MOE sio mahawara mjue dn yetu ya kiislam inandoa mpaka nne, je mtu akioa mke wapil kakosa vtu ndan, naiyo sheria ya din inamokosa au

    • @mamyssmoe6706
      @mamyssmoe6706 7 ปีที่แล้ว +1

      Lat John.inategemea hii ni sheria ya din wala mm binafs siipingi na mwanamme kutoka nje kuwa na hawara na kuongeza mke wa pili au watatu ni vitu tofaut haijalish kakosa nn ndani ni sheria na uadilifu akisha amuwa bs

    • @latjohn9665
      @latjohn9665 7 ปีที่แล้ว +2

      RAMILI MOE ,na uhawara ndo mwanzo wa nyumba ndogo, kwadunia ya sasa wanaanza uhawara ndo ndoa inafaata mke wa pil mpaka wanne,

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +1

      Lat John cheria haina makosa mwanaume kuowa wake 4 kuna hekima nyingi ndani yake . Kuna wanao owa kwa kua kuna vitu wame vikosa kwa wake zao wengine huowa kwa kua ni sheria
      Na wengine huowa kwa kua hawataki kuzini nnjee ya ndoa

  • @imraanhussein3042
    @imraanhussein3042 7 ปีที่แล้ว +1

    Shukraan . Jazaaka Allahu khair . Allah atakulipa mazuri . Amiiiiiin

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +1

      Imraan Hussein aamiyn thuma Aamiyn

  • @remmyskitchenhub8271
    @remmyskitchenhub8271 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah TabarakaAllah....

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 4 ปีที่แล้ว

    God bless you so much

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 7 ปีที่แล้ว +1

    Shukuran kwa maelezo ingawa hapo pa kusema kwamba mwanamke ana nyota sidhani ni ukweli. Kwa kuwa anaweza kuwa msafi na kuwa anapendeza kwa sababu ya ujana wake au rangi yake au mavazi au zote nk. hadi baadhi ya watu wakasema ana nyota [nzuri]. Lakin huu ni msemo tu waliouzua baadhi ya watu. Na kunao watu wanaotumia fursa ya kule kuwa wapo watu wanaoamini kuhusu nyota basi wakawa wanawatoza fedha wasiojua ili kuwatabiria wakidai wanatumia ilimu ya nyota. Wa Allahu aalam. Na kama ulivyoeleza nadhani baadhi ya wanawake [na pia wanaume] wasipotahadhari wanaweza kuingia kwenye ndoa kabla ya kujitayarisha vyema. Kisha wanakuwa hawaelewi mambo muhimu kuhusu kile wanachohitajika kukitekeleza pale ili kuboresha ndoa zao. Kwa hivyo ni muhimu kwa imaam wa msikiti wa karibu kuwafahamisha Wazazi wajue kwamba wao ndio waalimu wa kwanza wa watoto wao. Kwa hivyo wajue kuna matayarisho ya ki akili wanayohitajika kuwafundisha watoto hao hasa wanapotimia umri fulani wa kutambua mambo. Na kuna pia matayarisho ya ki tabia, lakini wazazi hawawezi kuyaelewa ikiwa hawakusoma vyema mafundisho ya Qur'an na Sunnah kuhusu ndoa. Kwa hivyo inakuwa ni muhimu waelimishwe na imaam wa Msikiti wao, ili wajue majukumu yaliyo juu yao kuhusu kuwapatia vijana malezi mema ambayo yana ndani yake matayarisho kwa sababu ya ndoa. Wa Allahu aalam.

  • @salhamm742
    @salhamm742 7 ปีที่แล้ว +1

    Asant sana my dear

  • @brightnessmmuni8081
    @brightnessmmuni8081 6 ปีที่แล้ว +1

    daaaaah kweli kabisa sana..naomba namba zako dada

  • @rafanasadiki31
    @rafanasadiki31 7 ปีที่แล้ว +1

    Big up my sister we learn more from you

  • @sracabdallah3772
    @sracabdallah3772 7 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @diyaosman8992
    @diyaosman8992 7 ปีที่แล้ว +2

    شكرا برك الله فيك وجزاك الله خير حبيبتي حقي أحبك في الله

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +1

      Diya Osman aaah dear kiarabu apo nahisi nimeuzikana😂😂😂😂

    • @a.856
      @a.856 7 ปีที่แล้ว +1

      big farida tafsir yake anakwambia asante allah akubarik na allah akujaze kher habibty na kwa haki anakupenda kwa ajili ya allah 😀

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      Maryam Hussein ku digest maudhi ni silaha ya mtu kujiprotect dear hata ukielemewa ukaamua kuomba talaka kusamehe kuna leta amani na utulivu wa nafsi wa hali ya ju. Kuna wakati mume anakuumiza maksudi mume huyo yafaa kukuona ukulia all the time?no ....

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      Zuhura Salum Ahsante dear wallah msg yako ndo kuiona😓

    • @a.856
      @a.856 7 ปีที่แล้ว +1

      big farida hahahaha asante na ww hamna tabu.

  • @سالمهزنجبار
    @سالمهزنجبار 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah

  • @tabuamour2609
    @tabuamour2609 6 ปีที่แล้ว +1

    nice

  • @munahasanimunahasani7419
    @munahasanimunahasani7419 7 ปีที่แล้ว +3

    Asante my dada maneno matamu

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว +1

      Muna Hasani Muna Hasani Ahsante pia dear

    • @habibaguye
      @habibaguye 6 ปีที่แล้ว

      mawaida nzuri pongezi.

  • @roxymashikura7126
    @roxymashikura7126 7 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dada

  • @a.856
    @a.856 7 ปีที่แล้ว +1

    Asante sis jazakallah khayran jazylah

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  7 ปีที่แล้ว

      Zuhura Salum afuan mpenzi allah atujaze kheri sote

    • @a.856
      @a.856 7 ปีที่แล้ว +1

      big farida Amin

  • @mumkmamy5186
    @mumkmamy5186 6 ปีที่แล้ว +1

    Shukran siz Farida

  • @saumusudi2555
    @saumusudi2555 4 ปีที่แล้ว

    Asalamu alekum my sister farida pls nitumie number yako

  • @amissihakizimana7216
    @amissihakizimana7216 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dada

    • @bigfarida6992
      @bigfarida6992  6 ปีที่แล้ว

      Amissi Hakizimana afuan brother