BABA YETU ALIYE MBINGUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Karibu tuimbe pamoja👏👏👏👏

ความคิดเห็น • 20

  • @user-ih9nq8ju9p
    @user-ih9nq8ju9p 11 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana kwa nyimbo zako naomba tu nijue kitabu cha nyimbo unachokitumia

  • @lizpallangyo8057
    @lizpallangyo8057 2 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji wangu siku zote nabarikiwa kupitia uimbaji wako wa kipekee,
    Mungu wetu wa mbinguni akubariki kuzidi na azidi kuinua karama yako ya kipekee

  • @dianamndeme7556
    @dianamndeme7556 7 วันที่ผ่านมา +1

    Nabarikiwa sana asante sana kwa Utumishi mwema huu 🙏🏻🙏🏻

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 3 หลายเดือนก่อน

    Kitabu anachotumia Mchg.kinaitwa..TUMWABUDU MUNGU WETU kinatumika sana na.KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI yaani KKKT

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @juliusmunisi8618
    @juliusmunisi8618 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji wangu huwa aipiti Siku tatu bila kuangalia nyimbo za tumwabudu Mungu wetu.... Hakika nabarikiwa sanaaa..

  • @rabielfadhili994
    @rabielfadhili994 2 ปีที่แล้ว +1

    Pastor wimbo no 69 nitafurahi ukiuimba siku moja.

  • @98Maktaba
    @98Maktaba 8 หลายเดือนก่อน

    Very nice nabarikiwa sana ningependa na ule wimbo wa Bwana u sehemu yangu

  • @godrivermussa6797
    @godrivermussa6797 2 ปีที่แล้ว +1

    Waooooooooh barikiwa Sanaa mtumishi wa Mungu 🙏

  • @loishiyelaizer058
    @loishiyelaizer058 ปีที่แล้ว

    My favorate song.
    Keep up Pastor

  • @irenebishanga9761
    @irenebishanga9761 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilipata wasiwasi kama kila kitu kiko sawa, maana umekaa siku kadhaa bila post yoyote, nawakilisha tunaosubiriaga posts za mahubiri/nyimbo😊 Stay blessed mtumishi🙏

  • @addo2098
    @addo2098 2 ปีที่แล้ว

    "Nimwachapo nikaenda mbali yeye yu vivyo ananipenda"

  • @felistambise49
    @felistambise49 2 ปีที่แล้ว

    Unanibariki Sana Balozi Wa Bwana, Barikiwa sana

  • @eliaelikana
    @eliaelikana 2 ปีที่แล้ว

    Amina❣️