NINATAKA KUINGIA -154

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • Mtunga Maneno: P. F. Hiller, 1699-1769
    Ich Will Streben nach dem Leben.
    Usisahau Ku-subscribe ili Uwe wa kwanza kupata habari kutoka kwenye channel hii.

ความคิดเห็น • 76

  • @noelngwenya374
    @noelngwenya374 4 หลายเดือนก่อน +4

    I must admit that this Lutheran hymn cuts across different countries but has the same good effect on me. We sing this hymn in Zulu but It touches me more in Swahili

  • @henrishjohn8783
    @henrishjohn8783 2 ปีที่แล้ว +9

    Pumzika kwa amani Mama Elizabeth Laban Sichone...wimbo huu umekuwa faraja kwangu.Yesu Kristo wewe mwamba wangu.

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 2 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 ninapojaribiwa ninaposingiziwa Yesu unisaidie nisikuache

  • @blandinasanga3245
    @blandinasanga3245 2 ปีที่แล้ว +14

    Niliona wimbo tiktok NIONGOZE BWANA MUNGU mtu aliiweka akionyesha daraja jipya nikapenda nikatafuta ndio nakutana na uimbaji mzuri wa mchungaji Mwaipopo, wiki iliyopita alikuwa na somo zuri kweli redioni kwa kweli mchungaji ana vingi kabarikiwa Mungu akupe miaka mia ya kutumika hongera sana.

    • @rayjohn5924
      @rayjohn5924 ปีที่แล้ว +1

      Me when I'm down, out of the mood,this song it's my strength

    • @VoH-Official
      @VoH-Official  28 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏🏽

    • @VoH-Official
      @VoH-Official  16 วันที่ผ่านมา

      Glory be to God peke yake🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ninapojariwa,ninaposingiziwa,Yesu unisaidie nisikuacheee ❤❤

  • @nicodemusmsika1269
    @nicodemusmsika1269 14 วันที่ผ่านมา +1

    “Neno Lako Eeeh YESU Linanipa Nguvu”

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 28 วันที่ผ่านมา +1

    Neno lako ee YESU linanipa uzima nikifika nitaimba umeniponyaa

  • @jenifakihwelu3194
    @jenifakihwelu3194 2 ปีที่แล้ว +3

    Huu wimbo kila ninapousikiliza huwa najikuta machozi yananitoka. Barikiwa sana mtumishi.

  • @esthernkwamba63
    @esthernkwamba63 2 ปีที่แล้ว +3

    Nikishikwa na shida nikichoka njiani, yesu unaniambia uningojee. 😇😇🥰🥰

  • @nestorymukebezi2313
    @nestorymukebezi2313 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa sana. MUNGU aendelee kukutumia mtumishi wake

  • @judithlwaikondo7382
    @judithlwaikondo7382 ปีที่แล้ว +1

    U re so blessed mtumishi wa Mungu,hakika Mungu atukuzwe kwa neema ya uimbaji alioiweka ndani yako,hongera sana mtumishi

  • @FrankBSanare-pi8hr
    @FrankBSanare-pi8hr 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @abdallahyahaya9760
    @abdallahyahaya9760 2 ปีที่แล้ว +3

    RIP JOHNSON G SANGA

  • @neylohneyto6736
    @neylohneyto6736 2 ปีที่แล้ว +2

    Rest momma😭nikukumbuka huwa nasikiliza huu wimbo npt nguvu🥲🙏🏻

  • @ishumaelmathayo1060
    @ishumaelmathayo1060 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mbariki huyu mtunishi kwanyimbo anazoimba nafarijika sana

  • @lizpallangyo8057
    @lizpallangyo8057 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mno baba mchungaji,
    Ee Yesu wangu nishike nisikuache

  • @emanuelimbele4848
    @emanuelimbele4848 ปีที่แล้ว

    Mchg. Mungu akubariki wimbo no. 170 urushe mtandaoni tumwabudu Mungu wetu

  • @emmanuelkashililika9919
    @emmanuelkashililika9919 16 วันที่ผ่านมา

    Amen!!

  • @PendoMunuo-gi1xo
    @PendoMunuo-gi1xo 9 หลายเดือนก่อน

    Naapata nguvu sana ninaposikia huu wimbo huu kila wakati ninapokuwa na magumu huwa unanipa nguvu...
    Ukweli nikwamba nyimbo hizi ni ibada tosha moyoni mwangu..

  • @simonleole5521
    @simonleole5521 2 หลายเดือนก่อน

    So powerful 🙌🏻🔥

  • @elinazadaniel3721
    @elinazadaniel3721 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyekiti wa ukwata darpwani miaka yetu, ,,, Yesu analea watu wake, kwa Yesu kutamu

  • @fulgence34
    @fulgence34 ปีที่แล้ว

    ukiimbaa unajiona na kuhisi kabisaa uko enzini au mbinguni na Yesu

  • @abdullmoshi2928
    @abdullmoshi2928 2 ปีที่แล้ว +5

    Powerful Prayer 🙏

  • @sweetyalexlema9903
    @sweetyalexlema9903 2 ปีที่แล้ว

    Naomba uimbe na ule Yesu ndiye kiongozi wangu

  • @elipokeasarakikya1026
    @elipokeasarakikya1026 2 ปีที่แล้ว +1

    " Wote wachelewao hawatapata taji,.. Mimi sitaki kingine ila uzima.."

  • @glorynnko2747
    @glorynnko2747 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mch.., naomba uimbe na Wimbo TMW298 KWA HURUMA NIKUBALI🙏🙏

  • @Danielmoyo556
    @Danielmoyo556 2 ปีที่แล้ว

    Nataka kuingia
    Oh nataka kuingia,
    Hallelujah hallelujah
    Barikiwa Pastor.

  • @ishumaelmathayo1060
    @ishumaelmathayo1060 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo zako zinanifanya niwena mungu karibu

  • @robertmuchiri2578
    @robertmuchiri2578 2 ปีที่แล้ว +3

    Lovely song with a heavenward message.

  • @edsonmunuo7112
    @edsonmunuo7112 2 ปีที่แล้ว

    Hakika mungu atupe uthubutu wa kumkiri mchungaji nabarikiwa na utumishi huu,..mkono wako unishike nisianguke

  • @pendonnko3217
    @pendonnko3217 2 ปีที่แล้ว +1

    Nipe nguvu ninapochoka ee Yesu 😭 🙏

  • @godrivermussa6797
    @godrivermussa6797 2 ปีที่แล้ว

    Oooh napenda sana huduma yako Mungu akutunze mtumishi🙏

  • @Anmeki
    @Anmeki ปีที่แล้ว

    Amen, I request Kama ulivyoagiza No 187. TMW

  • @veronica.w.jaspermuhula5934
    @veronica.w.jaspermuhula5934 8 หลายเดือนก่อน

  • @lizpallangyo8057
    @lizpallangyo8057 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyenzi Mungu azidi kukubariki kwa utumishi na karama aloiweka ndani yako,nabarikiwa mno

  • @lilianurio9781
    @lilianurio9781 ปีที่แล้ว

    Amen Mchungaji Mungu akubariki

  • @sweetyalexlema9903
    @sweetyalexlema9903 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa San man of God

  • @elkanakilumbe
    @elkanakilumbe 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna muda huwa nahisi nilitakiwa kuwa pastor. but naona kama nimechelewa...
    huu wimbo naupenda sana..

    • @makrinakalinga6034
      @makrinakalinga6034 2 ปีที่แล้ว +1

      Hujachelewa kalitumikie kusudi la BWANA mpendwa

  • @salometumainiely9455
    @salometumainiely9455 2 ปีที่แล้ว +1

    Rest easy my mom queen andendekisye huu wimbo ulinipa tumaini jipya ukaniongezea nguvu kuamini kwamba yupo yeye alie baba wa wote hata ukichoka atakungoja

    • @JBB875
      @JBB875 ปีที่แล้ว

      Amen 😭🙏🙏🙏

  • @loishiyelukumay6321
    @loishiyelukumay6321 ปีที่แล้ว

    Honest you so special to me ,I real concurred by the way you singing my ELCT SONG
    BLESSING PASTOR.
    I REAL APPRECIATING BLESSING
    I MISS A LOT AZANIA CATHEDRAL IT IS 10 YRS NOW

  • @giftiebarnabas7721
    @giftiebarnabas7721 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful message,Mungu aendelee kukutumia

  • @derickjuma4251
    @derickjuma4251 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu nitapateje link niweze ku download

  • @user-wl7ii1yt5g
    @user-wl7ii1yt5g ปีที่แล้ว

    Amen Mungu akubariki❤

  • @rapahelkamwela6808
    @rapahelkamwela6808 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen Amen

  • @aishayahaya5119
    @aishayahaya5119 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mchungaji

  • @DeboraEDavid-bd4ut
    @DeboraEDavid-bd4ut 2 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo huwa naupenda sana zaidi sauti ya rev gwakisa sasa nafanyaje niupate?

  • @rodesiamacha8817
    @rodesiamacha8817 2 ปีที่แล้ว +6

    Ninamshukuru MUNGU kwa utumishi aliouweka ndani yako nyimbo zako naskiliza sana na zina nihuisha sana kiroho UTUKUFU KWA MUNGU JUU MBINGUNI

    • @VoH-Official
      @VoH-Official  2 ปีที่แล้ว +5

      Endelea kuimarishwa kwa nguvu na uweza wa Mungu

    • @rodesiamacha8817
      @rodesiamacha8817 2 ปีที่แล้ว

      @@VoH-Official Amen

  • @mungajoas3343
    @mungajoas3343 2 ปีที่แล้ว

    Nifundishe kukungoja Mwokozi.
    Mimi sitaki kingine ila Uzima.

  • @petrochengula9480
    @petrochengula9480 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi

  • @edithkambo3930
    @edithkambo3930 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu unanibariki sana

  • @juliethnnko3700
    @juliethnnko3700 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerfully God bless u my pastor

  • @monicamassawe3435
    @monicamassawe3435 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa mnooo!!!!

  • @monikapaulo3452
    @monikapaulo3452 2 ปีที่แล้ว

    Am bless with this song

  • @mungajoas3343
    @mungajoas3343 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @siahfrancis7082
    @siahfrancis7082 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen

  • @happymushi2219
    @happymushi2219 ปีที่แล้ว

    Nimesikia huu wimbo moyoni nikakimbilia hii page Mchungaji

  • @hilderkaaya3434
    @hilderkaaya3434 2 ปีที่แล้ว

    Bless you

  • @agnesndemanyisho5291
    @agnesndemanyisho5291 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @winniemlacky2263
    @winniemlacky2263 2 ปีที่แล้ว

    Naona ufahari juu yako pastor maana nabarikiwa kupitia kupitia uwimbaji wako mungu akubariki sana baba.

  • @edsonmunuo7112
    @edsonmunuo7112 ปีที่แล้ว

    Hakika hata wkt wa magumu huwa wimbo huu unanifariji saana,Mungu azidi kukuinua pastor@gwakisa mwaipopo

  • @hellenotieno7653
    @hellenotieno7653 2 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @philipocharles8507
    @philipocharles8507 2 ปีที่แล้ว

    😇

  • @benjamingolitha2211
    @benjamingolitha2211 2 ปีที่แล้ว

    Nalitukuza jina la bwana kwa ajili yako mchungaji! Mungu azidi kukuinua

  • @wannaproducts
    @wannaproducts 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @mbaihaule7885
    @mbaihaule7885 ปีที่แล้ว

    Amina