Baba Yetu Aliye Mbinguni Jesus Loves Even Me
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- 200 - Baba Yetu Aliye Mbinguni
1
Baba yetu aliye mbinguni, amenifurahisha yakini,
Kuniambia mwake chuoni, ya kuwa nami Yesu pendoni.
CHORUS:
Anipenda Mwokozi Yesu, anipenda, anipenda,
Anipenda Mwokozi Yesu, anipenda mimi.
2
Nimuachapo kutanga mbali, yeye yu vivyo hupenda kweli,
Hunirejeza kwake moyoni, kweli yu nami Yesu pendoni.
3
Anipenda, nami ninampenda, kwa wokovu alionitenda,
Akanifilia Msalabani, kwa kuwa nami Yesu pendoni. #ChristInSong