Gwakisa Mwaipopo
Gwakisa Mwaipopo
  • 243
  • 2 164 062
VoH|| JINSI YA KUKUTANA NA MUNGU KWANZA-4
VoH|| JINSI YA KUKUTANA NA MUNGU KWANZA-4
#music #gospelmusic #injili #mafundisho #cover #love
มุมมอง: 44

วีดีโอ

VoH| FAIDA ZA KUKUTANA NA KUKUTANA NA MUNGU KWANZA -3
มุมมอง 10014 วันที่ผ่านมา
FAIDA ZA KUKUTANA NA MUNGU KWANZA #gospelmusic #ibadayajumapili #music #astronomicalevent #solareruption #love #solarphenomena #così #environment #lionpride
VoH| MFANO WA YESU KUKUTANA NA MUNGU KWANZA-2
มุมมอง 3414 วันที่ผ่านมา
Pointi Tano za Kujifunza kutoka kwa Mfano wa Yesu katika Yohana 10:40-41. Yesu anatufundisha mambo matato ambayo ni matokeo ya kukutana na Mungu kwanza. #gospelmusic #ibadayajumapili #music #astronomicalevent #solareruption #love #solarphenomena #così #environment #lionpride
KUKUTANA NA MUNGU KWANZA| UTANGULIZI -1
มุมมอง 8514 วันที่ผ่านมา
Lengo: Kuelewa umuhimu wa kukutana na Mungu kwanza kabla ya kukutana na watu, na namna inavyoweza kutusaidia kukabiliana na nyakati mbalimbali mbele yetu. #sermon #preaching #duet #music #maombiyausiku #prayer #song
YESU UNIPENDAYE - 319(Jesus Lover of my Soul)
มุมมอง 38428 วันที่ผ่านมา
Wimbo wa "Yesu Unipendaye" ni moja kati ya nyimbo za Kikristo ambazo zimekuwa zikisifiwa na kuimbwa katika ibada na mikutano ya kiroho. Hapa kuna historia fupi kuhusu wimbo huu. Wimbo huu ulitungwa na Charles Wesley, mmoja wa waanzilishi wa Kanisa la Methodist. Charles Wesley alikuwa mtunzi mkubwa wa nyimbo za Kikristo, na katika maisha yake, alitunga zaidi ya nyimbo 6,000. Wimbo wa "Yesu Unipe...
CHINI YA MBAWA ŻAKO
มุมมอง 379หลายเดือนก่อน
#ibadayajumapili #series #voiceeffects #failureisopportunity #gospelmusic #hymns #mafunzo #malezi #motivation #sundaymorning #seminar #podcast #duet #itvlive #hymns #podcast #itvtanzania #ikulumawasiliano #dodomatv #voiceofhope #music #humor #zambia #cover #kenyanews #duet #motivation #gospelmusic #ibadayajumapili #astronomicalevent #solareruption #music #solarphenomena #love #così #environment...
MTAKATIFU WEWE
มุมมอง 103หลายเดือนก่อน
Wimbo wa “Holy, Holy, Holy, Lord God Almighty” una historia ndefu na ya kuvutia. Ulitungwa na Reginald Heber, askofu wa Kianglikana, katika karne ya 19. Wimbo huu ulitungwa wakati Heber alikuwa mchungaji katika Hodnet, Shropshire, England, na ulichapishwa kwa mara ya kwanza baada ya kifo chake. Melodi ya wimbo huu, inayojulikana kama “Nicaea,” ilitungwa na John Bacchus Dykes mwaka 18611. Jina l...
VoH| YESU NDIYE KIONGOZI WANGU -51TMW
มุมมอง 392หลายเดือนก่อน
Wimbo "Yesu Ndiye Kiongozi Wangu" ni wimbo unaohimiza imani na uongozi wa Yesu katika maisha yetu. Umetungwa na Johann Peter Schück. Hapa kuna maelezo ya historia na fundisho: 1. Historia - Wimbo huu unahusu kumfuata Yesu kama kiongozi wetu. Ni wito wa kuwa na furaha kwa kumfuata Bwana. - Ujumbe wake ni kwamba Yesu anajua kuongoza vizuri, anatulinda, na anatuletea raha moyoni. - Wimbo huu unatu...
NI UJUMBE WA BWANA -73
มุมมอง 293หลายเดือนก่อน
WIMBO #73: Neno la Mungu ni Ujumbe wa Bwana Presented by Pastor g #gospelmusic #ibadayajumapili #astronomicalevent #solareruption #love #music #solarphenomena #lionpride #così #environment
EE BWANA POKEA SIFA
มุมมอง 368หลายเดือนก่อน
Mate do ya Mungu ni makuu mnoo. Yatupasa kusema Asante tukiwa hali wazima #gospelmusic #ibadayajumapili #astronomicalevent #solareruption #love #music #solarphenomena #così #environment #lionpride #baraka #langoni
DAY 3: JIFUNZE UMUHIMU WA KUOMBEA WATOTO WANAOTARAJIWA KUZALIWA
มุมมอง 1162 หลายเดือนก่อน
DAY 3: JIFUNZE UMUHIMU WA KUOMBEA WATOTO WANAOTARAJIWA KUZALIWA
DAY 2: JIFUNZE UMUHIMU WA KUOMBEA WATOTO WANAOTARAJIWA KUZALIWA
มุมมอง 1043 หลายเดือนก่อน
DAY 2: JIFUNZE UMUHIMU WA KUOMBEA WATOTO WANAOTARAJIWA KUZALIWA
DAY 1: DAY 2: JIFUNZE UMUHIMU WA KUOMBEA WATOTO WANAOTARAJIWA KUZALIWA
มุมมอง 933 หลายเดือนก่อน
DAY 1: DAY 2: JIFUNZE UMUHIMU WA KUOMBEA WATOTO WANAOTARAJIWA KUZALIWA
April 08, 2024|| Solar Eclipse viewed from Ohio
มุมมอง 1173 หลายเดือนก่อน
April 08, 2024|| Solar Eclipse viewed from Ohio
||VOICECOF HOPE|| UMETUKUKA EE BWANA|| APRIL 05, 2024
มุมมอง 2973 หลายเดือนก่อน
||VOICECOF HOPE|| UMETUKUKA EE BWANA|| APRIL 05, 2024
||VOICE OF HOPE|| UTOAJI WA SADAKA|| APRIL 054 2024
มุมมอง 623 หลายเดือนก่อน
||VOICE OF HOPE|| UTOAJI WA SADAKA|| APRIL 054 2024
||VOICEVOF HOPE|| UTOAJI WA SADAKA|| APRIL 03, 2024
มุมมอง 653 หลายเดือนก่อน
||VOICEVOF HOPE|| UTOAJI WA SADAKA|| APRIL 03, 2024
||VOICEVOF HOPE|| UTOAJI WA SADAKA|| APRIL 02, 2024
มุมมอง 573 หลายเดือนก่อน
||VOICEVOF HOPE|| UTOAJI WA SADAKA|| APRIL 02, 2024
||VOICE OF HOPE|| S.SONG|
มุมมอง 1333 หลายเดือนก่อน
||VOICE OF HOPE|| S.SONG|
||VOICE OF HOPE|| NIFUNDISHE||
มุมมอง 2373 หลายเดือนก่อน
||VOICE OF HOPE|| NIFUNDISHE||
||VOICE OF HOPE|| UTOAJI WA SADAKA|| APRIL 01, 2024
มุมมอง 463 หลายเดือนก่อน
||VOICE OF HOPE|| UTOAJI WA SADAKA|| APRIL 01, 2024
SEHEMU YA PILI ||VOICE OF HOPE|| MATESO NA KIFO CHA YESU||MACHI 30, 2024
มุมมอง 253 หลายเดือนก่อน
SEHEMU YA PILI ||VOICE OF HOPE|| MATESO NA KIFO CHA YESU||MACHI 30, 2024
||VOICE OF HOPE|| MATESO NA KIFO CHA YESU||MACHI 30, 2024
มุมมอง 1293 หลายเดือนก่อน
||VOICE OF HOPE|| MATESO NA KIFO CHA YESU||MACHI 30, 2024
|VOICE OF HOPE| IJUE ALHAMIS KUU KATIKA JUMA TAKATIFU|| MARCH 28, 2024
มุมมอง 693 หลายเดือนก่อน
|VOICE OF HOPE| IJUE ALHAMIS KUU KATIKA JUMA TAKATIFU|| MARCH 28, 2024
🆙UTAWALA WAKE HAUNA MWISHO
มุมมอง 1274 หลายเดือนก่อน
🆙UTAWALA WAKE HAUNA MWISHO
||VOICE OF HOPE|| NGUVU YA UFUFUO NA UHUISHO NDANI YETU
มุมมอง 844 หลายเดือนก่อน
||VOICE OF HOPE|| NGUVU YA UFUFUO NA UHUISHO NDANI YETU
||NYIMBO YA KWARESMA|| EE WATOTO NJOONI -87 TMW
มุมมอง 3414 หลายเดือนก่อน
||NYIMBO YA KWARESMA|| EE WATOTO NJOONI -87 TMW
JE MIMI NI NANI?
มุมมอง 1435 หลายเดือนก่อน
JE MIMI NI NANI?
||NGUVU YA MANENO|| TULIUMBWA NA TUNAISHI KWA NENO
มุมมอง 1215 หลายเดือนก่อน
||NGUVU YA MANENO|| TULIUMBWA NA TUNAISHI KWA NENO
||MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU|| UHUSIANO WA MAJI, AMRI NA NENO LA MUNGU. SEHEMU YA 3
มุมมอง 725 หลายเดือนก่อน
||MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU|| UHUSIANO WA MAJI, AMRI NA NENO LA MUNGU. SEHEMU YA 3

ความคิดเห็น

  • @user-dw7pj3ec9c
    @user-dw7pj3ec9c 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana na Mungu azidi kukutunza

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 4 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah

  • @philbertjoseph405
    @philbertjoseph405 14 วันที่ผ่านมา

    Maada kanisa la lutheraan liko wapi hapa dubai????

  • @rebekah7576
    @rebekah7576 15 วันที่ผ่านมา

    Nimebarkiwa sana kwa neno hili. Narudi kusikiliza kuanzia mwanzo (part 1) ili nibarikiwe zaidi. Ahsante Mchungaji Mungu aendelee kukutumia kwa njia hii ya kipekee. Pia katika uimbaji.

  • @AidaMwamalumbili
    @AidaMwamalumbili 26 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe pastor

  • @aminimalisa7373
    @aminimalisa7373 26 วันที่ผ่านมา

    Congratulation

  • @RaymondMollel-xk6rf
    @RaymondMollel-xk6rf 27 วันที่ผ่านมา

    ❤ Mungu pamoja nasi

  • @LucyFoya
    @LucyFoya 28 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe Maisha marefu pastor

    • @VoH-Official
      @VoH-Official 28 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa maombi haya

  • @graceshayo4791
    @graceshayo4791 28 วันที่ผ่านมา

    So powerful.

    • @VoH-Official
      @VoH-Official 28 วันที่ผ่านมา

      Glory to God

  • @ajedjoram6993
    @ajedjoram6993 28 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kukutia kipaji

    • @VoH-Official
      @VoH-Official 28 วันที่ผ่านมา

      Amen napokea hizi baraka 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @impactospace
    @impactospace 29 วันที่ผ่านมา

    China ya mbawa❤❤

  • @amedesamki425
    @amedesamki425 29 วันที่ผ่านมา

    Sauti ya mch gwakisa ina roho ya kumsifu Mungu kwa utakatifu wake

    • @VoH-Official
      @VoH-Official 28 วันที่ผ่านมา

      Utukufu kwa Mungu for sure

  • @helenyohana1892
    @helenyohana1892 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏 Msalaba ndio asili ya mema💯✍️

  • @nicodemusmsika1269
    @nicodemusmsika1269 หลายเดือนก่อน

    “Neno Lako Eeeh YESU Linanipa Nguvu”

  • @noelichambilo7825
    @noelichambilo7825 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi.Ameen

    • @VoH-Official
      @VoH-Official หลายเดือนก่อน

      Amen amen 🙏🏽 amen

  • @noelichambilo7825
    @noelichambilo7825 หลายเดือนก่อน

    Your doing good friende

    • @VoH-Official
      @VoH-Official หลายเดือนก่อน

      Thanks a lot

  • @emmanuelkashililika9919
    @emmanuelkashililika9919 หลายเดือนก่อน

    Amen!!

  • @tumainipeter458
    @tumainipeter458 หลายเดือนก่อน

    💯🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🎵

  • @barakajohn5262
    @barakajohn5262 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @oscargao8442
    @oscargao8442 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @elisharawy2837
    @elisharawy2837 หลายเดือนก่อน

    ❤,pia tunaomba mungu akutumie kuimba wimbo wa 'mimi ni mtoto mdogo,njooni tumsifu mungu wetu' Kwa sauti yako TUNABARIKIWA MNO❤❤

    • @VoH-Official
      @VoH-Official หลายเดือนก่อน

      Amen nitaimba nitaimba

  • @lizpallangyo8057
    @lizpallangyo8057 หลายเดือนก่อน

    Hakika hayupo wa kulinganishwa wala kufananishwa nae,barikiwa mchungaji na mtumishi wa Bwana

  • @dorahswai2789
    @dorahswai2789 หลายเดือนก่อน

    Daaah BABA MCH BARIKIWA saaana mbn sikusikii Tena redio upendo nilikuwa nakufuatilia mnoo

  • @dorahswai2789
    @dorahswai2789 หลายเดือนก่อน

    Amen baba mch nimeguswa na huu wimbo BARIKIWA MNOO🙏

  • @dianasarakikya8201
    @dianasarakikya8201 หลายเดือนก่อน

    I love the way you sing..

    • @VoH-Official
      @VoH-Official หลายเดือนก่อน

      Glory to God 👏👏👏👏

  • @user-ew4or4kn9u
    @user-ew4or4kn9u หลายเดือนก่อน

    Amen.Very good song Gwakisa.

  • @lizpallangyo8057
    @lizpallangyo8057 หลายเดือนก่อน

    Amen,hakika yatupasa kushukuru

  • @lizpallangyo8057
    @lizpallangyo8057 หลายเดือนก่อน

    Siku hizi ibada za Azania na online hatukuoni mchungaji,Mungu amekupa karama ya kipekee ya kutumika kwa kumuimbia mbali na kazi ya kichungaji unazofanya,Mungu wetu aliye mbinguni aendelee kukuonekania,kipekee nabarikiwa mno mno kwenye uimbaji

    • @VoH-Official
      @VoH-Official หลายเดือนก่อน

      Amen amen 🙏🏽 lizpallangyo nilisafiri kidogo sio Azania tena

    • @lizpallangyo8057
      @lizpallangyo8057 หลายเดือนก่อน

      @@VoH-Official yote mema,Mungu atakuinua zaidi

  • @lizpallangyo8057
    @lizpallangyo8057 หลายเดือนก่อน

    Amen Mchungaji Gwakisa,Mungu akubariki mno na kukuinua zaidi

    • @VoH-Official
      @VoH-Official หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏🏽 mtu wa Mungu

  • @elizabethmilongo1044
    @elizabethmilongo1044 หลายเดือนก่อน

    Ameen 🙏

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 หลายเดือนก่อน

    Neno lako ee YESU linanipa uzima nikifika nitaimba umeniponyaa

  • @ariseschool8076
    @ariseschool8076 หลายเดือนก่อน

    Awesome

  • @rebekah7576
    @rebekah7576 หลายเดือนก่อน

    Mungu ashukuriwe kwa huduma hii ya uimbaji. Ukianza siku na nyimbo hizi siku nzima inakuwa ya furaha.

  • @ananiaj.ndondole3664
    @ananiaj.ndondole3664 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mchg

    • @VoH-Official
      @VoH-Official หลายเดือนก่อน

      Amen ndugu yangu. Japo ni mfupi

  • @grayson348
    @grayson348 หลายเดือนก่อน

    Ee Bwana Pokea Sifa....leo ni siku yangu ya kuzaliwa na ninamshukuru Mungu kwa hili..Ahsante mchungaji kwa wimbo mzur ..

    • @VoH-Official
      @VoH-Official หลายเดือนก่อน

      Barikiwa mnoo. Mungu azidi kukutunza na kukupa furaha katika siku yako

  • @mariethamtawa314
    @mariethamtawa314 หลายเดือนก่อน

    Hongera🎉 but ni mfupi sana 😢. Please ongezea mavituvitu 😊 Hongera sana Rev

    • @VoH-Official
      @VoH-Official หลายเดือนก่อน

      Asante sana. Nimeweka dodoso tu jamani

  • @pendomvungi6960
    @pendomvungi6960 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @christinachriss9231
    @christinachriss9231 หลายเดือนก่อน

    Beautiful

  • @Glucky100
    @Glucky100 2 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/YNxq5ByEZw4/w-d-xo.htmlsi=jJ9J0z0In4LDvwq6

  • @greeneden4593
    @greeneden4593 2 หลายเดือนก่อน

    Nakuapia Yesu kukutumikia!!!

  • @pendomvungi6960
    @pendomvungi6960 2 หลายเดือนก่อน

    Bado Nakutegemea Yesu 2024

  • @user-mu5px9rn6j
    @user-mu5px9rn6j 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @annantulu3662
    @annantulu3662 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa wimbo mzuri

  • @zitashio7920
    @zitashio7920 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @rehemamkude6766
    @rehemamkude6766 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @femidamwasimali7027
    @femidamwasimali7027 2 หลายเดือนก่อน

    Amina!!!

  • @jamillahkheir6536
    @jamillahkheir6536 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @jamillahkheir6536
    @jamillahkheir6536 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 2 หลายเดือนก่อน

    Kitabu anachotumia Mchg.kinaitwa..TUMWABUDU MUNGU WETU kinatumika sana na.KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI yaani KKKT

  • @sabinalyimo5787
    @sabinalyimo5787 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika Msalaba ndio Asili ya Mema 😓