Nakutegemea Yesu No. 49

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2021
  • Tafakari maneno haya upate UJUMBE wa kukufaa

ความคิดเห็น • 73

  • @samadukabyemera8732
    @samadukabyemera8732 3 ปีที่แล้ว +12

    Nafurahia sana sauti yako mzuri mno Yesu asiache uzao wako kipawa hiki kisitoke nyumbn kwako iwe furaha kwa vizazi vijavyo ukaishi milele mtumishi💪💪💪💪💪

  • @pendomvungi6960
    @pendomvungi6960 2 หลายเดือนก่อน

    Bado Nakutegemea Yesu 2024

  • @carolinemae2531
    @carolinemae2531 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Yesu nakutegemea huu mwaka 2023 mimi pamoja na familia yangu😭🙏

  • @petergeorgekafumu
    @petergeorgekafumu 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pastor, what a wonderful voice. Umejaliwa kaka. Mwimbie Mungu usiache kamwe

  • @buberwaaligaesha1779
    @buberwaaligaesha1779 3 ปีที่แล้ว +7

    Mchungaji Gwakisa Mwaipopo..nabarikiwa sana na uimbaji wako. Nami napenda sana nyimbo za Tumwabudu. Unaziimba vizuri na sauti yako unayoanza nayo mtu yeyote anaweza kuingia na kuimba kwa sauti yake. BARIKIWA SANA SANA SANA NA BWANA. Natamani uje Usharikani kwetu siku moja.

    • @VoH-Official
      @VoH-Official  3 ปีที่แล้ว +5

      Utukufu kwa Mungu ndugu yangu

    • @siatowo3026
      @siatowo3026 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa nafarijika sana nikimsikiliza baba mchungaji

    • @ntulimwakamala705
      @ntulimwakamala705 3 ปีที่แล้ว +2

      Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Unatubariki wengi kwa uimbaji wako. Tumrudishie Mungu kwa Kipawa alichoweka ndani yako

  • @palokuthereza2555
    @palokuthereza2555 3 ปีที่แล้ว +2

    Da nikimsikiliza uyu mchungaji anavoimba nakuwa na uwepo mkubwa na kumpenda Mungu zaidi yaani naiona mbingu

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 3 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji Gwakisa anafanya hizi nyimbo kuimbika kirahisi sana na kwa dhati ya moyo.

  • @happinesspatrick3902
    @happinesspatrick3902 3 ปีที่แล้ว +7

    Unique talent, umebarikiwa sana Mchungaji.Nyimbo tamu mpaka natamani niziimbe tu

  • @mitchelnjeri7023
    @mitchelnjeri7023 2 ปีที่แล้ว +1

    Amenn nimebarikiwa snaa na hzo nyimbo Mungu akuzidishie uzima na ulinzi wake.. nasikiliza nikiwa Nairobi zinanibariki snaa

  • @Nadia-fg8yr
    @Nadia-fg8yr ปีที่แล้ว

    Jaman kwel yesu Hana madanganyo Wala simuachi yesu wangu Kwan amenikomboa

  • @kennedymahano3618
    @kennedymahano3618 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi hakika tunaguswa na huduma yako🙏

  • @pelesimwantepele3303
    @pelesimwantepele3303 ปีที่แล้ว

    Napenda sana kuimba na uwa navutiwa na uyu mchungaji barikiwa sana tunapo imba tunasikia uwepo wa roho mtakatifu kabisa

  • @davidomondi8717
    @davidomondi8717 ปีที่แล้ว +1

    nakutegemea yesu
    powerful song with a strong message

  • @StevenLeonard-uc7mt
    @StevenLeonard-uc7mt 5 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo unanigusa sana moyo wangu 🙏🙏🙏

  • @dianaminja3175
    @dianaminja3175 ปีที่แล้ว

    Nakutegemea Yesu pekee yako tuu

  • @dainesstungaraza6309
    @dainesstungaraza6309 ปีที่แล้ว +2

    What a powerful song!🙏🏼

  • @user-ew9vc6jq6h
    @user-ew9vc6jq6h 10 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sana huu, hakika unanitia Moyo sana

  • @annaally5964
    @annaally5964 3 ปีที่แล้ว +2

    Utukufu kwa Mungu kwa utumishi wako pastor

  • @lucaseben4914
    @lucaseben4914 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri sana ziachieni tuweze kuzidanlod ili injili iendelee ukizizuia umeuza toeni bure ahsante

  • @alexlusaka1315
    @alexlusaka1315 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mchungaji.

  • @vedastusmatagi4860
    @vedastusmatagi4860 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakutegemea bwana

  • @rabielfadhili994
    @rabielfadhili994 3 ปีที่แล้ว +2

    Fantastic....bado WITO WAJA.

  • @happymushi2219
    @happymushi2219 ปีที่แล้ว

    Amen Amen - Nakungoja mwongozaji- NAKUTEGEMEA YESU

  • @zacchaeusmirera5492
    @zacchaeusmirera5492 7 หลายเดือนก่อน

    Powerful song,

  • @gadnersolomon2971
    @gadnersolomon2971 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana sana

  • @eddamsalilwa4876
    @eddamsalilwa4876 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Mtumishi, una kipaji cha kuimba Mungua azidi kukuinua.

  • @violethmatela3077
    @violethmatela3077 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakutegemea yesuuuuu......

  • @leokapaya3288
    @leokapaya3288 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi. Hakika nimeguswa mnoo, daaaah!

  • @edsonmunuo7112
    @edsonmunuo7112 3 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏hakika neno la mungu litadumu milele na milele, mungu amekubariki mchungaji wangu, nabarikiwa, napata wasaa wa kutafakari juu ya maisha haya asante mungu akujalie kila liliojema, #gwakisa mwaipopo

  • @kalobeflix
    @kalobeflix 9 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Man of God

  • @barakalukumay
    @barakalukumay ปีที่แล้ว

    Hii ndiyo raha ya kuwapata wachungaji walio okoka sio tu kuimba huyu Baba kaokoka kweli wachungaji wengi wa cct hawajaokoka ona hichi kipawa muziki umejaa kichwani note za kutosha baba barikiwa tena na tena

  • @pardonfox331
    @pardonfox331 2 ปีที่แล้ว +9

    1. Nakutegemea Yesu
    Yesu peke yako tu
    Wewe u Mkombozi wangu
    Unitulizaye.
    Nakutegemea Yesu
    Kwani u Mkombozi ukinifia
    Ndipo nikakupenda sana
    Wala sikuachi
    2.Wewe mfalme mkubwa sana
    Unaondoa dhambi
    Wanionea huruma
    Huna madanganyo
    3.Wewe umechunga kondoo
    Ukitanguliza mwanga
    Nakungonja mwongozaji
    Nisipotee njia
    4. Wanichikulia mzigo
    Sianguki majini
    Natambua wanipenda
    Huniachi pekee
    5. Bwanangu umeniweka
    Ufalmeni ni kuzuri
    Naisifu damu yako
    inayoniosha

  • @pelesimwantepele3303
    @pelesimwantepele3303 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana Mchungaji sauti ina mibaraka

  • @mussaelia8693
    @mussaelia8693 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana pastor ,
    Naomben kama wimbo Wa
    "Tegemea mpaka kufa"

  • @manuelykimaro9995
    @manuelykimaro9995 ปีที่แล้ว

    Wala sikuachi Lord🙏

  • @elizalyimo1872
    @elizalyimo1872 3 ปีที่แล้ว

    Na kutengeneza Yesu wala sikuachi

  • @janethtuuli8766
    @janethtuuli8766 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen🙏

  • @angelnamala6354
    @angelnamala6354 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @InnocentKisangaTZ
    @InnocentKisangaTZ 2 ปีที่แล้ว

    Mama yangu aliupenda sana huu wimbo. Huwa namkumbuka sana kila ninapousikia.

  • @ceciliaeleuterymbangile7989
    @ceciliaeleuterymbangile7989 3 ปีที่แล้ว +2

    Thanks,I’m blessed

  • @charlesrichard1266
    @charlesrichard1266 ปีที่แล้ว

    Nakutegemea YESU

  • @biccochunga7771
    @biccochunga7771 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks,I'm blessed

  • @user-tk7cp2rf1p
    @user-tk7cp2rf1p 11 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo hiyo iko vema.......Kuna kitu cha kujifunza na kuimarika kiimani.Barikiwa sana mtumwa wa kristo kwa hicho ambacho Mungu amepanda ndani yako.

  • @elihurumalukumay3242
    @elihurumalukumay3242 2 ปีที่แล้ว +1

    Eee Mungu, nisamehe kwa mawazo, maneno, na matendo yangu nilizo zifanya bila kutaja JINA lako, nirehemu mimi na kizazi changu, Wazazi wangu na wote wenye mioyo ya kutokuamini kama mimi.
    MUNGU KWELI UPO

    • @makrinakalinga6034
      @makrinakalinga6034 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki kwa kuwa unaamini kwamba Mungu yupo

  • @elinemfanga2081
    @elinemfanga2081 3 ปีที่แล้ว +3

    Glory to God

  • @Dmsiris5
    @Dmsiris5 11 หลายเดือนก่อน

    So Heavenly🙌

  • @Njauuj
    @Njauuj 2 ปีที่แล้ว

    Pastor!!!🙏🏽🙏🏽

  • @godlistenmushi2205
    @godlistenmushi2205 3 ปีที่แล้ว +2

    Ningependa kuwa na nyimbo zako kwenye cm yangu ili wakati sina MB niweze kusikiliza...nifanyeje mtumishi wa Mungu?

  • @esthersagara4117
    @esthersagara4117 2 ปีที่แล้ว +3

    Am blessed with this song🙏

  • @kelvindaniel7018
    @kelvindaniel7018 ปีที่แล้ว

    HALLELUYAH

  • @nreralpapua
    @nreralpapua ปีที่แล้ว

    Powerful

  • @himidgipson5407
    @himidgipson5407 2 ปีที่แล้ว

    Haleluya....!

  • @bocladylucy3805
    @bocladylucy3805 2 ปีที่แล้ว

    Wow 🙏

  • @bennowamala8998
    @bennowamala8998 3 ปีที่แล้ว +1

    🙏

  • @HesauDaudiInyalala-bb1ru
    @HesauDaudiInyalala-bb1ru ปีที่แล้ว

    Amn

  • @perpetuavictory1968
    @perpetuavictory1968 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭 ndipo ntakupenda sana wala sikuachi

  • @judithlwaikondo7382
    @judithlwaikondo7382 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Gwakisa,Mungu azid kukubariki na kukuinuia kwa kila kitu,kipaji chako cha kuimba kifike mbali zaid,napenda sana unavyoimna hiz nyimbo, huu wimbo uwa naurudia mara kwa mara,wimbo ni mzuri,una ujumbe mzito

    • @VoH-Official
      @VoH-Official  2 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @joelzacha
      @joelzacha ปีที่แล้ว

      Mtumishi bwana Yesu asifiwe, unazo cd au flash na ni bei gani kama unazo? Mungu azidi kukuinua katika kipaji chakumwimbia.

  • @gee_gm
    @gee_gm 3 ปีที่แล้ว

    🥰🥰🥰

  • @user-fr3yt5tj2l
    @user-fr3yt5tj2l 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @jacksonjonathan2262
    @jacksonjonathan2262 2 ปีที่แล้ว

    Amen

    • @edwintemu4805
      @edwintemu4805 2 ปีที่แล้ว

      Sina maneno mengi ya kusema zaidi ya kuzidi kukuombea tu mtumishii