SIFA 10 ZA WATU WANAOFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @PeterBernard-h8e
    @PeterBernard-h8e 8 วันที่ผ่านมา +1

    I'm not leaving you channel till i success in my life

  • @benymambo
    @benymambo วันที่ผ่านมา

    bro nakufatilia sana.sema nina project ambayo naitaj nikuone ili unipe ushauli mkubwa na mzur

  • @noelidaudi1636
    @noelidaudi1636 6 วันที่ผ่านมา

    Vitabu vina patikana wapi apa arusha

  • @MeinhardAllois
    @MeinhardAllois หลายเดือนก่อน

    Daa!! Nimekuelewa sana sana mkuu Mungu akuifadhi hai kaka Umenigusa sana sana kaka.

  • @saddysalim9120
    @saddysalim9120 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sema hii CV unaitumia vzr sana kk😂😂 certified by BOT

    • @victormwambene
      @victormwambene  2 หลายเดือนก่อน

      Hahahah ee ni
      muhimu kaka 😅.

  • @jorgitolucasbaluth8903
    @jorgitolucasbaluth8903 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umaweza sana ,ginius

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana kwa maarifa

  • @joycehagman3086
    @joycehagman3086 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu akubariki, baba.umefungua mawazo yangu, I m think big.no more,pole pole.

  • @imogimasta9077
    @imogimasta9077 2 หลายเดือนก่อน +2

    safiii endelea kutujuza ili tutengeneza Taifa Bora.

  • @Rehema815
    @Rehema815 2 หลายเดือนก่อน +2

    Rich dad poor dad naweza kukipata kwa kiswahili ?

  • @joshuanambute7276
    @joshuanambute7276 หลายเดือนก่อน

    Bro umenijenga sana kimawazo..zidi kutuelimisha 🔥🔥👏

  • @sailantjoseph7411
    @sailantjoseph7411 26 วันที่ผ่านมา

    My sina rafiki

  • @JustusJackson-m5b
    @JustusJackson-m5b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizur,, nitayafanyia kazi hayo🙏🙏

  • @JackChaguma
    @JackChaguma 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naweza nikapata vitabu vyako vipi ? Niko Drc Congo Lubumbashi

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana CFE kutufundisha

  • @kelvinmbeikya4520
    @kelvinmbeikya4520 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa somo nzuri na bora

  • @KULWALULANGA
    @KULWALULANGA 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani sana kaka

  • @adinaismail118
    @adinaismail118 หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana

  • @EssauSimchimba
    @EssauSimchimba 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran kaka

  • @NZAMUYEJoseph
    @NZAMUYEJoseph 2 หลายเดือนก่อน

    Good done

  • @ShaniaKing-o5d
    @ShaniaKing-o5d หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza zaid ya mawazo nilokuanayo

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 หลายเดือนก่อน

    Mimi Tajiri

  • @ismailmtumbuka2897
    @ismailmtumbuka2897 2 หลายเดือนก่อน +1

    📥💯

  • @BabaNasritz
    @BabaNasritz 2 หลายเดือนก่อน

    Unaposema watumiaji wa madawa ya kulevya ni wavivu wenda wapo ila sio wotee

  • @JoseMkumbwa
    @JoseMkumbwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naitaji.kitabu.

    • @victormwambene
      @victormwambene  หลายเดือนก่อน

      @@JoseMkumbwa Tuwasiliane kwa 0744126640.

  • @zakariachacha7574
    @zakariachacha7574 2 หลายเดือนก่อน +10

    Bro naomba no yako nataka elimu mpka2030 nataka niwe nmejenga nyumba ya milioni150 sasa sehemu nzur ambayo naweza kutunzia hela mpka ifike hyo kiasi

    • @victormwambene
      @victormwambene  2 หลายเดือนก่อน +4

      Tuwasiliane kwa 0744126640.

    • @zakariachacha7574
      @zakariachacha7574 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@victormwambene asante bro

  • @mudrick7115
    @mudrick7115 2 หลายเดือนก่อน

    🔝

  • @ZawadiAtanasio
    @ZawadiAtanasio หลายเดือนก่อน

    Bei ya jumla mnausaje

  • @zakariachacha7574
    @zakariachacha7574 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna kitabu nmekiona hapo nyuma yako kinaitwa baba tajiri nakipataje

    • @victormwambene
      @victormwambene  2 หลายเดือนก่อน

      Tuwasiliane kwa namba 0744126640.

  • @jorgitolucasbaluth8903
    @jorgitolucasbaluth8903 2 หลายเดือนก่อน

    Una akili nyingi

  • @HezronKahero
    @HezronKahero 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka naomba vitabu vyako viwe vinaandikwa kingereza na kiswahili humo humo

  • @SempaiSaidi
    @SempaiSaidi หลายเดือนก่อน

    Asante Sana kwa elimu nzuri vitabu mm nipo Zanzibar nitavi pataje?

  • @robertipagala828
    @robertipagala828 หลายเดือนก่อน

    Nina sifa 9 hapo kaka nimekosa moja tu ila bado napambania hiyo nikiyoikosa

  • @amonsanga1866
    @amonsanga1866 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka siwez kupata kitabu kwa njia ya Whatsapp

    • @victormwambene
      @victormwambene  2 หลายเดือนก่อน

      Vitabu tunauza kwa hardcopy tu mpendwa.

  • @JolamMagayambeche
    @JolamMagayambeche หลายเดือนก่อน

    Mkuu naomba namba yako

    • @victormwambene
      @victormwambene  หลายเดือนก่อน

      @@JolamMagayambeche Hii hapa 0744126640.

  • @adronicokalumna
    @adronicokalumna 2 หลายเดือนก่อน +1

    Endelea kutujenga kiongozi

  • @HezekielJoel
    @HezekielJoel หลายเดือนก่อน

    🫡🫡