MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ค. 2021
  • Mafanikio, kwako wewe yana maana gani? Kila mmoja ana maana yake ya mafanikio wengine Furaha, Amani, uhuru, wengine pesa umaarufu, majumba, magari. So inategemee how you define success on your terms. Ukijua maana ya mafanikio kwako basi ni muhimu sana kujua pia mambo ambayo yanaweza kukuzuia wewe kufikia mafanikio unayotaka katika maisha.Mambo 8 ya kuacha ili ufanikiwe katika maisha.Najua kila mtu ana ndoto ya kufanikiwa siku moja. Lakini haiwezi kutokea tu naturally mafanikio yakaja bila wewe kuandaa msingi wake mzuri. Mafanikio yanajengwa na msingi wa tabia fulani zenye muendelezo na pia kuna tabia fulani ukiwa nazo basi kamwe huwezi pata mafanikio. Fuatilia mambo 6 ya kuacha ili ufanikiwe"
    Karibu tujifunze mambo saba (6) leo unayotakiwa kuyaacha kabisa kama lengo ni kufanikiwa.
    🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 afripods.africa/
    🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 / gonlineposi. .
    Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi.
    🔴Nifuate IG- / gonline_pos. .
    BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia
    1.Kurank videos zako
    2.Itakuonesha Live subscribers count
    3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi,
    4.Kupata Keyword explorer, download sasa
    🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
    ⚡SABABU 6 KWANINI KUFELI NI VIZURI KWA MAFANIKIO YAKO 👉 • SABABU 6 KWANINI KUFEL...
    ⚡ TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA KUCHANGAMANA NA WATU (SOCIAL ANXIETY)| Zahir Gomelo 👉 • TATIZO LANGU NI AIBU N...
    ⚡Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA Hii/CHAGUA MARAFIKI SAHIHI KATIKA MAISHA 👉 • Kila Kijana Anatakiwa ...
    ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 • TABIA 3 ZA MAFANIKIO Z...
    ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 / 4vinlngo3q
    ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉 • TABIA 10 NZURI ZA KUFA...
    ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 • SIRI 5 ZA MAFANIKIO KW...
    ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉 • ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZ...
    ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉 • GUNDUA KUSUDIO LAKO KA...
    ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 • HATUA 5 ZA KUUSHINDA ...
    ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 • JINSI NINAVYOSAVE 50% ...
    #Mamb6 #Mafanikio #Zahirgomelo

ความคิดเห็น • 64