Wahojaji tumieni professional skills yauhojaji.. Hoji kwa kumpa nafasi unaemhoji akujibu.... otherwise kipindi nikizuri but moderator wakike .mmmhhh ajinoe zaidi
We dad unapoteza point za msingi anazoanza kizitoa nanauka unauliza vijiswali vya kishenzi shenzi tu, adi umeniboa sijue presenters wengine hua wanasomea wapi aise
Good lesson But I still have question🤔🤔 Kwanini uhachane na marafiki zako kisa wewe ndie ulie bora zaidi kuliko wote eiza kifedha au kielimu then huende uhambatane na aliye bora zaidi yako ? Je,nisawa kutenda usicho penda kutendewa ? Maana mda huo umeachana na rafiki yako kisa yupo down (under level) ili ukaambatane na up level …!! Naomba ufafanuzi please ✍🏾
Hi brother Joel nashukuru sana I wish to have like 15 minutes with you face to face .
Uko vizuri kiongozi
Dada anachosha bwana
Nakukubali sana mr Joel
Hongera kazi nzuri
Uko vizur kaka
Points
Wahojaji tumieni professional skills yauhojaji.. Hoji kwa kumpa nafasi unaemhoji akujibu.... otherwise kipindi nikizuri but moderator wakike .mmmhhh ajinoe zaidi
Exactly 💯
Uyu dada anaongea Sana sana
nakubali san
Absolutely 💯
We dad unapoteza point za msingi anazoanza kizitoa nanauka unauliza vijiswali vya kishenzi shenzi tu, adi umeniboa sijue presenters wengine hua wanasomea wapi aise
Huyo dada anaboa
Daah sasa mmemwita huyo mtaalamu wa nini simngemtumia huyo dada maana yeye anajua Kila kitu
Umenifungua Akili yangu🔓 thanks
❤
Dada punguza kiherehere basi
😂😂😂😂😂
✍️💝🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏🇨🇩
Good lesson
But I still have question🤔🤔
Kwanini uhachane na marafiki zako kisa wewe ndie ulie bora zaidi kuliko wote eiza kifedha au kielimu then huende uhambatane na aliye bora zaidi yako ?
Je,nisawa kutenda usicho penda kutendewa ? Maana mda huo umeachana na rafiki yako kisa yupo down (under level) ili ukaambatane na up level …!! Naomba ufafanuzi please ✍🏾
Swali zuri, lkn nahisi ni ndio kanuni ya kukufanya wewe ukue zaidi
Sasa nyie watangazaji mnapouliza maswali acheni mpate majibu wewe demu unaongea sana, kunamuda tunataka tupate majibu mnavuruga bana.