Umbo Langu Dawa Sadiq Taarab lyrics
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2023
- WIMBO: UMBO LANGU DAWA.
Maumbo wanifitini, Nipate kukataliwa.
Wanifata shughulini, Ugomvi Kununua.
Umechelewa javini, Karamu imeshaliwa.
Utanuna na kuvimba, Pumzi zako kutoa.
Kisha urudi mwembamba, Hali yako ulokuwa,
Mizali hujaniumba, Huwezi kuniumbua.
Umbo langu hili hili, Ndilo nilojaaliwa.
Naye amelikubali, Kuniganda kaamu.
Kwangu mimi hana hali, Kwa mahaba kanogewa.
KIITIKIO:
UMBO LANGU DAWA, AMESHALIPENDA,
PEKEE YANGU KAWA, NAMI KWAKE CHANDA. - เพลง
WIMBO: UMBO LANGU DAWA.
Maumbo wanifitini, Nipate kukataliwa.
Wanifata shughulini, Ugomvi Kununua.
Umechelewa javini, Karamu imeshaliwa.
Utanuna na kuvimba, Pumzi zako kutoa.
Kisha urudi mwembamba, Hali yako ulokuwa,
Mizali hujaniumba, Huwezi kuniumbua.
Umbo langu hili hili, Ndilo nilojaaliwa.
Naye amelikubali, Kuniganda kaamu.
Kwangu mimi hana hali, Kwa mahaba kanogewa.
KIITIKIO:
UMBO LANGU DAWA, AMESHALIPENDA,
PEKEE YANGU KAWA, NAMI KWAKE CHANDA.
Umbo langu dawaaa ameshanipenda🎉🎉 🎉🎉
Enzi hizo ilitamba nyimbo