Sifedheheki Zuhura Shabani Taarab lyrics

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2023
  • Mimi napofanya mema
    mnaniguna na kunipakazia
    mnasema najipendekeza
    sifa nnaziwania
    hamtaki kukubali
    kuwa ndio yangu twabiaa
    lakini mi kuwa mwema
    wabaya wananichukia
    ona maviumbe wana ajabu
    nikifanya mema husema
    hamumjui yule
    hupenda sifa tuu
    msihumbuke wenzangu
    hii ni shani ya mungu
    mkiniumbua
    mimi siumbuki
    kama navyodhania
    nimebarikiwa na muumba
    kukicha naongezewa
    alichonishushia muumba
    hamuwezi kukiondoaa
    Mutafanya nini kwangu
    muizime nuru yangu
    TAARAB: Zuhura Shaaban - Sifadheheki . AUDIO
  • เพลง

ความคิดเห็น • 3

  • @AminaAmina-qs4oe
    @AminaAmina-qs4oe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nikisiliza uwa na enjoy sana

  • @sauda4505
    @sauda4505 11 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani chamazi gani chamazi mbande kwetu au

    • @ChamaziMusic
      @ChamaziMusic  11 วันที่ผ่านมา

      @@sauda4505 yes